Nimependa sana hii ni heshima kubwa ya kumtambuwa mungu yupo na ndiye mkubwa wa wote hapa duniani neno "ALLAH AKBARU". lina maana ya mungu ni mkubwa....weka like yako kama na wewe umeipenda hii....
Kuanzia leo naogea tena Kwa kauli yangu sabit kuwa Rais uhuru kenyata nakukubali Sana sana kwa kuipisha hazana tukufu Ubarikiwe sana sana pia tunakuombea watanzania uishi myaka Mingi sana sana sana na wakenya Woote kwa ujumla muwe watu Wenye furaha tele
Leo hii nimetokea kukupenda sana jirani yetu Kenyatta nakuombea kwa Mungu maisha yenye kheri na mwisho uliokua mwema. Nimependezwa zaidi na mambo mawili katika hotuba yako ; la kwanza ni kupisha adhana na la pili ni kumkumbusha Mama Samia njia alioachiwa ni ileile aifate hapa kazi tu asije kurubuniwa na wezi walafi wa madaraka na majambazi ambao hayati Magufuli aliwapiga vita.
Masha allah, it's very sensitive but inasikitisha sana, hawa maraisi wetu wanatenda mema ila wanakataa Neno la shahada.. Ni bure Hon magufuli amefikia hadi kujenga msikiti..ni jambo kubwa sana ila maelewano na mungu huyo uliemjengea msikiti hutegemea neno la shahada. . Kama ni kufurahisha watu... masha allah hon kinyata and mr president magu mmefanikiwa. Mungu ni mwema ana na rehma. Yeye ndio anajua nafasi yako kwake. Ewe mola wetu tupe wepec ktk maisha yetu na utupe viongoz wenye huruma na uzalendo kama magufuli. 99% of likes to kinyata.
Ama kwa hakika umeonesha heshima kubwa kwa dini yetu ya Kiislamu mahala sahihi kabisaaaaa.....kwani ni katika mkoa huo wa Dodoma kuna watu walienda polisi na kufungua kesi juu ya adhana wakidai wanapigiwa kelele na adhana za misikitini.....Leo hii Mwenyezi Mungu muumba wa wote na vyote vilivyomo amekutuma wewe uudhihirishie Umma na watanzania kuwa atajwapo yeye basi asitokee mmoja wenu akadhihaki na kuendelea na shughuli zake.....Adhana na wito maalum wa Mwenyezi Mungu kwa kuwakumbusha kuwa muda ibada umefika......Hakika nimefurahi sana kwa heshima hii kubwa kwetu na Mwenyezi Mungu azidi kukulinda ..........Amiin
Did you notice am a muslim and i was blown by that too perfect timing i even thought he was wired with earpiece and someone on other end was giving him some hints but he wasn't.
C km ni dalili za kiama hapana huyu jamaa anaimani na Allah uliza Kenya hata mwezi mtukufu huwa anafuturisha waislam huko kwao c kila aaiyekuwa muislam bac hamjui mungu hongera sn Uhuru
Umenena vyema...kunawatu wameshaona dini za wenzao hazifai kwa tukio hili kumbe hawajui kuheshimu dini ya mwenzio ni unyenyekevu mbele za Mungu na si wanavyofikir wao
@@meckienditi4661 kwani wewe ulishaona raisi gani hapa Tanzania baada ya kusikia adhana nayeye akanyamaza kwani wao hawana heshima na dini nyengine ...hii ni haqqi na ndio dini ya ukweli duniani na akhera ndio mana unakuta kila jambo linalohusiana na kuchinjwa wanyama ni rukhsa kwa waislam peke yake kwa sababu ni wao pekee tu ndio waliopewa hukmu na mwenyezimungu wachinje na sio dini nyengine hii inaonyesha wazi ni moja ktk alama za ukweli na haqqi ktk uislam muombe mwenyeezimu akuzindue uijue haqqi na uache ushabiki
@@amouryshaaban3473 hapo tu ndio huwa mnachekesha sana watu msio na akili timamu, kiongozi yeyote kachaguliwa na watu wa dini zote na wasio na dini so hana sababu ya kuyoheshimu imani ya wengine , na kuheshimiana ndio zetu waafrika , hayo ya dini ya haki sijui utumbo gani si mngewekwa muishi sayari yenu
@@emmadora7848 Kikubwa hatulazimishani kusilimu Bali tunakumbushana kwamba ili mwanaadamu asipate khasara baada ya kufa kwake inatakiwa afe hali ya kuwa ni muislam mtu akifa na dini nyengine tofauti na uislamu itakuwa ni sababu ya kutokubaliwa mbele ya mwenyeezimungu na atapata khasara kesho akhera . Na wengi kwa sababu hiyo khasara ya mtu kufa nje ya dini namna inavyomthibitikia baada ya kufa kwake hatuiyoni na ndio mana kila mmoja anachukulia ni swala La kawaida ila ukweli wa mambo ulivyo kila mwanaadamu baada ya kufa atashuhudia kwa macho yake faida na khasara zilizopo baada ya kufa kutokana na namna alivyochagua kuishi akiwa duniani kwa sababu kama namna mtu atakavyo ishi basi ndivyo atakavyokufa na kama atakavyokufa basi ndivyo atakavyofufuliwa na hali yake aliyokuwa nayo duniani kutokana na matendo yake.
Maashallah Allah akuafikishe kuwa muislam madhubuti rais mzuri kenyatta ambae umestopisha kuzungumza kwa Ajili ya kumpa heshma Aliekupa cheo hicho Allah SUBHAANAHU wataala ninamuomba Allah akupe hidaya wewe na familia yako kabla ya kufikwa na mauti . Karibu sana kwenye uislam ili upate mafanikio ya duniani kaburini na kesho aakhera inshaallah na nyote mliosikiliza hiyo adhana nawashauri tafuteni maana ya hayo maneno uwenda Allah akawapa ibra na mazingatio nanyi mkaufuata uislam
Maashallah Allah akupe uongozi thabit akupe MAISHA MAREFU YENYE FURAHA na akupe mwisho mwema viongozi kama wewe niwachache umewashinda ata waislam walioko madarakani nawasio madarakani wasio jua ukuu na utukufu wa mungu mungu akubariki sana wewe nafamilia yako awape mwisho mwema inshaa Allah
Hakika mungu akuongoze Rais kenyatta maana umetushinda Ata baadhi ya waislam hatuheshimu adhana umekua mfano wakuigwa Asante Sana mungu akubariki kwa kuheshimu wito wake na ukasimamisha kuongea nakupenda kwaajili ya ALLAH
Mashaallah mashaallah daah that is very nice I wish marahis wote wangekuw hiv Allah amzidishie na aipe Kenya amani na nchi zote za Africa masharik na kati..
Mashaallah mashaallah Allah akulipe kher baba ang 🤲💕👏👏nikweli tumifunfishwa ivo tunaposkia adhana tunamanze mpaka itakapo isha ndio tuendelee na maongez. Nawe umefanya mashaallah 👏Allah akuzidishie barka namwisho mwema rais wetu tz tunakupenda pia
Watu wanastahili kujua mh.uhuru Kenyatta ni mkristo muzuri sana.anafuata bwana wetu yesu kristo upendo kwa kila mtu.hii ni matunda inayo patikana kwa ukristo tuu.hakuna dini ingine iko na upendo ila tu ukristo.
Doooh .... I thought so much until I shed tears wallah .. President may god give you good health and give you faith and lead your country adi when your time is up, I am certainly a role model for every human being ..... I love you so much Kenyan leade.......
Nimependa sana hii ni heshima kubwa ya kumtambuwa mungu yupo na ndiye mkubwa wa wote hapa duniani neno "ALLAH AKBARU". lina maana ya mungu ni mkubwa....weka like yako kama na wewe umeipenda hii....
Swadaktaaa
Allah Amuongoz Na amulip kwaili👍👌
Hakika Umeonyesha Busara Sana Na Heshima Kubwa Kwa Kujua Kuwa mungu ni Mkubwa, Allah Akuongoze Rais Kenyatta.
Heshima kwako kenyata imesisimua sana kwa heshima uliyonayo juu ya adhana Allah akuongoze🙏
Aamiin
@@hassanramadhan8978 Amiin
Kawaida yake he always respects the adhana and all other religions in general
Angepata viongozi bora, walo chini yke... Kenya ingekuwa vzry sanaa
Kabisaaa
Hongere sana mh: kenyeta umeonyesha ukubwa wa Mungu akupe wepesi na akuondolee maradhi nchini kwako
Allahumma amiin
Amiin 🤲
Allah akujalie kheri nying sana KENYATA kwa kuheshimu adhana ,Allah akuongoze katika dini insha Allah
Ampe mwisho mwema inshaallah
Hongera rais wangu kwa kuheshimu wenzetu waislamu. Mungu na akupe nehema zaidi
Well done Mr President Kenyatta...Its a big gesture that all leaders must learn
Hamdullilah, pongezi kwake Bwana Raisi, natazama niko marekani
What a respect! 👏🏾 👏🏾 God bless you President Uhuru Kenyatta.
Tupoe sote Wana wa EAC
Ni ukomavu wa hali ya juu sana kuheshimu imani
Classy
Sana
Nimeipenda hii 👆👆👐👐🙏🏻🙏🏻🙏🏻nimekupenda bure uhuru kenyata
Kuanzia leo naogea tena
Kwa kauli yangu sabit kuwa
Rais uhuru kenyata nakukubali
Sana sana kwa kuipisha
hazana tukufu
Ubarikiwe sana sana pia tunakuombea watanzania uishi myaka
Mingi sana sana sana na wakenya
Woote kwa ujumla muwe watu
Wenye furaha tele
amin thuma amin
Mashaalah taqbiliiiiii Allah akuongoze kwenye kazi zako inshaallah
Allah akubar 🥰🙏mashallah
Hongera president wetu Leo sisi wakenya twajivunia kua na wewe ulivyoheshimu adhan, Allah ataweka nuru ndani ya maisha yako
Leo hii nimetokea kukupenda sana jirani yetu Kenyatta nakuombea kwa Mungu maisha yenye kheri na mwisho uliokua mwema. Nimependezwa zaidi na mambo mawili katika hotuba yako ; la kwanza ni kupisha adhana na la pili ni kumkumbusha Mama Samia njia alioachiwa ni ileile aifate hapa kazi tu asije kurubuniwa na wezi walafi wa madaraka na majambazi ambao hayati Magufuli aliwapiga vita.
Mashallah nzuri Sana mashallah
Masha allah, it's very sensitive but inasikitisha sana, hawa maraisi wetu wanatenda mema ila wanakataa Neno la shahada..
Ni bure
Hon magufuli amefikia hadi kujenga msikiti..ni jambo kubwa sana ila maelewano na mungu huyo uliemjengea msikiti hutegemea neno la shahada. . Kama ni kufurahisha watu... masha allah hon kinyata and mr president magu mmefanikiwa. Mungu ni mwema ana na rehma. Yeye ndio anajua nafasi yako kwake.
Ewe mola wetu tupe wepec ktk maisha yetu na utupe viongoz wenye huruma na uzalendo kama magufuli.
99% of likes to kinyata.
Wewe ingia ukiristo or freemason. Kuabudu n uamuzi wa mtu cio kuambiwa ama kulazimishwa
Rais kenyata nimekuombea dua mungu akupe mwisho mwema
Yaaa Allah Mjaalie mja wako huyu azidi kukutambua na kukufata, Mjaalie aione nuru ya uislamu na ajumuike katika Iman, tuna mkaribisha sana,
Allah akbar....Yaa Rabbi mpe ufunuo huyu mja wako....🤲🤲
Masha Allah
Dah mola amjaalie aipate nuru ya Imaan, amtambue mola wake na amuabudu, safi sana
MashaAllah
I respected you and now u show respect back mr president uhuru kenyata ....much love from me as a Tanzanian resident....
Yes bro
Poleni sana Tanzania Africa is crying too hero🇰🇪😭😭😭😭🇰🇪
Wakenya mumefurahi wenyew
Tushapoa
Thank you
Respect sana rais kenyatta natamani natamani one day Tanzanian na Kenya ziwe nchi moja mungu ibariki African
Mashallah
Allah azidi kukupa Afya njema Uhuru kinyata
Ama kwa hakika umeonesha heshima kubwa kwa dini yetu ya Kiislamu mahala sahihi kabisaaaaa.....kwani ni katika mkoa huo wa Dodoma kuna watu walienda polisi na kufungua kesi juu ya adhana wakidai wanapigiwa kelele na adhana za misikitini.....Leo hii Mwenyezi Mungu muumba wa wote na vyote vilivyomo amekutuma wewe uudhihirishie Umma na watanzania kuwa atajwapo yeye basi asitokee mmoja wenu akadhihaki na kuendelea na shughuli zake.....Adhana na wito maalum wa Mwenyezi Mungu kwa kuwakumbusha kuwa muda ibada umefika......Hakika nimefurahi sana kwa heshima hii kubwa kwetu na Mwenyezi Mungu azidi kukulinda ..........Amiin
Can you imagine he knows when it ends, what a wonderful world!!!!!
Did you notice am a muslim and i was blown by that too perfect timing i even thought he was wired with earpiece and someone on other end was giving him some hints but he wasn't.
i said the samething...i was amazed with the same..
Kweli iyi ndiyo dunia ya mwisho r kenyata unanitiya majonzi Kweli unatowa heshima ya adhana kwakuonyesha heshima kubwa thx
Masha Allah
C km ni dalili za kiama hapana huyu jamaa anaimani na Allah uliza Kenya hata mwezi mtukufu huwa anafuturisha waislam huko kwao c kila aaiyekuwa muislam bac hamjui mungu hongera sn Uhuru
Umewashinda masheikh wengi sana hawaeshimu adhana
Kweli kabisa
Mashekhe ubwaubwa
Mashaallah umetuheshimisha rais wetu
Mad respect yaani respect ya hali ya juu manze nakupenda my president i salute you
Hii ni kuonyesha mungu wetu mmoja
Umenena vyema sio wengine wanasema njoo huku kwenye hak
Umenena vyema...kunawatu wameshaona dini za wenzao hazifai kwa tukio hili kumbe hawajui kuheshimu dini ya mwenzio ni unyenyekevu mbele za Mungu na si wanavyofikir wao
@@meckienditi4661 kwani wewe ulishaona raisi gani hapa Tanzania baada ya kusikia adhana nayeye akanyamaza kwani wao hawana heshima na dini nyengine ...hii ni haqqi na ndio dini ya ukweli duniani na akhera ndio mana unakuta kila jambo linalohusiana na kuchinjwa wanyama ni rukhsa kwa waislam peke yake kwa sababu ni wao pekee tu ndio waliopewa hukmu na mwenyezimungu wachinje na sio dini nyengine hii inaonyesha wazi ni moja ktk alama za ukweli na haqqi ktk uislam muombe mwenyeezimu akuzindue uijue haqqi na uache ushabiki
@@amouryshaaban3473 hapo tu ndio huwa mnachekesha sana watu msio na akili timamu, kiongozi yeyote kachaguliwa na watu wa dini zote na wasio na dini so hana sababu ya kuyoheshimu imani ya wengine , na kuheshimiana ndio zetu waafrika , hayo ya dini ya haki sijui utumbo gani si mngewekwa muishi sayari yenu
@@emmadora7848
Kikubwa hatulazimishani kusilimu Bali tunakumbushana kwamba ili mwanaadamu asipate khasara baada ya kufa kwake inatakiwa afe hali ya kuwa ni muislam mtu akifa na dini nyengine tofauti na uislamu itakuwa ni sababu ya kutokubaliwa mbele ya mwenyeezimungu na atapata khasara kesho akhera .
Na wengi kwa sababu hiyo khasara ya mtu kufa nje ya dini namna inavyomthibitikia baada ya kufa kwake hatuiyoni na ndio mana kila mmoja anachukulia ni swala La kawaida ila ukweli wa mambo ulivyo kila mwanaadamu baada ya kufa atashuhudia kwa macho yake faida na khasara zilizopo baada ya kufa kutokana na namna alivyochagua kuishi akiwa duniani kwa sababu kama namna mtu atakavyo ishi basi ndivyo atakavyokufa na kama atakavyokufa basi ndivyo atakavyofufuliwa na hali yake aliyokuwa nayo duniani kutokana na matendo yake.
Ubarikiwe sana mzee 🙏🙏
Love you Kenyata From 🇹🇷💓🇰🇪
Kwa ukweli umetufunza hakuna hutuba ya maana kama kumtaja mwenyezi mungu shukran uhunyeee kweli umemtambua kuna zaidi wamazaidi ni ALLAH
Maashallah Allah akuafikishe kuwa muislam madhubuti rais mzuri kenyatta ambae umestopisha kuzungumza kwa Ajili ya kumpa heshma Aliekupa cheo hicho Allah SUBHAANAHU wataala ninamuomba Allah akupe hidaya wewe na familia yako kabla ya kufikwa na mauti .
Karibu sana kwenye uislam ili upate mafanikio ya duniani kaburini na kesho aakhera inshaallah na nyote mliosikiliza hiyo adhana nawashauri tafuteni maana ya hayo maneno uwenda Allah akawapa ibra na mazingatio nanyi mkaufuata uislam
Woow awesome respect,God bless u president Uhuru Kenyatta
MashaAllah president Uhuru respecting the Azan JazakaAllah kheir prezo.
Respecting ones religion is so Respectable and important..wow president Uhuru
Mashaallah mungu akuzidishie maisha marefu akulinde namaadui
Ahsante Sana,Sana Kenyatta,for your respect!
Nuru ya uislamu imetanda kila upande wa dunia hii Allah awaongoze mzidi kuiona
Allahumma amiin
Allahumma amiin🤲
Nimefurah mpaka mwili unatetemeka
@@rahmadizer1744 hongera huo ndio uumini
MashaaAllah na ajua ilipoisha adhana japo c mwislamu allah akubariki
MashAllah,big up,Allah akuongoze ktk njia ilonyooka
Nime kupenda bule kenyata mashaallah
Maashallah Allah akupe uongozi thabit akupe MAISHA MAREFU YENYE FURAHA na akupe mwisho mwema viongozi kama wewe niwachache umewashinda ata waislam walioko madarakani nawasio madarakani wasio jua ukuu na utukufu wa mungu mungu akubariki sana wewe nafamilia yako awape mwisho mwema inshaa Allah
President Uhuru is among the great leaders we have in Africa. He is a very humble guy!
Na hii iwe funzo kwa waislamu mnao zitharau na kuzipaka tope dini za watu.. Heshimu dini mungu ni mmoja mungu wetu sote.
Hakika mungu akuongoze Rais kenyatta maana umetushinda Ata baadhi ya waislam hatuheshimu adhana umekua mfano wakuigwa Asante Sana mungu akubariki kwa kuheshimu wito wake na ukasimamisha kuongea nakupenda kwaajili ya ALLAH
Allah. Akibar hakikaa Allah atukulipaaa mengi mkuu kenyata
ALLAH akuongize kinyata kwaheshim unaoipa adhana
Mashaallah mashaallah daah that is very nice I wish marahis wote wangekuw hiv Allah amzidishie na aipe Kenya amani na nchi zote za Africa masharik na kati..
Subhannallah😭 Allah amuongoze mja wake pamoja na cc amiiin yarrab 🤲 Ilahi tunakuomba umpe kauli thabit kabla l maut.🤲💞
Daaah allwah akubrk jmn awa ndo viongz imar wanao mjar allwah
Allah akuonyeshe njia upate nuru ya wiislam ewe Rais Uhuru kenyatta
Kwa hayo yote manafik alshabab bado wanapigana na yeye.
Mashaallah nimefurah kuona unahishim iman ya upande mwingine
Mashallah ..kajizolea baraka zake,mungu atambarik kwa namna anavyojua🙏😘🌷
Man shaa Allah,,umetoa mwangaza kwa wale ambao hawajui samani ya sauti hiii.
Thank you my president for respecting Adhan
Heshima kubwa sanaaa kwako Kenyatta 👊🙏
Jambo kubwa sana ili kwa wenye kufahamu
Salutes to our beloved president UHURU KENYATTA, ( MY BEST LEADER )
Allah akuzidishie baraka
Safii Mungu ni mkubwa must Respect
Mungu akuongoze kenyatta rais wa Kenya aufanye mwisho wako kua mwema🙏🙏🙏
Mashallah 🙏🙏🙏
Our president is just a pretender,,,,
Anapenda sifa sana,,,😂😂😂
Very respectful and intelligent leader 👏.
Tunakupenda sana president Uhuru Kenyatta..
Mashaallh mungu kwanza
Mashallaah nimempenda bure rais kinyata jamn inapendeza
Mashaallah mashaallah Allah akulipe kher baba ang 🤲💕👏👏nikweli tumifunfishwa ivo tunaposkia adhana tunamanze mpaka itakapo isha ndio tuendelee na maongez. Nawe umefanya mashaallah 👏Allah akuzidishie barka namwisho mwema rais wetu tz tunakupenda pia
maashaallaah
Watu wanastahili kujua mh.uhuru Kenyatta ni mkristo muzuri sana.anafuata bwana wetu yesu kristo upendo kwa kila mtu.hii ni matunda inayo patikana kwa ukristo tuu.hakuna dini ingine iko na upendo ila tu ukristo.
Allah akujalie kila la kheri hustler Uhuru
Sijawah kusikia speech ya huyu Mzee hakika anazungumza vizur saanaaa na ujasir wa hali ya juu kabisa
Mungu akusimamei katika uwongozi wako uhuru kinyata amen
Mashallah Allah amuongoze katika njia iliyonyooka
MashaAllah, MashaAllah Tabarakallah
Maashaall kenyata hongera kws heshima
Ndivyo ukristo ulivyo, unafundisha kuheshimu dini zote,
Allah Akbar... THATS A BIG BLESSING
Manshaaallah Kenyatta kuamini kuwa mungu yupo na kujuwa kuwa Ni wito wa kwenda kumsujudia muumba
Kenyata💪💪💪💪💪 it is africa🌍🌍
Allah akulindee mh KENYATA HAKUNA ALIYEKUPINGA KWA HLOO UNANIFNYA NIKUWAZE KILA MDAA
Masha Allah raisi Uhuru wa Kenya Allah anakuita katika uislamu
Mwenyeezi mungu akulipe rais Kenyata na muomba mwenyeezi mungu akupe zawadi kubwa nayo ni kusilimu mpendwa rais Kenyata saluti kwako rais
Mashaallah allah akubarq kiongozi nimependa hiyo dah!!! kwakweli sikutegemea allah akubarq
Nakupenda baba Ulale Salama😭😭😭😭😭
Ma Shaa Allah🤲
Big up Kenyata may Allah give u a long life
Doooh .... I thought so much until I shed tears wallah .. President may god give you good health and give you faith and lead your country adi when your time is up, I am certainly a role model for every human being ..... I love you so much Kenyan leade.......
Allah amuongoze katika uislam inshallah
YA ALLAH , YA RAHMAN , YA KARIM
great ....ALLAH AKBAR
JazzakaLLah khair our Prezo
Mashaallah
Shukraan sana raisi wangu Uhuru,maashaAllah
kuna Elim kuuubwa sana hapo,kwa akili lkn!!