BALAA! LEMA ATOA MANENO MAZITO SAKATA LA KUFUTWA KWA VIJIJI VYA WAMAASAI NGORONGORO NA SERIKALI |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 148

  • @EmmanuelFissoo
    @EmmanuelFissoo 22 วันที่ผ่านมา +14

    Mungu awalinde viongozi wetu wanawasemea wanyonge.

    • @rosekimaro384
      @rosekimaro384 22 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏✌

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@EmmanuelFissoo viongozi gani wa kulindwa na hizo duwa zenu chafu?
      Wenzenu wanalamba asali halafu nyie dona kwa tembele shida kulipata, tafuteni pesa mjikimu achani kuingilia SACCOS za watu mtapasuka

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 21 วันที่ผ่านมา

      Na wewe unalamba kojoo​@@MilloWamilonga-ft8ir

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 19 วันที่ผ่านมา

      @@MilloWamilonga-ft8ir mbona hujaeleweka?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 18 วันที่ผ่านมา

      @@marieconnect6389 utanielewaje wakati wewe ni zoba tu wa chagadema?

  • @ThomasMamasita
    @ThomasMamasita 18 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli mh lema mungu akulinde maisha yako ubarikiwe kaka angu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 22 วันที่ผ่านมา +7

    Ukweli watanzania tumechoka,kila kukicha ni matukio makubwa ya machungu na kutisha kwa nini?

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 21 วันที่ผ่านมา +1

      Usingizi wa Pono

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@ChristerKoku nafikiri wewe peke yako au na hao chagadema ndio mmechoka munahitaji madaraka mutuibie, nafasi hiyo hatuitoi kamwe

    • @sethkivuyo3342
      @sethkivuyo3342 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@richardnganya2311😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 21 วันที่ผ่านมา +3

    Samia anahitaji kutafuta Mawaziri wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Wasaidizi wandiyo ndiyo watamwingiza shimoni. Awe karibu na wenye uwezo wa kumkosoa bila kupepesa macho. Waziri wa Sheria Prof. Kabudi ana mtihani mkubwa. Ameteuliwa kwa makusudi kushughulikia matatizo tunayoyaona. Hii ni nafasi yake ya mwisho ya kutetea wananchi, na wala siyo Serikali.Akishindwa safari hii, basi historia ya ukoo wote wa Palamagamba Mwaluko itatupwa jalalani milele.

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 22 วันที่ผ่านมา +7

    Inaumiza sana iseeeh😢

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@williamgeorge-hd2tn unaumia na nini wewe Acha upumbavu

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@williamgeorge-hd2tn kinakuumiza kitu gani?

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 22 วันที่ผ่านมา +9

    This is very painful to our fellow sitizen mungu saidiya wamasayi wa ngorogoro

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 22 วันที่ผ่านมา

      Sio Wamaasai tu ni Tanzania wote

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 18 วันที่ผ่านมา

      @@leokamil6284 ovyo kabisa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 18 วันที่ผ่านมา

      @@MilloWamilonga-ft8ir Nini ?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 18 วันที่ผ่านมา

      @@leokamil6284 naaema ovyo kabisa.
      Msilete kampeni kwa kuwarubuni wamasai ili mate point nyie CHAGADEMA
      Mnababaishwa sana na hiyo saccos ya mbowe makengeza

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 18 วันที่ผ่านมา

      @@MilloWamilonga-ft8ir Huo mdomo uliotamka kengeza subiri mwanao ajae ushuhuda utauona

  • @lucasmunyo8000
    @lucasmunyo8000 22 วันที่ผ่านมา +7

    Hongerani sana wakombozi wa inchi na wanyonge tupo pamoja

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@lucasmunyo8000Saccos ya makengeza mbowe haiwezi kuwa wakombozi nchi hii. Tamaa mbele hao kamwe hawatopewa nafasi ktk taifa hili.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@lucasmunyo8000 nani mkombozi ktk hao wanachama wa Saccos ya makengeza mbowe.
      Hamna chochote wakijuacho zaidi ya kuweka tamaa mbele na wizi

  • @bonifacemuya2406
    @bonifacemuya2406 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka lema unaakili kubwa sana huwa unanibariki sana aise kwani usigombee hata urais akili yako unafilili sana kaka nisaidie japo namba yako napenda sana unasera zakisomi

  • @evangelicalmiraclesfellowship
    @evangelicalmiraclesfellowship 22 วันที่ผ่านมา +7

    Muwaachie wamasai sehemu yao samia achia madaraka nchi imekushinda

    • @issakazi2758
      @issakazi2758 21 วันที่ผ่านมา

      Tumpe kichaa lissu au lema?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@evangelicalmiraclesfellowship mpumbavu wewe kutokea CHAGADEMA.
      TZ haitaki viongozi wakimbizi, kwani hujui kama huyo kilema ni raia wa Belgium 🇧🇪? Huoni familia yake inaishi ughaibuni, sio mtu mzuri huyo na watz hatuwezi kujichanganya ng'ooooooo

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 19 วันที่ผ่านมา

      Lirudi kizimkazi kwao hatulitaki

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@issakazi2758kwanza wakiskia ameapishwa kuwa raisi watakimbia mapema nchi

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 19 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@MilloWamilonga-ft8irmpumbavu ni ww asie jitambua nitajie ktk nchi hii ni kiongozi yupi anae tupa elimu ya kutuambia ukweli kama sio lissu tena ukome na umuache baba msomi tunampendasan unamlinganisha na nani ccm? Yupi wa kumlinganisha na lissu ndani ya ccm toa unafiki

  • @JPO2R69
    @JPO2R69 22 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana Mr Lema. Unawaambia adhari za Leo na Kesho. Kuna Watoto wa waadhiri wa maamuzi yao watakuwa Viongozi Kesho. Je wakiamua na kurivenje.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@JPO2R69 huyo Lema ndio zuzu kabisaa mkimbizi kule Canada, kabeba sana maboxi mjinga mjinga huyo.
      Wanaume wakiingia mitaani yeye anatika nduki, sasa huyo ni wa kusikilizwa kweli?
      Viongozi chagadema hamna hao wote ni wapigaji tu, mtakuja kujuta hao wakiingia madarakani hawatomjua mtu yoyote hao.
      Lema miaka 10 mbunge Arusha kakifanya nini? Au kuna kilelezo gani cha mazuri kwa wana Arusha?

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 21 วันที่ผ่านมา +1

      ​@MilloWamilonga-ft8irnina wasiwasi na jinsia Yako

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@jonasdaniel1025 njoo uniachie kalio ndio utajua wa jinsia gani.

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@jonasdaniel1025😂😂😂

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 17 วันที่ผ่านมา

    Tatizo la Mama amebeba zaidi Wanafiki Machawa na anarimotiwa na sidhani kama anasoma mafaili Tanzania kwa sasa hali siyo nzuri

  • @frankmaeda4284
    @frankmaeda4284 22 วันที่ผ่านมา +3

    Wanalazimisha kupora eneo la wamaasai,baadae watatimuliwa kama masetla kule Zimbabwe

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@frankmaeda4284 wewe ndio mjinga wa kiwango cha mavi ya kuku

  • @fredrickshirima4522
    @fredrickshirima4522 22 วันที่ผ่านมา +2

    Lema sema tu mangi maana Mungu amekupea hiyo akili c kwa bahati mbaya bal haya yapo.Mungu awe pamoja nanyi wote wapenda haki. ucposema mawe yatasema

    • @briankemboi-i4b
      @briankemboi-i4b 21 วันที่ผ่านมา

      Tarifa leo

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@fredrickshirima4522 huyo Lema ndio mpumbavu mkubwa ndani ya hiyo SACCOS ya mbowe makengeza.
      Mkimbizi huyo hana jipya, kamanda hakimbii vita bhana, mwambie amrudishe mkewe kwanza ndio tumuelewe vizuri.
      Eti boda boda ni kazi ya laana, Lema ni pimbi wa hali ya juu halafu amuongoze nani?

  • @EdwardAlairisha
    @EdwardAlairisha 22 วันที่ผ่านมา +2

    E mungu utulinde kwa manyanyaso haya😂😂😂😂

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 22 วันที่ผ่านมา +1

      @EdwardAlairisha kinakuchekesha nini?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@EdwardAlairisha Huna akili wewe.
      Mungu anamlinda kila mja wake na hakuna hayo manyanyaso nchi hii, ni uchawa wako ndani ya saccos ya mbowe ndio inakupelekesha

  • @2mtei466
    @2mtei466 18 วันที่ผ่านมา

    Hoja nzuri sana.

  • @sebuyoyabiteyubwoba
    @sebuyoyabiteyubwoba 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa sheria hiyo rais alivunja katiba ya nchi kwa kuwahamisha ndugu zetu wamasai.

  • @johnbundala7596
    @johnbundala7596 22 วันที่ผ่านมา +3

    Safi kabisa lema.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 22 วันที่ผ่านมา +2

    Inawezekana watawala Kwa ugeni wao madarakani wamedhani kuwa hakuna kumbukumbu za Sheria zilizotunzwa Kwa ajili ya vizazi vijavyo Kwa marejeo. Kama wamekuwa wakijua kwanini hiki kifanyike bila ya kurejea au kurekebisha Sheria Ili iwiane na wanachotaka. Sasa wamasai tunawaona wengi wamekuwa waganga wa kienyeji na kuuza visu na dara.

  • @user-mn3yd7jg3q
    @user-mn3yd7jg3q 22 วันที่ผ่านมา +4

    .iii nchi ishakua ngumu uongoz unaenda kibabe sna .ile democrasia ishakuwa ya maneno tu vtendo amna ata nnucta

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@user-mn3yd7jg3q fikira mgando.
      Demokrasia haitaletwa na SACCOS ya mtu binafsi

    • @gulalakitinya7615
      @gulalakitinya7615 21 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe zuzu kweli. Ni saccos gani iliyo nzuri kwako ya Mbowe ( mtanganyika) au ya Samia ( mzanzibari ) ? Huoni ya Samia inakufanya kuwa mtumwa, na mbaya zaidi ina mimi ya Waarabu? Tuliza akili yako halafu fikiria ni saccos gani inafaa bila ya kukurupuka.Acha upoyoyo.

    • @gulalakitinya7615
      @gulalakitinya7615 21 วันที่ผ่านมา

      sahihisho: mizizi siyo mimi

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@gulalakitinya7615 mimi na wewe nani mpumbavu?
      Narudia saccos ya kibinafsi pia ya kiukoo haiwezi kuunganisha TZ,
      Utanganyika wa makengeza mbowe hautoweza kuisaidia nchi hii, yule ni mlamba asali
      Labda nikufunue huo ubongo wako ulioozea kwenye makalio yako.
      Samia ni rais wa JMT ambayo ni muungano, yupo kisheria kabisaaa, ana ana uwezo wa kumtafuta muwekezaji yoyote yule ili mradi imeidhinishwa na bunge, kama hao DPWorld, kinachowauma wengi ni wagalatia wa kipumbavu ambao akili zetu zimeegemea kwa wazungu ambao ni washenzi vile vile.
      Wakati Mkapa ametaisha viwanda vyote 450 vya TZ hatujaona mshenzi wowote kulaani.
      Wagalatia mpo mbele sana kutoa lawama za mchongo ndio maana mwemdazake aliwastukia na kuwapoteza mazima.
      Inawauma sana kuona Samia kuwa kiongozi? Yule ni raia wa Tanzania tena bila doa lolote na ana haki 100% ya kuitawala nchi hii. Usilete habari za kishenzi humu wote tunaielewa nchi hii vzr labda nyie CHAGADEMA wenye ndoto ya makengeza eti aongoze nchi hii?
      Wale ni wezi tu hamna moinzani pale, tamaa mbele za upigaji tu.
      Watz mbona wanawafahamu vzr na hiyo saccos yake aliyorithishwa na wake zake.
      Kelele nyiiiiingi KATIBA MPYA wakati ndani ya Saccos yake hamna demokrasia.
      M/kiti ni yeye tu tangu arithishwe dadadeki. Hivi hii katiba mpya inawahusu chama tawala tu??
      Acha ku~comment ujinga humu na uwe na adabu safi pia uwe na sera zenye akili. Sisi hatuwezi kuendeshwa na
      1) mlamba asali
      2) raia wa Belgium
      3) mbeba maboxi wa Canada.
      Kamanda yoyote hawezi kuwakimbia walio mstari wa mbele hata kidogo.
      Lema ni mmoja wa viongozi wapuuzi na sera zake za BODA BODA ni kazi ya laana kumbe mwenye laana ni yeye pengine na ukoo wake.
      Jiongeze ujielewe kijana.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@gulalakitinya7615 mpumbavu kabisa wewe mwenye akili za makalioni zilizojaa kinyesi.
      Saccos haiwezi kupewa nafasi nchi hii, chama cha urithi ambacho hakijakidhi matakwa ya kuweza kukabidhiwa madaraka.
      Wote tamaa mbele, wezi, na wakabila pia.
      Unazingumzia uhalali wa Samia?
      Samia ni mtz by original kabisa na ametokea visiwani, na bila visiwa hivyo sio JMT.
      Samia yupo kikatiba tofauti na huo ubaguzi wenu nyie wagalatia.
      Unazungumzia DPWorld waarabu.
      Mbona umesahau wakati Mkapa alivyotaifisha viwanda vyote 450? Au kwa kuwa ni mgalatia?
      Uwekezaji haukuanza leo ni miaka kwa miaka tangu tupate uhuru na wazungu ambao ni washenzi wa tabia.
      Sehemu nyingi wamechukua na hawajaachia hadi leo, mbona huongei? Nyerere aliipelekesha putative nchi hii kwa miaka nenda rudi hadi elimu aliifinya, njaa kali. Wengi walitaifishwa mali zao, kulazimisha vijiji vya ujamaa na mengi mengine mbona husemi?
      Kwa sababu wanaofikia makubaliano ni wagalatia? Nchi ilikaa sawa baada ya mzee Rukhsa kuingia madarakani tukaweza kumiliki japo kibiriti cha gesi swala ambalo kwa Nyerere ni muujumu uchumi.
      Huijui hii nchi ndio maana unakuwa mjinga ktk kuchangia.
      Sasa hizi SACCOS tunazielewa hawana jipya ni kutaka wizi na ukabila.
      Stukeni nyie CHAGADEMA sio mkombozi kiutawala.
      1) walamba asali
      2) waoga (wakimbizi)
      3) wengine tayari ni raia wa nchi zingine tunawaelewa.
      Kamanda hakimbii jeshi lake litaongozwa na nani?
      Kwa hiyo Acha ujinga Acha upoyoyo pia Acha kufuata bendera za ki~SACCOS utapasuka.

  • @BeatusNgereza
    @BeatusNgereza 22 วันที่ผ่านมา +1

    Tusiwanyanyase masai hapo ni arithi yao, na nikwanini miaka mingine tangu enzi za mwl nyerere hawakufukuzwa leo hii ndio hawatakiwi

  • @geeva99
    @geeva99 21 วันที่ผ่านมา

    Kuna kitu jamaa anajikoroga, inshu sio wanyama wanaokolewa au kupendelewa, inshu ni kuwa, hata hao wanyama wako na eco system na wamasai, hao waarabu ndio wanawanyanyasa wanyama

  • @IssaMtana
    @IssaMtana 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu ibariki tz mungu wape subra ndugu zetu wamasai

  • @makalasamweli9570
    @makalasamweli9570 21 วันที่ผ่านมา

    ❤ivi viongozi uwawanajua haya jamani viongozi kamahawa walindwe sana

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 21 วันที่ผ่านมา

    Kijana mmoja wa kimasai ana thamani kubwa kuliko wanyama wote wangorongoro. Duh! Nimeipenda sana kauli hii. Huu ndio ubinadamu uliojaa utu

  • @BeatusNgereza
    @BeatusNgereza 22 วันที่ผ่านมา +2

    Selikari ianglie sana, kwanini wanauza kilakitu, kilicho achwa na marasi wengine wote,kitakachofuatia ni machafuko

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@BeatusNgereza wewe nani aliekwambia hayo? Au ndio uchawa wa ki~ CHAGADEMA?

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 21 วันที่ผ่านมา

    kuna watu wanachukia sana mambo ya chadema lakini hao wametumika kuwapa watanzania ujasiri wakuanza kudai haki zao hata ikibidi kwa maandamano..kweli nasema ccm ninyi mmekosea sanaaaa hili Taifa tubuni mambo hayawezi kwenda namna kama hii hapana..tunaendelea kuwashtaki kwa Mungu aamue kwa haki ya haki

  • @user-hu6kw7rk2h
    @user-hu6kw7rk2h 21 วันที่ผ่านมา

    Ww unakichaa kweli lema yani mnapoteza muda wenu tu watanzania hawawezi kubadilika

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 18 วันที่ผ่านมา

      Kwahyo wewe unatakaje sasa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kamanda umegusa mioyo ya wengi hata huyo aliyewahamisha ameguswa miye hadi machozi. Uwiiiiij lanye.

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 21 วันที่ผ่านมา +1

    KUNA SIKU TUTAHAMISHIWA ZANZIBAR

  • @user-nz1ur2xd7m
    @user-nz1ur2xd7m 21 วันที่ผ่านมา

    Sure ndg zetu wanateseka Sanaa huko Ngorongoro Lema unastahili kuwa Mbunge wa Ngorongoro

  • @IssayaNdinga
    @IssayaNdinga 21 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sahivi lema

  • @johnsonkatanga
    @johnsonkatanga 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wapelekwe kizimkazi zanzibar🤕

  • @PauloLeiyo
    @PauloLeiyo 21 วันที่ผ่านมา

    Very very nice lema

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 18 วันที่ผ่านมา

    Sasa hivi tukiinuka wanawake tutaandamana wenyewe na kusudi letu litakua kupata katiba mpya ambayo inaruhusu rais akifanya kosa lolote afikishwe mahakamani na sheria imchukulie hatua kama wahalifu wengine

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 21 วันที่ผ่านมา

    Na kama Kuna mtu alikuwa hajajua hili eti mpaka lema aongee😮

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 21 วันที่ผ่านมา

    Ha hahahaaaaaa.lLema bwana.

  • @LapaniMwarabu
    @LapaniMwarabu 21 วันที่ผ่านมา

    Yes

  • @AbdallahHussein-of7wd
    @AbdallahHussein-of7wd 21 วันที่ผ่านมา

    Leo umetulia Sana MH lema

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@AbdallahHussein-of7wd huyo mpumbavu mpayukaji yaani DOMO TINDIGA, mkimbizi asie na akili, kamanda gani unayaacha majeshi mstari wa mbele halafu yeye nduki ughaibuni? Lema ni fala tu adui wa boda boda.

  • @donatusmlowe7378
    @donatusmlowe7378 22 วันที่ผ่านมา

    Sauti haipo vizuri

  • @DavidDavid-i1t
    @DavidDavid-i1t 20 วันที่ผ่านมา

    Upinzan munaakili kuliko watawala

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio lema

  • @salama1113
    @salama1113 22 วันที่ผ่านมา

    Kuna shekhe anasema sio watanzania wti wakenya sasasijui mnamjibu nn chawaanae taka kuteuliwa dini ishamshinda namashekhe wengine mjitafakali kabla hamjaingia kwenye mkumbo

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 21 วันที่ผ่านมา

    Samia hao machawa watakuangusha wanakupaka mafuta kw chupa ya mgongo

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 21 วันที่ผ่านมา

    Maendelea ya nchi hii ni kuruhusu ushindani Bungeni,vichwa kama hivi vingekua Bungeni maendeleo lazima tungeyaona.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 21 วันที่ผ่านมา

      @@pennymahombo9528 vichwa kutokea saccos ya chagadema ni kujidanganya tu.
      Wezi na wazandiki wakubwa hao.
      M/kiti mbowe makengeza yeye ni mfalme wa kudumu halafu utasikia wakivunja pua kuhitaji KATIBA MPYA wakati ndani ya SACCOS ya CHAGADEMA ina uchafu na haifuati katiba hiyo pia.

  • @AbdallahHussein-of7wd
    @AbdallahHussein-of7wd 21 วันที่ผ่านมา

    Serikali inasema sababu n nini?

  • @briankemboi-i4b
    @briankemboi-i4b 21 วันที่ผ่านมา

    Tarifa ya leo

  • @briankemboi-i4b
    @briankemboi-i4b 21 วันที่ผ่านมา

    Tarifa abari ya leo ngorongoro

  • @cheekszebedayo9340
    @cheekszebedayo9340 21 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @SauliBasso
    @SauliBasso 22 วันที่ผ่านมา

    Taifa la kisenge hili

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 21 วันที่ผ่านมา

    NCHI IONGOZWE NA VIONGOZI IMARA WA DINI

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 21 วันที่ผ่านมา

    Unajipya we chz?

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 21 วันที่ผ่านมา

      Unamtukana amekosa nini?

  • @immamunisi1312
    @immamunisi1312 21 วันที่ผ่านมา

    Sante kamanda

  • @solomonsaitabau4461
    @solomonsaitabau4461 22 วันที่ผ่านมา

    duu

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 21 วันที่ผ่านมา

    Mamruki mkubwa

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 21 วันที่ผ่านมา

    Yaani unapenda chama kuliko hata Mungu
    Maana Mungu anasema mpende jirani yako kama nafsi yako,
    Sasa wewe umeiacha hiyo amri ya Mungu
    Umependa chama cha siasa
    Unasikitisha sana

  • @Marjeby
    @Marjeby 21 วันที่ผ่านมา

    Lema huwa anaongea vitu vizuri sana but presentetion zake huwa za kihuni sana na hiyo inatokana na ushamba ukimsikiliza kwenye presentetion zake tu unajua huyu jamaa ni mshamba

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 22 วันที่ผ่านมา

    Kwakuandika Barua Duniani kuchafua Nchi na kuzuia Watalii kuja Tanzania basi Ndio hatakaa Apate Ubunge wa Arusha na wala Tanzania popote Labda Arudi Canada akaendelee kutunzwa na Serkali ya Canada Yeye na Mkewe na Watoto wake ila Tanzania cheo Ndio Bye bye tena. Hatuwezi kuwa na Viongozi wanaoharibu Nchi badala ya kutengeneza.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 22 วันที่ผ่านมา

      We ni mjinga kwahyo unafurahia wamasai wanavyoteseka Ngorongoro kisa watalii?

    • @user-tn7ic2ky3i
      @user-tn7ic2ky3i 22 วันที่ผ่านมา +1

      Nimeshukuru sana kwa hizi simu kuja kwa sabbu tujuwe wapumbavu wengi ao wajinga

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 21 วันที่ผ่านมา

      Wanao fukuza wamasai wao wako sahihi,

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn 21 วันที่ผ่านมา

      Kumuelewa comde Lema ni kazi kubwa sana. Ni sawa na mwalimu wa chuo kikuu kuja na hesabu ya chuo kikuu kwa wanafunzi wa darasa la saba!

    • @ErnestiSulle-w9k
      @ErnestiSulle-w9k 21 วันที่ผ่านมา

      Wewe popo na chawa huna. hata jipya

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 22 วันที่ผ่านมา

    Ni tatizo lkn serikali inalielewa hilo vzr.
    Hawa CHAGADEMA huchukulia kama point ktk kampeni zao mbuzi. Wanaeleweka vzr na hasa huyo mkimbizi wa Canada hawana jipya ktk siasa za kidemokrasia.
    Ni wapuuzi kupita maelezo.
    Suala hilo la wamasai serikali inalijua vzr na watalitatua vzr na kwa hekima zote, isiwe ni point kwa wapinzani ambao sera zao zimedoda na kufa.

    • @matiredms917
      @matiredms917 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ni lipumbavu limoja ambalo halina mbele wala nyuma. Unaolsema ni pumba tupu tupu tupu.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 22 วันที่ผ่านมา

      @@matiredms917 huo ndio ukweli si hata nyerere alikuwa anawasisitiza wtz, chungeni na chaga's si watu wema
      Na kitafanyika chochote na kwa gharama yoyote kuona kwamba CHAGADEMA haipiti dadadeki.
      Wewe kama hupo kundi hilo ujue upo zwazwa au pimbi wa kutupwa. Jiongeze lkn CHAGADEMA hiyo ni SACCOS ya makengeza stuka

    • @ignasamando9593
      @ignasamando9593 21 วันที่ผ่านมา

      Ngoja waje wakuhamishe ww kijjini kwenu huache makaburi ya ndugu zako na kila kitu alafu upelekwe sehemu ambayo hujawahi kuwaza hata kufika kwa bahati mbaya.

    • @user-zg5sg1bc9b
      @user-zg5sg1bc9b 21 วันที่ผ่านมา

      Wajinga wengi wa namna yenu ni wengi kutisha!! "Sio kujitoa ufaham tu,bali hata kufaham ni nini kitafata baada ya hawa wanaoangamia nani atafata!! Si rahisi kwa watu kama nyie kufaham. Lakini rudi katika mafundisho ktk dini kwamba;.mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe!! Sasa wewe ,nyie mnaopiga makofi,kuunga mkono jambo ambalo kwa namna moja au nyingine ndugu zako wanaangamia jua kbs wewe ,nyie mko katika njia ya shetani na wengi wetu tumeingia mkumbo bila kuhoji wapi tunakwenda. Tusubiri majibu,mungu atajibu haya pasipo kificho. Na tusubiri pamoja na kujitoa ufaham, kila mmoja atavuna alichopanda. Hatuna wasiwasi sisi tulio upande wa mwenyezimungu.

    • @ErnestiSulle-w9k
      @ErnestiSulle-w9k 21 วันที่ผ่านมา

      Fala mkubwa wewe.

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 22 วันที่ผ่านมา

    Ni tatizo lkn serikali inalielewa hilo vzr.
    Hawa CHAGADEMA huchukulia kama point ktk kampeni zao mbuzi. Wanaeleweka vzr na hasa huyo mkimbizi wa Canada hawana jipya ktk siasa za kidemokrasia.
    Ni wapuuzi kupita maelezo.
    Suala hilo la wamasai serikali inalijua vzr na watalitatua vzr na kwa hekima zote, isiwe ni point kwa wapinzani ambao sera zao zimedoda na kufa.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 22 วันที่ผ่านมา

      Hujielewi wew kula kulala Unasupport udhalimu mkono uende kinywani

    • @EnekiMtawa
      @EnekiMtawa 21 วันที่ผ่านมา

      Jigakabisa mloho mkubwa watu wanalia wew unaleta uchawa APA umelaaniwa ww na uzao wako amina

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 21 วันที่ผ่านมา

      Chuki yako itakukausha mpaka mifupa yako . Yaani unapenda ccm kuliko hata binadamu chuki yako ni mbaya sana

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 21 วันที่ผ่านมา

      Kalala na govi lako hujielewi wewe

    • @JosephatJoseph-eo8xj
      @JosephatJoseph-eo8xj 21 วันที่ผ่านมา

      Mbwa