DUDU BAYA AFICHUA WILLY PAUL KENYA NI MSANII MKUBWA KULIKO DIAMOND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @DavidIranda
    @DavidIranda 3 วันที่ผ่านมา +1

    I love my brother,,,Dudu Baya,very wise...nakukubali saana kutoka apa Kenya

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 2 วันที่ผ่านมา

    We Mlev Unazeeka Vibaya Sana😂😂😂😂

  • @lidacall3896
    @lidacall3896 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mtamtusi Dudu baya sababu kumtambua Pozze kama msanii mkubwa Kenya watanzania komeni Dogo wetu ni star ✨ bila ushirikina na Mungu anampenda sana tunangoja tu alichokisema mwijaku ila eshima Kenya sio utumwa

  • @agogomgagagigigogo
    @agogomgagagigigogo 3 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂Leo lilevi limeboronga ,limeongea pumba sana afu limeonesha chuki waziwazi kwa Simba 😂😂,hilooo lilevi hiloooo

  • @GamalFarrah
    @GamalFarrah 3 วันที่ผ่านมา +6

    Dudu Baya acheni kuwa mnamuhoji inaonyesha kabisa uwa hana la kuongea,anaonyesha kabisa habari zinazo husiana na muziki hajui,achane kijishusha nyie

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 3 วันที่ผ่านมา +1

      Asante Kwa kumwambia ..... maana ana changamoto nyingi.....afya ya mwili,akili, Roho pia chafu

    • @MikeNdambuki
      @MikeNdambuki 3 วันที่ผ่านมา

      We mwenyewe wajua nn kuhusu mziki?anaongea ukweli 100%.usiwe ukawa wale usifia wengine ukajisahau mwenyewe

    • @MikeNdambuki
      @MikeNdambuki 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@BarbaraPatience-qt9cckumbe kusema ukweli pia Ni tatizo pia mshazoea kudanganywa tu.pozzeee huku ndio kusema.huwezikuwa mgeni kwangu Kisha uje na kiburi Na ujeuri Kisa Kwako we mkubwa kwangu coz kwangu mi ndo kusema it's simple ukienda Kwa mwenzio usipeleke masharti yako huko

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@MikeNdambukinadhani hayo ni mashariti ya wanganga mm huwa sim amini diamond kabisa .coz inakuwaje msanii mkubwa anataka kutangulia mdogo na yy alikua afunge show 😂😂

    • @shabankolia8204
      @shabankolia8204 วันที่ผ่านมา

      Dudu mbaya mtu wa mine daa siamini ni wewe❤

  • @FarahaAbonga
    @FarahaAbonga 2 วันที่ผ่านมา

    Na iyo East Africa Diamond anateka inchi5 tu.
    Tanzania,Kenya,Burundi,Rwanda,Uganda

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 วันที่ผ่านมา

      😳😳😂😂😂MlevMwingune Huyo😂😂

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 วันที่ผ่านมา

    Mnaomhoji dudubaya nanyi kumbe vichaa

  • @nestor384
    @nestor384 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu sometimes huwa chizi..

  • @mzingtingofficial7401
    @mzingtingofficial7401 3 วันที่ผ่านมา +1

    Anatuletea ustar sisi wakenya😂😂kwetu mpaka hewa tunapumua ni yakistar

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 วันที่ผ่านมา

      Hewa Ya Kibera Au?😂😂😂

  • @raymondmhozya8894
    @raymondmhozya8894 วันที่ผ่านมา

    Pozee atulie kabisa bongo tuko mbali ki mziki kwa sasa

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dudu Baya anawazimu

  • @Kaida_Cut254
    @Kaida_Cut254 3 วันที่ผ่านมา

    Ila huyu mzee ana fikiria sana . Yulko vizuri sana

  • @WhoStoleMyYoungMe
    @WhoStoleMyYoungMe 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa nini Willy Paul haezi pelekwa mbea? Nyinyi Watanzani mtajua hamjui. Madharau mbaki nayo kwenu.

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 วันที่ผ่านมา

      Kagongwe Huko..

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 วันที่ผ่านมา +1

    Dudu baya❤❤

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani huyu jamaa anaongea pumba mlevi pointless

  • @goldenbluez
    @goldenbluez 3 วันที่ผ่านมา

    Uyo msenge alikua msanii...ju ua simuelewi ju adi sauti nayo haipo😂😂😂..vitu yeye usema ni bure to

  • @AbdikadirWuapi-qq7eh
    @AbdikadirWuapi-qq7eh 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona ana ongea ukweli 😅😅

  • @bahatiandre6222
    @bahatiandre6222 2 วันที่ผ่านมา

    konkinjirikua nakuamini lakini kwahiri apana diamond simpendi lakini willy poul.kwa diamond hapana aise

  • @mathiasmanonga3939
    @mathiasmanonga3939 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu chizi na bangi nyingi

  • @Solohseleh
    @Solohseleh 3 วันที่ผ่านมา

    mbona kusepa na kijiji😊😂😂😂

  • @godfreymusungu
    @godfreymusungu 3 วันที่ผ่านมา

    Yes waambie hao, wakenya tukikataa tumekataa

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 วันที่ผ่านมา

      Mbona Hamjamtoa Rais Wenu?Na Dawa Yenu Ni Makof Tu😂😂😂

  • @tituskimeu2933
    @tituskimeu2933 3 วันที่ผ่านมา

    Ongera muongeaji

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 3 วันที่ผ่านมา

    Tanzania kariokoo building yawaangukia kwa nini mkiangaika kama sisi,msidhani mko mbele nyinyi maskini kabiiisa...hio kariakoo iwaangukie usiku wa manane mkufe watazania wote.mwezi mzima Dunia mzima iomboleze vifo vya watazania wote...

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 2 วันที่ผ่านมา

    will paul angelaumu maorganiza but diamond angefunika show angewachiwa apande stage wiil paul alijua hatoskilizwa ww unaesema wamjua will paul msani mkubwa keny awajua nyimbo ngapi zake na diamond wajua ngapi kuwa mkweli bora useme kaliph graph ama otile will bado mtoiii

  • @JacksonVuga
    @JacksonVuga 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni kmkenya gani wewe simkenya unaesema dudu baya hajui weee falaa nini

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 3 วันที่ผ่านมา

    Jameni mnatu bore,ssa,u tube imejaa willy na diomnd,nk 🇰🇪but hainihusu

  • @LusekeloSikaponda
    @LusekeloSikaponda 3 วันที่ผ่านมา

    yaan katikab interview zote hii umeongea sw na hamuna kitu bro kwenye ukweli ungea ukweli bifu kando umebolonga bro

  • @AminShaaban
    @AminShaaban 3 วันที่ผ่านมา

    Di anataka kuweuka tayari keshachanganyikiwa

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 3 วันที่ผ่านมา

    Msanii kama nimkubwa hawezi kuliogopa jukwaa nakataa kabisa yule msanii hawezi kuwa mkubwa mbele m=ya Mwambino

  • @SalumMusa-f5l
    @SalumMusa-f5l 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unafeli dudu baya ulifsnya pwa saana zamani enzi za kidali poo na ngoma yako ya nakupennda mpenzi ambayo video queen alikuwa sandra akajialibia kwa ukolofi wko ukapanda jukwaan ukampiga mr nice kwenye show ukatumia mapombe makali meisho yamekuathili main badala now umrudie mungu kutub kwa yote uliyokosea nakupambania afya yako umekuwa mtu wakuponda wenzio sijajua wanakuhoj kama nani maana kama unapoint nyinyi mlishindwa kufikisha mziki wa tanzania hapa ulipo na huyu mond unaemkeshea mitandaon kumu atack haijalish kwa zuri au baya akaupokea mziki wetu kutoka mikononi mwenu akaubeba mabegani mmpaka tukaanza kutoboa kimataifa nakumbuka walikuwa wasanii watatu tu waliokuwa wakipsmbana na mziki wa tanzania alianza ay akafuata vaness mmpaka mond kutoka mziki uliodhalaulika na ata wakenya mpaka kuwa tishio africa nakumbuks kenya walikua on fire noninii ashikiki wahu stali namelss shida jua kali moto cm b prezo alifanya ngoma na ay watanzania wote tukaisi kama kafanya sijui na mmarekani gani but mond akasema hapana after kiba kufanya korabo iliyousisha africa masharik ata kina amani wamo yy skamvuta niyo wakati uo kashafanya ngoma na p square apo mziki wake ukakuwa watu wakaanza kuamka video kali mziki mzuri ilimrad mond asiwache mbali ghafra mziki wetu ukakuwa zikafanywa korabo kubwa kwa wasanii wakat kam rayvan na maruma mbosso costatich huyu ndo mond tanzania likwa dude kuubwa afrika drugba akamuimba vikta osmen akacheza nyimbo zake ata chris brown akaanza kumtazama kwa mbali ww ulfanya nn tanzania tukukumbuke

  • @silverdenny1468
    @silverdenny1468 3 วันที่ผ่านมา +1

    Oy nyie mabwege kama mmekosa za kufanya nendeni basi kwa P ddy
    Mkapgwe bomba
    Dudu baya Fanya kazi Acha majungu makuma nyie
    Mnasema ya wenzenu
    Yenu yanawashinda
    Mi dudu baya nilishaga kutana nae uso kwa uso bar anakunywa pombe akiomba dj apge ngoma zake kapuku huyo

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 3 วันที่ผ่านมา

    Dudu mim shabiki wako mkubwa lakin unapo elekea itakuwa unataka kuweuka yule mbwa ndio unafananisha na mtu anaye taka kuwa sawa na Mo pamoja na Bakhelesa🤔🤔

  • @giztony2009
    @giztony2009 3 วันที่ผ่านมา

    Kuma la mama lakoooo

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 วันที่ผ่านมา

    Watanzania njaa haipo, huko kwenu mkate umepanda bei sasa mnataka kuandamana?

    • @lonahnyamwala
      @lonahnyamwala 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe kaa hapo wakati serikali yenu imepitisha katiba ileile wakenya waliikata na ongoje Adani awalalie kwa miaka30

  • @michaelchalya
    @michaelchalya 3 วันที่ผ่านมา

    Akina Dudu baya tunawategemea wawe wakweli lakini unaona anaongea kama kumdharau lukuga lakini tunachokiangalia ni ile heshima aliyokuwa amepewa Simba ni kubwa kuliko huyo na ilibidi aheshimu nafasi ya mwenzake,sasa ukisema ni mkubwa kuliko diamond kwa namba ipi aliyonayo!?,

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 3 วันที่ผ่านมา

    Gongo zinakuchanya ww

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 3 วันที่ผ่านมา

    Acha chuki wewe Kuma dudu unachuki wewe Kuma unachuki

  • @GadafSalum
    @GadafSalum 3 วันที่ผ่านมา

    We humupemdi tu inabifu lako fala wewe

  • @pyraxme
    @pyraxme 3 วันที่ผ่านมา

    Wacha ujinga mzee wewe yako yamekwisha

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 วันที่ผ่านมา

    Acha kuabudu wakenya wewe mlevi.

  • @lukewandera5720
    @lukewandera5720 2 วันที่ผ่านมา

    Uongo

  • @EmmanuelSwedi-n2r
    @EmmanuelSwedi-n2r 3 วันที่ผ่านมา

    Muda mwingine wewe unakua kama chizi flani ivi Yani unapenda kukulupuka sana kusema mapema mno weka akiba ya maneno Yako

  • @dablinkluckyjm7181
    @dablinkluckyjm7181 3 วันที่ผ่านมา

    We love willy paul🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 3 วันที่ผ่านมา

    ALL COUNTRIES,INTERNATIONALLY SHOULD BAN DIAMOND PLATINUM FROM TANZANIA FROM FIGHTING UPCOMING ARTIST FROM KENYA IN HIS OWN COUNTRY. HE HIRED GOONS TO FIGHT KENYAN ARTISTS

  • @daniefashion_zm
    @daniefashion_zm 3 วันที่ผ่านมา

    Dudu baya ni kichaa ajibambui😂

  • @VailethMwaikambo
    @VailethMwaikambo 3 วันที่ผ่านมา

    Cholo wewe

  • @alishabani2946
    @alishabani2946 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi nimkenya huku kenya willy paul hatumkubali wewe dudu baya una chuki zako binafsi

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 3 วันที่ผ่านมา

      Huyu dudu Baya ni dudu baya tuu!!!! Sisi wakenya hata hatumjui huyo willy poze.

    • @silent_tycoon.
      @silent_tycoon. 3 วันที่ผ่านมา +1

      acheni ujinga handwriting ya wakenya tunaijua😂😂😂hii tabia ya kujifanya wakenya muache

    • @Princegeorge952
      @Princegeorge952 3 วันที่ผ่านมา

      Mkundu wa wako

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 3 วันที่ผ่านมา

    Willy Paul Pozze ni mukalisana huwezi kumdharau ingawa diamond anajina kubwa lakini kimuziki Bado Pozze is very good ndio maana diamond akaogopa kungoja masaa yake akalazimisha aende mbele ya Pozze 😂

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 2 วันที่ผ่านมา

      Kwani hiyo show haikuwa na ratiba? (time table)