If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace, hata adui wakija wasikuweze. In Jesus name. Amen
Natumaini kwako Yesu Uwe nguzo ya moto mbele yangu adui wakija wasiniweze🙏 Bila wewe siwezi Wimbo wa kutia nguvu kweli🙏 Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu
This Man sang Mungu ni mungu n i would cry n remind God who He was in my situation n all was well today i celebrate n when i remember where i come from mungu ni mungu is am my playlist
If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace, hata adui wakija wasikuweze. In Jesus name. Amen
In Jesus Name 🙏 🙌 Amen
Amen
Amen
Amen
In Jesus Mighty Name, Amen 🙏
Wimbo wa kufariji moyo na kutuhimiza safarini
Aliguswa moyoni anipe like
Butamu sana ku isikiya...Mwa naume tunga zi ngine Chantal kibal DRC
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu,,Kweli Mungu uwe nguzo ya Moto mbele yangu
Be blessed for blessing others unanibariki sana na nyimbo zako
Wewe ndio nguzo ya moto mbele ya maisha yangu mungu wangu wewe ndo kila kitu baba,,, nice song
Barikiwa sn kwa ujumbe mzuri, hakika umenitia nguvu. By J. Kinabo
Mungu uwe nguzo maishani mwangu huu mwaka, amen
Always this song make me tu be strong through the challenge that am passing 😢😢 mungu ni tegemeo kwa kila jambo
Mtu wa Mungu barikiwa sanaa huu mwaka na uwe nguzo ya moto kweli kwelii kwa maadui zako
Ni kweli mtumishi wa mungu,mungu tu abaki kuwa nguzo yetu,ubarikiwe.
Kila kukicha unanibariki nakushukuru kamanda
Uwe nguzo ya moto mbele yangu Mungu wangu 🙏🙏
MUNGU amekutenga Kwa kazi yake ninguzo kwako MUNGU akubark sn sn
From tik tok nimefika. God bless you bro powerful
Ubarkiwe mtumishi.kwa kunifariji na hii nyimbo nzuri
Fight for me Lord don't forseke us
Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌 ubariw sana mtumish wangu🙌🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮👈👉🇴🇲uwe nguzo ya moto mbereyangu mungu
Mutumishi mungu akubariki saana kwahiyi nyimbo kabisa awe nguzo kweri ni napenda nyimbo hiyi sana
2022 wimbo wa Moto kabisa
Very nice. Asante saana
Barikiwa mtumishi wa mungu.Iam blessed
Very nice..mungu naweza
🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🙏🙏🙏fight for me Lord
Ameeeeeen
🇰🇪🇰🇪
Barikiwa Sana mtumishi WA mungu nikiwa Kenya more love❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪be blessed
Barikiwa Sana huo wimbo ni maombi Tosha Kwa mungu
Mungu akuzidishie siku unanibariki saana na kunitia nguvu kwa nyimbo zako
Am ongele Denis,Our God is ever victorious amen
Ubaya wa huu wimbo unaisha, God bless you man of God
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen yesu uwe nguzo ya moto mbere yangu🙏🙏🙏huu wimbo umenibariki nikiwa KSA ,mungu akubariki Christopher
Good touching hit song love from Kenya
ooh what a powerful touching song,,,,be my pillar Lord!God bless you my brother
Ubarikiwe mutumichi wamungu kwari mungu awenguzu ya moto mayichayangu🙏🙏🙏
Najikuta Kila mara nasikiliza huu wimboo.... Mungu azidi kukuinua Mtumishi.... Nyimbo zako Zina mafuta saaana
Ubariwe Sana wasua
God let your will be done ,because I neither know my today nor my tmro❤
Natumaini kwako Yesu
Uwe nguzo ya moto mbele yangu adui wakija wasiniweze🙏
Bila wewe siwezi
Wimbo wa kutia nguvu kweli🙏
Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu
Mahala ulipofikia Christopher, ni baraka zake Mwenyezi MUNGU. Upon juu Sana !
Amen Utukufu kwa Mungu
Always here to support good music 🎶 love your songs from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante Sana mtumishi wa mungu nyimbo zako unibariki kila siku mungu azidi kukupa nguvu.
Barikiwa Sana Mtumishi kazi nzuri
Be blessed I aspire working with one day 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Weye ndio baba na yote. Usituache adui kutuoiga Mungu baba. Amen
Amen mtumishi wa mungu huduma yako izidi kusonga mbele barikiwa sana
Nisaidie yesu. 🙏🙏 barikiwa mtumishi wa mungu.
Barikiwa mtumishi na Mungu akutangulie,,,,Nguzo yetu Ngao yetu ni MUNGU,,
Uwe nguzo ya moto maishani mwangu,adui wakija wasiniweze
Napenda nyimbo zako mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
The song is working miracles in my life.. like I thought nimefika mwisho wa maisha ...
Barikiwa sana mungu akuinue kwa viwango vya juu
Mungu aku bari sana napia niko naomba number yesu baba naomba
Mungu uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu,, Adui wasiniweze
Another great song and prayer.
#Kenya
Yesu uwe ngozo ya moto mbele yangu adui wakija wasiniweze
Mungu akuwe naweye kilasiku ili baraka iendeleye kuwa n'a wewe ,akupe tena ekima zaidi n'a zaidi.
Uwe nguzo ya moto mbele Angu sk zoteeeee za Maisha yanguuuuuu aminaaaaaa
Keep going 💪....a blessing one 🇰🇪
Wow blessing song here from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aki inabariki sana,kabisa MUNGU saidia wajawako
Uwe nguzo ya moto Maishani no evil spirits nor people,kuwa nami mungu usiniache ww ndo tegemeo langu
Mungu awabariki wote walio husuka katika wimbo uh na awape mahutaji ya miyoyo yenu mbarikiwe sana
Mungu ukanitendee sawa na ujumbe huu
Huwa nabarikiwa mno nikiskiliza nyimbo zako. Barikiwa mtumishi
Nitetee Mungu wangu kila wakati wote maadui watakapo kuniangamiza..nanyenyekea mbeleni mwako Mungu wangu🙏
Very powerful song 🎵 God bless you man of God. Much love from Kenya 🇰🇪 ❤
nafarijika sana nkisikilza nyimbo zako, mungu akutie nguv ktk kaz ya kumtumikia yeye ❤️❤️❤️💓✍️
Barikiwa sir
Amen Mimi nategemea kwako mungu nikikingia kifua uwe nguzo mbele yangu
Amen sana MUNGU naomba uwe nguzo ya Moto mbele yangu🙏🙏🙏
Praise Lord servant of God, my soul is blessed
Aweee re
Je ne comprends pas le swahili mais j'adore le song ça sent la présence de Dieu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Am in love with this song I play it every time before I go to school.
Bé blessed man of God,with this sont,which is very wonderful !
Barikiwa sana Mtumishi kwa ufunuo
Amen...be blessed🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏 🙌 ubarikiwe sana kaka yangu
Mtumishi MUNGU akutumie zaidi na zaidi kupitia nyimbo tunapona
Nyimbo zako zinanibariki Mungu azidi kukuinua juu zaidi Mtumishi.
Am blessed when I listen to your song
Ubarikiwe sana mtumish Wa mungu
uwe guzo ya maisha yngu bila ww siwezi
Ameeen be blessed man of God🙏🥀
Barikiwa kwa wimbo huu wa matumaini maishani mwangu
Barikiwa sana ndugu muimbaji
Ahsante kwa nyimbo nzuri mtumishi
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
Uwe nguzo ya moto Bwana adui wakija wasiniweze
Huu wimbo unaniguza saana moyo wangu
Asante sana mtumisi am really blessed by your song
Hallelujah 🙌 mungu baba uwe nguzo ya moto
Barikiwa mtumishi wa mungu
Uwe nguzo maishani mwangu bila ww siwezi
Nimebarikiwa Sana ,,🙏🙏
Barikiwa Sana mtumishi
Mungu..ameniponya roho
I really love 💞 this song I play it day and night 💖
É verdade, meus inimigos não vão me derrubar, porque o Senhor Deus dos exércitos vai combater ao meu lado.
Mungu akutunzeee sanaaa bro
Ameni barikiwa Mtumishi🙏🙏🙏
This Man sang Mungu ni mungu n i would cry n remind God who He was in my situation n all was well today i celebrate n when i remember where i come from mungu ni mungu is am my playlist
God be a pillar of fire to me so that the enemy may not consume me in Jesus name
Ubarikiwe kwa uimbaji nyimbo nzuri sana