"ACHENI UDAKU, RAIS ni MZIMA, ANAENDELEA KUJENGA NCHI, PUUZENI WANAOTUCHAFUA" - GUDLUCK MLINGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • "ACHENI UDAKU, RAIS ni MZIMA, ANAENDELEA KUJENGA NCHI, PUUZENI WANAOTUCHAFUA" - GUDLUCK MLINGA
    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la ulanga mashariki GUDLUCK MLINGA amewataka watanzania kuacha kufuatisha taarifa za mitandaoni na badala yake kujikita kwenye mambo ya msingi katika kujenga nchi.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 58

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว +5

    Ndio asantee sana kwa taarifa

  • @mapenzishindoshindo4939
    @mapenzishindoshindo4939 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ampe maisha marefu

  • @racheljoshua3266
    @racheljoshua3266 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa taarifa

    • @immanada9296
      @immanada9296 3 ปีที่แล้ว

      Tunataka tumuone Rais wetu, na nyie achen maneno, tuambien Rais wetu yko wp, hii sio siasa

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante ndungu Mubarikiwe Sana kwakweli kwa Mambo Mazuri

  • @vdhjhdhdhhhd9332
    @vdhjhdhdhhhd9332 3 ปีที่แล้ว +6

    asantee Mungu kwa kutuambia..ukwel binadamu akikuchukia..anauza baraa

    • @emmanuelmwambambale9931
      @emmanuelmwambambale9931 3 ปีที่แล้ว +2

      Duh Kwan kuna ukwel gn hap nay n manen tu hapo chamsing mzee asimame hadharan atutoe hofu

    • @allyrashid3732
      @allyrashid3732 3 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelmwambambale9931 true

  • @masudinchimbi7143
    @masudinchimbi7143 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiki ni kipindi cha kwarezma mweshimiwa yupo kwenye mfungo na maombi.

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wapmbav wanamfikiria kwa ubaya VIVA Magu wetu ila siku zote Mungu atasimama naee

  • @areejmansoor7977
    @areejmansoor7977 3 ปีที่แล้ว +6

    Eee mungu mlinde raisi wetu popote alipo inshallah awe salama

    • @areejmansoor7977
      @areejmansoor7977 3 ปีที่แล้ว

      @@abdallahmauya743 ndohapo sasa ujue watu wanokonoko hawapendi waone mtu kakaa kimya

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa taarifa achaneni na wachawi hao Mungu atamlinda rais wetu maana yeye ndo ajuae siri za maisha yetu

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 3 ปีที่แล้ว +2

    Rais Wetu Mh Magufuli,usijitokeze Fanya kazi zako asikupangie mtu.sisi tunakuombea afya njema,endelea kuwa na nguvu na tunakutakia kazi njema.

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว +5

    Hata kama angekuwa mgonjwa kwani shida ni nini kuumwa ni swala la kawaida kwa kila mwanadam

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

      Ajabu mpaka tutangaze kwa waasi wetu kama ni Mgonjwa??waje watupindulie viongozi wetu ,

  • @inno4267
    @inno4267 3 ปีที่แล้ว

    Hamna mtu anafatilia tanzania . Kwanza tanzania watu hawatujui yaani . Labda kenya ndio wanatujua

  • @jackilinram1083
    @jackilinram1083 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliepushie mbali jaribu la magonjwa upande wake nafurahi kusikia hivo nitamwombea usiku na mcha kama mzazi maana kabla ya urais ni baba wa familia ya nini kumchukia?

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 3 ปีที่แล้ว +1

    Natamani ajitokeze hadharani tuone watu wanavyo umbuka. Ee mungu mpe afya njema Rais wetu wa Tanzania 🇹🇿

  • @andrewmatelephone3861
    @andrewmatelephone3861 3 ปีที่แล้ว

    Nimekumanya kaka

  • @joramkimario6174
    @joramkimario6174 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa jamaa walitaka kutujambisha ili waone kama tunampenda au laa!!! Na sio kwamba hawapitii hizi comments. Ila kwahiz comments nafikir kuna somo wameshalipata mana hata wale majiran naona nao wanamuulizia japo walisema hawamtambui

  • @edsonmwambokela3707
    @edsonmwambokela3707 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ubunge raha Sana naona huyo jamaa kwa Sasa kapauka kuliko alivyo kua mbunge

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 ปีที่แล้ว

    Leo 2023 nipo naangalia hii

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana pigana nao wanaopigana na Rais wetu Magufuli.

  • @nabumsekwa1797
    @nabumsekwa1797 3 ปีที่แล้ว +7

    Watuache na raisi wetu wafanye yao

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 7 หลายเดือนก่อน

    Ndo kalipoteleaga apo yan

  • @stevengeorge4786
    @stevengeorge4786 3 ปีที่แล้ว +3

    Mpaka na sisimizi watatoa kauli

    • @hamisiliton4505
      @hamisiliton4505 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wazushi si mende Wa chooni

  • @neemambuya2795
    @neemambuya2795 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumechoka na mitandao hii jya kitudanganya

  • @miriammsafiri6962
    @miriammsafiri6962 3 ปีที่แล้ว +1

    Baadhi ya binadamu sio watu wazuri kabisa , kumuombea rais ugonjwa sio busara , tuombeane Sana shetani anatushutumu ,tusimuache rasi pekeake tushikamane kwa Kila hatua , mfano ktn ya Kenya wanakiherehere Sana utadhani Ni rais wao , hiyo Ni chuki tuu

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว

    Nyiyekwenu kungojwa shida

  • @jumachanewstrends6899
    @jumachanewstrends6899 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzeee ajitokezeee tu atoe hofu watu wakeee maaana hata mimi nawaza uko wapiiii

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo,hizo kazi zote na vitu vyote alikua anavifanya na alikua anaonekana au kusikika yuko hapa au pale! I dont believe in da fake news,but also i can understand the concerns of the mass! Hata church asionekane? Such concerns ,defo,should be addressed!

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

      Yupo msemaji mkuu si lazima kila mmoja ajisemee tutii mamlaka nchi za wenzetu ukithubutu utaozea jela

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 ปีที่แล้ว

      @@trophywilson7211 Tofauti za wenzetu ,wako wazi.Hawasubiri wananchi kuhoji the whereabouts za viongozi wao!! Never.Kama anaumwa,watasema straight away,na mfumo wao wa kutoa habari uko wazi.Boris Johnson wa UK,aliumwa COVID-19 in April 2020,ilikua wazi,siku hiyo hiyo.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

      @@errydeo8865 Africa tunachukiwa saana hivyo huwezi kila kitu kuweka wazi na Trump walisema akiwa amezidiwa maana Marekani wanaua saana viongozi,haina maana kusema kila kitu kama unaishi penye chuki,Inabidi utumie Akili

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 ปีที่แล้ว

      @@trophywilson7211 That is rubbish.Wanaohoji rais wao yuko wapi ni watanzania!! Kwani kusema rais yuko wapi ni siri?Kama anaumwa ni ajabu? Watu wanahoji kwa sababu sio kawaida yake na kwa watanzania.

  • @maalimrasheed9082
    @maalimrasheed9082 3 ปีที่แล้ว

    Time will tell. Kullu nafsi dhaaikatul maut

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว

    Nyie hapo ndiyo mumevunja SHERIA

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ndio tukupuuze pumbavu wewe

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna mpya hapa. Tusonge mbele. Atoke tumuone. Hakuna kubwa hapo.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

      Ukajibu wewe mashitaka

    • @fanuelrichard2049
      @fanuelrichard2049 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani akitokea tu atumie dakika moja tu kusema Mimi nipo jamani acheni maneno si imekuwa imeishaa hivyo mnavyofanya ninyi nikuendeleza mjadala tu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fanuelrichard2049 atakuwa anaendeshwa na Lisu sasa maana yake,Hata akiumwa si kazi ya Lisu kujua ni mnafiki tu anatamani ampindue akae yeye kama hujui

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 3 ปีที่แล้ว +1

      @@trophywilson7211 haitokuja kutokea Rais awe lisu katika nchi hii never ever sijawahi ona mtu mpumbavu wa ajabu ka yule baba Mwenyeezimungu unisamehe.

  • @elizabethmwakalinga3287
    @elizabethmwakalinga3287 3 ปีที่แล้ว +1

    .

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว

    Kwani huyu ni msemaji wa Serikali siku hizi

  • @joshualezile5099
    @joshualezile5099 3 ปีที่แล้ว

    Kwani huyu ndio msemaji wa serikali?

  • @thakibuiddi1857
    @thakibuiddi1857 3 ปีที่แล้ว

    Kwan tatizo liko wp si aonge aonekane bac mbn sk zote anaonekana km kawaida

    • @leonardsomemagembe2582
      @leonardsomemagembe2582 3 ปีที่แล้ว

      Rais hawez fanya mambo kwa matakwa binafsi ya watu. Atoke kisa watu wamevumisha kafa?

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 3 ปีที่แล้ว

      @@leonardsomemagembe2582 Mwambie hajitambui huyoo

  • @atushewatushe4246
    @atushewatushe4246 3 ปีที่แล้ว

    Kkk

    • @daishajumanne5990
      @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kuanzia sito jibizana na wakenya kwa uchawi wao kuingilia mambo yetu wanashindwa kupika mswaki kutwa nzima kufatilia ya watanzania wanashindwa kukosha matako yao wananuka mavi ebu niwaache wamtukane magu wetu habari hana inshaAllah naamini yupo salama. Salam kwa wakenya fanyieni yenu yetu sie mutuachie

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mlinga mgonjwa wa akili

  • @jumanguru8455
    @jumanguru8455 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahaa

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 3 ปีที่แล้ว

    .