#PART3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 76

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @HaikaMbise
    @HaikaMbise หลายเดือนก่อน +5

    Mwanaume ambae Hana hofu ya mungu tamaa zimemjaa

  • @EnjoyReonald
    @EnjoyReonald หลายเดือนก่อน +10

    Nyie wanawake mnaomtukana sabina Mungu awasamehe na alipopita yeye msipite

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l หลายเดือนก่อน +1

      @@EnjoyReonald Hakuna anayemtukama Sabina. Isipokuwa yeye mwenyewe anajichanganya. Fuatilia Kwa Makonda alizungumza Nini? Na hapa anazungumza Nini? Halafu ndiyo ujaji Sasa.

  • @elizabethdamas-zp9xl
    @elizabethdamas-zp9xl หลายเดือนก่อน +14

    mnamlaumu uyu mama ila nyie wanaume kumbe hamuwajui vzr nyie wana upande wa pili ambao ni mbaya sana Mungu akukumbuke dada ktika shida yko

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 หลายเดือนก่อน +3

      Yaan wanafikiri wanaume ni ndugu zao. Wacha wamlaumu Mungu yupo

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน +3

      Alaf mwanaume ukimuona usoni humdhanii ila wewe unae ishi nae ndio unamjua vyema

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน

      Amiin 🤲🤲😥😥namuhurumia sana 😢

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน +7

    Familia ya huyu mwanaume na mwanaume mwenyewe wanatamaa hawana utu wana wivu na wana chuki mno ila Mungu ni wa haki atakuondolea magumu yote Sabina Mungu akufanyie amani

  • @MohamedAbdala-kl7gn
    @MohamedAbdala-kl7gn หลายเดือนก่อน +1

    Namwelewa sana dada anayopitia ni jasiri

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 หลายเดือนก่อน +2

    Uza nyumba dada uende mbali ukaanze maisha mapya tatizo tumezoea kung*angania sana vitu visivyoshikika😢😊

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda หลายเดือนก่อน +1

    Jamani pole sana Mungu atakulpia joe moyo

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys หลายเดือนก่อน +4

    Maisha ni mtihani dada.
    Mungu yupo usihofu.

  • @MohamedAbdala-kl7gn
    @MohamedAbdala-kl7gn หลายเดือนก่อน +1

    Utafanikiwa sana tena ila lazima ungetengwa na hao wabaya

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 หลายเดือนก่อน +5

    Pole mwachie mungu atapata anachokitaka

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k หลายเดือนก่อน +4

    Pole uyo mwanaume anazambi sana

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 หลายเดือนก่อน +6

    Jamn madame mzuri huyu nampenda mwenyewe ana hekima kweli yaani

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน +1

    Hawez kufanikiwa yule mtalaka wako kwa sababu anatumia mali za dhulma na bado hizo nguo alizotoka nazo kwako zitachanika na kuweka viraka dada sabina endelea na maombi na sio baadhi twakuombea mungu atajibu hphp dunia kabla hujafa 😢

  • @MwanaishaMande
    @MwanaishaMande หลายเดือนก่อน +1

    Ingekuwa mimi ndo wewe ningeanza na nilichonacho tena huwenda ningeuza hapo nikanunue kwingine nijenge namungu angekubariki tu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +1

    Ok pole dada ila mtangazaji punguza uzushi hawakuwa bilionea nyumba na scania 4 haitoshi kuwa bilionea

  • @AgathaMachege
    @AgathaMachege หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mungu atakushindia zidi kuomba2

  • @AdamLeyan
    @AdamLeyan หลายเดือนก่อน +1

    Scania nne,vangard,cruzer ml mia mbil ist suzuk hiyo nyumba,nyumba zingine pia ni madame bilioner.apewe hak zake

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d หลายเดือนก่อน +4

    Wanaume Mmmm!! Mi cn hamu na hawa viumbe🙌

    • @gilliardgodfriend5745
      @gilliardgodfriend5745 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo😂

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d หลายเดือนก่อน

      Kweli tena😂wanaume ni viumbe wengn kabisaa

  • @PaulinaOtaigo-cr3sq
    @PaulinaOtaigo-cr3sq หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndugu!!.

  • @vivianrutaihwa6299
    @vivianrutaihwa6299 หลายเดือนก่อน +4

    Anza maisha upya,Sali Mungu atakuinua upya

    • @doreenshangarai
      @doreenshangarai หลายเดือนก่อน

      Tena na umri unamruhusu kabisa

  • @EvalineOnsmeo
    @EvalineOnsmeo หลายเดือนก่อน +1

    Mm nawajua na inauma ila huyu dada kateseka na maradhi na unyanyasaji.

  • @navioma4882
    @navioma4882 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dada yangu😢😢😢

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu alikutana na mwànaume taperi

  • @TheresiaTemu-h1r
    @TheresiaTemu-h1r หลายเดือนก่อน

    Mungu akutetee

  • @SaiguranLukumay
    @SaiguranLukumay หลายเดือนก่อน +1

    ukwel nilijua ni chiz kwa makonda ila lory zilipokutwa na maaskar zinachinjwa na zipo police nilimwamin.alafu hajashindwa kwenda salun yy anataka msaada maana bwana kalogwa haelew.

  • @ZainabuMsengec
    @ZainabuMsengec หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada😢

  • @GisellaLukas
    @GisellaLukas หลายเดือนก่อน

    Mwamke uyo wa pili uwenda kuna namna amemfanya uyo mwaume

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน

    Tena ni mkibosho jaman hawana utu hawa watu😢😢

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 หลายเดือนก่อน +2

    Vina muda basi?dhulma mwsho wake mbaya

  • @trendings1293
    @trendings1293 หลายเดือนก่อน +3

    Sa Mali zote zinakuwaje zako na mlitafuta wote,so ulijiandikisha wewe kwenye document

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l หลายเดือนก่อน +1

      Huyu dada nimemfatilia sana. Lakini anaonekana ni mbona Kila kitu anasema aliandika jina lake. Huyo mwanaume alichoka kupangiwa maisha.

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 หลายเดือนก่อน +1

      Ni sahihi kabisa.....huyu mama ndio mzizi wa tatizo ndio maana Sasa hivi ana hangaika may be hata alitaka kumzuru mwanaume sema mwanaume labda yupo vzr Ivo akagundua mapema.
      Huyu ndio shida bhana Aache kutafuta huruma kwenye social media akae Kwa kutulia kwanza.
      Mimi sifahamu but according to ur information shida kubwa ipo kwako.

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 หลายเดือนก่อน +2

    Swali langu ni Moja kwako wewe mama
    Why Mali zote uandike jina lako? Huoni kama ulikuwa na tamaa ya Mali au may be ulikuwa na Nia ovu kwake kwaiyo mwenzio kakuwahi mara baada ya kugundua Hilo.
    Hapa tunasikiliza upande mmoja lakini nadhani tukimpata huyo baba atakuwa na mengi ya kusema juu ya huyu mama.
    Kuna shida mahali haiwezekani Mali zote uandike majina yako.

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 หลายเดือนก่อน +4

      Na kwann wamekopa mkopo wa pesa nyingihizo kisha uyo mumewe kakimbia nazo uyo mumewe ndie anamatatizo

    • @kingwandeinvestment8002
      @kingwandeinvestment8002 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaume hawataki maneno we dada una mdomo lazima mwanaume akimbie

    • @angeladegens7139
      @angeladegens7139 หลายเดือนก่อน +3

      Alikuwa anaandika majina yake kwasababu hela zilikuwa ni zake sio za huyo muhalifu tapeli mkubwa🤔

    • @WilliamIbrahim-dt5nb
      @WilliamIbrahim-dt5nb หลายเดือนก่อน

      Nakama alikuwa anaakili ya kutafuta mali je tangu mwanaume aondoke ameshachuma mali kiasi gani

    • @KhadijaMzuri
      @KhadijaMzuri หลายเดือนก่อน

      ​@@WilliamIbrahim-dt5nbmwanaume uyo alimùoa kwa tamaa ya pesa alivyopata pesa za mkopo tu mwanaume akakimbia hakutudi tena na baadae mwanaume akatoa talaka akampa sabina kwahiyo mwanaume anatamaa sana ata mm nimejifunza sitaki kufanya jambo nimshirikishe mwanaume wala sitaki kumkopea pesa mwanaume yan kila kitu kuhusu mwanaume sitaki tuwe nae pamoja nitakuwa mm pekeangu nimejifunza pakubwa wanaume ni watu hawana huruma kabiaa 😢😢😢

  • @SaiguranLukumay
    @SaiguranLukumay หลายเดือนก่อน

    huyo dada hana ubishoo tukimpiga make up anakuwa kama zari bosi lady.

  • @EvalineOnsmeo
    @EvalineOnsmeo หลายเดือนก่อน

    Uzur angekuwa na tamaa angesema vyake naana vina majina

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt หลายเดือนก่อน +3

    Ila wewe kolumba mbona ile nyingine ya mtoto wa mwanajeshi hukuimalizia

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 หลายเดือนก่อน

      niliifatilia balaa had mwisjo

    • @RehemaMasunga-ml7kt
      @RehemaMasunga-ml7kt หลายเดือนก่อน

      @@masalakulwa7601 mbona mimi sikuona na ninaingia TH-cam mara kwa mara au unadanganya

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 หลายเดือนก่อน

    Mumuweke ulizi mana wachaga wajijuw

  • @LeilaIdd
    @LeilaIdd หลายเดือนก่อน

    Alikuwa mpambanaj mjin hanaga wenge la pesa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน

    Ukikutana na ndugu wa mume wenye dhiki ni kipengele.

  • @goodlucktarimo6170
    @goodlucktarimo6170 หลายเดือนก่อน

    Kwani lazima uje huku mitandaoni kweli??

    • @celinamosha9420
      @celinamosha9420 หลายเดือนก่อน +1

      Ni lazima ndio atapata msaada huku huku angekaa kimya

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 หลายเดือนก่อน +1

      fala kweli ww..mali zote hizo asitake kupata haki yake?

    • @anithasemwano8276
      @anithasemwano8276 หลายเดือนก่อน

      Ili watu wapone wengine wanajijua wanapitia hayo peke yao

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 หลายเดือนก่อน

    Umnunulie mtu nguo uje kutaja apa

  • @yuwenmwashitete2932
    @yuwenmwashitete2932 หลายเดือนก่อน

    Nisiri

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l หลายเดือนก่อน

    Mwandishi umemuuliza swali zuri sana. Huyu dada ni mbinafsi sana. Kila kitu amehusika yeye zaidi. Ina mana huyo mwanaume alikuwa kilaza? Hawezi kutafuta? Mhm! Inaonekana mwanaume alikuwa kwenye gereza zito la kutawaliwa.

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts หลายเดือนก่อน +4

      Kwani ni kitu cha ajabu mwanamke kuwa na uwezo kiuchumi kuliko mwanaume? Au mwanamke akiwa na Mali au mtoto wa kitajiri hana haki ya kumpenda mtu ambae sio tajiri?...ndoa zina siri nyingi

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 หลายเดือนก่อน +2

      Una roho mbaya wewe mwanamke inaonyesha hata wanawake wenzio mtaani wakifanikiwa unaumia km jinga

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน +1

      Nilijua hii ni comment ya mwanamke vile hatupendani

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l หลายเดือนก่อน

      @@hellendaniel3809 Roho mbaya anayo huyo dada. Mbinafsi Kila kitu kaandika jina lake.

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l หลายเดือนก่อน

      @@ireneshao7950 Ni mwanamke anayejitambua.