Huwezi kubeba mzigo mwenyewe by Happy Kamili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @barakapaull2347
    @barakapaull2347 2 ปีที่แล้ว

    Hakika msaada uko kwa Yesu pekee, ubarikiwe ni Ujumbe unao ishi hauchuji mi mpya kila siku

  • @daimonkasongo8445
    @daimonkasongo8445 2 ปีที่แล้ว

    Amina, nzuri Sana hii

  • @MsNdayishimiye
    @MsNdayishimiye 12 ปีที่แล้ว +1

    kabisa huwezi kubeba mzigo mwenye kama huna mungu asante saana dada happy

  • @itikamichael5242
    @itikamichael5242 ปีที่แล้ว

    I❤this song

  • @monicaurio1667
    @monicaurio1667 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana,mtumishi wake...akuongeze zaidi kwaajili ya utukufu wake

  • @ngaboeudes9756
    @ngaboeudes9756 ปีที่แล้ว

    Vizuri Sana ndugu yangu Mungu akuongeze kipaji 🙏🏾🙏🏾

  • @diasfranciscoreis7277
    @diasfranciscoreis7277 4 ปีที่แล้ว +1

    Fantástico

  • @richardhemeli1476
    @richardhemeli1476 11 ปีที่แล้ว

    ni kweli huwezi kubeba mzigo peke yako..mpe mbeba mizigo ya watu,yesu kristo

  • @nickoemily8267
    @nickoemily8267 3 ปีที่แล้ว

    Our Mbeya strong gospel woman singer.

  • @banamwandenene6975
    @banamwandenene6975 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Dadaangu ujumbe nimeupenda sana

  • @joelsylivester5111
    @joelsylivester5111 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama Mungu Akubariki na azidi kukutia moyo

  • @Bruno-ed1ps
    @Bruno-ed1ps 6 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mama anayejali huduma za wengine..
    Nakupenda sana!! Gospo raha inakupongeza kwa kazi nzuriii

  • @racheljackson4391
    @racheljackson4391 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana dada

  • @rahelykibona7918
    @rahelykibona7918 6 ปีที่แล้ว +1

    amina dada huwezi kweli beba mzigo wewe mwenyewe bila yesu pekeee

  • @kenmusembi4565
    @kenmusembi4565 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana.

  • @miyeyodalive8860
    @miyeyodalive8860 8 ปีที่แล้ว

    happy kamili unaweza mungu akuongoze ufanye zaid ya hapo ulipo

  • @lucykibona8584
    @lucykibona8584 8 ปีที่แล้ว

    nikisikiliza huu wimbo roho yangu inakuwa nyeupeee asante mum

  • @agelnishimwe8964
    @agelnishimwe8964 8 ปีที่แล้ว

    huo ni ukweli mama mungu akubaliki ubalikiwe na bwana siku zote Amen

  • @upendomkami2300
    @upendomkami2300 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mungu

  • @mwambasiliya4086
    @mwambasiliya4086 2 ปีที่แล้ว

    blesed song

  • @steventembekeza6935
    @steventembekeza6935 10 ปีที่แล้ว

    Hongera Dada kwel kabixa

  • @mariamutesi4138
    @mariamutesi4138 8 ปีที่แล้ว

    oh my God this is fantastic song. keep it up

  • @luckymkahala2805
    @luckymkahala2805 6 ปีที่แล้ว

    Dah I just love this song Mbarikiwe sana

  • @tummash1744
    @tummash1744 7 ปีที่แล้ว

    Kweli dada be blessed ..

  • @kikandimirimojohn70
    @kikandimirimojohn70 9 ปีที่แล้ว

    very nice songs

  • @kikandimirimojohn70
    @kikandimirimojohn70 9 ปีที่แล้ว

    I like it so much

  • @bingibalanga9322
    @bingibalanga9322 6 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana

  • @jaymoo29
    @jaymoo29 12 ปีที่แล้ว

    Nice Song Siz

  • @upendo24
    @upendo24 11 ปีที่แล้ว +1

    Weka zote

  • @happgeftxgodfrey9641
    @happgeftxgodfrey9641 8 ปีที่แล้ว

    Asante happy

  • @upendo24
    @upendo24 11 ปีที่แล้ว

    Weka album ya kwanza (usiogope)

  • @happgeftxgodfrey9641
    @happgeftxgodfrey9641 8 ปีที่แล้ว

    Asante wajina

  • @happgeftxgodfrey9641
    @happgeftxgodfrey9641 8 ปีที่แล้ว

    Asante happy