KIFO CHA CHARMING! KIDAWA MREMBO wa STEVE MWEUSI AELEZEA "TULIGOMBANA OFISINI AKANAMBIA MANENO HAYA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2023
- KIFO cha CHARMING! KIDAWA MREMBO wa STEVE MWEUSI AELEZEA - "TULIGOMBANA OFISINI AKANAMBIA MANENO HAYA"....
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
😭😭😭😭😭maskini kijana huyu nilikuwa nampenda sana,kifo chake kinahununisha kwa kweli,mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi
Ooh jmn maskin 😢😢 mama ake sjui yko Hal gan Sasa hv mama mungu akutie nguvu nkpnd mama yetu daah uchungu Mara mbil😭😭😭😭😭
😢😢😢😢😢 Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi amini
😢😢😢😭😭😭😭😭 jaman kifo hakina tarifa.njia yet ni moja Mungu amuwekee mahali panapositahili duuh😭😭😭
Alijuwa 😢😢😢😢😢 Allah Amueke🤗🤗 pema 🤗🤗 atupe mwisho mwema😭😭💔
Mungu anachukuwa yoyote ndiyo hivyo mimi kulikuwa na jama anampenda sana pesa anataka mwisho wa siku anitapeli na kukimbia daa mimi nikuwepo pemba pesa zangu pesa tele mungu azidishiye aghabu kwa aliyonifanyia ushenzi nilimuobeya duwa mungu amepe mitihani amekufa mm na yeye hatuongei😮
Emmanuel saruni gospel music poleni sana
R.I.P Charming 🕊️💔 Rest Easy 😥😥
Poleni sana mungu ampumzishe mahali pema mpambanaji mwezetu
Mwenyezi mungu akuweke mahali pema peponi bro charming
Inauma sana kwa kweli😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kifo ni fumbo
Mungu atujalie mwisho mwema
Daaah huyu kaka kaniuma kwakwelii daah
Pole sana
Daaaaaaaaaaah nimeumia sana
Life well lived
Apumzike kwa aman 🙏
aaaaa😭😭😭 nimesikitika saana bro😭😭😭
Rip kaka yeti kipenzi ss tulikupenda ila mungu nakupenda zaidi
Innalillahi wainnailahi rajiun mungu amueke pema penye wema
Rip
Inauma sana😢😢😢😢😢😢
Allah atujalie mwisho mwema😢
Ameen yaarabbi
Ameeen yarabby
Poleni sana rip kaka
Mungu amuraze mahari pema anakufa angarikiana sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu ampe kauli sabit xx 2lmpena ila mungu kampenda zaidi
😢😢 so sad but all in all Rip🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
R.I.p😢
Rip bro
Inanauma sana
😢😢
😭😭😭😭
Innallillah wainnah lillah rajuun
Inauma jamn huyu kaka mhhh umaut Ni ghafla jamn tu jiandae na SISI Maana mbk naogopa,,, sijui kifo changu kitakuja kwa style gani😢
Tuswali xana tumuombe Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah 🙏 hakuna ajuae kesho yake😢
Rest in peace ma lovely bro charming charz ❤❤❤❤❤
😭😭😭😭😭mungu ametowa mungu amejukuwa
Innalillah wainnairaihy rajiunn
Rip charming charles 💔💔💔😟
😭😭😭😭😭KAMA NDOTO😢
RIP
Rip😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi sikuamini kama amekufa kbs Yani uyo wamemufanya dodocha mumupeleke msikitini ama kanisani anaweza kuwa saw Kwasababu mimi naamini kama akufa 😢😢😢😢
Polenisana 😢😢😢😢😢
Rip charming
R.I.p
Rest in peace😢
😢😢😢😢
😭😭😭😭 kama utani tu jmniii inauma
May his soul rest in peace
😭😭😭rest in peace 🙏 🕊
R.I.P. bro
😭😭😭😭😭😭😭 rip charming
Duuuh😢😂😂 Ina niuma sana chami nimtu mpole San Ina uma sana
😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
R.I.P Charming,,,, 😪
Rest easy bro😢😢😢
R.I.P😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
😢😢😢😢😢😢😢😢
dah my bro Rest in peace
Rest in peace bro😭😭😭😭
Mtihani binaadamu tujiaandae. Kifo. Ni fumbo na hakuna ajuaye kesho yake
R.I.P CHARMING😭😭😭
Jaman hata mie nilikuw nampenda san alikuw anaumwa nn mbon ghafla
Rip😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏 7:45
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Rest in peace Bro Charming 🙏💔🥺
Steve just marry kidawa
Maskini msongo Wa mawazo huwa mbaya mno 😢😢😢
Mbona chupukiz wa Tiktok ndo wanakufa nghafla tu na kuto kusema chochotee wanakufaa na siri zaoo😭
Tiktok sio mtandao mzuri wallai
Kuna kitu hapa sio bure
Huyu kijana ndio mtangazaji WA Rick media au. Simjui jamani
Ni yy
Duuh 😂😂😂😂😂
KAMA UNATAKA KUJUA VIFO VYA WASANII WA TANZANIA SABABU NI NINI,BASI FATILIA,CHARLES STEVEN KANUMBA,SHARO MILLIONARE,SAMWAUKWELI,....HUO NI MFANO TU,KWAHYO UPUUUZI WAKUJIUNGA NA FREEMASON NDIO UTAZAA VIFO VYENU VYA MAAJABU.
Broth unaenda mbiyo 😭
Vizuri havidumu hata magufuri bba yetu arisema kizuri hakidumu na mtu akifa nyio hupendo unazid sana tunaipenda maiti kuriko tukiwa wazima hatupendani
R.I.P
ACHENI KUABUDU MASHETANI"FREEMASONS"MUNGU AMEMCHUKUA LAKINI SABABU NI HUO KU SACRIFICE NA SHETANI
Wacheshi wote wanakufa ukiwa naroonzur unakwenda haraka saiv stk kuwamcheshi yn naanzakuwa naroombaya htr
🤣😭😭😭
@@TeamKRX stk kucheka nataka kuendelea kuish😡😅😅
😅😅😅
@@bernadetaleopord51 we unanichekeq unataka naminicheke ilinife mapema😡
@@bernadetaleopord51 we unanichekeq unataka naminicheke ilinife mapema😡
Pole sana
😭😭😭😭😭😭
Kwer kifo hakina huruma r.i.p charming