Harmo una kipaji Sana Ila naomba ucheze zaidi kidogo kidogo tutafika na pia naomba Sana usijibu vijembe havina maana wewe fanya yako tu ule wimbo wa niteke uko kwenye repeat love it mwenyezi mungu akulinde
Uyu mnyama anajua kucheza Na akili za watu p1 Na watu wake kila mtu aliye fika kwenye kampeni basi kaimba Na jeshi. Jamaa ndo namber MOJA kwa Sasa bongo Na east Africa
@@vincentcharles4385 that is for your eyes, Diamond is for prouding and he doesn't even deserve to be counted as a super star currently,....what he has is taking pimps!!! He is done....poor Diamond
Kuna watu wana vaibu kinoma yaani mpaka msanii unatamani kuendelea wanaimba nae mpaka raha wanajua nyimbo zote shangwe kama lote
KONDE UMETISHA💪
Mwajuma ... hamonaiz yupo juuu diamond ataumia sana
Mh nakupandisha cheo kingine wewe ni komando salute kwako
Umeona ✌✌✌
Saluti
Harmo una kipaji Sana Ila naomba ucheze zaidi kidogo kidogo tutafika na pia naomba Sana usijibu vijembe havina maana wewe fanya yako tu ule wimbo wa niteke uko kwenye repeat love it mwenyezi mungu akulinde
True
@@zou7470 fact
Konde boy akuna mungu azidi kukupa uhai naimani mziki wako utafika mbali zaidi ya apa bless
Umesepa na kijij binamu salute sana
Kama unaheshimu tembo kuniliko piga like apa
👐👐🙏💪💃💃💃
Nkakuambia jesh kua Team ya Wananchi unaona sasa Kila Kona jeshii
Noma sana bro
Jeshi mwenye nyota yake yakupendwa 🐘
Kweli huyu jamaa ni kipenzi cha watu
@@budigabirdman4558 sanaaaa hana shobo
I love jeshi🔥🔥🔥🔥🔥😘
Safi sana kwa saport yenu wasanii huo ndo uzalendo magufuli mitano
Konde boy jeshiiii 🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘💪💪💪
Jeshiii😍😍😍😍
Hiii ndio sapoti inayotakiwa kwa wasanii
Bro umeuwa show tena 🔥🔥🔥inawakera zaidi🤣🤣
Anakera kina nani sasa?? Acha ufala watu wanaenda kupafomu Ureno wew unaleta zakwako??
Amekukera ww cyo wengine watu wanaangalia maisha yao cyo ya mwingine tena
@@officialmrtop1018 umemuweza😂
Wasokupenda wabane Choo
Noma sanaaa
Jeshi kama Jeshi ❤❤❤❤❤🇸🇪🇸🇪🇸🇪
Mungu wang 🙆🙆 kwa style hii watakuchukia mpk bs 😂😂 piga kz mzee baba
Mwe mwe mwe wapinzani mwaka huu wstajinyoka kwa utumbo wa sisimizi 😂😂😂😂😂😂
@@janekikoti2179 😀😀😀😀😀
Wasanii wa kibongo njaa Sana maisha yao magumu lakin leo mpenzi wnapigia kampen CCM Kuna siku moja ambayo haina jina shilingi itageuka tu
@@janekikoti2179 🤣🤣🤣
Ccm number 1💪💪💪💪💪
Jesh kama jesh
Tena na bado sanaaaa jeshiiiii 🐘 🐘
Xafiii xana konde mashabiki zako tunazidi kukuombea
TEMBO MJESHIII THE BEST OF AFRICAN
Uyu mnyama anajua kucheza Na akili za watu p1 Na watu wake kila mtu aliye fika kwenye kampeni basi kaimba Na jeshi. Jamaa ndo namber MOJA kwa Sasa bongo Na east Africa
We jitekenye tu😂 ukisema east africa unaijua au 😂
Unacoment hku unajicheka
Acha upimbi wewe kwaiyo Mondi na Alikiba tuwaweke namba ngapi?
😂😂😂
Ukimtoa Simba na kiba apa Amna takataka inayoumiza vichwa Kama hili jeshi
Mnyama
Jeshi 🔥🔥🔥
Jeshiiiiiii ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Kk nikupe pole japo kuw upo kazin
Maan cjui unapunzik MDA gan
Heshima kwak kk unatugunza vijana tupamban kk bleed up
Hata Mimi nashangaa anapumzika mda gani anapiga kazi
Kondeee dah
Kiboko ya Mondi!!!jeeeeeshiiii!!
Good music
Diamond jiangalie sana kama sio kujikagua, huyu mchizi anakuja kwa Kasi saaaana, sipati picha anguko lako
Mond internation
MOND HANA CHOCHOTE ANADHANI MZIKI NI KUJIPA MISIFA MWENYEW HEE AJUA HAJUI
Tatu Nyasulu,Platinum is on next level don’t even dare to speak those rubish again,have a nice day.
@@vincentcharles4385 that is for your eyes, Diamond is for prouding and he doesn't even deserve to be counted as a super star currently,....what he has is taking pimps!!! He is done....poor Diamond
jeshiiiiiii
Like it konde
Konde Jeshiiii LA woteeee hatareeee bro Mungu akulinde akuhebushe nh balaa a uzidi kukua
Hogera sana sana harmonize kazi zuri sana mashallah
Home sweet home mic sn jmn km ingekua kwengine ungevuliw viatu wange kuvuta mpk ukome lkn kweli tanga raha jmn
Sasa Kama Mbunge ni hivi na Rais inakuwaje, Jamani ni raha Sana
Hiyo ni show sio kampeni wewe unaona kuna kampeni hapo?
Mwanafa angeenda peke ake ndo ungeelew
fiesta kawaida tuu
We boya kwel hyo ni show Tena hapo umeskia kabisa jeshi hhhhaa mwambie mbunge afanye hvo
Always forward konde busic for life 🔥💪 temboo is brave🐘🐘🐘
Jeshi nyota imewaka nyie
Watu wa muheza wana vibe la hatar 🔥
Hongela nakubali sana unaga kaz mbov
Shooo Kali ila siyo kapeni hapo wanamwagalia msanitu
Mjeshi💪💪💪
Wow kumbe Tembo ni mkali hivi kuliko Simba!🥰🥰
I love you jeshiiii nakubali
Jeshi balaa
Kond umekiwash atr mhz solut kwak
TEMBO TEMBO TEMBO TEMBO
Jesh 👑👑👑👑👑👑👑👑
Love u xnaaaaa jesh
Tunasema sisi kazi yetu ni kuwakera😂😂😂😂😂
Sanaa tu
Haswaaaa 😄😄😄😄😄na bado
I love him jomon
Huyu jamaa ameshindikana tu basi awezekani
JESHI JESHI JESHI JESHIIIIII LA WANANCHI
Wasokupenda kazi wanayoooo
Big up konde
Wananuna na wanune kwa sababu hawakujui na hata wapo wanaokupenda lakin hawasemi Konde boy for everybody
Hongera mwana FA allah akusimamie ishaallah
Uwe unatembea na ibrah kwa kampeni afahamike zaidi
Kweli👍👍
True
Kweli kabisaa
Mwana FA hata hajulikan
One love Papa
Salute tembo
Afa baba imepita iyoo
kk tunakukubali sana
amo unajuw sema kuchez bana unatuangush jitaid
Aaaaaah we huna mpizani
Kweli au unadanganya
Jeshi noma.
Nakupenda bure jeshiiii wangu.ila ety asante 🤣🤣🤣
Mh, ni nomaaaa sanaaaa. Jmn ile tar. Mfanyieni kweli jmn mpe kura za kishindo.
Kode boy for life
Kwan hao wanamziki sio ccm au acheni uzwazwa
Daaaamn!!.. boy unakua kwa kasi safi sn...
Hyo ndo tunaita kumiliki jukwaa
Manshallah manshallah konde big up
Aisee harmo umetsher😘😘😘
Safi sana wana ccm umoja ni nguvu
🔥🔥 jeesshhiiii
Fa tayari mbunge sio kwa msafara huooo
Anza mazoezi tesoro ti adoro
jeshi
Jeshiiiiiih
Salute sana konde
MBUNGE AMEKUSANYA WATU KULIKO LISSU!!
Amebeba na wasanii wote acha kilinganisha lisu na vitu vyaajabu
Wamefuata wasanii
Hakuna mpiga kura hapo wamekuja dansi
NYIE JIPINE MOYO TU MAANA MUMESAHAU CONVINCING POWER YA SPEECHES , NA
NYIMBO ZINAPELEKA UJUMBE KWA JAMII!!
Unaniangusha wa jina yaani hata kama huwez kutafasili kilichopo hapa nnin hiyo ni festival 2 mwambie aeende bila wasanii kama atapata hata nusu ya hao
Jeshiiiiii msanii wa taifaa🙌🙌🙌🙌
Mpambanaji asiyechoka
Nakubali Jeshi
😁😁😀😀😀😀🔥🔥🔥karibu tanga homo mungu akulinde mm shabikiako na kwetu ni tanga karibu sana kaka tupo nyumba yako jeshi majungu kwaoo
Hatuimbiii xhangwe telee kaz yetu kuwa keraaaaaaaa Duh kaza Butii Brooo waxhaa chujaa kama Ronadinho
Doh nakukubali Sana wewe Jamaa Jeshi
Wengi wamekuja kumwona harmonise tu
Siopa jeshiiii
Jeshiii la mtu mmoja
Kizazi saana jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Koma njooo jeshiiiii
Huyo mwana FA Hana mpinzani nawakubali Ccm hoyeeeeeeeeee
Mshangilieni jeshi msahau kumchagua mbunge makini mtajuta maumivu yake ni ya miaka mitano
Jamaa hatarii 🔥🔥🔥🔥
Huyi ndio msanii pekee nyimbo zake zote watu wanaimba mwanzo mwisho, WCB watu wanaitikia tu, huon ndio utofauti na nyimbo zao,
Sina neno jamani nimeangalia hadi mwisho 😍😍
Jaman mwanafa namkubali sana na nauwakika atakuwa kiongozi bola
Mbunge ajae
I dont care what you say konde boy for every one
jeshi 🐘🔥🔥
Sema mm ndio mjesh mwenyewee
umetisha Sana jeshi we ni noma
@@masudinangololo3672 poa dogo one love
P1