FIDQ: NIMETOKEA MTAANI/BONGO HAKUNA MSANII ANAYENIZIDI ELIMU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
The greatest TZ hip hop artist and the smartest TZ artist of all times. Respect from🇨🇩
Ni kweli Fid Q ndio rapper wa kwanza akifa alizibi pengo mungu mpe maisha marefu yenye furaha
Kila siku ndotoooni mwanangu ananijiaaa, kila siku ndotoooni mambo mengi ananiambiaaa aaaaah, liesten dadiii.... Fid humu ulinifunua mengi juu ya hip hop na mafikirio juu ya utayari wa kuwa baba bora, kuepusha ugomvi ktj familia, coz wazazi wanapoharibu wanaoteseka ni watoto. So big up FID Q
Fid Q namkubali kabisa Mimi ni mrundi ila nyimbo zake nilikuw nazichana vizuri yaani nazikalili bila shaka
Saf sana
presenter tulia basi mwenye akili ajieleze 😆
😁😁😁😁🤪
Unyama Sana bro nakukbali sana sema Nini big kaa chini na mchiz RADO myamalize mbona mchiz yuko peace tu
😂😂 mchikozi sana ww Rado ndio anafaa aombe radhi ali-catch feelings na issue ya kuelewa tu, majani kafunga gate sa utafanyaje enzi izo
Uyu jamaa anajua sana sana mazeeee nikisiaga nyimbo zake mwili unasisimka anajua
Ebwana hiyo album was Soo💥🔥💥
Fid q msanii mkali sana 👊👊
*Kila Interview ya Fid Q lazima ujifunze kitu natamani awe ana hojiwa kila siku*
Hapo kwenye vitu kupitwa na wakati ni 100% correct. Mitaala yetu (Curricula) inahitaji reconstruction i match na kizaz cha sas
Ngosha the don
Mtangazaji sikunyingine uwe unatulia muache msaanii ajierez syo unalukaluka
Mtangazaji mwenyewe kituko 😅kuanzia nywele ake na jinc alivyo Hana sifa zakuwa presenter 😅😅😅
@@endrewjonathan6039 🤣🤣🤣🤣📌🎧au ndo bland
Long live Fid Q, smart guy
Fire 🔥
Did ni nomaaaaaaaaa
mwanangu 🔥🔥🔥🔥
Presenter kenge 😃
Big show
Sema mtangazaj hutulii km vile umebwanwa na choo vile daah
🤣🤣
Nabii hakubaliki kwenye kijiji chake
Presenter u tok too much,utafikir wee ndo wafanhiwa interview...uliza swali punguza maelezo,jiandae kabla ya interview(basic questions)...sio bobojo nyingi
Fid ni moto
Thinking capacity
Creativity
Arguments
Logics
Reasoning
Etc
The guy is so great to this universe
King hip hop nakubal sana kazizako
hiyo album ni kali zaid ya FOA mala mia amini kwamba
Mwanangu umeongea kisomi sana, sema kizazi hiki wachache tu ndio waelewa
❤❤❤
Shule ya bure from Hip Hop PROF
Sun glasses indoor mtangazaji oyeee
Mtangazaji Unakela Sasa Kazi Kusema2 Ye .Mh .Ok .Ye.Mh.Ok Kwani Ukinyamaza Usubili Unakosa Nini
Niitemwanzamwamza noma sana
Nas escobar alipata hiyo heshma kwenye moja ya chuo kinachofundisha true history ya blacks kule US.
Na alikubarika na professors kabisaa waliofuatilia Muzik wake.
Itafteni TH-cam akishusha mondo mpaka professor analengwa chozi.
Knowledge ya college ni kupotezeana vipaji na intelligence tu
Yeh
Rado mbona analalamika mstari wake umemchukulia
Mstari upi huo kaka 😂😂😂😂
Mtangazaji Punguza kiherehere....
mtangazaji km shoga hutulii
Presenter wenge
Mzee mbuzi
Kati ya ngom ninayo pend kuisikilz sihitaji marafik sio kwamb zingine sin no ninazo lakin inanikun kinom
Goat
Huyo ndo msanii wakwanza taz wa hip hop hakuna wakufanana nae
Bill Nass yy mwanamzik wa Hip Pop gani
Mewani yakidemu
Hiki kijamaa nakfaham Ni kisabengo sana
Usipende kuwasema wenzio Kwa sifa hasi,kama huna mazuri juu yake nyamaza
Hip-hop ni fid Q wengine wafuata.
Wanakuona wewe mbongo
WANACHOPENDA WANAUME WENGI KWA WANAWAKE
th-cam.com/video/GqEN64oGaAQ/w-d-xo.html
Steve Nyerere ndiye kamzusha akili kabisa
Fid Madin og
Non-sense
Kwambaaq
DAWA YA KUMUACHISHA MTU POMBE NA UZINZI..)
m.th-cam.com/video/VSKtv-Xh3Lg/w-d-xo.html
Tafuta a/c yako unatuchosha maana kila a/c unapost mambo yako
Pikooo