Mwanamke wa kislamu hafai kuvaa mavazi ya mapambo ni haramu isipokua kwa mume wako peke yake. Vazi linaonyesha hadi matiti ualivyo fura na shingo iko wazi
Zama za mwisho hizi. mnasema mavazi ya kiislam .nani kawaambia kwamba watakiwa uvae hivyo. mwili wako na nguo ya urembo inamuhusu mumeo tu . wacheni kupotosha watu
Wow. ILive. it. It. Good.
Hii ni vazi ya wahindi sio ya kiislamu wacheni kuwapoteza waumini wa kiislamu Allah atuongoze kwa njia ya haki
Mavazi ya harusi za KISWAHILI. Huu ni Uswahili si Uislamu.
Tunaomba namba
I see my cousin -phahima you nailed it the one with a pink dress 💋💋🔥🔥💥😘
you walk like a queen and love your design 🙈🙈
Adna Mohamed is cute
siyo mavazi yakislamu acheni uswahili
Kweli waache uswajili
Mwanamke wa kislamu hafai kuvaa mavazi ya mapambo ni haramu isipokua kwa mume wako peke yake. Vazi linaonyesha hadi matiti ualivyo fura na shingo iko wazi
Mashaallh
Ya kiisilamu ndio uliona wapi mkristo anavaa lemba
Mubarikiwe inshaallah 👃 👃 👃
Mazuri
mashalaaaa hyo mavazi yapendeza esp.gown colour
mavazi ya harusi za kiswahili ama kiislam na ni uisilamu upi huo mnaomaanisha
Ali Dingngo haha nashindwa uislamu sio hivi, ila ni uswahili na biashara tu
Warda Mutanu Allah Atuongoze zama za mwisho hizi
Ali Dingongo hahaa biashara matangazoni
Ali Dingongo ety
Vizuri
mashllah nzuri nimependa
Eti ya kiislamu??? Haya ni mavazi ya waswahili na wasomali. Haya sio mavazi ya kiislamu
mashaaallah nitapatajee hayomavazii
Ma sha Allah
Mashaallah areyk
maisha Na mavazi
harusi siyakislamuu bali ya kiswahilii madrasa muhimuu
Mavazi mazuri
Nimezipenda
Hayo siyo mavazi yakiislaamu acheni kudhalilisha nidi .
Hapo hakuna nguo za kiislam hizo ni nguo za waswahili
Mashallah
Ma nsha allah gauni nzuri
Zama za mwisho hizi. mnasema mavazi ya kiislam
.nani kawaambia kwamba watakiwa uvae hivyo. mwili wako na nguo ya urembo inamuhusu mumeo tu . wacheni kupotosha watu
Swadakta...
Kabsaa
Mashaallah Nime penda haya mavazi plz naomba number ilinijue naeza pata vp hizi dress
woow
Masha Allah
Very beautiful sio yakuacha matiti nje
Jamani sijamuona lulu akisimama kumbe daaah mashallah
ya pink no kama wanakusudia mabiharusi wa kiislam hawezi kuvaa hiyo pink inatakiwa mikono kufunika huyo mikono iko mifupi sana
Lulu ni mzuri mashaallah,na Kanze nae yumo kwa kusifiwa na maharusi wao .
kanze uko smart na hizo nguo
Mombasa wa patikana wp jameni
Mnapatikana wapi
Biashiara hiyo dah Kali.
ahmed ibrahim nmependa jeupe nalipataje
mnapatikana wapi
Jaman ilo wait nimelipenda mno
This is Swahili wedding culture not Islamic
jamani namba pls nahitaji gauni
Mimi.naombaaa.nambazake nipo daresilamu nitawapata wapi nahitaji ngauni
naomba namba ya huyo mama plz
Mm taka namnbar, ya huyomama
Bei
mnapatikana wapi naitaji gauni
Wqpatikana wp?
MashaAllah
nguo mzuri
naomba hilo la white Mi pia nimelipenda jamani biharusi mtarajiwa
what's the name of the song please
Blaq Qwin it's by mahar zain song barakallah
Barakalahu lakuma بارکالله لکما
Nahitaji gauni jamani naombeni namba za sm bac
Jamani magaunii mazuri sana
Jamani nami nahitaji ntalpata veeep,,,,no zenu tafadhali
Nko arusha jaman ntawapataje nataka gauni
Contact please
Masha Allah.Amapatikana wapi.Contacts please
dada nisawa ila naomba jeupe au pink
Mi nimempenda namb yako naomb
tupeni nambaza simu
Mim mbona naona hizi nguo nzuri zimefunika kushinda zenye twaona kwingine matiti nje basi afadhali hizi.
hauangalii afadhali bali sheria inasemaje kuhusu vazi la mwanamke
Iliandikwa wapi Sasa hio ni biashara.hiyo hela kheri nitoe sadaka nitoe kwamaskini ,yatima na wajane. Na nifunge ndoa tu.
+Rahma Rahma
Acheni uongo mtume hajasema hivo
Ayo mavazi yanapayikanaje
He much is blue apink sari
this is wascost
Wa2 wa dar tunayapataj ayo mavaz
Tunayapataje mbeya
harusi siyakislamuu bali ya kiswahilii madrasa muhimuu
mnapatikana wapi naitaji gauni