Wewe binti uko vizuri sana unaona mbali sana unaeleweka vijana hawaelewi maisha huku mtaani. Mungu akutangulie kachape kazi tafuta hela. You are so positive
Hongera sana bint jasiri mjasiriamali nakutabiria utapata mafanikio makubwa sana usijihusishe na mahusiano ya kimapenzi yatakurudisha nyuma we pambana tafuta maendeleo yako kwanza
Nimekufurahia saana Mwanangu,Mungu AKUBARIKI SAANA, snr Pst Christine Mbelwa. Fika Valley of life church kigamboni- kibugumo mzambarauni stendi. (Tuongee jambo)
Hongera sana dada Kuna watu wana miaka 10 uraiani na hakuna ajira na Wala hawatarajii kuajiriwa leo Wala kesho pambana we ni tajiri wa kesho fantastic gorgeous
Wa mwache mwenyewe . Sasa wangesikia degree za Ulaya si ndo wangeshangaa kabisa? Maana mtu anakwambia Nina degree 2 hizo degree zake sasa anakwambia ana degree ya kumpeleka mbwa for walk na kumwagilia maua. Wamwache bint wa watu.Hongera mwaya
nimekukubali sana umefanya kitu kizur sana ❤hao wanaokusema ni machizi hawajui hapa dada kanza ushatengeneza brand yako.ingawaje wanakuona kama chizi lakin kunakitu kikubwa kinakuja kwako kwa uwezo wa MUNGU unaenda fanikiwa sana tu
Mashallahh kwanza anajua nini cha kuongea public ,hakurupuki kwa anachokijibu, and anathamin kile alichonacho.Mungu akubariki sana dear.utafika mbali kwa uwezo wa Mwenyez Mungu.
@@faridaothmanUNAFANYA VIZURI SANA FARIDA,HAYA MAARIFA UNAYOTOA NI MUHIMU SANA SANA TUNATAMANI KUWA NA WATAALAMU KATIKA KILA PRACTICE INAYOHUSU AFYA YA BINADAMU,AU MWILI WA MTU WATU WANASAHAU MADHARA WALIYOPATA WATU KUPITIA HUDUMA ZA SALON, HIKI UNACHOFANYA KITATUTOA HUKO,NA ITAISAIDIA SERIKALI KULISIMAMIA HILI KWA UBORA WAKE! HII KOZI NI PACKAGE KUBWA TUTANGENEZWA NYWELE TUTAFANYIWA MAKE UP TUTASHAURIWA TUTATIBIWA TUTAELEKEZWA KUVAA HIVYO CONGRATULATIONS SWEETHEART!❤
Hongera sana !tunatakiwa tutambuwe kutumia muda vizuri /wakati.muda wa kucheka Cheka sana na muda wa huzuni huzunika sana .Huyo dada anajitambua sana na atafika mbali sana kimaisha. Wanao mponda waponde kwa maana...ujinga hauna kabila
Achana nao mwaya watu wanajua kolopoka tu hajui hata mtu katokea wapi kakutana na nn kwwnye Elemu yake nikuonhea tu songa mbele angalia kile kinachokuoa furaha mwaya wew
Binaadam kazaliwa anasema hvyo ww Fanya yako kikubwa huvunji Sheria binafs mm ndio Leo nimeona nanimependa kucheza unaweza na mzk ndio furahayako kwann ucfurah fulahya maisha mwaya wee ww umesheherekea fani isioisha milele wao wanaodaka UWE cjui muasib au mwanasheria hayo waachie wenyewe kikubwa ww pambana unachokipenda Kwan ndio kitu utakifanyavzr bila kuchoka wala kulazimishwa binafs mm nakupenda❤❤❤ nidandaoni hko hawakosi hakusema.
Waje ujerumani waone kusomea ususi mshahara wake ukiajiriwa unalipwa kiasi gani kwa saa ndio watajuwa hawajuwi. One of the highest pay jobs in Germany ni ususi
Masters which....wewe unajua masters unasema .....ni kweli ana akili ni bint anajielewa sana na nimempenda....ila usifananishe masters na mambo ya kawaida....shule ile sio rahisi
Uko vizuri mwanangu nakuombea ufike mbali saaana Tena sana achana na hao washamba wa maisha kwa sasa fani ndo Kila kitu mwaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
From kenya, anyone deserves to be happy regarding their achievements or milestone in life. Congratulations to her. May she keep soaring higher
God bless you binti yangu. Mtangulize MUNGU ktk kazi zako, you will reach the peak of success.
Wewe binti uko vizuri sana unaona mbali sana unaeleweka vijana hawaelewi maisha huku mtaani. Mungu akutangulie kachape kazi tafuta hela. You are so positive
kama huna "D"nne huwez kumuelewa she's so smart nakapenda jaman🥰
Huyu si msomi kabsa asa wanataka asome nin wakati kichwa yake ipo vizuri kuliko wao, mtu wa mana kabsa ❤❤❤
Nampenda Sana, kwa kujivunia alicho kifanya, I love U so much and I appreciate, in addition you r more beautiful!❤
Hongera sana bint jasiri mjasiriamali nakutabiria utapata mafanikio makubwa sana usijihusishe na mahusiano ya kimapenzi yatakurudisha nyuma we pambana tafuta maendeleo yako kwanza
Genius jinniiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉tuwakilisheeeeeeee graduate wenye vibe mjini
Congrats since you work hard for it then you deserve it
Nimemkubali sana huyu binti, anajitambua na ana hekima, Mungu azidi kumuongoza, ❤❤
Maleficent bora hayo kk
Huyu ni tajiri tayali kutokana na mind set yake🔥🔥
Nampenda san huyu dada,anajielewa san
Naomba uhamie kenya 🇰🇪 dadangu utafanikiwa zaidi achana nao wa hapo washamba 😊
Dah huyu mtoto ni jembe hatari. Uzuri wake umeendana na akili yake timamu kabisa, Warembo wengi hua hawawezi kujielezea vizuri kama hivo. Big up sana!
Nimekufurahia saana Mwanangu,Mungu AKUBARIKI SAANA, snr Pst Christine Mbelwa.
Fika Valley of life church kigamboni- kibugumo mzambarauni stendi.
(Tuongee jambo)
Huyu Dada kashatoboa.. Na nadhan alifanya hivi makusudi.. ANA AKILI SANA
Mashallah congratulations sister ❤❤❤love you from Rwanda
Mungu akutangulie mdogo wangu kipenz nice job
Hongera. Nakuona km kwny bongo muvi hiviii! Ila nimekupenda bure
Sema nikazur pia kanajua kuengea na Media 🎉🎉🎉🎉
Hongera sana dada Kuna watu wana miaka 10 uraiani na hakuna ajira na Wala hawatarajii kuajiriwa leo Wala kesho pambana we ni tajiri wa kesho fantastic gorgeous
Nimefurahishwa sana na confidence Yako pamoja na hekima ya kujibu maswali unayoulizwa na mwandishi, hongera sn Binti
Nimekupenda ❤mom pambana tuu hayo mengine ni madhaifu ya wanadamu achana nao ofc unayo mkononi
Nimekusikiliza kwa umakini sister ang nakubali mwambaaaa mpambanaji hunabaya ur very smart nimekupenda bureeee
Unaongea fact dada,mungu akujalie kheri katika safari ya maisha yakoooo
Huyuu dadaa ni genius, brilliant ni mrembo,na ni wife material piaa❤❤❤utafika mbaliii dadaaa
Unamind set nzuri sana usijekosea ukapenda maana watakutongoz sanaa
Wa mwache mwenyewe . Sasa wangesikia degree za Ulaya si ndo wangeshangaa kabisa? Maana mtu anakwambia Nina degree 2 hizo degree zake sasa anakwambia ana degree ya kumpeleka mbwa for walk na kumwagilia maua. Wamwache bint wa watu.Hongera mwaya
nimekukubali sana umefanya kitu kizur sana ❤hao wanaokusema ni machizi hawajui hapa dada kanza ushatengeneza brand yako.ingawaje wanakuona kama chizi lakin kunakitu kikubwa kinakuja kwako kwa uwezo wa MUNGU unaenda fanikiwa sana tu
Kwanza unaakili sana, maana unajibu vzur sana ,Mungu abariki haja ya moyo wako🎉🎉❤
Umetisha binafsi uko vzur mrembo
Huyo aliyecoment vibaya Ana maisha ya hovyo mtaani mie namfahamu vizuri,we mdada unajielewa sana
Mpende na mungu wako weka bidiii kwenye kazi yko achana na mambo ya kidunia utafika mbali sana 🎉
❤❤❤❤❤
Wewe vipi umeachana na mambo ya kidunia?au ndio ushauri tu kwa wenzio wakati wewe mwenyewe hoyo
@@edwardmaguluko6541 Mmh umepaniki
Tushaaza kupsngiyana tena
I love her positive energy
nimekupenda dada angu🥰🥰
Very smart and intelligent 👌
Nchi za ulaya wanaheshimu sana kazi za mikono na ndio zinawaletea maendeleo makubwa sana big up kwako dada
Upo vizuri mashallah na Ana akili nyingi
Mashallahh kwanza anajua nini cha kuongea public ,hakurupuki kwa anachokijibu, and anathamin kile alichonacho.Mungu akubariki sana dear.utafika mbali kwa uwezo wa Mwenyez Mungu.
Hakika mungu amujalie
Wife material uzuri mpaka akili anayo
Wakina Ferister wote wanaakili bn
You are like my Mother 😄
Nimependa majibu yako ❤
🎉🎉
Wajina 😂😂😂 uko wapi
Ndiooooo❤
Wajina😊
Hongera mwaya hata huku nje waweza PATA kazi ya ujuzi wako❤
Tena nje ni mtu wa kweli maana nywele kichwa kimoja ni pesa ya mshahara wa mtu. Dada ni mtu mhimu sana
Tena kwa pesa nzuri mno ajabuuuu
@@theonestinamutole8549hawajui hao, sisi tuliopo huku ndo tunaelewa
Farida beauty academy imetutoa sanaa tumetimiza ndoto zetu ......tunatembea na ajira mikonon mwetuu
Sante sanaa
@faridaothman yes madam nimemaliza just two month ago naona mwanga sana mbele madam tutazidi kukutangaza vizurii
@@faridaothmanUNAFANYA VIZURI SANA FARIDA,HAYA MAARIFA UNAYOTOA NI MUHIMU SANA SANA
TUNATAMANI KUWA NA WATAALAMU KATIKA KILA PRACTICE INAYOHUSU AFYA YA BINADAMU,AU MWILI WA MTU
WATU WANASAHAU MADHARA WALIYOPATA WATU KUPITIA HUDUMA ZA SALON,
HIKI UNACHOFANYA KITATUTOA HUKO,NA ITAISAIDIA SERIKALI KULISIMAMIA HILI KWA UBORA WAKE!
HII KOZI NI PACKAGE KUBWA
TUTANGENEZWA NYWELE
TUTAFANYIWA MAKE UP
TUTASHAURIWA
TUTATIBIWA
TUTAELEKEZWA KUVAA HIVYO
CONGRATULATIONS SWEETHEART!❤
Vp ada ni sh.ngapi na maelekezo yapoje please nambie kuna na hostel za kukaa pale?
Ipo wapi namm nikasomee
Hongela sana dada achana na walimwengu
Uposahihi sana❤
MashaAllah hongera sana mrembo 🎉 InshaaAllah na Mimi nimepata ushawishi kutoka kwako nkiwa tz ntafika huko chuoni kwenu nipate ujuzi wangu ❤️
Hongera
Fact...God looking ❤❤❤twice
Samahani naomba account ya huyu dada au mawasiliano yake I appreciate 🙏 🎉
Huyu binti anajua anachofanya. Atafika mbali sana🎉🎉🎉
Hongera sana we ni fighter ubarikiwe
Ni mabint wachache sana wenye kujielewa kma huyu dada huyu. N wife material warahi❤
Alicheza sana maana alikuwa anajua tayari ajira anayo mkononi na haitaji kuwa na boss
Congratulations my sister ❤❤❤❤ uko vizur sana
Kazi ya mikono yako ni nzuri . Ongera dada umetoka
Umeweza sister ongera sana
siwezi jifunza yote kwa pamoja mambo kwa nyakaji kiswahili safi, hakuna lugha za rejesta hapo... safii.👌
Hongera sana !tunatakiwa tutambuwe kutumia muda vizuri /wakati.muda wa kucheka Cheka sana na muda wa huzuni huzunika sana .Huyo dada anajitambua sana na atafika mbali sana kimaisha. Wanao mponda waponde kwa maana...ujinga hauna kabila
Kumbe nikienda kwa farida nisome vizuri nikiwa nahitimu ntavaa joho😅
Na Mungu atakubariki kwa mema unayoyafanya yawe ni mama tuu na mungu akusaidie
i love you soooooooooooooooo much mamaa. furahia achana na watu wabaya ❤❤❤❤❤❤❤
Safi mrembo nimekupenda kaza mama utafika mbali
Una kipaji kikubwa dada yangu na unakili kubwa mungu akuongoze
pole dada najua ulichoka saaana ila utajitahidi kusuka na kwakuwa umesomea hiyo itakuwa ni kazi itakayokupa kipato chako kwa uwezo wa Mungu
Safi sana Allah akusimamie
Binti uko vizuri sana uko na kitu salute sana
Brilliant sister I love you now do graduate really thanks ur welcome home, home sweetie home.
Uko vizur sana Dada , ndyo maana China wako mbali sana
, kutokana na wako mbele katika ujuzi
, Achana na nao washamba wa maisha
Nimekukubal Sana kipenz❤❤🎉🎉
So mwaaa!!❤🎉
Unajua kujibu vzr
nimempendaje huyu binti anavyojielewa Elimu ya makaratasi na ujuzi vitu viwili tofauti
Umeongea vizuri sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera sana binti ❤❤
Yuko vizuri anaishi maishatu halisi sio cop nimempenda San anavojieleza ni zaid ya msomi kwakua ameweza kutoa alichonacho ndani. Anakipaji
Mway hongla kipenz walio kutukan acha nao nimekupend bule kipenziiiii
Congratulation my ccta keep it up, i like your confidence
Kitaaluma umehaibisha Joho...vazi la kisomi. Lkn kama msanii umecheza ukiwa umevaa Joho.
DADA YANGU Pambana Juhudi Zako Ndio Mafanikio Yako Wacha Waseme Usiku Watalala
Hongera na hongera tena
Uko vizuri
Hongera binti focus kwenye unachoamini never give up.
Hongera mwaya Binti wangu.injoy your day❤❤❤❤❤❤
Sona bidi kusema bigup xn your a hello
Hakika dance unaweza🎉🎉🎉🎉hongera naamini utapata wa kukushika mkono ili ufanikishe
Hongera sana yaani uko saw naamini hiyo kazi yako itakupa kipato usija
🎉🎉🎉🎉
Keep going girl❤❤
Umechizika mbaya Yani mbaya.izo ndio zako mamaa Fanya unavyo Fanya mladi maisha Yako yasonge mbele
Mungu azidi kumbariki sana na asikate tamaa❤
Umejuwa mwaya ❤waja hawakosi lakusema 😂 unajuwa unachokifnya❤
Wahoo! Usitingishike kwa lolote fanya yakupendezayo
Utafika mbali sanaaa❤❤❤❤
Nakuombea ufike mbali sana.NAKUPENDA SANA
Achana nao mwaya watu wanajua kolopoka tu hajui hata mtu katokea wapi kakutana na nn kwwnye Elemu yake nikuonhea tu songa mbele angalia kile kinachokuoa furaha mwaya wew
Hongeraaqa❤ dadanguu
Enjoi ua day haujafka apo kwa bahatt mbaya kkubwa t haujakashifu dini wala nchi
Binaadam kazaliwa anasema hvyo ww Fanya yako kikubwa huvunji Sheria binafs mm ndio Leo nimeona nanimependa kucheza unaweza na mzk ndio furahayako kwann ucfurah fulahya maisha mwaya wee ww umesheherekea fani isioisha milele wao wanaodaka UWE cjui muasib au mwanasheria hayo waachie wenyewe kikubwa ww pambana unachokipenda Kwan ndio kitu utakifanyavzr bila kuchoka wala kulazimishwa binafs mm nakupenda❤❤❤ nidandaoni hko hawakosi hakusema.
Waje ujerumani waone kusomea ususi mshahara wake ukiajiriwa unalipwa kiasi gani kwa saa ndio watajuwa hawajuwi. One of the highest pay jobs in Germany ni ususi
We acha wakae na karatasi ndani watasubiri sana
Hongera bint pambana utatoboa
Yaan huyu ana akili kuliko watu wa masters 😂😂😂
Yes elimu za kwenye makaratasi kwa sasa ni mbwembwe ujuzi na utaalamu ndiyo kila kitu
Masters which....wewe unajua masters unasema .....ni kweli ana akili ni bint anajielewa sana na nimempenda....ila usifananishe masters na mambo ya kawaida....shule ile sio rahisi