Being honest your parents didn't wast their money for nothing, your excellent results makes us happy whenever I listen to your mixx, especially this one
moja kwa moja kutoka Msumbiji kumtazama dj Aisher na anafurahi kumpongeza kwa pongezi na kuwa na mafanikio mengi na mafanikio katika maisha yake ya kitaalam.🇲🇿🇲🇿🇲🇿vs🇹🇿🇹🇿🇹🇿
atakaye kuoa atakuwa ameoa chombo 1. urembo 2. utulivu ( naujuwa mimi) si kama madj wengine ninao wafuatilia mweeeeeee shida , wanajua kweli ktekenya mixer kama wewe ila utulivu hawana. 3. mikono na vidole vinavyo chapurika kwenye mixer hata kwenye kuunga nyanya na vitunguu kwenye chakula ni namna hii hii. 4. .... muulize MR. na aenleze hapo hahahahahahaha DJ AISHA
Your smooth as an operator and it's just interesting to just watch you do your thing. No samplers, Noisy Dj effects, and her crossfade are smoothest. I love it
Yeaaaahhh! That's my lovely colleague DJ Aeisha on the console doing what she knows how to do best.I am planing to invite you one of this days to Ghana to perform during Ghana's DJ contest to be held soon.Massive respect and love from Ghana.Braavo!! My colleague DJ
We mtoto hatari kwa afya nakupenda bureeeee!
Mwen se yon ayisyen aisher fem anvi retounen nan peyi zanset mwen yo te soti a.bon travay
Imeweza DJ aisher big up
nimeikubali sana hiyo aysher hongera san
Being honest your parents didn't wast their money for nothing, your excellent results makes us happy whenever I listen to your mixx, especially this one
moja kwa moja kutoka Msumbiji kumtazama dj Aisher na anafurahi kumpongeza kwa pongezi na kuwa na mafanikio mengi na mafanikio katika maisha yake ya kitaalam.🇲🇿🇲🇿🇲🇿vs🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bom dia dj Aisher,tudo bem?🇲🇿🇹🇿
Inaweza kali sana...big up dj....
Kitoko mingi ndeko ya mwasi,Nzambe na likolo abakiselayo mikolo mingi.
Aisher fanya moja ya reggae...uko juu mbaya
It's there already
Wanawake tunaweza hongera my
Uko vizuri Aisher safi sana 👍👍👍👍
African queen! your style rocks-Huwa sipendi manywele ya fake ya mawigi, kwa hii yako umenibamba plus na hio mix sasa!
Aisher you are my favorite, rhumba nayo! nayo! ,lingala nayo!!! nayo!!
Uko vizuri hadi raha umetisha sana nakupenda bure.
duuuuu DJ umetishaaaaaa umenipagawisha
Nya migori i love it, any pure mix of fally pupa or ferre gola will do good to me more love from kenya
Nakupenda dj aisher...
Unajua had unaboa Sasa....keep moving
DJ aisher unatisha sana mdada ..sichoki kuangalia kazi zako ... Your super DJ...
Kama unaiwakilisha tz gonga like twende sawa
DJ AISHER FANS CHANNEL
Unlimited Dj Aisher mixes, information and links.
t.me/djaisher
Raha ya kuipenda kazi yako Aisher🔥🔥🔥
8:08kills me for sure... Nakupenda bure tu!
Uko vizuri hongera sana
Dj aisher
moto sana!!!...my new driving playlists...asante sana mrembo..
Hii kali sana fanya iwe kama 1hr 30mins hivi itakua poa tena sana💃
Aisher unanitekenya wewe hatar sana
Dj uko xawa tena xana
Waaaauuuuuu keep it ,,,,we n moto kwa rumba
weee ndio yule mbaya kabisaa tamu sana
Iko safi sana aisher
Nmeipenda ii nidjaa💖💖santa sanaa aysherr uko vzuryy sanaa...looovee mee😍✌ el rey magoo🔝...dj aysher👊 je taime💞
Uko juu mbayaa
Sichoki kuitazama kazi yako love 😍😍
Nakupenda buree dada
Yani unafanya niipende miziki ya kikongo Dada umetishaaa
mrembo unajua sana,congration
Kuvaa wingi au kunyoa namna hii kunakupendeza mno Sawa na umbo wa Sura yako
J'écoute cet mix de Aisha chaque jour même en 2021.
Nimekukubali sana dj aisha
Nakukubali mpaka nakupenda buleee
Nakuelewa dj aisher
African time...napenda batoto ba kongo mnapendezaa ....
hii crip kila siku lazima niiangalie👌👌
..tengeneza zingine kalikali.. hii imenibamba..
Wah, aisher si umeweza
Boomsheeeeellll nko looked nikiwa YEMEN mmmmmmh solo sweetie like u.😂🤣😂🤣😂🤣
Love you DJ aisher....cant stop listening mix Kali saana
Oh aisha, nalengiyo mingi sherry, mix yako iko fayaaaaaaaa
This mix lured me to rhumba back in the days when I was in form 3🫡
Daah from tanzania hii rhumba mixing nimeikubali its soo nice yaani nzuri 😍🤩😍🤩
Hongera sana dada kwa kazi nzuri karibu sana Arusha Tanzania. May The Lord Bless You in 2020.
loving your style girl rhumba my music plus your scratches is just wow!get us the longest mixtapes possible twakupenda sana
dj AISHER your the best waaoo noma sana👍👍👌
Unajua mpk hasira🔥🔥🔥
I need more and more soft rhumba from you vuruka vitu ijae two hours Aisher
This is something i needed to soften my stiff "LOKETO" after a long drive..erokamano nyar Migori
atakaye kuoa atakuwa ameoa chombo
1. urembo
2. utulivu ( naujuwa mimi) si kama madj wengine ninao wafuatilia mweeeeeee shida , wanajua kweli ktekenya mixer kama wewe ila utulivu hawana.
3. mikono na vidole vinavyo chapurika kwenye mixer hata kwenye kuunga nyanya na vitunguu kwenye chakula ni namna hii hii.
4. .... muulize MR. na aenleze hapo
hahahahahahaha DJ AISHA
I am a professional dj but I must confess your dj skills is killing me softly. Nice one there keep on with this marvelous skills
Umetisha zaidi ya sana👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Deejay Aisher🎧
Umetisha sana
I always play this every morning..it makes my day wow....may the Lord always bless you Aisha..give us more than this
Thanks. Longer version coming soon
@@djaisher7037 Eagerly waiting for it hope it's soon!
@@djaisher7037 waiting for the longer version. Rhumba to the world 👏👏💪💪💪
@@djaisher7037 I'm back here to demand for the link to the longer version
muziki bila jasho... thumbs up Aisher
Your smooth as an operator and it's just interesting to just watch you do your thing. No samplers, Noisy Dj effects, and her crossfade are smoothest. I love it
Hivi ndivyo ntavyo nyerekea birthday yangu Africa next week 30th March ,Njoo Munich wakati mumoja my Sister
Wyclife Kalama
I can listen to your mixes 24-7/365
DJ Aisher is always the best.we are happy to have you here in Germany
Dj aisha... Uko Sawa...... U are enjoying what you are doing.... We enjoy ur work too
Hii Video naiangalia sana, weka video nyingine nyingi. Upo vizuri sana.Napenda kuwa pia DJ mkali nilikuwa nafanya zamani nikasimama
Dj Aisher you are so so so beautiful oh my goodness!! And you are way above some of the noisy DJs we know. Keep the flame burning.
Nimekubalu dj Aisher
Haiyaaa uko sawa aki
Aisher hapo sawa keep it up
Dj Aisher this is really on point, your mix breaths life in Rhumba music. Watching from Uganda. Lol
Me too always enjoying her mix
Eiish,totona! That love for rhumba is too much, it's wow
I like how u can almost fail to notice another track is coming in......simply perfect. Lakini fupi
In short the mix is perfect
Waw bb oufò wawww 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hauta tuacha na hangover ya Rhumba my friend, one hour plus mix please. uko juu kabisa. love you
LOVELY MIX, BUT TOO SHORT.. GIVE US MORE AND MORE COZ IT IS INDEED A KIND OF MUSIC THAT CAN KEEP US INDOORS THE WHOLE WEEKEND. ASANTE SANA
I I'll work on that
Good one. Naomba uniadd to WhatsApp group please
@@djaisher7037 Give us more music madam mix zako zinaweza sana bt too short..
@@djaisher7037 please keep in touch we need to strike adeal 00447700327648.keep in touch
Compare to none...best DJ ever....keep flying
Naququballll xanaaaaaaaaa aixhaa
this one is my favorite mixe, trust me i can't stop listening it
This mix is always driving me crazy...always coming back here
Me too
So on fire, she needs to +30mins....
We are many my dear
@@tituskingoi4772 it's actually nice music and it eliminate most of severe stress sometimes.
This mix drives me crazy it,s lit.
Studying has never been this good,while listening to this😘from🇿🇦
Much humbled
@@djaisher7037how do I get connected to you where my email Dwaynekiddievybzalgers1@gmail.com
+233549414767 WhatsApp can I get connection with you
The mix is awesome and the selection is for the rhumba legends
Can’t get tired of this mix
Manley
Hopefully to see you in a show in Amsterdam, you mix is so cool, Aisher
Enemies of progress lazima waje Tu na thumbs down.how do u not love this mix surely!!?
Ms phinny mwenyewe
Gal believe me u r too too gud far better than some male dj I rate u 5star babe
oh my goodness... This girl is the best female DJ av seen gosh aisher 🔥🔥🔥🔥
Penda sana dj aisher dah!!!😀😂😂😂
My Aisher knows it all............... #totorhumba.
Uyu dada anakipaj kizur xan hongreaaa
Yeaaaahhh! That's my lovely colleague DJ Aeisha on the console doing what she knows how to do best.I am planing to invite you one of this days to Ghana to perform during Ghana's DJ contest to be held soon.Massive respect and love from Ghana.Braavo!! My colleague DJ
Much humbled
mwasii kitooko, nice mix
Dj wangu
Your mixes are awesome i cant stop listening and watching them
Imedunga DJAISHER
Oli wakabi nyabo. M really enjoying wat u are doing
Awesome Deejay Aisher