Baraka Mpenja wa Azam TV "Walitaka kuandika barua nisitangaze mechi zao"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2019

ความคิดเห็น • 300

  • @makongwatv9285
    @makongwatv9285 5 ปีที่แล้ว +224

    Kama unamkubali huyu jamaa ngonga Like hapa

  • @judithpaul9013
    @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว +63

    *Ewaaa, Yemwe yemwe yemwe, clatous chama... marhabaaa, marhabaaa... one love mpenja*

  • @josephmwibakiswa72
    @josephmwibakiswa72 5 ปีที่แล้ว +69

    Kama unamkubali mbaraka kama me embu fany kama una like twende sawa

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 5 ปีที่แล้ว +73

    Duh nani anateseka nani alisema Simba haend hatuwa ya makund yemwe yemwe

  • @winifridalucas3087
    @winifridalucas3087 5 ปีที่แล้ว +33

    Nan kama mpenja bongo? Kama hakuna kama yeye gonga like twende xawa

    • @mwambietv7614
      @mwambietv7614 5 ปีที่แล้ว

      Winifrida Lucas hakunaaa

  • @fredymgina9732
    @fredymgina9732 5 ปีที่แล้ว +41

    Baraka huyu fundiii kwl kwl🔥🔥🔥like zake hapa💙💙💙

  • @husseinhassan5434
    @husseinhassan5434 5 ปีที่แล้ว +32

    upande wangu nakukubali sana, yani kama Rey Hudson

  • @jmstudio1157
    @jmstudio1157 5 ปีที่แล้ว

    Hakika Baraka Mpenja ni bonge la mtangazaji anaekuja kwa kasi sna ana sisimua sn na kuleta ladha kwenye mpira kama unamkubali uyu jamaa asilimia km zote 100% like apa

  • @dicksonaroka6961
    @dicksonaroka6961 5 ปีที่แล้ว +34

    kumbe ndo wewe mpenja nilikuaga nakusikia tu all the best bro unajitahd kwakwel....ila naomba tu unijibu ni nani anae Teseka....hapa bongo kama n akina naniliii naomba uniambie

    • @tfmfaki9385
      @tfmfaki9385 5 ปีที่แล้ว +1

      ahahahah...mpenja wewe sio wa mchezo mchezo.......mimi na wife tunaenjoy sana siku mpira ukitangazwa na wewe......@Fyekelea mbnali,@ macho yake yanaona kama mimi au macho yako yanaona kama yeye....hapo ulituchanganya sana....any way big up

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว

      Dickson Aroka hahahah yemwe yemwe, clatous chama, marhabaa marhabaa...

    • @stephanolucas7094
      @stephanolucas7094 5 ปีที่แล้ว

      mpenja kwanni hua unaiita Yanga Timu ya wananchi? pia unatubagua bwana

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 5 ปีที่แล้ว

      Anaeteseka ni yupi ka sio yanga 😁😂😂

    • @nasrimohamed7556
      @nasrimohamed7556 5 ปีที่แล้ว

      Utapata majbu vry soon

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 5 ปีที่แล้ว +23

    yani simba wakicheza ukitangaza ww Mimi kwang buludani

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah Jaman kumbe ndoo wewe sijawhi kukuona unanipa raha sana unanitoa stress za mwarabu 😘😘😘😘 yako hiyo Baraka Mpenja mimi sauti yako kwenye utangazaji hoi kweli wewe sauti ya Radi nimejikuta nimeenda kuangalia mechi

  • @byaombemloko8470
    @byaombemloko8470 5 ปีที่แล้ว +11

    Uko vizuri Sana brother

  • @rajabusungi5050
    @rajabusungi5050 5 ปีที่แล้ว +18

    Yaaan kaka upo fresh lazima uamshe hisia za mashabiki,mie nakukubali sana

  • @sifaelmwangata8714
    @sifaelmwangata8714 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali mzee baada ya mwalimu kashasha komaa kaka mungu mmoja siku zote usiwe kama shafiih daudi

  • @bennyfungo9798
    @bennyfungo9798 5 ปีที่แล้ว +4

    Brother you have talent aiseee. Hongera sana

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 5 ปีที่แล้ว +30

    Unapitia mengi ila vumilia ndo kaz Ila una kipaji saana

  • @dishonlinus6514
    @dishonlinus6514 5 ปีที่แล้ว +12

    Humble boi nime enjoy interview

  • @solverman7459
    @solverman7459 5 ปีที่แล้ว +4

    Achana nao wewe Fanya kazi kila kazi ina vionjo vyake unamposifia anaefanya vizuri, asiefanya vizuri huumia BIG UP SANA MPENJA
    Yemwe yemwe yemwe,,
    marahabaa cloutus chota chama anafunga gori gani hili,, nani aliesema simba hawaendi hatua ya makundi, simba wanashangilia nitapima lamri magori kama haya yanaruhusiwa kweli,,,,

  • @adventureguidertanzania2331
    @adventureguidertanzania2331 5 ปีที่แล้ว +7

    Brother unajua ahse mungu akutangulie Sana.

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 ปีที่แล้ว +22

    Yote kwa yote me goli la feisali salumu yanga vs ruvu shooting, Cleotus Chama Simba vs Nkana, Yale yalikuwa balaa bhana

  • @aliasambwana1216
    @aliasambwana1216 5 ปีที่แล้ว

    Da hongera sana mpenja maneno yako yanafundisha wenye uwelwa waelewe wewe ni mtangazaji bola kabisa mungu azidi kukulinda na wabaya wote na washilikina wote Fanya kazi yako kaka burudani kwa wote

  • @josephatmberege4624
    @josephatmberege4624 5 ปีที่แล้ว +24

    Dah uwezo wako wa utangazaj hauendan na umbo lko nilifikil ww ni bonge la baba uko poa xna brooo

    • @bonnymakuke1408
      @bonnymakuke1408 5 ปีที่แล้ว

      Kwel ndugu Sauti yake ya utangazaji utazani ni bonge la baba kumbe kadoogo2

  • @petermim
    @petermim 5 ปีที่แล้ว +14

    Ur the best#😂😂😂wacha tukasilike huwez fulaisha dunia nzima# piga kazi tuh mkuu#🙏🙌👏

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sans Mpenja,kwa slogans na mbwembwe za utangazaji wa soccer uko juu sana kuliko watangazaji wote!.
    Big up kaka hicho ni kipaji!

  • @zachariahmbise8802
    @zachariahmbise8802 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Baraka wewe ni fundi sana, nakukubali sana mkuu, Mungu akupe kibali kikubwa zaidi mbele zake na za wanadamu.

  • @mckafwenda262
    @mckafwenda262 5 ปีที่แล้ว +4

    Nmetazama interview hii nkiwa na tabasam mwanzo mwsho,nmekupenda bro

  • @thomaszacharia6442
    @thomaszacharia6442 5 ปีที่แล้ว +11

    Huyu jamaa kabeba kipaji cha juma Nkamia

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 5 ปีที่แล้ว +3

    I think tumepata mrithi wa kina Charles Hillary.......!! Good work bro, endelea kukaza utafika mbali mnoooo....

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 ปีที่แล้ว +9

    jamaa alivyo hapa na sauti yake tofuti na akitangaza mpila

  • @MichaelJames-tp6co
    @MichaelJames-tp6co 5 ปีที่แล้ว +1

    Miminibaraka mwanawampenja!! Niazimemasikioyako nikusimulie mtanangehuukwadakika90, noumasana mpenja atamm nimewahi kukuchikia ila baadae nikakulewa pa1sana bro. waliomuelewa mpenja like zenuapa

  • @bahatimashauri3945
    @bahatimashauri3945 5 ปีที่แล้ว +7

    sio siri una kipaji kaka wanaokuponda sio watu wema na Mara nying ndo huwa wanakwamisha ata maendeleo ya Taifa,nakukubali kwel unakipaji ubarikiwe

  • @mwinyihaji9611
    @mwinyihaji9611 5 ปีที่แล้ว +11

    mm kaka nakukubali sn baraka mpenja mwenye sauti ya radi

  • @osamkatunzi187
    @osamkatunzi187 5 ปีที่แล้ว

    hakika baraka ww ni mbunifu tena sana,allah akujaalie kipaji zaidi,uko kama peter drury mtangazaji wa uingereza,viva to you guy

  • @edvinaherny6520
    @edvinaherny6520 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni wew baraka mpenja wewe ni noma ukitangaza mpira na manjonjo yako unakosha mioyo ya watu nakpenda sana unapomwita mwl kashasha hii tunahiitaje hii ni hatarii big up sana brother endelea kufanya vitu adimu kama ivyo

  • @lulumpenja459
    @lulumpenja459 5 ปีที่แล้ว

    your the best my lovely brother move in the Grace of GOD

  • @yussuphjumafaki9364
    @yussuphjumafaki9364 5 ปีที่แล้ว

    E bhan baraka mpenja ww ni zaid ya mtangazaji upo juuuu Mungu akulinde na uendeleeeee kupata mafanikio makubwa you are very active

  • @verenabenjamin7893
    @verenabenjamin7893 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Baraka Mpenja...unajua kutufurahisha kny soka

  • @jmstudio1157
    @jmstudio1157 5 ปีที่แล้ว

    km Baraka Mpenja kwako nizaidi ya mtangazaji kama yote gonga like apa

  • @mursalabdulaziz6944
    @mursalabdulaziz6944 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali zaidi ya sana mpenja mungu akulinde zaid inshaallah uendelee kutupa radha maana unatenda haki ya kila aina ya goli hujawah kuniangusha

  • @adillimassoi2909
    @adillimassoi2909 5 ปีที่แล้ว +6

    busara nying sana bigup braza

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 5 ปีที่แล้ว

    Ww ni mzuri muno kwa kutangaza kaka hao mataahira wanaokudisi ni mataahira Wa ovyoo kabisaa na katika azam ww ndo nambari moja kwa utangazaji wa mpira Tz nzima kwa sasa hongera home boy Baraka mwanetu wa Mbeya

  • @stivsammy4010
    @stivsammy4010 2 ปีที่แล้ว

    Piga kazi brother 💪💪

  • @irenemwakabanga2533
    @irenemwakabanga2533 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri brooo Nakuombea Mungu akupe watoto watakaorithi kipaji chako....... Big up....... Goli pilauuuuuuu

  • @tfmfaki9385
    @tfmfaki9385 5 ปีที่แล้ว +17

    ahahaha wewe m2 wakuwache2.... et AAssalam alayku......gooooo a a a haya ni maajabu ivi macho yake yanaona kama mimi au macho yako yanaona kama mimi....ahahaha ulinichanganya sana apo.... bt u doing a great job, big up bro

  • @shaffihabtwalb8173
    @shaffihabtwalb8173 5 ปีที่แล้ว +8

    hiiyo ndo maana ya mtangazaj bora maana peter Drury na Baraka tofauti yao majina
    Namuitaaa maradona of football

  • @mkomatembo
    @mkomatembo 5 ปีที่แล้ว +3

    Upo vizuri Baraka Mpenja Endelea utafika utakapo Inshaallah. Nakukubali sana mwanangu.

  • @kuyasayalel2605
    @kuyasayalel2605 5 ปีที่แล้ว

    Wauti ya radiii. I salute you Brother. Keep it up!

  • @kingayo999
    @kingayo999 5 ปีที่แล้ว +8

    ww ni noma

  • @aliasambwana1216
    @aliasambwana1216 5 ปีที่แล้ว

    Da mpenja unanitoa machozi ndugu 203 dalsa la 6 leo mtangazaji hongera sana kaka natamani nikuone liv hicho nikipaji mungu akulinde sana sana sana acha nilie inanihusu

  • @tibeitajoseph6646
    @tibeitajoseph6646 5 ปีที่แล้ว +1

    You're the best

  • @tatukachingwe2290
    @tatukachingwe2290 5 ปีที่แล้ว +4

    Ngoja nikufagilie kizamani,,wa wa wa brother,,unajua saaaaaaana,,mungu akulinde ,ila ninapenda ukitangaza simbaaaaaaaa yanguuuuuuuh

  • @aliasambwana1216
    @aliasambwana1216 5 ปีที่แล้ว

    Da hongera sana kiongozi upo god sana wacha wanafiki waendelee kutokuelewa

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 5 ปีที่แล้ว

    Dah ...............
    Yaani ndivyo ulivyo Brother ha ha ha ha ha.
    Ongera sana Brother, big up

  • @josephmazuma3143
    @josephmazuma3143 5 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri brother piga kazi maneno yapo tu!

  • @peterbandah5560
    @peterbandah5560 5 ปีที่แล้ว +5

    Kaka we tania tu hata simba tukifungwa tania tu...mpira bila utani hauendi....kwanza me mechi usipotangazaga wewe huwa nakosa mzuka wa kuangalia...!!!TANIA TO THE MAXIMUM

  • @venancemwamfise7510
    @venancemwamfise7510 5 ปีที่แล้ว

    Fanya kazi brother lawama haziishi joh keep it up home boy

  • @kenethtembo673
    @kenethtembo673 5 ปีที่แล้ว +4

    yanga ni kenge kwisha kazi

  • @danforddaud5784
    @danforddaud5784 4 ปีที่แล้ว

    Baraka uko vzur sana kaka

  • @abdulstudy574
    @abdulstudy574 5 ปีที่แล้ว

    Mbunifu sana Katika kuinogesha kazi yake ili aonekane tofauti #amefanikiwa big up bro binafsi nakubali

  • @sananejr8985
    @sananejr8985 5 ปีที่แล้ว +15

    Una kipaji kikubwa Songa mbele kamanda

  • @labanijr5195
    @labanijr5195 5 ปีที่แล้ว +2

    hahahahahaha Baraka mpenja kwan wew haujui mashabiki n sawa na mala.................. a, leo hivi kesho vile 😃😃😃

  • @khalidlongwa3725
    @khalidlongwa3725 3 ปีที่แล้ว

    namkubari sana baraka aise

  • @isackamosbagala8014
    @isackamosbagala8014 5 ปีที่แล้ว

    Kaka your the best keep it up@baraka_mpenja

  • @abrahamvictor1125
    @abrahamvictor1125 5 ปีที่แล้ว

    We love you brother,
    Keep it up

  • @thompsonmasologo5093
    @thompsonmasologo5093 5 ปีที่แล้ว +1

    Hv macho yake yanaona kama mm au macho yako yanaona kama mm? Big up saut ya radi

  • @yohanakebacho3990
    @yohanakebacho3990 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali saaaana Mpenja fire

  • @elishamsuya1098
    @elishamsuya1098 5 ปีที่แล้ว +11

    Jamaaa unajielewa saaaaana unajua kubalance saaaaana naqubal saaaaana

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 5 ปีที่แล้ว

    good job brother keep it up!

  • @barakamwashuya973
    @barakamwashuya973 5 ปีที่แล้ว +6

    wanateseka sana

  • @justineclever596
    @justineclever596 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa fundi sana ningekuwa na zawadi hata milioni 6 ningempa anajua sana Hahahaha ndemla kaka utaua ndemla mwenzako anafamilia big up sana Fanya kazi usiyumbishwe bana

  • @emmanuelmussa8331
    @emmanuelmussa8331 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana kaka.

  • @edyborm5325
    @edyborm5325 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana broo aisee shikamooo nakupenda bureee braza ntmn niwe kama ww

  • @frankatilio4377
    @frankatilio4377 5 ปีที่แล้ว +1

    God Bless Mpenja

  • @mohdmaulid6042
    @mohdmaulid6042 5 ปีที่แล้ว +2

    Nilianza kukubali wakat wa secafa kenya zanzibar heroes wanabebana kwa furaha

  • @barakamusa6570
    @barakamusa6570 5 ปีที่แล้ว

    Me nakukubali sana Baraka wajinaaa mzee Wa ngapi ukooo!

    • @kharifayahayasemwali9748
      @kharifayahayasemwali9748 5 ปีที่แล้ว

      Magori kama haya yanaruhusiwa kwel chama nakuoenda sana kk natamani hata sku moja nikuone kalbu tanga kk

  • @tumainimwita8296
    @tumainimwita8296 5 ปีที่แล้ว

    Ongera brother

  • @mzungukobe5285
    @mzungukobe5285 5 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana mpenja maneno yasikuogopeshe piga kazi mbaba

  • @oliverjelude5662
    @oliverjelude5662 5 ปีที่แล้ว

    Mpenja balaa sana we jamaa una mzuka na utangazaj god bless you

  • @petergebo8198
    @petergebo8198 5 ปีที่แล้ว

    Mpenja wewe ni nomaaaaah nakukubali snaaaa VYURA FC WASIKUKATISHE TAMAA

  • @islamsadik3099
    @islamsadik3099 5 ปีที่แล้ว

    pamoja sana Bro Mbenja, tuzoee tu wabongo hatuna dogo😃😃😃

  • @laurentreonald109
    @laurentreonald109 4 ปีที่แล้ว

    Daah kaka mkubwa webabukubwa sanah!

  • @shafimadaudka5254
    @shafimadaudka5254 5 ปีที่แล้ว

    Hongera unajua sana mpenja maana ukitangaza Mpira unachangamsha sana!

  • @asifiwemlangi5168
    @asifiwemlangi5168 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ananikumbusha Marehemu Ezekiel Malongo.

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 ปีที่แล้ว

    Mashabiki wa Simba na Yanga wanapenda sn timu zao kuliko mpira. Wamejaa washamba wengi wa mpira ndio maana wanamini sn maneno ya Manara na Kina Jerry Muro(enzi izo) wakati na wao wanaangalia mpira.Hovyo kabsa

  • @hassanrashidhassan5218
    @hassanrashidhassan5218 5 ปีที่แล้ว

    Mpenja umemtaja kaka angu wa damu kabisaaa @Habib kyombo....shukhran kaka

  • @zubemilonea300mohamedi5
    @zubemilonea300mohamedi5 5 ปีที่แล้ว

    Barack mpenja nakukubali Sana me nishabiki wa yanga dm dam

  • @muddydamdeok5098
    @muddydamdeok5098 5 ปีที่แล้ว

    Respect brother
    Jah bless More Life

  • @rojamgoto8484
    @rojamgoto8484 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana

  • @dullahkitabu8496
    @dullahkitabu8496 5 ปีที่แล้ว +1

    Me binafsi nakupenda haujawai kuniangusha na sijaona upendeleo kwenye utangazaji wako maana kila utanagazapo unafanya vile kazi yako inataka

  • @emmanuelbunyinyiga8913
    @emmanuelbunyinyiga8913 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa Sana bro

  • @williamfillipatalitv9832
    @williamfillipatalitv9832 5 ปีที่แล้ว +9

    nakukubal sana bro

    • @nasibumaiko3425
      @nasibumaiko3425 5 ปีที่แล้ว

      william mussa kwani hawezi kutangaza bila kukera watu wamepita watangazaji wengi kina Charles hilari Ahmed Kongo omaro Kongo dominik chilambo walikua wazi hawaonyeshi kuegemea popote

    • @makanyamhanga1710
      @makanyamhanga1710 5 ปีที่แล้ว

      Wa kuteseka na kusumbuka ni nani?twambie kjn hodari

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 5 ปีที่แล้ว

    Like nyingi kwa sauti ya raad ..mpenja boy

  • @hasheemmapanga2647
    @hasheemmapanga2647 4 ปีที่แล้ว +1

    akuna mtangazaji mzuri kama ww unaweza ongeza mbwe mbwe zaidi pia natamani kesho 15/november 19 ungetangaza ww kaka

  • @abdulghanimopei243
    @abdulghanimopei243 5 ปีที่แล้ว +2

    Mpeeeeenja Mimi nakuelewa saaana bro,japokuwa wewe Ni Simba, wee Ni noooma
    Tumemsahau Juma nkamia

  • @heppynesspita3413
    @heppynesspita3413 5 ปีที่แล้ว

    mpenja kaka mi nakuelewa sanaa nikikosa sauti yako azam aaaaah bora nikae home

  • @khalidhamadi6352
    @khalidhamadi6352 5 ปีที่แล้ว

    Baraka we ni fundi sana una uwezo mkubwa kapa Peter drury

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 5 ปีที่แล้ว +3

    haaaa nauliza kwani kunamtu anateseka

  • @suleymanenosy1100
    @suleymanenosy1100 5 ปีที่แล้ว

    Kaka fanya kazi yakoooooooo usiwasikilze haooo vyulaaaaaaa

  • @dackchakachaka4521
    @dackchakachaka4521 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukulinda. Tuendelee kupata burudani kutoka kwako.

  • @kulwakahwamo3961
    @kulwakahwamo3961 5 ปีที่แล้ว +1

    cn work