Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora na drones kujibu shambulio la ATACMS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @ziddyziddy2524
    @ziddyziddy2524 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kumeanza kuchangamka sasa

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbona umeme unakatika adi bongo😢

  • @zanzibarbikelife9815
    @zanzibarbikelife9815 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Vibomu vidogo umeme unakatika balaa😅

  • @bakarimpame3824
    @bakarimpame3824 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ukraine kila siku wanalalamika wao,

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    siku zote wanyonge wanaishia kwenye ugumu 😢😢😢😢😢

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tulishasema anachokitafuta atakipata kiko wapi😂😂😂😂

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😁😁😁hii mambo inachosha ety.fukuza zeleboy 2

  • @BesterNyalus
    @BesterNyalus 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Zele yeye sianajidai mgumu ngja akipate bola ukate inchi zima

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ipo siku wataanza kusema hakuna maji ss

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Urusi uzuri wake anatoa taarifa 😂,akitoa taarifa leo... jiandae Mvua inadamkia mlangoni... Nimeona Ukraine ikilia iongezewe ulinzi zaidi et magaidi walenga kuteketeza grid kubwa ya umeme na baridi hili huko kwao, ila aliyataka mwenyewe tamaa bila kutafakari

    • @MathaMsumi-l1b
      @MathaMsumi-l1b 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww mtu wa iringa eeh 😂😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @MathaMsumi-l1b kwanin 😊😂

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@AFRICA_D669 saaa nani kamvamia mwenzake

    • @MathaMsumi-l1b
      @MathaMsumi-l1b 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mvua inadamkia

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 47 นาทีที่ผ่านมา

      @@MathaMsumi-l1b hapana nilijikuta napenda kutumia hyo ngeli mi ni muhaya 😊

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Vita ni mipango. Naimani utamaliza. Vita tyu

  • @canisiusibrahim9856
    @canisiusibrahim9856 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Story niliyokua naisubiria kwa hamu😅😅😅

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 25 นาทีที่ผ่านมา

      Dah😂😂😂😂😂

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeee🎉

  • @MwangaBora
    @MwangaBora 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Warus,mnatuaibisha,malizeni,kazi

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

      Wana huruma ya kuzidi kondoo

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

      @@lukafbbwebelof3874
      Putin ni muungwana sana ila kuna ma jenerali nyuma yake wanahasira sana wanaona anawachelewa kunyweya chai ikulu kiev

    • @SAYMOEKARIM
      @SAYMOEKARIM 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      mzee Putin ana ubinadamu mwingi 🥰

    • @JosephBalebanga
      @JosephBalebanga 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Subhanallah binadamu unafurihia matitizo ya mwenzio kumbuka wanao umia ni raiya wasiokua na hatia kama wew

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawajamaaa siwamshirikishe rambo kwenye hii move

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Putin kwa nn mpaka sasa bado hujamaliza kuichukuia ukrein yote piga yote mara moja aichukue upunguze ghalama za vita

    • @Waberoya
      @Waberoya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kiev NI chimbuko la urusi, na kwa urusi, Kiev NI kama mji mtakatifu. Unaona ambavyo Putin kafungwa mikono

    • @ShabaniWabiga
      @ShabaniWabiga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Urusi sio islaher wanaua hovyo na kubomoa mpk majumba ya watu,urus anaheshimu sheria za kivita kulinda uhai wa laia

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila inapigwa vita ya akili mingi 2.watu wanaua uchumi wa nchi zingine ona ujeruman sahv analia kam kuku anae chinjwa

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanasema bado kulipiza kisasi, yaani hizo zingaliki tu kutahazarisha mamlaka kuko kitu kinakuja bado kinasukwa

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tatizo putin anacheka na nyani atavuna mabua 😂

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukraine anafikili Atcam ni viazi

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    God bless russia 🇷🇺 live long putin,

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mikwara tu, ukrain nayo itajibu tu

  • @AdolflazaroKanehenehe
    @AdolflazaroKanehenehe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Skuizi Urusi iliacha kutumia jeshi lake kwenye ground combat...waliona wanamalizwa

    • @Jureyji
      @Jureyji 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Vita ni vita usipangie silaha za kutumia

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @Jureyji ila wakati Israel ilikuwa ikiwatandika Hezbollah maadui WA Israel walikuwa wakitumia kauli hii kujifariji

    • @Jureyji
      @Jureyji 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@omondiowino7875 ungewaambia wao sasa.
      Ww upo na adui halafu umpangie silaha ya kukupigia wakat ukizubaa anakuua wewe.
      Inakuwaje hapo

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@omondiowino7875 kuna nchi inatumia ku attack bila kusogea kama Israel

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@omondiowino7875Israel Lebanon haijachukua hata Kijiji kazi ya hisbollah ni kuuwa kila choko anaetia mguuu wameoliwa kama kuku na wengi ni vilema mpaka wameomba poo

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daima Russia military 🪖🎖️🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Comedian paka sasa nawaxaga jinsi alivyokua rais wa nchi kama ukrein sielewi.paka satano mchana ukrein ilikua nimashambulizi makubwa

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@YamuremyeYarodi hivi ulitarajia Samia awe rais ..?

    • @YamuremyeYarodi
      @YamuremyeYarodi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Siasa bhana.hahahah