Amen! Amen! Macho yangu yamedunguka! Nalijua kuna Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kuwa ni watatu kila mmoja na kazi yake, Bali sasa nafahamu kuwa yeye ni mmoja. My eyes have been opened and now understand wholly. Oh my Father and my GOD, your wisdom is ndeed far from finding out. Be blessed MOG.
Asante mtumisho kwa somo hili. Kweli watu wengi huwa wanapata mashaka na kufundisha Ubuntu wa Yesu. Napa ndipo palipo na siri kubwa ya Imani yetu. Ubarikiwe sana
Yesu ni Mungu, kwa sababu jina Yesu ni jina lililotoholewa kutoka kwenye jina Yehova, lakini pia Yesu ndiye muumbaji wa vyote na katika yeye vyote vikawapo, Yohana 1:1 lakini pia ukisoma wakolosai 1:15-17 Lakini pia ukisoma mithali 8:22-31 Lakini pia ukisoma Yohana 8:58 Kwa hiyo muumbaji mkuu ni Yesu na jina Yesu ni jina la Mungu kwa sababu hata Yesu mwenyewe alisema Baba nimewajulisha jina lako ulilonipa, jina gani? jina la Yesu kwa hiyo Yesu ni Mungu yuleyule aliyevaa mwili ili amwokoe mwanadamu kwa maana ilitakiwa damu takatifu imwagike kwa hiyo Yesu Mwanzo alikuwa ni Roho, kwa hiyo alitakiwa kuvaa mwili wa damu, ukitaka kujua Yesu ni Mungu , hebu soma 1wakorinto 10:1-5 kwa maana hata wana wa israel walivukishwa na Yesu na kulindwa na Yesu na kupatiwa chakula na Yesu na kushindiwa vita na Yesu , hata ibrahim alikutana na Yesu akiwa kama Melkizedeki kuhani mkuu Mwanzo 14:18 kwa. Hiyo Yesu ni Mungu yuleyule: Amen
Alelujah, Amina, BARIKIWA saanaaa mtume meshaki, maana ili somo nimelielewa saaana, na hakuna mtu atanidanganya kuwa Mungu amegawanyika, MUNGU NDIYE MMOJA NA JINA LAKE NDIYE (YESU KRISTO) Bwana ilinde Imani yangu isipunguke juu ya hili kamwe we.
Hivi ni mfalme yupi aliye juu mfalme wa wafalme au nani bwana mwingine zaidi ya bwana wa mabwana.bibilia inasema roho ndiye ashuhudiaye maana roho ndiye kweli ,alafu Yesu anasema mimi ndimi njia ukweli na uzima.kwa hivo huyu Yesu ndiye roho .yesu ni sehemu ya mungu. aliitwa Yesu baada ya kuzaliwa akauvaa mwili.mungu akimvaa mwanadamu anaitwa roho .so roho ni mungu,Yesu ni mungu na hizo ndizo sehemu kuu za mungu
Mungu anautatu kama vile mwanadamu, mwanadamu ana roho nafsi na mwili.Mungu naye ni yeye ,anajigawa sehemu tatu ambazo uwezi zitenganisha.yesu ni mungu na roho ni mungu na mungu ni mungu.roho yako ni wewe ,pia nafsi yako ni roho hivo hivo mungu alivyo.
Ukimuona mu Adventist hiyo ufunuo 4, ana tafsili tofauti Sana, MUNGU azidi kukutumia Mali ya bwana,.... Nikumbuke na maombi, jumbe zako, nizipende tena kunijenga uungu,.... Niko Kenya
MY FRIEND YOU BELIEVE IN THEM, WE BELIEVE IN HIM. WE'RE NOT THE SAME. ISAIAH 45:5 I am the LORD, and there is none else, there is no God beside me: I girded thee, though thou hast not known me: (KEYWORD: ME,) ISAIAH 6:8 Then I heard the voice of the Lord saying, “Whom shall I send? And who will go for us?” And I said, “Here am I. Send me!” (Is he not speaking to his angels?) GENESIS 1:27 27 So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them. KEYWORD: (HIS) NOT THEIR. OH, ISRAEL THE LORD YOUR GOD IS ONE! DEUT 6:4
@@UkweliMinistries I believe in God the Father, Son and Holy Spirit 🙏 but the video/message opened my spiritual eyes 👀 somewhere 🙏. To God be the glory and more grace 🙏
Ungeendelea mbele kdgo, huyo aliyekaa hapo kwnye Kiti cha enzi ni Mungu mwenyewe, lkn ukiendelea mbele utaona mwanakondoo(Yesu Kristo) anasimama katikat ya Kiti cha enzi, naye anaenda kutwaa kitabu kutoka mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya Kiti cha enzi. Hivyo umeelezea tofauti
Mtumishi naomba uandae video ya kufafanua Ufunuo 5... ili tuelewe vizuri zaidi. Maana hii inasema alikuwepo mtu kwenye kiti cha enzi, kisha baadae ikasema Mwanakondoo pia ndiye aliyekaa hapo kufungua kitabu cha mihuri saba.
Amen sana
Amen! Amen! Macho yangu yamedunguka! Nalijua kuna Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kuwa ni watatu kila mmoja na kazi yake, Bali sasa nafahamu kuwa yeye ni mmoja. My eyes have been opened and now understand wholly. Oh my Father and my GOD, your wisdom is ndeed far from finding out. Be blessed MOG.
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki 🙏
Hallelujah! Hallelujah! Hallelujah! Glory to our God,the Lord Jesus Christ
Amina amina Amina👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Amen hallelujah hallelujah amen 🙏 Asate sana kwa Neno la Mungu
Asante xana Kwa mafunzo mazuri mtumishi MUNGU akubariki
Amen.Mungu atukuzwe aliyeumba mbingu na nchi jina lake ni YESU
Amen very truth. YESU KRISTO ni MUNGU mmoja wa pekee na ambaye anaketi katika kiti cha enzi.
Amen Amen sifa kwa bwana
Ameen ameen
Amina
Ubarikiwe sana kaka Mtume Meshak
Asante mtumisho kwa somo hili. Kweli watu wengi huwa wanapata mashaka na kufundisha Ubuntu wa Yesu. Napa ndipo palipo na siri kubwa ya Imani yetu.
Ubarikiwe sana
Amen asanti kwa nano la Bwana barikiwe mtumishi wa Bwana
amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Alleluia alleluia alleluia alleluia
Amen kabisa ubarikiwe sana
Ameni 🤝
Aminaaa na barikiwa nasomo hili
Amina ubarikiwe sana mtume meshack
Asante mtumishi meshack kwa mafundisho
Amen amen kwa mafundisho mtumishi wa mungu, mungu akuzidishie neema ya kutufundisha
Amen Amen
Ee hii napenda sana..
Amen, thank you for keeping us close to His Word in Jesus Christ name
Barikiwa sana mutumish meshak Na Mungu akulinde sana mutumish kwa kutufundisha mafundisho ya mungu
Nashukuru kwa neno
Ameni mtumishi wa Mungu
Amen nimebarikiwa,nashukuru Mungu kupitia kwa mtume Meshak
Yani nakuelewa sana,na umenisaidia sana
Unafungua macho ya wengi sana,Mungu aendelee kutenda kazi ndani yako
Amen Amen... Asante kwa maelewesho .
Amen man of God for this anointed teaching.
Amen Yesu Kristo ni Mungu
Amen amen amen amen amen amen amen amen
Amen ubarikiwe sana
Amen
Hallelujah 🙏🙏
Asante sana kwa neno Ubarikiwe more anointing
Yesu ni Mungu, kwa sababu jina Yesu ni jina lililotoholewa kutoka kwenye jina Yehova, lakini pia Yesu ndiye muumbaji wa vyote na katika yeye vyote vikawapo, Yohana 1:1 lakini pia ukisoma wakolosai 1:15-17
Lakini pia ukisoma mithali 8:22-31
Lakini pia ukisoma Yohana 8:58
Kwa hiyo muumbaji mkuu ni Yesu na jina Yesu ni jina la Mungu kwa sababu hata Yesu mwenyewe alisema Baba nimewajulisha jina lako ulilonipa, jina gani? jina la Yesu kwa hiyo Yesu ni Mungu yuleyule aliyevaa mwili ili amwokoe mwanadamu kwa maana ilitakiwa damu takatifu imwagike kwa hiyo Yesu Mwanzo alikuwa ni Roho, kwa hiyo alitakiwa kuvaa mwili wa damu, ukitaka kujua Yesu ni Mungu , hebu soma 1wakorinto 10:1-5 kwa maana hata wana wa israel walivukishwa na Yesu na kulindwa na Yesu na kupatiwa chakula na Yesu na kushindiwa vita na Yesu , hata ibrahim alikutana na Yesu akiwa kama Melkizedeki kuhani mkuu Mwanzo 14:18 kwa. Hiyo Yesu ni Mungu yuleyule: Amen
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Amen. Asant
Amen iyo jambo limenisumbua sana
somo njema mtumishi
Mungu anaonekana sana na amefurika mno
Mungu nimwema kwangu
Amen Amen naangalia kutoka Tanzania 🙏
Erasto Arusha Tz kweli Yesu ni Mungu
AMEN AMEN
So powerful 🔥🔥🔥
Amena
Be blessed man of most high God.
Ameen
Amen 🙏🙏 barikiwa alafu ukinunuwa biblia unafanya aje ndipo uwaze kuisoma
Amen, amen and amen.
AMEN AMEN AMEN AND AMENA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naelewa naelewa asante YESU
AMEN AMEN AMEN neno hili lina nguvu sana na linaereweka
Alelujah, Amina, BARIKIWA saanaaa mtume meshaki, maana ili somo nimelielewa saaana, na hakuna mtu atanidanganya kuwa Mungu amegawanyika, MUNGU NDIYE MMOJA NA JINA LAKE NDIYE (YESU KRISTO) Bwana ilinde Imani yangu isipunguke juu ya hili kamwe we.
May God bless you as you bless and heals people's hearts.
Mtume mungu akubariki kwa mafundisho mema ameen
Hivi ni mfalme yupi aliye juu mfalme wa wafalme au nani bwana mwingine zaidi ya bwana wa mabwana.bibilia inasema roho ndiye ashuhudiaye maana roho ndiye kweli ,alafu Yesu anasema mimi ndimi njia ukweli na uzima.kwa hivo huyu Yesu ndiye roho .yesu ni sehemu ya mungu. aliitwa Yesu baada ya kuzaliwa akauvaa mwili.mungu akimvaa mwanadamu anaitwa roho .so roho ni mungu,Yesu ni mungu na hizo ndizo sehemu kuu za mungu
Wewe ni nabii wa uongo
Mungu anautatu kama vile mwanadamu, mwanadamu ana roho nafsi na mwili.Mungu naye ni yeye ,anajigawa sehemu tatu ambazo uwezi zitenganisha.yesu ni mungu na roho ni mungu na mungu ni mungu.roho yako ni wewe ,pia nafsi yako ni roho hivo hivo mungu alivyo.
Uongo huu
Amen 🙌🏿🙌🏿 ukweli wa neno takatifu kumbukeni kwamba ni kweli kabisa amen
SIFA KWA BWANA, kweli unavyozidi kumtafuta YESU ndivup utazidi kumjua...
Ukimuona mu Adventist hiyo ufunuo 4, ana tafsili tofauti Sana, MUNGU azidi kukutumia Mali ya bwana,.... Nikumbuke na maombi, jumbe zako, nizipende tena kunijenga uungu,.... Niko Kenya
Binadamu yuko katika hali tatu: Mwili(body), nafsi(soul) na roho(spirit). Whereas both soul and spirit are immaterial, the body is material.
Mtumishi,naomba umuombee ndugumamangu mzazi anaumwa mguu na wakati unapoanza kuuma,huvimba mishipa mpaka unakua mweusi anashindwa kutembea hospitàli wanasema ni athrytis anaitwa Agnes kataka natoka Kenya asante
Mtumishi aliyetabiliwa kwenye Isaya siyo Yesu Bali alitabiliwa Eliakimu hapa panahitaji kuchunguza
In the Bk of Genesis..."Let us create a man" ... keyword US
MY FRIEND YOU BELIEVE IN THEM, WE BELIEVE IN HIM. WE'RE NOT THE SAME.
ISAIAH 45:5
I am the LORD, and there is none else, there is no God beside me: I girded thee, though thou hast not known me:
(KEYWORD: ME,)
ISAIAH 6:8
Then I heard the voice of the Lord saying, “Whom shall I send? And who will go for us?” And I said, “Here am I. Send me!”
(Is he not speaking to his angels?)
GENESIS 1:27
27 So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them.
KEYWORD: (HIS) NOT THEIR.
OH, ISRAEL THE LORD YOUR GOD IS ONE! DEUT 6:4
@@UkweliMinistries I believe in God the Father, Son and Holy Spirit 🙏 but the video/message opened my spiritual eyes 👀 somewhere 🙏. To God be the glory and more grace 🙏
Ungeendelea mbele kdgo, huyo aliyekaa hapo kwnye Kiti cha enzi ni Mungu mwenyewe, lkn ukiendelea mbele utaona mwanakondoo(Yesu Kristo) anasimama katikat ya Kiti cha enzi, naye anaenda kutwaa kitabu kutoka mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya Kiti cha enzi. Hivyo umeelezea tofauti
Unaongea kweli
MUNGU ukulinde na maadui
Mtumishi naomba uandae video ya kufafanua Ufunuo 5... ili tuelewe vizuri zaidi. Maana hii inasema alikuwepo mtu kwenye kiti cha enzi, kisha baadae ikasema Mwanakondoo pia ndiye aliyekaa hapo kufungua kitabu cha mihuri saba.
Nami natamani kujua hilo
Yani sijui niseme nini ?,kwa ajili ya Mungu kufungua macho ya wengi katika kumjua yeye kupitia wewe
Amen 🙏🏾
Amen
Amen amen
Unaongea kweli
Amen 🙏🏾
Amen amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen