MUNGU NIOKOE BY .Fr Joseph Sekija KWAYA YA MT. DON BOSCO -HANDENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @anethswai1495
    @anethswai1495 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni Sana Mungu aendelee kuwabariki❤️

  • @LemburisMollel-n2m
    @LemburisMollel-n2m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana wanakwaya wenzangu kwa udhutu

  • @luagalahc
    @luagalahc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri na ujumbe mzuri.

  • @charlesmgute571
    @charlesmgute571 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni waimbaji kwa wimbo mzuri
    Hongera kwake mtunzi pia fr Sekija

  • @EliaShedrack
    @EliaShedrack 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni sana mungu awainue zaid

  • @mokotyotubulu5870
    @mokotyotubulu5870 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni Kazi nzuri sana Bwana Awabariki wana handeni

  • @AtanasRobert
    @AtanasRobert 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana, Fr. Sekija utunzi mzur baba

  • @SilyaSaguda
    @SilyaSaguda 2 หลายเดือนก่อน +1

    hongeren sana mungu awatie nguvu jmn ❤❤❤

  • @adelardkweka675
    @adelardkweka675 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana wana utume wa Uimbaji HANDENI. Mmeimba vizuri na ujumbe pia ni mzuri. SAUTI ZENU NZURI NA ZIMEBALANSI. MANENO YANASIKIKA VIZURI NA VYOMBO VIMETULIA. SAAAAAFI SANA ZENU

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina .....tubarikiwe soteeee

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina .....tubarikiwe soteeee

  • @nelsonkunambi532
    @nelsonkunambi532 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri hongereni sana

  • @thobias27
    @thobias27 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni sana kwa ujumbe makini ulio tukuka nami nahitaji zote sasa by Katekista Tobias George Ndunguru

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Aminaaaaa... . Bas wasiliana nami 0742477771

    • @DomitilaPatrick
      @DomitilaPatrick 2 หลายเดือนก่อน

      Elfu ishirini tu kakangu

  • @ongeijethone3843
    @ongeijethone3843 หลายเดือนก่อน +1

    I don't know Kiswahili but by God's grace I will know it. I enjoy you so much ❤️ ❤️

  • @MashauriJr
    @MashauriJr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki

  • @Cosexcellence
    @Cosexcellence 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni sana Wana Handeni, kazi nzuri sana hii

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina sanna... tubarikiwe sote

  • @teddymorris9511
    @teddymorris9511 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri hongereni sana❤❤🎉

  • @0713705779
    @0713705779 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana nimejikuta naurudia huu wimbo kila nikipata wasaa.. mtunzi fr wetu ameandka vyema na wana kwaya mmeutendea haki

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina...tubarikiwe soteee

  • @DanielsonKanuya
    @DanielsonKanuya 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hallelujah

  • @PILICHIGILO-fm3yo
    @PILICHIGILO-fm3yo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeren sana kwa utume wa uimbaji ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika kuimba ni kusali mara mbil barikiwa sana wanakwaya nyie ni tunda la kanisa asee 🎉🎉🎉barikiwa mtunzi ndg fr. Joseph

  • @gilbertmsasa9321
    @gilbertmsasa9321 2 หลายเดือนก่อน +3

    Weyangu akagoma nkatana bwawe,siday tukuru.hongea
    Nahenelulu

    • @MashauriJr
      @MashauriJr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nzuri sana sana 🎉 hongereni sana

  • @panirajosingers2686
    @panirajosingers2686 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimejikuta nawakumbuka ghafra huku nilipo hongereni sana kwa kazi nzuri ujumbe murua kabisa kutoka kwa sekija ❤❤

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika kuimba ni kusali mara mbil barikiwa sana wanakwaya nyie ni tunda la kanisa aseew🙏🙏🙏

  • @JulianaShirima
    @JulianaShirima 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni kazi nzuri sana 🙏🙏

  • @germanlushino2149
    @germanlushino2149 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni Saaana Kwa Wimbo Huu Uliotukuka ,Pongezi Kwako Fr Sekija Ujumbe Huu umetufikia huku U.S.A Mungu awabariki Daima

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Tubarikiwe sotee🙏🙏🙏

  • @SilvanoMassawe-w3y
    @SilvanoMassawe-w3y 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kazi nzuri 🎉🎉

  • @JosephSekija-eb1sl
    @JosephSekija-eb1sl 25 วันที่ผ่านมา +1

    Wimbo umegusa wengi

  • @geminassenga9370
    @geminassenga9370 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sanaaa🎉🎉🎉

  • @barakakimario-pn7jc
    @barakakimario-pn7jc 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri kweli kweli 🎉

  • @SilvanoMassawe-w3y
    @SilvanoMassawe-w3y 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kazi nzuri

  • @EdwardHaule-m5p
    @EdwardHaule-m5p 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa utume wa uimbaji

  • @JosephSekija-eb1sl
    @JosephSekija-eb1sl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeimba vizuri sana.

    • @0713705779
      @0713705779 2 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa ulezi wa kwaya yetu na namna unavyoshiriki kutuinjilisha kwa njia hiii. Barikiwa baba paroko

  • @ferdinandikubila3669
    @ferdinandikubila3669 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana na Mungu azidi kubariki Utume wetu

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina...tubarikiwe sote

  • @AntonLespichius
    @AntonLespichius 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow ❤❤❤,, nyimbo nzuri Mungu awabariki sana wapendwa ♥️♥️🎉🎉🎉

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina...tubarikiwe soteee🙏🙏🙏

  • @RosemaryKimwaga-w2x
    @RosemaryKimwaga-w2x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna utulivu na tafakari ya ndani sana ..hongera mtunzi na wanakwaya kwa hili

  • @jiresmayala8229
    @jiresmayala8229 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana kwa kazi nzuri!

  • @JohnsonAsset
    @JohnsonAsset 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri

  • @EmeldaShirima-t8k
    @EmeldaShirima-t8k 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki🙏🙏

  • @juliuslucas593
    @juliuslucas593 2 หลายเดือนก่อน

    HONGERA SANA KWA KWELI ILIKUWA NZURI NA YA KUPENDEZA

  • @JenniferGasper-n3s
    @JenniferGasper-n3s 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni Sana kazi nzuri Mwenyezi Mungu awaongoze🙏🙏

  • @marrymoshay8586
    @marrymoshay8586 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa Cana Mungu azidii kuwainuaa

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina...tubarikiwe sote

  • @PULKERIAIZIDORY
    @PULKERIAIZIDORY 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana hakika Mungu atuokoe yeye tu ndiye mwisho na mwanzo nimefurahi kumuona kijana wangu Longino first born wangu

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fabiansululi7511
    @fabiansululi7511 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aloo 🎉🎉🎉 Mungu Awabariki Wapendwa ❤❤❤

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina sanna mkuu

  • @gracioustumaini5254
    @gracioustumaini5254 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni Kwa kazi nzuri ya uinjilishaji ,Mungu awabariki mfike mbali zaidi👏👏👏

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      @@gracioustumaini5254 Amina sanna...tubarikiwe soteee

  • @asherysilau4771
    @asherysilau4771 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni sana. Waroma mnatunza utamburisho wenu katika uimbaji.. Barikiwa

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina....tubarikiwe sote🙏🙏🙏

  • @beatusidama6233
    @beatusidama6233 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muziki bora sana!

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amen teacher🙏🙏

  • @raphaelmutiso1023
    @raphaelmutiso1023 2 หลายเดือนก่อน

    nice song

  • @UpendoShayo-m3c
    @UpendoShayo-m3c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeren sana nimependa sana hi kwaya

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      Amina na karibu sann....

    • @LinaMatanira-x2v
      @LinaMatanira-x2v 2 หลายเดือนก่อน

      MUNG aliye mkuu waDunia zima awape kibali tena chaku imbazaidi nazaid🙏

  • @InnocentiChami
    @InnocentiChami 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzurii kwel 🎉🎉

  • @boniphacemabala5841
    @boniphacemabala5841 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @EnjoKahwili
    @EnjoKahwili 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SilvanoMassawe-w3y
    @SilvanoMassawe-w3y 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @Zuberirashidi-q3k
    @Zuberirashidi-q3k 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @ongeijethone3843
    @ongeijethone3843 หลายเดือนก่อน +1

    I think it's kearesima's song

  • @Lucascosmas-z7x
    @Lucascosmas-z7x หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa ujumbe mzuri

  • @tempochoir
    @tempochoir 15 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @dirnyaki
    @dirnyaki 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana

    • @KMDBhandeni
      @KMDBhandeni  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏