EU WAJUTIA VIKWAZO VYAO KWA URUSI|WAJIPANGA KUZUNGUMZA NA PUTIN WAPATE GESI YA BEI NAFUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @ramadhanmkandas5733
    @ramadhanmkandas5733 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Aaaah kumbe na nyinyi munaendeshwa na marekani kama Africa,

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂😂 jamen mbona ata miezi miwili bado wanalia wenyewe😂😂😂

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunakupata vizuri sana ndugu adam Hussein kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu maoni yangu nikwamba hayo mashirika ya nato wenyewe walimwaacha marekani awashinikize kumweekea mrusi vikwazo vya kutonunua bidhaa ya nchi hiyo wakati wao wakijua kuwa hawatapata huduma yenye bei nafuu kama ya nchi hiyo na marekani wao wana ges ya kutosha kwa nchi yake hiyo ndio inauowayafuna

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    UNAWEZA UKAWA MSOMI LAKINI HAUKUELIMIKA..... NDIO MAGHARIBI

  • @SaidSalehe-z3p
    @SaidSalehe-z3p 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Dunia sio mahala salama kila jambo uwe unafakari kwanza

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Jibu mnalo wenyewe. Mmeitawala dunia kwa miaka zaidi ya 300. Sasa vilio na damu za watu zinawarudia na msipokaa vizuri na Moscow dunia ya sasa akili za watu zimeamka. No more prosperous Europe. Russia holds them down till dawn

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Eu inaongozwa na wasenge
    Wamejiwekea wenyw vkwazo

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mkome kwa tamaa zenu zakutaka kumtawala mbabe anaewalea kwa vingi mnavyovihitaji.

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KASONGO MBONA YEYEEEE 😂😂

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wazungu ni wanafiki hapo wameona Amerika anawabwaga wanageuka urusi

    • @salumomar5234
      @salumomar5234 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli

  • @bossej1212
    @bossej1212 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naona wanajuta baada ya kutotumia akili

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    ulaya acheni kufuata kivuli cha shetani amerika kisiwatishe kivuli

  • @DanKanyange
    @DanKanyange 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mlidhani mnakomoa Urusi kumbe mnajikomoa😅 ndo mkome..!!

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umoja wa ulaya wameanza kulia kwa vikwazo walivyoweka wao wenyewe. Waviondoe sasa kama vinawaumiza.

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Putin kazia hapo hapo mpka wanye mvi blue mbwa hao!!!

  • @Josephmatiko-y9b
    @Josephmatiko-y9b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Walijifanya kumbe hamna lolote pumbavu kaibsa

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂wazungu ni wehu kweli kweli

  • @allyatom2076
    @allyatom2076 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    yani hawa nawaonaga mafala sna yani wana msikiliza mmarekani bara tofauti, waulaya mwenzao wanamuona hafai 😂😂😂😂😂

  • @HABIBUJUMAALI
    @HABIBUJUMAALI 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hawa lkn vp wazima wa akili!! hivi kwelii ndo hawakujua kwamba bosi hanuniwi. halafu kila vikao vyao vikikaa havimalizi kama havijamtaja mfalme putin.

    • @Awatee
      @Awatee 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Tangu lini walio mpinga Mwenyezi Mungu wakawa na utimamu wa Afya ya akili 💃

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@Awatee
      👍👍👍🙏

  • @DodiKabasele-d8v
    @DodiKabasele-d8v 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hauna chako kisha una mudomo hiyo niujinga

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ulaya bila urusi hamna kitu ata akiwanyima chakula mrusi mnakwisha ila shida marekani aliwachonganisha na mrusi nakawaajenga ndani uoga dhidi ya urusi hamna lakufanya nausalama wenu mikononi mwamarekani

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ulaya ni bara linalo ishu kwakutegemea
      Urusi
      Afrika
      Asia
      Na marekani pia ila inategemea na nini watachukuwa kwako

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukraine ndiyo iliyowakatia gesi kutoka urusi.Hata hivyo EU imepoteza uwezo WA kujiongoza wanarimotiwa na USA

  • @maulidisaidimuhani6859
    @maulidisaidimuhani6859 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Walee😂 wapenzi wa Ulaya na Marekani Karibuni, turned koment zenu hapa, midomo fyuuuuuu

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Putin is more fire

  • @silvesterkachewa864
    @silvesterkachewa864 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akili mbobu kabisa. Sasa kwanini msiviondoe vikwazo mlivyoviweka wenyewe? Au mlivijengea na nzege ya kudumu isiyoweza kubomolewa? Pumbafuu kabisa

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mchimba kisima ........
    Tuliwaonya Magharib 2019 ndio mwisho kwao.
    Jeuri na hasira ya Mkizi (NATO ) kaingia mwenyewe chomboni.
    Wanapiga magoti >" Russian "
    Ufalme wa Mungu usimame.
    Amin.