Mwenyezi MUNGU akubariki kwa himbo huu Dada Merveille, umemusaidia mamangu muzazi saana alipo kuwa mugonjwa hadi alipo kufa, ulimusaidia katita safari ya kwenda kumuona Baba yetu aliye Mbinguni, yani kila siku alikuwa akiusikiliza 🙏🙌
SIJUWI NISEME NINI DADA YANGU UMENIBARIKI SANA LEO NDO MARA YANGU YA KWANZA KUSIKIA NYIMBO ZAKO KWELI UMENIBARIKI SANA MUNGU AKUJAZE TENA MANENO MENGINE YA UFUNUO
I have searched this song in different platforms ili nidownload ila haupo😔😔😔, please do something huu wimbo uwafikie watu wengi duniani, it is a powerful song with a powerful message
Mwenyezi MUNGU akubariki kwa himbo huu Dada Merveille, umemusaidia mamangu muzazi saana alipo kuwa mugonjwa hadi alipo kufa, ulimusaidia katita safari ya kwenda kumuona Baba yetu aliye Mbinguni, yani kila siku alikuwa akiusikiliza 🙏🙌
Why am I finding this now??...It is an amazing piece.
Bless your ministry
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu 👏📖🥰 naishi Harare zimbabwe 🇿🇼
2024, Bado nangoja...
Hakika huu wimbo umenibariki sana. Nausikiliza na kuusikiliza na kuusikiliza. Sichoki hata kidogo. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
Elizabeth Michael brought me here 😪🙏🏽 na ni nyimbo ninayohiiitaji kwa sasa.
Mm pia
Hata mimi
I love this song so much❤
SIJUWI NISEME NINI
DADA YANGU UMENIBARIKI
SANA LEO NDO MARA YANGU
YA KWANZA KUSIKIA NYIMBO
ZAKO KWELI UMENIBARIKI
SANA MUNGU AKUJAZE TENA
MANENO MENGINE YA UFUNUO
Why am I learning this song today....very encouraging 🙌❤️.
More grace upon you girl 🎉
Jamni WIMBO mzurii sanaa .. Nina barikiwa mnooo hakika ...Ubarikiwe pia uzid kumwimbia Mungu amekupa saut Nzuri
Jamnii huu wimbo ukiutaka unaupata wapi jamniii mzuri kweli
Bado nangoja ahadi yangu itimiy Yesu uko muema kwangu
Safi sana nyimbo nzuriii.....Mi huu wimbo naupendaga Sana Leo roho kaniongoza mpaka nimeupata balikiwa Sana🙏🙏
"Bado nakiri wema wako hata hili litapita,ninajua nitafikaa"
Msaada pekee ni Mungu. Amen!
YESU KRISTO AKUBARIKI SANA MTUMISHI WIMBO UNA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU
Nimeujua huu Wimbo week hii lakini kila nikiusikia ninaona furaha na amani....Mungu akubariki sana...Pale unaposhika Mungu akupe mara dufu....
Naupenda Sana huu wimbo. Najiona kubarikiwa na ujumbe mzito.Well done
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Imeweza hii, God bless
Bado nakiri wema wako BWANA! Hallelujah 🙏🙏
Wimbo mzuriii sanaaa🙏🏿🙏🏿hakika unafariji mnoo🙏🏿♥️
Nakupendaa mpendwa jinsi gani unavyomwinua Mungu zaidi kubarikiwa
Weuh... This is such a beautiful song.
tuliokuja hapa baada ya mama G lulu tujuane
🤣
😂😂tupo wengi dia, yaani wimbo mtamu sana
Jamani from Kenya passing through the most unbearable things worst moments in my life.Loosing two kids same year lord I need you most.🇰🇪🇰🇪
n wengi😇
Meeeeeeeeee😮
hiv huu wimbo naupataje ni kaimba nani 😊msaada jaman
Yani jina la mwimbaji
iheeeee.......Tz ....Kenya....Africa...this gospel artist should not be underrated,mukuje tumsapoti🙏✅
Indeed. What’s her name?
Amena amen Mungu akubariki Mutumishi wa Mungu kwa kweli na mimi huwa nafarijika sana ninapo usikiya napata matumaini kwayale ninayo yapitiya
Hata hili litapita Mungu anaweza yote
Amen,,,bado nangoja🤲🤲
This is a blessing ❤❤
Mungu Akubariki Merveille 🙏, nabarikiwa sana na hii nyimbo🙌
Ni huu wimbo, siyo hii nyimbo. Barikiwa zaidi!
U barikiwe tu sana dda kwa huu Wimbo unanitia nguvu katika mapito ninayo pitia
Amen🎉
Bonne chanson, félicitations à toi et soit bénie. Faites passer cette chanson sur trace gospel, elle bénira plusieurs, comme elle m’a bénie
What a powerful song,,you blessed,,you earned a new subscriber
Wimbo mzur eti ndo mimeujua this week jamani😥😥unanibariki mnoo
If I could like this song x1000 I would. Wimbo safi, ujumbe wa nguvu
Nasikiya kujitota moyo n'a hui wimbo
This is powerful.Keep serving
Wimbo nzur sana
Hata hili litapta,,ninajua ntafka,,bdo nangoja aahad yko itimie
Amina ubarikiwe sanaa
Minister. Merveille you are a blessing... more blessings and favor be upon you, you are gifted, I APPRECIATE
huwa nauskiza huu wimbo kwenye group ya mungu kwanza online hadi nimeufikia asante sana mungu akubarki
Waooo wimbo mzuri saana unabariki 🙏🏿🙏🏿
I have searched this song in different platforms ili nidownload ila haupo😔😔😔, please do something huu wimbo uwafikie watu wengi duniani, it is a powerful song with a powerful message
Asante sana kwa wimbo huu ubarikiwe sana🙏🙏
This songs blesses me allot…may you be blessed
Great message of hope! This song should have many more lines!
Nabarikiwa sana na huu wimbo. Nice voice
Ujumbe mzuri
Nikitaka kuu download audio nado aje
Wimbo mzuri sana unanitia nguvu mnooo
Be Blessed 🙋
Huu wimbo umenibariki sanaaaa❤️❤️❤️❤️❤️
You Are A Blessings Sister I Pray For More Grace And Anointing Unto You Keep on Ministering
Very powerful song and courage song🙏
Unanibari sana dada
Hizi Ndo nyimbo tunatamani watu kuzisikia jamani, MUNGU azidi kukutumia
Another blessing .... blesses upon God's kingdom
🔥🔥🔥🔥🔥
I love it what an annointing message thank u for this!!!!🥰🥰❤️
I love the song ,such a great blessing ...God bless you 💌
🔥🔥🔥🔥🔥on repeat😭
Glory be to God
Blessings
Very melodious and powerful song
2024, Bado nangoja
Powerful voice with great msg.
Ubarikiwe saaana
Namna ya ku download huu wimbo jamani
Na ili lita pita, 2024
Wow🙌🙌🙌🦅🔥🔥🔥
Blessing 🙌🙌🙌
Amen❤
Nyimbo imenipa nguvu mpya
Beautiful voice
Powerful
I love this song❤️
Ata hili litapita tu ninajua nitafika
Belle melodie
merveile😢😢😢
😍🥰
❤️❤️❤️
😍😍😍😍
Amen 🙏
❤❤❤
Amen 🙏