BLINKEN:TULIIPATIA SILAHA HATARI UKRAINE KWA SIRI KABLA YA VITA DHIDI YA URUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 17 วันที่ผ่านมา +2

    Watasema yote sisi tim urusi tunawangojea mpaka wajisalimishe urus nikama maji usipoaoga utayakunywa❤❤viva purin

  • @MussaMuhandeni
    @MussaMuhandeni 17 วันที่ผ่านมา +3

    Urusi wanawajua vizuri sana WAMAGHARIBI ,,,Nadhani SILAHA zote hizo zimeteketezwa af Mbona yupo hoi kiasi hiki wakati kapewa Kila kitu hadi wataalamu kapewa !!!

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 17 วันที่ผ่านมา +2

    blinken ni mrembo sana ameolewa au bado

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 17 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa zimewasaidia vipi kushinda hiyo vita.

  • @eriasondieki
    @eriasondieki 17 วันที่ผ่านมา +3

    Nikupiteza wakati wao bure wamelete nyinyi na hazikufua davu

  • @victorvancharlz
    @victorvancharlz 17 วันที่ผ่านมา +4

    Wanaanza kusemana saaa

  • @SelemaniMsuya-q8n
    @SelemaniMsuya-q8n 17 วันที่ผ่านมา +4

    Ziko makumbusho Urusi hzo silaha zenu

  • @MussaMuhandeni
    @MussaMuhandeni 17 วันที่ผ่านมา +2

    Zaidi Atacams Hawana kingine

  • @RehaniKharidi-st4oe
    @RehaniKharidi-st4oe 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kumbe urusi yupo sahihi sana kuitandika

    • @kafwimbimilambo8556
      @kafwimbimilambo8556 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa Eko sahihi

    • @amosigese5788
      @amosigese5788 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@kafwimbimilambo8556Sana tu na Putin alitambua hilo mapema.

    • @amosigese5788
      @amosigese5788 15 วันที่ผ่านมา

      Sana tu, na Putin alitambua hilo mapema.

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 17 วันที่ผ่านมา +5

    Huo ndio unafiki wenyewe magharibi yalimchokoza PUTIN alafu yanawafosi viongozi wote duniani wamlaani PUTIN hati ni mchokozi sasa leo yanaumbuka yanaanza kusema ukweli pumbavu kabisa. RUSSIA ndio nguvu kuu ya haki duniani

    • @SelemanIsmail-c3z
      @SelemanIsmail-c3z 15 วันที่ผ่านมา

      Hawa wahuni wanatakiwa wakamatwe na wapelekwe ICC kwa kusababisha maafa Ukraine na mateso Ulaya yote kwa kukosa gesi ya Urusi! Huyu mrembo aliyeolewa na yule Babu anatoboa siri waliyopanga na mume wake! Hawa ni wachokozi! Wanajeshi wengi wa Ukraine wamekufa na raia pia. Ukraine imebakia magofu! Trumpa akiapishwa tu anatakiwa awakamate hawa na kuwapeleka ICC!

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 17 วันที่ผ่านมา +2

    Muongo Huyo mbona Hyo Ukraine imekuwa Gaza

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 17 วันที่ผ่านมา +1

    Blinken wewe nishoga kwaiyo auna mazara.... mkund wako upo wazi kama unazomea

  • @DodiKabasele-d8v
    @DodiKabasele-d8v 17 วันที่ผ่านมา +1

    Silaha za urussi nitafauti zinanguvu ya kushinda wamagaribi na marekani hawata weza nguvu zaurussi

  • @emmanuelsegeche7197
    @emmanuelsegeche7197 16 วันที่ผ่านมา

    Huongo huo,hizo silaha hatari zimeletwa mwishoni mwa mwezi December,Kisha Ukraine ikaanzisha mashambulizi Urusi😢😢😢
    Mwisho wa siku silaha zake hatari za USA hazikufua dafu mbele ya Urusi😂😂😂

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 17 วันที่ผ่านมา +1

    Utawala unabadilika, mtajisema tu Siri zote out