Historia ya kusikitisha ya wimbo: Ni salama rohoni mwangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Katika video hii tutakwenda kuona ni kisa kilicho nyuma ya wimbo huu mzito. Leo nitamleta kwako mtunzi wa maneno ya wimbo huu bwana Horatio G. Spafford pamoja na kisa kilichopelekea kutokea kwa wimbo huu. Labda baada ya kisa hiki utaelewa kuwa hata katika karne za hivi karibuni kuna Wakristo wanaoweza kumwangalia Yesu tu hata wakutane na maumivu makali kiasi gani.

ความคิดเห็น • 14

  • @OnkyMike-km3jk
    @OnkyMike-km3jk ปีที่แล้ว +2

    It is well with my soul

  • @FelisterMwailondele
    @FelisterMwailondele 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu siku zote ni mwema,hana makosa ujumbe huu umenifanya nisimame zaidi

  • @martinotima
    @martinotima 22 วันที่ผ่านมา

    amen

  • @JonhMathayo
    @JonhMathayo 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi. Nimeona. Kusimama. Kwa. Yesu. Ndio. Njia. Saii. Jina. Yesu. Libarikiwe. Amen

  • @julionhamahango5613
    @julionhamahango5613 10 หลายเดือนก่อน

    Bom dia good morning bonjour. Neste conte

  • @lenardphilipo4720
    @lenardphilipo4720 ปีที่แล้ว +1

    Ninatanamani sana kujuwa kisa cha Titanic

  • @adolphineapingi7774
    @adolphineapingi7774 ปีที่แล้ว +1

    Nineema kubwa hiyo kumjua, Mungu na ukuu wake.

  • @FelisterMwailondele
    @FelisterMwailondele 11 หลายเดือนก่อน +1

    Atabaki kuwa Mungu tu,hana mbadala

  • @gracapk10
    @gracapk10 9 หลายเดือนก่อน +1

    BWANA NI MWEMA WAKATI WOTE. NAOMBA KISA CHA WIMBO NO. 31 NIIMBE PENDO LAKE....

  • @AlphonceKorwa
    @AlphonceKorwa 2 หลายเดือนก่อน

    Historia ya mtunzi wa wimbo namba 121 7:43

  • @julionhamahango5613
    @julionhamahango5613 10 หลายเดือนก่อน

    ESTAVA A COMENTAR ACERCA DESTA CANCAO. NOS HINARIOS DA METODISTA E O NR. 118. NZI HONZILE LEZAKU JESU MISAVENI A VANANA VAKWE. JEJUZ CRISTO CHAMOU AS CRIANCAS DELE.

  • @masolamaregesi6742
    @masolamaregesi6742 11 หลายเดือนก่อน +1

    Historia ya wimbo piga panda ya makelele wimbo namba 161?

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +2

    🤔🤔🤔🤔

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭