MTAPATA TUZO GANI? By F.E NYANZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo Kikuu cha Ushirika - Moshi
Tunapenda kukukaribisha uungane nasi katika kusikiliza na kutazama wimbo huu uitwao MTAPATA TUZO GANI? kama ulivyotungwa naye F.E Nyanza na kuimbwa na kwaya hii ya Mt.Maria Goreth ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Ni wimbo uliobeba jina la Albam iliyo na nyimbo Nane.
Ni maneno kutoka 1 Petro 2:20 Karibuni na Mungu atubariki sote.
Video & Audio by The Galaxy pro
KWAYA YA MT. MARYGORETH USHIRIKA
Hongereni sana ushirika.Mwl Rwiza amewatendendea kweli kwenye kinanda najua habahatishi maestro kabisa classical way,mzee Nyanza hana mbambamba,albam yenu iko poa sana good selection ya nyimbo...nmependa sana Mungu awabariki sana❤
Hongereni kazi nzuri sanaa
Kazi nzuri, Mungu awapeni Baraka pia Kwa ajili hii.🙏
Hongeren sana kaz nzur sana wana Maria Goreth
Kaziii inavutia sanaaah na nyimbo ni nzuri mnoo haichoshii hata kusikiliza nabarikiwa sanaaah na nyimbo hyooo
Kazi nzuri sana jamani 🎉🎉❤❤❤
Jaman hongereni sana Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu❤
Very amazing Kwaya yetu ya Ushirika. Mungu awabariki sana!
Nice song nimemisi ushirika jamani hongereni sana
Nyanza! Nyanza! Nyanza nikuite mara ngapi... Wueeeh.🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera vijana
Hongereni Sana kwa kazi hii ya kitume mungu awazidishie baraka🙏 tele❤❤
HONGERENI KWAYA YA MT. MARIA GORETH WIMBO MZURI SANA MBARIKIWE NYOTE
Hongereni sanaa kazi nzuri nawatakia utume mwema
Kazi nzuri, hongereni Kwa uinjilishaji uliotukuka.🙏
Wimbo mzuri na ujumbe mzuri Sana hongereni mno
Hongera kwa kazi nzuri 🎉🎉
Hongereni sana
Kazi nzur sanaaa
Hongeren Kwa utume the most mko vzurii mwenyez Mungu aendelee kuwatia nguvu
🔥🔥💫✨🔥🔥🔥❤️
Ukweli ni kwamba wimbo umenigusa
Mmefanya vema sana wana ushirika kwaya ya mt.Mary Goreti 🎉🎉Hongereni sana~mwecau tupo pamoja nanyi🎉🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante tubarikiwe sote❤❤
Hongereni sana jirani zetu mungu na atukuzwe kwa wimbo huu mzuri na awabariki zaidii 🙏
Kazi nzuri Hongeren kwa utume nice great
God bless all of you 🙏
🎉Hongeren sana kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwatumia katika kuihubiri injili sehemu mbalimbali katika dunia❤❤
Congratulations dear sisters and brothers❤❤
Same to you
Congratulations 👏👏❤
Thank you!!
Kazi nzuri sana 🎉
Kazi nzuri
Hongereni Kazi Nzuri
Congratulations 👏 Wimbo mzuriii sana ...tuzidi kumwimbia bwana katika roho Na kweli....🎉 Tumshukuru Mungu
Amina karibu pia Frt.
Thenk you very much 🙏
Congratulations our brothers and sisters ❤️ kaz nzur sana
Congratulations❤❤❤
Amazing
Thanks
very nice song😊 am blessed 🙏🎉🎉
So Nice 🎉🎉🎉
Thanks all
🔥🔥🔥
Weeeeeeeh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ongereni Sana vijana kwa kumsifu Mungu kwa njia hii ya uimbaji
Congratulations 🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
Mazuri bado yapo Mengi zaidi mbeleni, husiache kusubscribe, share na comments ilituzidi kumsifu na kumtukuza mungu kwa Pamoja❤❤❤
Congratulations to you
Nice job❤
🎉🎉🎉
Kazi nzurii sana❤
🎉🎉
🔥🔥🔥🔥 let's continue to sing for the Lord
Hongereni sana🎉🎉🎉🎉 Mwenyezi Mungu awatunze na kuwatia nguvu mzidi kumtumikia yeye kwa roho na kweli❤❤❤
Hongerenii kwa kazii nzurii
Bonge la kipande. Na mmekitendea haki. Nyanza yuko vizuri mno
Hongerani kwa kazi nzuri
Amina sana
Hongereni sana sana kwaya niliyoimba miaka 6
Asante karibu teeena 😂❤❤
@@kwaya_mt.mariagorethushirika asante sana..niliwatumia wimbo wa Nani kama Yesu wa Alan Mvano ni jitihada zangu. Mungu atukuzwe
Oooh shukran sana ni bonge la nyimbo inakuja soooooon kaeni mkao💯💯
@@kwaya_mt.mariagorethushirika sawa
hongereni kwa kazi yenu ya kitume ni nzuri sana
The best Choir I see myself & my album mates there🔥✅❤️❤️ PRAISE THE LORD GOD
Hongeren jmn ushirik mung awape vipaj zaidi❤❤❤❤❤❤
Mwalimu Nyanza big up sana Kwa utunzi wa nyimbo nzuri.na waimbaji hongereni.
Kazi nzuri mnoo 👏👏
Safi sana Kaz nzuri sana. Imenipendeza sana hata allignment za muziki ni super kabisa 👍💪
Kazi nzuri sanaaa!! Mungu bariki kazi ya mikono yetu
Nice kazi nzuri mno
Amina
MUNGU ni mwema kazi nzuri
Kazi nzury na Mungu awabariki katika utume wenuuuuu
Kazi nzury 👌👌👌👌👌
Hongeren sana Mungu azid kuwatia nguvu za kumuimbia na kumsifu
Najivunia kua marry goreth tumepiga mwingi
😅😅 Mungu ni mwema
Nice work ❤
Kazi ipo nzuri 🔥🔥
Nice job tunabarikiwa sanaaa❤🎉
I witnessed the lunching of this new album! It was great sana. Hongereni tena sana kwa wimbo mtamu na wenye tafakari kubwa sana💯💯
Ahsatee tunabarkiwa sanaa🎉❤
congratulations kazi nzur
Hongereni San kwa KAZI nzur Mung awabariki
Kwakweli Mungu atukuzwee🎉🎉❤
Hongeleni kwa kuutendea haki huu Wimbo wa nyanza
Well done 👏🏿,,be blessed 🙌
Naipenda KWAYA yangu kwa MOYO wote....
❤❤
Barikiwa saana
hongereni sana🎉
Good ❤
Mungu atukuzwe 🙏
🙏🙏🙏🙏
❤
Amen🙏🏻
Hongeren sana jirani
❤
🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri
❤❤❤
Hongeren sana 🎉
Congratulations 👏
Thank you 🙌
🔥🔥🔥