Hawa viongozi wa ccm ni porojo tu hamna lolote linalofanyika kila siku tunasikia maneno hayohayo tu sio kutenda jambo likafanyika hasa kwa diaspora watanzania. Mnaona kama vile mnatoa passport ya kwenda peponi. Kila siku mnasema tunatayarisha sheria, kwani nchi ngapi washafanya hayo? Nyie mnashindwa nini miaka mingapi sasa? Hamuoni aibu ya kusema uongo?
Sasa tumeelewana CCM free Tanzania siku moja nitarudi nyuban zanzibar
Hawa viongozi wa ccm ni porojo tu hamna lolote linalofanyika kila siku tunasikia maneno hayohayo tu sio kutenda jambo likafanyika hasa kwa diaspora watanzania. Mnaona kama vile mnatoa passport ya kwenda peponi. Kila siku mnasema tunatayarisha sheria, kwani nchi ngapi washafanya hayo? Nyie mnashindwa nini miaka mingapi sasa? Hamuoni aibu ya kusema uongo?
Kiongozi Makini, anae jielewa