Review ya Gari yangu mpya “God did it🙏🏻” Mazda CX30.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 65

  • @josephNdichu879
    @josephNdichu879 4 หลายเดือนก่อน +8

    Your always so informative, am from kenya 🇰🇪 lakini nafwatilia your content nkiwa Qatar 🇶🇦, soon ntakuja marekani pia inshallah. Kingereza nakuona uko sawa kabisa on how you illustrate for us to understand. Continue giving us content nashukuru sana

  • @ramlaMohamedi-wu6el
    @ramlaMohamedi-wu6el 22 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah hongerasana kakayangu mungu akuzi di shie

  • @alhabibali4235
    @alhabibali4235 4 หลายเดือนก่อน +3

    Congratulations brother. This is a great achievement. You inspire us a lot. Allahu Baarik.

  • @daviddonatus8121
    @daviddonatus8121 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nakukubali kinoma kaka

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah nzuri saaana

  • @festoLuanda
    @festoLuanda 16 วันที่ผ่านมา +1

    Very good

  • @charlesjohn9893
    @charlesjohn9893 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kak hongera san..

  • @EnogiveGeneralSupply
    @EnogiveGeneralSupply 4 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations dogo Mungu Azidi kukupigania.

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sn bro mshana mungu akubariki ck zote upate mafanikiyo mema kw sote

  • @samtimes_tz
    @samtimes_tz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kaka keep winning🔥🔥

  • @tonyjames6658
    @tonyjames6658 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nilikua nangoja video yako tu..😅

  • @GoogzCraven
    @GoogzCraven 4 หลายเดือนก่อน +3

    This awesome bro

  • @ProsperNgonyani-r3f
    @ProsperNgonyani-r3f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shingp nimelipende sana

  • @MkuziSaha-ll6ex
    @MkuziSaha-ll6ex 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations babaz Mungu Kwa sana🙏🙏🙏

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalah mashalah mashalah ilo gari linafanana kama haria kaka... kiukwer nafurahia kwa mafanikio yako..yan unanivutia sana kaka..i wish namim niwe mwanajeshi mwanamke wakimarekani yan..ninandoto yakuja uko marekan kaka inshallah..namimi nipo njian kuja uko kaka marekan mana ndo ndoto yangu nije kupambana..naamin mungu namim atanitendea miujiza kama ulivyosemaga mungu anafanya miujiza.. inshallah

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@jamilaathumani5481 inshallah utafika kwauwezo wa mungu usichoke kuomba pia tafta njia yoyote itayokuwezesha ww kuja huku kishule, kutembea, au kama utaweza kutembea nchi ambazo haziitaji visa kwanza kama Bahamas

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@mshanatheblacksmith inshallah kaka mungu atabariki naamin na atafanya maajabu yake..nanikifika inshallah nitakutafuta kaka angu..meseji yako imezidi kunipa nguvu..ndo nipo narisach risach mpaka kieleweke Ili nije inshallah nije kupambana kaka

  • @omanhh2875
    @omanhh2875 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Allah kaka kila hatua dua

  • @jeremiahjabiry3295
    @jeremiahjabiry3295 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana

  • @crispasmwase9188
    @crispasmwase9188 4 หลายเดือนก่อน +3

    Congrats

  • @InformationMarketer007
    @InformationMarketer007 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana kaka Kwa hatua uliyofikia ila Nina challenge OFA ya mtu yoyote anayehitaji kufanyiwa maombi ya visa ya marekani

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nipo hapa mkuu

    • @InformationMarketer007
      @InformationMarketer007 2 หลายเดือนก่อน

      @@madetetv6576 comment namba yako ili nikupe utaratibu

  • @PaulKihwele
    @PaulKihwele 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka naweza kuchati na wewe inbox

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mazda ndio habari mjini gari kali sana

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa kaka from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gari Kali sana iyo kaka. Yamwaka gani hiyo mzee. I'm mechanic. Kwa gari nzuri za kijapani yakwanza Toyota, Nissan, Mazda nk.

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@ahmedalfan8075 2024

    • @ahmedalfan8075
      @ahmedalfan8075 3 หลายเดือนก่อน

      @@mshanatheblacksmith dah hiyo unyama sana kaka bongo hiyo haishikiki bei yake

  • @catherinendunge734
    @catherinendunge734 4 หลายเดือนก่อน +1

    Congrats kaka🎉🎊🎈

  • @NehemiahBonny-b3g
    @NehemiahBonny-b3g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Awadh , sabri apa nakupataje ndgu yang..

  • @issambela8279
    @issambela8279 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kaka tuko pamoja, wait tuone DV lottery ya 2026 itasemaje

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Big up Mshana

  • @MikaClearing
    @MikaClearing 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hivi hizi gari ndio zimeenza kupendwa huku Bongo MAZDA CX 5 na CX 7 ndio habari ya Mujini

  • @IbrahimKilambi
    @IbrahimKilambi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Great content bro,,,siku moja tembea Kenya😂

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi 4 หลายเดือนก่อน

    🎉Mashallah friend

  • @alloycemillinga1673
    @alloycemillinga1673 3 หลายเดือนก่อน

    Watu Wa Music system hujatupa Info yake

  • @nickelmudric13
    @nickelmudric13 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nkbl mkuu x30

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka ni atua ya kubwa vipi kama ugekua bongo ungeipata baada ya miaka mingapi from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @saidimbondela9158
    @saidimbondela9158 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah

  • @Ngwalithegreattrainer
    @Ngwalithegreattrainer 4 หลายเดือนก่อน

    Darasa Zuri sana ka mkubwa. Shukuran

  • @SaidyMiraj
    @SaidyMiraj 2 หลายเดือนก่อน

    Zipo mingi kaka sema cx 5 na 6 ndo zimejaa saiv so powa

  • @mzeeyowa5853
    @mzeeyowa5853 หลายเดือนก่อน

    Hii ni dissel?

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 4 หลายเดือนก่อน +1

    X30 huku bado, huku zimejaa cx 5 boss

  • @godblesshudson1564
    @godblesshudson1564 4 หลายเดือนก่อน +1

    KUNA GARI INAITWA VOLKSWAGEN T- CROSS
    NA TOYOTA RAIZE
    NI SUPER - LOWERED GAS AND REPAIRING CONSUMPTION CARS
    JARIBUNI HAPO

  • @shabaniMsonde
    @shabaniMsonde 4 หลายเดือนก่อน

    Maashallah

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 4 หลายเดือนก่อน +1

    absorb heat ...ni kama kunyonya joto..😊

  • @Therealcurtis
    @Therealcurtis 4 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @isakamdemu8610
    @isakamdemu8610 4 หลายเดือนก่อน +1

    absorbe ni kusharabu

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 4 หลายเดือนก่อน +1

    😁😁 Inaonekana wamerakani hakikubali Kabisa kingereza Cha nchi za ulaya wanawaon kama Washamba flani Hivi

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  4 หลายเดือนก่อน

      @@Mahene-w1l Wamarekani wanaepuka sana kutumia misamiati ya kingereza cha UK wanaona kama kimepitwa na wakati eg 🇬🇧Lorry/🇺🇸Truck
      Nappy/Diaper, Torch/Flashlight, Telly/Tv, Mobile/Cell phone n.k

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 2 หลายเดือนก่อน

    Yah ndyo bro kwa kweli nipo nakupata vzuuri kutokea apa oman
    Yah kweli gari nyeusi zinazingua kweli kipindi cha joto
    Kisha gari za kubonyeza bila kutumia ufunguo ni nzuri sna na safety sna.. Ata mim nmenunua chevorlet saloon ipo saw sna kbsa
    Mambo ya mfnguo ni ushmba sna 😅😅😅😅

    • @Classic-i2e
      @Classic-i2e 2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @alirajab921
    @alirajab921 4 หลายเดือนก่อน +1

    mkewe mwijaki anayo hiyo

    • @donking-d4t
      @donking-d4t 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anayo cx5

  • @jeyside5625
    @jeyside5625 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi huku Mazda CX-5 used ndio imeshika soko

  • @alirajab921
    @alirajab921 4 หลายเดือนก่อน +1

    finance 😂

  • @samtimes_tz
    @samtimes_tz 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka saiz unehama california uko georgia au matembezi @Mshana The Blacksmith

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amehama California

  • @mcbclaxccode005
    @mcbclaxccode005 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka bongo zipk mazda cx5 nyingi sana @mshana thebrack smith

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 4 หลายเดือนก่อน

    👊MDOGO MDOGO MSHANA,..
    ''VISOKOROKWINYO HAWAKUWEZI,.🤐.

  • @salminabuhudhaifa4273
    @salminabuhudhaifa4273 3 หลายเดือนก่อน

    maasha allah