Mheshimiwa Professor Ibrahim Juma, unafanya kazi nzuri sana kuboresha mifumo katika mahakama zetu lakini kuna baadhi ya waheshimiwa mahakimu wanakuangusha ni aibu!
Tatizo kiasi anachodai kikubwa kwa kampuni ya spare ya magari, apo angedai tu 30mil , 5mil ya wakili kesi imeisha , ila pia inaonekana hao wamenunua hiyo picha
Huyo mzungu na Hak Auto Motors ni Matapeli na Mahakama Imezingua Huwezi Kusema kuwa Tu Sahihi ipo na Mhusika anakataaa..Akienda Mahakama Kuu anashida Vizuri
Waje kwangu wachukue picture ninazo nyingi na zakuvutia sanaaaa 😂😂😂 au basi waje wanipige wanipe milioni moja na nusu tu nikamalizie nyumba yangu niamie nimechoka nyumba ya kupanga 😂😂😂😂😂😂
Mahakamani hakuna justice unaweza kushindwa na kuamriwa kumlipa aliyekudhurumu Inasikitisha sana kuona chombo cha utoaji haki kimegeuka kuwa kituo cha biashara. Haki hununuliwa
Rushwa Haiishi hata kidogo? Mwenye pesa ndio anapata haki,ctosahau mama yangu alidhulumiwa nyumba ikavunjwa akashtakiwa akalala mahabusu segerea cku 5? Nguvu ya pesa wakati nyumba ni yake 😔😔😔
Kwa kweli hata hiyo milioni 250 ni ndogo sana,,kwa kiasi hicho cha picha zake huyo mtanzania ilivyotumika,,nchi hii rushua ni nyingi ndio watoa haki wanageuka vipofu
Duuuh hakika hukumu inayo tolewa inamuumiza mnyonge tu ila m husema malipo hata kama sio sasa ila ipo siku kila kitu kitakuwa wazi na aibu itawapata wafisadi wote
Mheshimiwa Professor Ibrahim Juma, unafanya kazi nzuri sana kuboresha mifumo katika mahakama zetu lakini kuna baadhi ya waheshimiwa mahakimu wanakuangusha ni aibu!
Safi sana wamasai na watu wengine mmeanza kujitambua IPO siku heshima itakuja2😊😊😊😊
Heshima ishaa ingia Kwa wamasai kinyamaa❤❤❤❤❤❤❤ good
Alipwe pesa zake mbona wao wanaringa tusipige picha maeneo yao ya bunge na Ikulu😢
Tafta wakili kaka iyo kesi rahisi sana na unashinda utalipwa!!!
Mungu akupiganie upate haki yako Mungu hajawahi kumwacha mwenye haki aonewe
Safi sana kaka. Wakomalie mwanzo mwisho pumbavu hao.
From 🇧🇮 tafuta wakili kaka
Duh na aapo Kuna kesi ya ku forge signature 😂
Hii Kesi ikienda Mahakama ya Rufaa ANASHINDA asubuhi tu na atalipwa,ni sawa na ile ya akina Mwana FA na Tigo,huyo Hakimu janjajanja namfahamu
Kumbeeee hakimu anafahamika … atakuwa amepokea rushwa kutoka hiyo kampuni inayoshtakiwa … na ndiyo hulka yake🫢
Period
Mshirikisheni Madeleka na Kibatala, haki itapatikana tu
Haki ipo kwa Mungu bongo kila kitu kinawezekana kwa mpunga.Pole sana
Akate rufaa atashinda.
Mamae 250 ni kidogo masai,ni wakati wako huu wa kutoboa.....ongeza hela
MUNGU akulinde ndugu usije kutekwa na wasiyo julikana
Kweli maana Sasa hivi kutekwa ni jambo la kawaida tu
Alipwe pesa yake
Masai huwa wanajitambua sana
Kaka tafuta wakili, usirizike hapo uchape vya usoo😅😅😅😅😅
Afai kabisaaaa kuwa jaji
Safi sana wa masai mnajanjaruka
Mahakama zetu ni mtihani sana
Lazma wamlipe. Safi Sana ero
Je, accounts ya bank ina sign yake? Pia hiyo pesa ina ingia kwa accounts IPI? Boss nenda mahakama ya rufaa...
Tatizo kiasi anachodai kikubwa kwa kampuni ya spare ya magari, apo angedai tu 30mil , 5mil ya wakili kesi imeisha , ila pia inaonekana hao wamenunua hiyo picha
Safii sana wakiri haya mambo ndio yanaikumba nchii yetu tumekosa UZALENDO WA TAIFA LETU
Uzalendo wan nyoko watu wanakura mema ww UNABWATA
arusha kama 🇺🇸
Wasomi tunajitia aibu tunasoma Nini ? Tuna sifa za kumiliki nafasi tulizopewa? aibu tupu .
Duh hatar sana haki anayo
Pole. Kama rufa
Kikulacho .,.,.... Yapo mazingira kwa hao partners kumzunguka. Ushauri akate rufaa mahakama kuu
Kata rufaa mahakama ya rufaa
Kampuni Ina majina tofauti na vitambulisho vinasoma tofauti
Picha imetumika vibaya? Na je imetumika kibiashara? Imemuingizia mpigaji kipato? Kama sawa UTALIPWA 1% YA HELA ILIYOINGIZA PICHA HIYO
wa,mpe jax yake bhn
Vitambulisho vinaonyenya majina mengine kwenye mkataba jina jingine
Kampuni imefoji kabisaaa ndo maana haikuweza kumleta mahakamani huyo anayedaiwa ndio mwenye signature
Hao patnas mungu awachape mwenyewe
Tafuta wakili akusaidie bro uhuni ni mwingi
Nipo hapa
Huyu jamaaa hii kesi anashinda kweupeeee
Huyo mzungu na Hak Auto Motors ni Matapeli na Mahakama Imezingua Huwezi Kusema kuwa Tu Sahihi ipo na Mhusika anakataaa..Akienda Mahakama Kuu anashida Vizuri
Hapa patamu...
Wanipe mimi milioni moja watumie picha yangu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawatumii picha za watu watu wasiojielewa!
😂😂😂😂,njaa kaliii eeeeh
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
Waje wanipige picha Mimi wanipe m.3 nilipe madeni
Mi hata laki 5 inatosha Tena nitauza sura😅😅😅
🤣🤣
Komaa mpka wakulipe kaka.Tena hiyo hela uliyowatajia ni ndogo,ongeza iwe 500.
Brother mwenye nacho huongezewa tetea uhai wako watoto wako wasibaki mayatima wakiwa wadogo hayo mengine muachie mungu
Mungu nae atamtetea
Anatakiwa kudai pesa amwachie Mungu yupi
Ikitokea hakimu ametoa hukumu na mtu akaenda juu akashinda kwanini yule hakimu wa mwanzo asiuae kwa kunyongwa na sheria
HASWAAAA MKUUU😅😅😅
Watoe ela aoo
mh yang macho na masikio
waombetu wakupe atamilioni amsini acha njaaa
Mbona 250ml ndogo
achanja ushakua malufu
Waje kwangu wachukue picture ninazo nyingi na zakuvutia sanaaaa 😂😂😂 au basi waje wanipige wanipe milioni moja na nusu tu nikamalizie nyumba yangu niamie nimechoka nyumba ya kupanga 😂😂😂😂😂😂
Huna sifa ya picha yako kutumika katika matangazo ya biashara kwa sababu hutambui thamani yako!
Sawa mrembo wa kimasai🤪🤪🤪🤪
@AminaLibisa Naheshimu sana kwa kuniona mimi mbwa koko, uko sahihi kabisa maana kila mtu atendalo ni matokeo ya kipimo na upeo wa akili na utu wake!
@@SylvesterKameo okay 👍 good morning
Lakini masai ni mtu muhimu sana katika utalii wa Tanzania usisahau hilo
Ooh eniapa pole naa tonyua ila chunguza hawa share waliokukimbia wanajua kitu ila kata rufaa lalashe
Kata rufaa kama hujakubaliana na hukumu.
ukisumbua sana utakula chuma bora ungechukua2 iyo million ta2 usibishane Namadoni mzee
Nyinyi ndo wale mko waoga
Madoni wa nyoko😅
No sio waoga ila lazima pi cotion
hii Niwamu ya sita kaeni kwa utulivu
@@ScopionScopion-zj9cd Q
Wakimuua Familia yake ije south kutukodi tuje kulipa kisasi ubaya ubwela
Hapo umepigwa kaka hapo imeshinda pesa
Mumlipe pesa zake
Wamasai andamaneni huyu mtu apate haki yake😂
Masai pambana ulipwe kama alivyolipwa bob dere wa NDUGU ABILIA gari lipo kwenye mteremko na limefeli brea...See more
Hhh inspotelea hivyo hio mi Niko nimekaa pale mtakuj mniambie
Jaji gani mjinga kiasi icho
Huyu jaji kala rushwa
wapi madereka
Hiyo m3 ulokataa ndio kapewa hakim
Pambana brother get your money.
Hao wamenunua picha mtandanoni hakuna kesi
Yesu wangu hii nchi gani hiii kwa hiyo hiyu jamaa ni chizi au
Uyo hakimu kashakula pesa apo wakiona Masai wanajua atashindwa ili wamzungushe
Mwambukusi tunakuomba hapa
Huyo Aisha ndosi tunamjua sio mtoa haki .je siginature imechunguzwa na watalamu wa singnature au watalamu wa wino
Majaji njaaaaa
Pameanza kuchangamka
Huyu ni mtumishi wa MUNGU sio muongo jamani Mungu amtetee tuu
Wakupe pesa yako
Kaka kata rufaa na umuongeze wakili wa kusaidiana na huyu,tafuta akina Kibatala ndio viboko
Tayari mama alishakula mkataba kwenye ile royotua ya mama
Adobe stocks. Wangeshitaki Adobe Stocks huyo mzungu ndio anauza picha zake
Yaani kisheria Tena hao watu wanatakiwa wafungwe kabisa,wamlipe pesa zake hakuna mawakili wamsaidie
Kata rufaa😢
Mahakamani hakuna justice unaweza kushindwa na kuamriwa kumlipa aliyekudhurumu
Inasikitisha sana kuona chombo cha utoaji haki kimegeuka kuwa kituo cha biashara. Haki hununuliwa
KESI HIYO UNGEACHA KWA USHAURI WANGU...WATAKUTEKA NA UPOTEE UACHE WATOTO
Huyo msuya sina imani naye..inawezekana amepokea mlungula
Huyo jaji janja janja nyingi usikute kashapoozwa tayari..
Baadhi ya viongozi wetu ndio wanaosababisha wengine tuishie kuonewa wa km mweyepesa alafu sio mtanzania ndio anaonekana anahaki duh
Picha zangu mimi ni bure .
Waje wachukue😊😊😊.
Kumaamake kashane hayo mabango mbwa tu hao
Jamn😢
Hii nchi haki ngumu sana kuipata kabisa mimi binafsi voda walitumia video zangu za dancing na picha kwenye mabango na sikuambulia chochote kile
hukua na wakili
Waambieni wamasai tutaambatanaa
Rushwa Tanzania 🇹🇿 itaisha?
Rushwa Haiishi hata kidogo? Mwenye pesa ndio anapata haki,ctosahau mama yangu alidhulumiwa nyumba ikavunjwa akashtakiwa akalala mahabusu segerea cku 5? Nguvu ya pesa wakati nyumba ni yake 😔😔😔
lushwa tatizo tanzania
Kwa kweli hata hiyo milioni 250 ni ndogo sana,,kwa kiasi hicho cha picha zake huyo mtanzania ilivyotumika,,nchi hii rushua ni nyingi ndio watoa haki wanageuka vipofu
Shutter stock
Bora ukate rufaa
Wacha tamaa walo kushauri walikushauri vibaya😂
Mmmh
Shida zetu watanzania ni kutotambua thamani ya haki zetu!
Apewe haki yake
Kaza babu
Huyu hakimu kashakula rushwa.yaan yero kama ameridhia anaweza tena kwenda kushtaki
Wampe hak yake
Huyu alipwe fedha tena wambembeleze .
Duuuh hakika hukumu inayo tolewa inamuumiza mnyonge tu ila m husema malipo hata kama sio sasa ila ipo siku kila kitu kitakuwa wazi na aibu itawapata wafisadi wote
Yani Tanzania 😂😂😂 munawayema kukaa kw amani alafu mnatumia kwnye biyashara chfu kwli 😏wamasai mnashidwa kuwatetea 😠milion 3 ndogo akuogeze wauneshini kuwanyee ndo wamasai sis tz tumekosa utu kabisa kwa wamasai
Wamlipe billion800
Kata rufaa kaka
Sawa
Kata rufaa mwanawani
Uyo amebugi kukubali apigwe picha na mzungu huo ni ujinga wake mzungu ndo kauza picha