Hakika sister sabah unasema kweli kwangu ameganda kwa mapenzi, tena kwa ule ujuzi wangu mimi niutowe kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe dada yangu nyimbo yako inanikosha saaaaaaaaaaaaaana
Amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe Tena kwa ule ujuzi wangu mim niutoe Kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe,kapenda yeye mwenyewe Kwake snayo hirizi kapenda yeye mwenyewe
❤❤❤❤❤❤chenye sifa husifiwa ❤❤❤❤ uko juu swabah professor wa wamapenzi######umenikosha mwaya####Namtatuwa tatizi hamtaki mwenginewe❤❤❤❤❤❤❤
Our be loved Aunt Sabaha
Our be loved old is gold taarab Zanzibar
Viva Zanzibar taarab, Viva aunt sabaha Muchacho
wimbo mzuri sana huu na una maneno matam sana kwa kweli sabaha kaimba nyimbo zake zote ni nzuri sana
Hakika sister sabah unasema kweli kwangu ameganda kwa mapenzi, tena kwa ule ujuzi wangu mimi niutowe kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe dada yangu nyimbo yako inanikosha saaaaaaaaaaaaaana
Halooooow amekuja kwamapenzi anayotaka apeweeee maneno konkiii👌👌👌👌
Ameniletea penzi atakavyo afanyiweehh
Nami yake matumizi,najua niyatumie,
Namtatua tatiz hamtaki mwenginewe,hamtaki mwenginewehh
Abdulhamid nakukubali kichizi kwa mziki wetu wa mwambao
@@RioIpo
Mia mia mwamba wangu,,Asili haipotei
@@abdulhamidkificho5768 Kabisa yaani mie baada ya mpira ni old is gold ndio furaha yangu Wallah
@@RioIpo
Haahaaahaaa wacha weeeh!!
nice voice & nice song napenda msione ameganda kwangu mie simzizi sihirizi nimapenzi tu mwaaaaaa
2023 listen from Qatar ❤
Mapenz yangekua nymbo ningebaki na sabah
haha
Jamani uyo bibi na uzee wake namtaka ivo ivo
Suleiman Ally 😂😂
Abaa weye wasema ivo me Sabah animaliza nguvu tena naumia nampenda had naumwa
@@ibrahiabdallah3973 😆😆😆😆😆
Kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe😍😍😍
HACHIMIA RACHIDI 🇰🇲 : AMEKUJA KWA MAPENDZI HANA YOTAKAA PEWE TENA KWA ULE UJUZI KWAGU MIMI NIUOTOE KWAKE SINA HIRIZ IKAPENDA YEH MWEGNEWE
maneno matamu kwa himbo huu masikini unguja yetu ya zamani ❤🇰🇲🤝🇹🇿
I LOVE YOU SO MUCH sabaha
HACHIMIA RACHIDI 🇰🇲 : MSIONE AMENGANDA KWAGU MEE SI MIZIZI SI HIRIZI YE MAPENZI TUU ❤️💋🎵🎤
hasa hili song la si mzizi si hirizi mmmmmmwwwwwwwwwwwaaaaaaaa love you nyang'anyang'a
amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe🎶tena kwa ule ujuzi wangu mimi niutoe🎶kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe🎶sione ameganda kwangu mie simizizi sihirizi ni mapenzi tu😃🎤
ameniletea penzi atakavyo afanyiwe🎤🎶namiyake matumizi najua niyatumie🎼🎼
Mmh unaumiza roho yangu
Love uuuu sabah u are amazing
mashallah
Mashaalah mpaka leo nyimbo tamu jamani😍
i love this songs also her voice
Kwa sasa kikombe Ni chako,utuzi Wa nyimbo zako hutuliza moyo na kutia raha kwenye moyo,hongera sana
Hongera sabaha kwa nyimbo zako pambe huna mpinzan
Nyimbo zako nazipenda sana tena sana nakupenda mama sabaha
wimbo mzuri unanikumbusha mngi sana
❤
Sema sabaha wew mkali ukweli na uswemwe tu 🥰
Amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe
Tena kwa ule ujuzi wangu mim niutoe
Kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe,kapenda yeye mwenyewe
Kwake snayo hirizi kapenda yeye mwenyewe
ya salaaam
Nami yake matumizi najuwa niyatumieeee Kwame sinayo hirizii kapenda yeye mwenyewe 😘
Maashaallah
Mashallah wimbo taaaaam sana
sabaha salim weeeeeee...mmmmmmmh!!!!
sauti iyo ndo inimalizayo!
jaman nyimbo ni haramu but allah atusameh tuuuuuu........
Ismail mjeshi Allah atusamehe sana
Allaahuma ameen.
Ameen
Zurich sanaa
yan hadi najickia faraja nkisikliza nyimbo zake
Asante mama
Kapend yy mwenyew
I like the song
Kapenda si kwa mizizi sikumroga mjue
mashaaaallah sabah salum ananikosha sanaaaaa
kwake cnayo herizi kapenda yy mwenye,jamani penda cnaa mm
amekuja kwa mapenz anayotaka apewe tena kwa ule ujuzi kwangu mm niutoe
Amekuwa kama chizi,hubba zake na moyowe
Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
Ninampa bumbuwazi lazima kwangu apowe
Ninampa bumbuwazi lazima kwangu apowe
Nampa kwa uteuzi kama apendavyo yeye
hadi*raha
😍😍😍
Tamu San 😘😘🙈
unakosha nyoyo za walio wengi
nice song bravo
jaman sabah ananikosha mie
maryam athman hatar uyu mom yaaan
nice sabha huna mpya
Every day am listen this song 💓💓
Namaliza sibakishi mashaaall
Daaaah unanikosha mie
Hajra Mohammed . wimbo ni mzuuuri . lakini na ww ume pendeza
Huy mama jaman ananikosha san kumoyo
Pambee tuu
Yani weachatu
AMEKUJA KWA MAPENZI ANAYOTAKA APEWE ANAYOTAKA APEWE !
Hakika ni za kwetu!
Swabah wewe Ni kiboko yao.
paxq1 P p
usione ameganda kwangu si mzizi si hirizi ni mapenz tu
Pambe
una sauti tamu
Tennnaaa 😃❤
😈😈
♥️
Kwake sinayo hirizi kapenda yeye mwenyewe