EBM ameishi Tz zaidi ya miaka 10 na pia ameishi marekani zaidi ya miaka 10 means huyu mtu anajua mengi...!! Sasa badala ya kumpa nafasi ili mjifunze mengi ninyi mnabishana kama kipindi cha michezo.. you won't meet this golden chance of interview with him again forever.. from DSM TZ.
DIASPORA NI MTU YOYOTE MWENYE ASILI YA NJE YA NCHI ANAYOISHI AWE AMECHUKUWA URAIA WA NCHI HIYO ANAYOISHI AU HAJACHUKUWA HUYO NI DIASPORA, IKO SIMPLE HATA KWA DICTIONARY YA KAWAIDA TU INAELEZA HIVYO KWA HIYO HATA EBM NI DIASPORA
Mambo ya uraia Pacha naamini yatafikiwa soon Kwa Mapambano haya!! Bwana Ernest Asante sana, ila tupe opportunities zilizopo na jinsi ya kuzipata ili tuwe wengi na sauti kubwa ya kufikia uraia Pacha!! Hawa wenzetu unaongea nao hapo naona bado sana, wanabishana Kwa mambo madogo sana!!
Nina wasiwasi na mtangazaji (Oscar) katika kupinga mapendekezo ya mwana Diaspora (Erenest) ikiwa mchakato wa katiba au sera mpya ya nchi kama siyo miswaada ambayo inajadiliwa bungeni na wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi badala ya serikali kuingia gharama au kutenga bajeti ya pesa kutuma watu kuingia mitaani kwa ajili ya kuchukua maoni sasa yamejileta mezani yenye ndo bado kuna upinzani......Nasemaje... Oscar anatakiwa achunguzwe coz anaisababishia serikali iingie gharama ya kuwalipa pesa kwa ajili ya kukusanya maoni nilitegemea yeye Oscar awe wa kwanza kumsikiliza na ku-note madini kutoka kwa Erenest mwenye experience na mwaswala ya Diaspora ili hata kama Mheshimiwa Rais akiitishi mkutano wa Diaspora yeye huyo Oscar akawe wa kwnz kuwasilisha maoni ya wana Diaspora kwa Boss.😂😂😂😂😂
Oscar mbishiiii sana anakosea. Difination haiko hivyo. MTU YOYOTE AMBAYE YUKO NJE YA NCHI YAKE ALIYOZALIWA NI DIASPORA AWE AMECHUKUWA URAIA WA HIYO NCHI ALIYOKO AU HAJACHUKUWA NI DIASPORA
🤔Issue kama hii mimi ndio maana hutaka Zanzibar kutoka katika muungano. Uraia pacha ni fursa na sio uadui au kashfa ya nchi yako. Hebu tuiache Zanzibar itoke katika muungano halafu muone sisi Wazanzibari tutakavyokuacheni kwa kuondoka na gia nzito ya maendeleo. Muungano unatuzibia njia tushachoka🤔.
🤔Bunge ni chombo cha kutunga sheria ndio lakini chombo hicho watoaji uamuzi ni watu na tumewachagua kutetea, kusema na kuchangia mambo ya msingi yanayohusu watu, maslahi na mwenendo mzima wa maisha yao. Kama uraia pacha una maslahi na watu wa nchi fulani, wivu, roho mbaya na vizingiti sio suluhisho la wananchi wa nchi hio🤔.
ana-represent watu wengi wenye mawazo kama hayo, so anatengeneza hizo hoja ili EBM apate nafasi ya kuelezea uzuri kutengeneza awareness, la sivyo kusengekua na hyo interview
uyu oscar oscar akili hamna kabisa, very stupid. unaniuliza mtu kama mimi maswala ya uraia pacha mnimezaliwa bongo, nmeishi bongo, sina mpango wa kuishi nje, sijaona oportunity wala sina mpango wa kwenda nje wapi na wapi na uzuri wa uraia pacha. kwanza tuelimishwe then tuchague.
EBM kichwa sana
EBM ameishi Tz zaidi ya miaka 10 na pia ameishi marekani zaidi ya miaka 10 means huyu mtu anajua mengi...!! Sasa badala ya kumpa nafasi ili mjifunze mengi ninyi mnabishana kama kipindi cha michezo.. you won't meet this golden chance of interview with him again forever.. from DSM TZ.
EBM hongera Sana ndg yangu kwa mdahalo huo
EBM your such Amazing person, Asante kwa mtazamo wako kuna Point sana humu kwenye huu Mdahalo 👏🏾
Ernest big up 🇹🇿🇺🇸
Oscar needs to get exposure ingawa ana masters kama anavyodai.He is so ignorant anashindwa hata kutofautisha kati ya haki na sheria.
TUNATAKA URAIA PACHA
Akil mingi sana inabid waruhusu dual citizenship
Ernest ni Genius
EBM is well informed. Its all about education. Through understanding, fear will disapear
Very interesting discussion. Good Mr Magulilo
Here’s where you see the difference between someone who went to school vs the other way around. Keep it Up Mh. Ernest Makulilo
Kwa kweli marekani kunanukia bro ...asanthe sana unajua.
Huyu Oscar si ni graduate huyu...? Mbona he sound ignorant 🤣🤣
DIASPORA NI MTU YOYOTE MWENYE ASILI YA NJE YA NCHI ANAYOISHI AWE AMECHUKUWA URAIA WA NCHI HIYO ANAYOISHI AU HAJACHUKUWA HUYO NI DIASPORA, IKO SIMPLE HATA KWA DICTIONARY YA KAWAIDA TU INAELEZA HIVYO KWA HIYO HATA EBM NI DIASPORA
Tanzania changamuka inchi zinazo tuzunguka wana uraia pacha kenya uganda Rwanda Burundi
Oscar umeharubu hii interview
Uraia mbili watoe kwa wa Tanzania tu basi wafanye ivo na sio kwa watu ambao walokuwa hawajawahi kumiliki passport ya TZ
Great EBM
Mambo ya uraia Pacha naamini yatafikiwa soon Kwa Mapambano haya!!
Bwana Ernest Asante sana, ila tupe opportunities zilizopo na jinsi ya kuzipata ili tuwe wengi na sauti kubwa ya kufikia uraia Pacha!!
Hawa wenzetu unaongea nao hapo naona bado sana, wanabishana Kwa mambo madogo sana!!
Nina wasiwasi na mtangazaji (Oscar) katika kupinga mapendekezo ya mwana Diaspora (Erenest) ikiwa mchakato wa katiba au sera mpya ya nchi kama siyo miswaada ambayo inajadiliwa bungeni na wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi badala ya serikali kuingia gharama au kutenga bajeti ya pesa kutuma watu kuingia mitaani kwa ajili ya kuchukua maoni sasa yamejileta mezani yenye ndo bado kuna upinzani......Nasemaje... Oscar anatakiwa achunguzwe coz anaisababishia serikali iingie gharama ya kuwalipa pesa kwa ajili ya kukusanya maoni nilitegemea yeye Oscar awe wa kwanza kumsikiliza na ku-note madini kutoka kwa Erenest mwenye experience na mwaswala ya Diaspora ili hata kama Mheshimiwa Rais akiitishi mkutano wa Diaspora yeye huyo Oscar akawe wa kwnz kuwasilisha maoni ya wana Diaspora kwa Boss.😂😂😂😂😂
Oscar anazingua uyo
EBM 😊
Sisi kwa burundi yetu hatuna Shd kbs rai pacha inakubalika😅
Huyu anaitwa Oscar sijui, ubongo wake umeganda ana upeo wakuona leo tu dah' huruma sn.
Yani Oscar anajiona ana akili kumbe fala tu. Uraia pacha upite
Oscar mbishiiii sana anakosea. Difination haiko hivyo. MTU YOYOTE AMBAYE YUKO NJE YA NCHI YAKE ALIYOZALIWA NI DIASPORA AWE AMECHUKUWA URAIA WA HIYO NCHI ALIYOKO AU HAJACHUKUWA NI DIASPORA
Ukisikia watu wenye roho ya shetani ndo huyo jamaa anayembishia huyo jamaa wa Marekani
Jamani passport sio uraia. Uraia ni kuzaliwa
VITU VIKAE KWA KATIBA ILI VISITOLEWA KIRAHISI ILI NA MTU YOYOTE
🤔Issue kama hii mimi ndio maana hutaka Zanzibar kutoka katika muungano. Uraia pacha ni fursa na sio uadui au kashfa ya nchi yako. Hebu tuiache Zanzibar itoke katika muungano halafu muone sisi Wazanzibari tutakavyokuacheni kwa kuondoka na gia nzito ya maendeleo. Muungano unatuzibia njia tushachoka🤔.
🤔Bunge ni chombo cha kutunga sheria ndio lakini chombo hicho watoaji uamuzi ni watu na tumewachagua kutetea, kusema na kuchangia mambo ya msingi yanayohusu watu, maslahi na mwenendo mzima wa maisha yao. Kama uraia pacha una maslahi na watu wa nchi fulani, wivu, roho mbaya na vizingiti sio suluhisho la wananchi wa nchi hio🤔.
Ebm
Oscar unaingea simple sana
Oscar, una mawazo FINYU sana ktk hili swala la diaspora, hujui chochote, acha WIVU na ndugu zako.
Oscar ni Mbishi wa kuzaliwa asei,Maana anaeleweshwa ila ni mbishi sana
ana-represent watu wengi wenye mawazo kama hayo, so anatengeneza hizo hoja ili EBM apate nafasi ya kuelezea uzuri kutengeneza awareness, la sivyo kusengekua na hyo interview
Safi sana ebm unaeleweka
He is ignorant fool
Ebm amewekwa KIKAANGONI 😂
Oscar una matatizo
uyu oscar oscar akili hamna kabisa, very stupid. unaniuliza mtu kama mimi maswala ya uraia pacha mnimezaliwa bongo, nmeishi bongo, sina mpango wa kuishi nje, sijaona oportunity wala sina mpango wa kwenda nje wapi na wapi na uzuri wa uraia pacha. kwanza tuelimishwe then tuchague.
Wadiaspora...Wacharo!!
Watangaza wajinga kweli
Oscar is very ignorant. Alafu wala hana hoja.