EBM na JOYCE K NURSE wakutana kuongelea maisha ya Canada na USA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Maisha ya Canada na USA kwa wahamiaji yapoje? Unawezaje kuanza na kufanikiwa?
    Asante sana Joyce. Kwa fursa za Canada, subscribe kwa channels za Joyce / @joyceknursecanada nyingine / @crucialsnapshots na / @joycekcanadacontentcr...
    #maishayaughaibuni #visacanada #marekani

ความคิดเห็น • 154

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  2 ปีที่แล้ว +11

    Asante sana Joyce. Kwa fursa za Canada, subscribe kwa channels za Joyce th-cam.com/channels/_Px-SuCUz3oc4S4wYv88Fw.html nyingine th-cam.com/channels/Py5p9_boEuOqmghFkwIAxg.html na th-cam.com/channels/-aXFT8of9rPzXj5yGOeByA.html

    • @nzigiyimpainnocent8738
      @nzigiyimpainnocent8738 2 ปีที่แล้ว

      Already subscribed

    • @OmmysniperTV3839
      @OmmysniperTV3839 2 ปีที่แล้ว

      EBM for life

    • @sakinahamza5325
      @sakinahamza5325 2 ปีที่แล้ว +1

      Ongera kaka ebm kwa kutupigania tuulizie kazi za usafi zile kama da Joyce anavyowasaport watu kwenye channel yake

    • @sheeba8334
      @sheeba8334 2 ปีที่แล้ว

      Love your contents...much love from Nairobi Kenya East part of Africa

  • @joycekcanadacontentcreator
    @joycekcanadacontentcreator 2 ปีที่แล้ว +9

    Asante sana mheshimiwa for supporting me nashukuru sana

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว +1

      Huku kwa comment kuna mwenye anasema wewe ni mwizi ulimuibia 5 000 dollars. Kuja ujitetee.

    • @pembemussa2804
      @pembemussa2804 2 ปีที่แล้ว

      Dada Joyce nimekua flowers wako kwa ajili ya Mr' EBM
      Mungu awapeni roho hiyo hyo mzidi kutuchanua sisi ndugu zenu tulio na ndoto za kutaka Kuja huko ughaibuni kiukweli Naimani hatutakuja wote ila kwa hiki mnacho kifanya kuna watu wengi watakuja hata kama sio huko hata nnchi zingine za ughaibuni kwa ajili ya hii hamasa mnayotupatia

    • @Gachibravotz
      @Gachibravotz 2 ปีที่แล้ว

      Thanks

    • @sophiamakani6133
      @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว +1

      @@damariszuckschwert9489 mwenye anasema alimuibia ni muongo juu Joyce hachukuangi pesa

    • @dismasdastan5493
      @dismasdastan5493 2 ปีที่แล้ว

      Joyce nifanyeje ili niweze fika canada?...Na vipi kuhusu kazi za huko ni mpaka uwe umesoma sana au hata class 7 inatosha?🤔😂

  • @hellenndinda4806
    @hellenndinda4806 2 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Sana Joyce na Kaka nawapa heko Kwa kazi yenu nzuri mola awajalie siha njema Mimi nina imani siku moja nitapata fursa yakuaje na kuchapa kazi huko

  • @visaarena
    @visaarena 2 ปีที่แล้ว +5

    You are so genuine people. God reward you for free mentorship

  • @shakuryoung2547
    @shakuryoung2547 2 ปีที่แล้ว +1

    Ebm nakubali sana TU mola akuzidishie wepesi zaidi

  • @sofi_1940
    @sofi_1940 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada Joyce nipatie kazi hukoo,, please maisha ni magumu sanaa😢

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 2 ปีที่แล้ว +1

    Good news
    Nahitaji kufanya masters Canada
    Nakmba mawasiliano jamani ya Joyce na Ernest iliwemk emails zenu
    Nitashukuru Sana

  • @BINTAONGUTA
    @BINTAONGUTA 8 หลายเดือนก่อน

    Thank you for your information may god blessed you all

  • @jacksonodhiambo3307
    @jacksonodhiambo3307 2 ปีที่แล้ว +2

    Joyce May God bless 🙏🙏🙏🙏 mama

  • @bushtopsfurnitureinteriors9257
    @bushtopsfurnitureinteriors9257 9 หลายเดือนก่อน

    Was very educative one day al come to MISSURI

  • @masalutz4608
    @masalutz4608 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwshabari zenu

  • @AnthonyMutuma-n8j
    @AnthonyMutuma-n8j ปีที่แล้ว

    Habari mnayotupatia inasaidia sana.Mnatusaidia wale tuko na hamu na maono.Tony Anampiu-Thika,Kenya

  • @amaliweston3963
    @amaliweston3963 2 ปีที่แล้ว +2

    So it's easy to get permanent residency in Canada. Never knew that. Australia and America must be bff. I know people in Australia, who have lived here for more than 10 years and don't have PR. It make life very expensive and stressful.

  • @Emily-ck5eu
    @Emily-ck5eu 2 ปีที่แล้ว +3

    Great people, great souls. May you be blessed always!

    • @TabyWanjiru
      @TabyWanjiru ปีที่แล้ว

      Joys tafutia mtoto wangu job plz

  • @visaarena
    @visaarena 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapata vizuri sana

  • @alicenyaembu5689
    @alicenyaembu5689 2 ปีที่แล้ว +2

    Ontario Oakville nko chojo. Nice to see you guys

  • @christophernikata8254
    @christophernikata8254 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana hii interview, it was so nice. Thanks Mr. EBM endelea kutupa dondo zaid.

  • @franciskamunya5064
    @franciskamunya5064 2 ปีที่แล้ว

    Twajivunia ndugu na Dada kutoka eastAfrica. Twajivunia kwa kutuelimisha vilivyo. Big up.

  • @KilengaJoseph
    @KilengaJoseph ปีที่แล้ว

    Nimependa kama naagalia news flani ivi mko vizuri nimewafwata kurasa zenu

  • @lovenessrichard1169
    @lovenessrichard1169 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dada Joyce, nipatie kazi huko jamani,aisha magumu sana my love dada

  • @javajava3461
    @javajava3461 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @davidmaina4379
    @davidmaina4379 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Joyce na mgeni EBM mazungumzo mazuri kweli

  • @janethngowi8783
    @janethngowi8783 11 หลายเดือนก่อน

    Dada Joyce na Ebm mnazidi kunisaidia kuelewa vizuri sana kuhusu Canada inabidi nikutafute sana Ebm unisaidie kukamilisha ndoto zangu siku moja nifike huko aliko dada Joyce

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +3

    Niko mwaka wa sita Marekani, ukweli ni hamna inchi duniani utapewa vya bure.. ila, inchi za ughaibuni ata kama maisha ya upweke (culture shock) angalau uko na tumaini la kazi, ila kama maisha yanakupekeka vyema Africa, usiuze ng’ombe zako na kiwanja eti unaleta mke na watoto marekani- pia usikuje marekani kama umri umekuzidi, eti miaka 55 .. ughaibuni yataka vijana, miaka 40 na chini ambao WANAANGAIKA AFRICA.. narudia, sio wote..

  • @julietnyawira107
    @julietnyawira107 ปีที่แล้ว

    Thankyou Joyce you are so true

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 2 ปีที่แล้ว

    Ebm Mungu akueke

  • @ericabaga9738
    @ericabaga9738 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka kwa kazi safi unaoifanya

  • @sellesaadhiambo2316
    @sellesaadhiambo2316 2 ปีที่แล้ว

    Thank you Joyce for this information. This is great! Now, Joyce, what is the starting point?

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana asanteni kwa kutupa elimu

  • @aminadube7162
    @aminadube7162 2 ปีที่แล้ว

    Naona mgeni greetings Joy mungu awabariki sana

  • @samuelbahati7976
    @samuelbahati7976 2 ปีที่แล้ว

    EBM Hongera nakuomba number yako Mungu akulinde maisha yako yote daima Ameen

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 ปีที่แล้ว

    Hi Joyce proud of you

  • @mohammedbaraka9230
    @mohammedbaraka9230 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa brother

  • @johnmungai4206
    @johnmungai4206 2 ปีที่แล้ว

    Nawapata vizuri .nauliza baada ya kupata utapataje mtu wa kukuhost na huna mtu America

  • @OmmysniperTV3839
    @OmmysniperTV3839 2 ปีที่แล้ว +2

    EBM for life♥️♥️♥️

  • @carolinemuthoni119
    @carolinemuthoni119 2 ปีที่แล้ว

    You are my favorites joyce

  • @robertmwangi1835
    @robertmwangi1835 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna Nziii🤣 I really love you Guys ,very healthy insight waaahh it's like tuko Canada already,the experience is WOW...

  • @apple9711
    @apple9711 2 ปีที่แล้ว

    My brother.God bless you

  • @amaliweston3963
    @amaliweston3963 2 ปีที่แล้ว

    Me too dear i understand you, l can't leave Australia and go to leave in Tanzania. My kids won't come with me. Tanzania just holidays. I just have to accept it.

  • @amourhemed4343
    @amourhemed4343 2 ปีที่แล้ว

    Your character is more important than your comfort. The Almighty is not going to give you more if you have not learned how to be content; how to count your blessings. Contentment means your accept His Decree.

  • @peterndambuki-wg1fg
    @peterndambuki-wg1fg ปีที่แล้ว

    Let me know how I can process my self to Canada madam Joyce because haujaguzia the process want to be a truck driver

  • @evanstweve7720
    @evanstweve7720 2 ปีที่แล้ว

    kwa kweli wewe bro EBM, upewe ulinzi maalum ili kukutunza myda mrefu

  • @SAIDOMARI-gq4ss
    @SAIDOMARI-gq4ss 5 หลายเดือนก่อน

    Da

  • @agnesmaina9662
    @agnesmaina9662 2 ปีที่แล้ว

    Good souls 👍👍👍

  • @SAIDOMARI-gq4ss
    @SAIDOMARI-gq4ss 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka nakufatilia sana

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 2 ปีที่แล้ว

    Yani nyiee mungu awajalie

  • @julietnyawira107
    @julietnyawira107 ปีที่แล้ว

    How do you cope with the cold

  • @binaljabirmshihirzanzibar8369
    @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 ปีที่แล้ว

    Yeah bro 😍😍😍

  • @sylvainkajaju9911
    @sylvainkajaju9911 2 ปีที่แล้ว

    Jambons kakEbm mimi nakufata nikiwa Congo 🇨🇩 nita cheza ou dv loterry iyi mwaka

  • @aminadube7162
    @aminadube7162 2 ปีที่แล้ว

    Hy joy Natamani Kuja Canada sana

  • @janeoseko4177
    @janeoseko4177 ปีที่แล้ว

    Tunaenda website Gani Kwa apply.

  • @RehemaMwinyi-xs9bx
    @RehemaMwinyi-xs9bx 4 หลายเดือนก่อน

    He. Llazima uongee kiinnggereza?

  • @fredyjhosephkapesula7267
    @fredyjhosephkapesula7267 2 ปีที่แล้ว

    Hello Joyce Mimi ni Truck driver napenda Sana kuja huko Canada kutafuta maisha nifanyaje ili niweze kufika ?

  • @dorcasloy7935
    @dorcasloy7935 2 ปีที่แล้ว

    Waohhhhh

  • @InnocentFaustin-fw7bs
    @InnocentFaustin-fw7bs ปีที่แล้ว

    Kaka naomba unitafutie kazi uko

  • @monalisarichy3889
    @monalisarichy3889 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kupata information kuhusu immigrant dentistry in Canada or US

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu dada ndio wale watu wa kamati roho mbaya unawazungumzia Kila siku

  • @YOUTUBE-KE
    @YOUTUBE-KE 2 ปีที่แล้ว +1

    Nivipi mtu anavyoeza kuenda Canada bila masomo?

  • @davidhurumadogosongs6624
    @davidhurumadogosongs6624 2 ปีที่แล้ว

    Alana sister Joyce wapo waongea Kiswahili hapo Canada

  • @morogoromedia
    @morogoromedia ปีที่แล้ว

    Mama tunashkuru kwa elimu yako

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว

    Hao wanapoteza muda ughaibuni huko kazi zote nzuri na nafasi nzuri zenye kipato kikubwa ni wazungu white Africans watumwa wa wazungu kufanya kazi za usafi, viwandani kubeba maboksi maisha expensive gharama usave chochoteee maisha ya kawaida tu Africa maisha mazuri ukikomaaa nafasi nzuri zipo na kazi nzuri hatuna ubaguzi wote ni Africans na mafanikio ni makubwa Nyumbani kenya Tanzania ndio mafanikio na maisha mazuri tunaona wasaniii wana maendeleo wananunua magari ya kifahari wanajenga majumba na wanafungua biashara kubwa tu

    • @layiandjagacomedy3240
      @layiandjagacomedy3240 2 ปีที่แล้ว +1

      Huna lolote wewe hiyo ni wivutu huku kila mtu ana maisha yake ,kazi nikazitu si tunaripwa mushahara unafikiri tuna tumikia bure vitu vya utumwa viliisha tangu zamani huku kuna kila aina yakazi hichaguwi wewe ni nani uwe mwa Africa kazi yoyote unapata inionekana wewe umekosa maneno ya kuandika maisha yetu ya huku hayakuhusu achana namaisha yetu sisi hatuko watumwa kuwa na adabu watu wengine hamjui kusema

    • @zuwenasinde1292
      @zuwenasinde1292 2 ปีที่แล้ว

      Acha kukatisha watu tamaa uwe na hekima katika kunena

  • @theodoreconstantine2565
    @theodoreconstantine2565 2 ปีที่แล้ว

    Nawapata kutoka Tanzania

  • @meshackngome2270
    @meshackngome2270 2 ปีที่แล้ว

    Tuambie njia za ku appy

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 ปีที่แล้ว

    Madam Joyce habari yako naomba msada wa kuja uko nakufuatilia sana

  • @violetmamy3498
    @violetmamy3498 2 ปีที่แล้ว

    Please Joyce how can I communicate with you,I need your help,I was Saudi for 3yrs but hua natamani saana kukuja Canada .

  • @sikuzanibusanya7352
    @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kz hata ya kufangia balabala nk tayari jmn

  • @davidkitinya4818
    @davidkitinya4818 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa msaada zaidi nahitaji what's up namba.

  • @babyelephant5098
    @babyelephant5098 2 ปีที่แล้ว

    Kama utaweza kufanya video kuhusu mambo ya Taxes za Canada itakuwa poa sana maan mimi naishi USA as an RN nimepata job offer Canada lakini naogopa kuhamia Canda coz nimesikia wanalipa taxes mingi sana. Kama unaweza fanya kuuliza ili tupate clarifications pls.

  • @ChikoMathias
    @ChikoMathias 8 หลายเดือนก่อน

    Nataka nipate namb yako ili tuongee natamani nifike huko

  • @aishasaid9110
    @aishasaid9110 2 ปีที่แล้ว

    nina cousn yangu anaishi canada nimeongea nae anifanyie mpango kanigomea mwisho ananiambia canada maisha ni magumu nyumba ghali sna kukodi kazi hamna kupata kazi ni shida sna na hamna mishahara wallah nimechoka ananiambia hasa kma mie nlokua sijasoma mpaka kiivo nimeishia la 7 ni tabu kupata kazi wanao pata kazi ni wenye elimu sio kma mie

    • @sophiamakani6133
      @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว +1

      @Aisha njoo saudi huku peza zako hupunguzi hata kama ni kidogo kwangu ni mingi nko 3yers saudi nashukuru MUNGU.

    • @wilsonm.7376
      @wilsonm.7376 2 ปีที่แล้ว

      @@sophiamakani6133 mmh saudi wanatoa watu figo huko!

    • @sikuzanibusanya7352
      @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

      @@sophiamakani6133 uko saudia ni kz za ndani au ije tuambizane jmn watu tuko na shida

  • @faithnyabuto7446
    @faithnyabuto7446 2 ปีที่แล้ว

    How can I get the house maid job

  • @muhozacaleb4897
    @muhozacaleb4897 2 ปีที่แล้ว

    Dada Joyce sasa hiyo town ndogo unapoishi amo yaitwa aje?

  • @miriamkakwezi7309
    @miriamkakwezi7309 ปีที่แล้ว

    Ulaya ni ulaya tu.. mbona kwenda uko mnatutoza pesa kuja huko.. fanyeni bure basi kutusaidia

  • @reginalewiston72
    @reginalewiston72 ปีที่แล้ว

    Na hakuna inzi nimecheka 🤓

  • @bensonculture2947
    @bensonculture2947 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂eti alikuja kutembeaa!!!?, Si una hela yakoo?..... Kweli Marekani sio mchezo

    • @Kobe_254
      @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว

      Hapo ni kweli, marekani hawakubembelezi..

  • @hellenndinda4806
    @hellenndinda4806 2 ปีที่แล้ว

    Hivi naomba ikiwa mwaweza nipa namba zenu za what's up?

  • @agnesndinda6484
    @agnesndinda6484 2 ปีที่แล้ว

    Nimekwama hapo kwa hakuna inzi,,😄😄😄

  • @apostlesiza
    @apostlesiza 2 ปีที่แล้ว

    Mimi pia nilirudi tz nilikuwa uk nasoma for 3yrs now toka nirudi ni 10yers but Sasa najutia why aikupanga kukaa uko coa system ya Africa imenishinda now nataka Rudi tena lazima nirudi nimejifunza somo

    • @Kobe_254
      @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว

      Ulikua umesomea nini na ni nini ilikua ngumu kuingiana na system za Africa

    • @apostlesiza
      @apostlesiza 2 ปีที่แล้ว

      Maisha ya London Yani ulaya yako moja kwa moja hayani longolongo Kama Africa Sasa kutokana na iyo naona aipawezi ngoja nirudi tu uko so mlipokuwa mnaongea hapo juu no kweli kabisa watu tunaenda hatujui tunataka Nini na tunadanganyani eti kurudi tz kiolela olela tu so Mimi nimejifunza kupitia elimu yenu emb mnayotoa TH-cam so sitafanya makosa hayo tena

  • @Mazoea
    @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

    Dada Joyce ni mkenya

    • @nasrayahya2885
      @nasrayahya2885 2 ปีที่แล้ว

      Nimependa mazungumzo yenu please namba no zenu za whatsap

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 ปีที่แล้ว

    Be hosted by Kenyan it's pleasure

  • @Mazoea
    @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

    EBM please Naomba uorodheshe majimbo ambayo ni raisi kimaisha kuishi Nipo Marekani Jimbo la Baltimore Maisha uku magumu sana..

    • @bijalnicomeds3926
      @bijalnicomeds3926 2 ปีที่แล้ว

      Upo Maryland, hapo maisha cyo magumu.ila ni expensive..panahitji pesa mingi

    • @berthatz
      @berthatz 2 ปีที่แล้ว +2

      Njoo Columbus OH…Kazi nyingi maisha cyo juu kama huko MA..

    • @hildapaul5422
      @hildapaul5422 2 ปีที่แล้ว

      @@berthatz Texas je maisha yako vipo

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 2 ปีที่แล้ว

      @@bijalnicomeds3926 Nilidhani hiyo expensive ndio ugumu wenyewe unapokuja?

    • @sikuzanibusanya7352
      @sikuzanibusanya7352 2 ปีที่แล้ว

      @@berthatz jmn muliyoko uko twaomba mutusaidie twahitaji kz Elimu dalasa la 7 km inapatikana hata kz ya kufangia balabala mm niko tayari

  • @johnsilomba902
    @johnsilomba902 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Na Nikija Huko Na Pesa Zangu Like $500,000 Nataka Kuja Kukaa Huko Na Kufanya Biashara Huko Hapo Vipi ????

  • @kitisyarealestate
    @kitisyarealestate ปีที่แล้ว

    yaani mi ndio nataka niamie kabisa na kwenda mbinguni niondokee uko

  • @kabete1099
    @kabete1099 2 ปีที่แล้ว

    Nakuja ughaibuni ata kama ni kwa miguu, huku wamechagua ruto, no future here

    • @sophiamakani6133
      @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว

      @Kabete toka huko kabisa kimbia mbio uje huku ughaibuni hata ss tuko huku hadi kieleweke 😄 🤣 😂

  • @da2jamhuri418
    @da2jamhuri418 2 ปีที่แล้ว

    EBM kiongozi tafdhari niangalizie Kazi popote pale ambapo wewe utakapoona panafaa kutengeneza maisha.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 ปีที่แล้ว +2

    Suscachwan au ebm tupe spelling

    • @joycekcanadacontentcreator
      @joycekcanadacontentcreator 2 ปีที่แล้ว

      Saskatchewan

    • @adrinenduta286
      @adrinenduta286 2 ปีที่แล้ว

      Joyce in mwizi.... awaiting judgment

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 2 ปีที่แล้ว

      @@adrinenduta286 my God why are saying that to your fellow kenyan? Mwizi wa nini? Explain

    • @adrinenduta286
      @adrinenduta286 2 ปีที่แล้ว +1

      @@KADALAtv255 she conned me. 5 000 dollars

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      @@KADALAtv255 Ai?? Tope story...kulienda aje??

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว +1

    Huko USA watoto wana bebe bunduki kama chocolate bora nife bongo Marshall ah

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว +1

      Hujaalikwa wala..,wee kaa huko kunakokufaa

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว

      @@damariszuckschwert9489 niende ku safisha wazungu Wana shida ndio Wana waza kuenda huko ku safisha viombo!!!!

    • @Kabi_47
      @Kabi_47 2 ปีที่แล้ว

      @@zawadix9574 why uwaze kusafisha wazungu!?? Kwani we hujasomaaaa!?????

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว

      @@Kabi_47 ume skia video zake ata kama una PhD ukingia asa bila qualifications zao una Anza maisha ya chini sana na hu toboi!!!! Mimi na uncle wangu miaka 25 Yuko huko sithani ata Rudi nyumbani marafiki yake wote wame toboa!!!!! Nyumbani ni nyumbani

    • @Kabi_47
      @Kabi_47 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zawadix9574Binafsi @@zawadix9574 fani iliyonibeba hapa mjini canada ni UDEREVA msingi ukiingia kiwanja njooo na fani kwanzaaa muulize mtu unayemjua akuambie dereva wa bus la abiria mshahara anaolipwaaaa halaf uliza na msomi mwenye phd au degreee nchi za wenzetu mtu mwenye fani analipwa pesa nyingi kuliko mwenye elimu kubwaaa ✌🏿✌🏿✌🏿 anko yako kurud hawez kwa life la hukooo tena marekaniiiiiii😁😁😁😁😁😁

  • @DoeMaburi
    @DoeMaburi ปีที่แล้ว

    Dada abari vp naomba namba Yako ya Whatsapp