NYUNDO YA BARUAN MUHUZA 14/3/2019: Maulid Kitenge na siri ya mafanikio yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @michaelmponeja2102
    @michaelmponeja2102 5 ปีที่แล้ว +2

    Napendezwa sana na sauti zenu maulid na baruan,mko safi sana kuliko under dog

  • @gifthenry4209
    @gifthenry4209 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa kutuletea huyu mwamba namkubalia Kitege. Thanks Azam

  • @emmanuelmashauri8949
    @emmanuelmashauri8949 5 ปีที่แล้ว +7

    #Chumviiii_mau_kitenge best sports journalist in Tz of all timeee

  • @peterelias1595
    @peterelias1595 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee ibrahim masud maestro

  • @thadeimwende9366
    @thadeimwende9366 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka tu ulivyoonesha ujasiri kwenye tukio la Nape, nilikukubali sana

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 ปีที่แล้ว +4

    Baruan, Uko vizr sana, kwenye nyundo yako

  • @mansourlikamba6289
    @mansourlikamba6289 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @henrickovicent2933
    @henrickovicent2933 5 ปีที่แล้ว

    Hata mmi napenda mambo ya habari. Ila ndio hivyo hakuna wa kunishika mkono. Asante

  • @ezeckieljohn1666
    @ezeckieljohn1666 5 ปีที่แล้ว +5

    Mimi ni simba damu lkn kitenge Mimi nakukubali utendaji wako wa kazi manjonjo unayoyaweka kwenye sports

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 3 ปีที่แล้ว

    Kitenge bwana...yuko fasta sana kuzungumza....nahisi kama ni undercover....ila mwamba yuko poa sana Na anauwezo

  • @Kibitiyetu1
    @Kibitiyetu1 5 ปีที่แล้ว +1

    NYUNDOOOO

  • @steveneryoba1234
    @steveneryoba1234 5 ปีที่แล้ว

    Mko vzr

  • @jryoungsolderp4397
    @jryoungsolderp4397 4 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @martinmwakila6992
    @martinmwakila6992 5 ปีที่แล้ว +4

    Maurid kitenge wewe ni mtu mwenye maharifa sana kuwahi tokea ina napenda unavyo nyumbulisha habari zako za magazeti

  • @allyomary9318
    @allyomary9318 4 ปีที่แล้ว

    Sasa ni wasafi tv na wasafi fm ndani ya sport Arena na Sport court

  • @joselynesango6546
    @joselynesango6546 5 ปีที่แล้ว

    Napenda sauti ya kitenge uja America nitafute

  • @jafarikule7300
    @jafarikule7300 5 ปีที่แล้ว +2

    Good napenda sanaa kua mtangazaji nisaidieni jamani

  • @citystyle6338
    @citystyle6338 5 ปีที่แล้ว +2

    Waukweli kitenge

  • @khamisabdulla9517
    @khamisabdulla9517 7 หลายเดือนก่อน

    MAJURA😂

  • @allykigatta3239
    @allykigatta3239 5 ปีที่แล้ว

    Mtanhazaji mzuri ila anaonekana km mbinafsi binafsi hivi...

  • @rashidyrashidy3923
    @rashidyrashidy3923 5 ปีที่แล้ว

    Naona Baruan yupo na askar kanzu😷😷😷😷😷😷

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 5 ปีที่แล้ว

    Kwenye habari za michezo uko vzuri lakini hard nyuzi usiende una Chembe ya unafiki

  • @dodomamwenge2301
    @dodomamwenge2301 5 ปีที่แล้ว +1

    Mgogoro wa Manji na Mengi..mafahari wakigombana zinazohumia ni nyasi..!

  • @jofreympwapwa6122
    @jofreympwapwa6122 5 ปีที่แล้ว

    Tangu lile tukio nina mashaka sana kuwa jamaa inawezekana ni kati ya wazalendo wa inchi ila sio mbaya

  • @ibrahimmhongole415
    @ibrahimmhongole415 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi Sana kupata kitu nilichokuwa nakitarajia hakika nyie mmeweza

  • @kidually3299
    @kidually3299 5 ปีที่แล้ว

    We need mwana fa

  • @iddmcholwa7888
    @iddmcholwa7888 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa kigoma wamekutana mjini

  • @kingkasuku9703
    @kingkasuku9703 5 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba umwalike na zembela

  • @riphatmuhene9615
    @riphatmuhene9615 5 ปีที่แล้ว +3

    Mlete Masoud Masoud nae apige interview

    • @heartnsanya1182
      @heartnsanya1182 5 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta kashaojiwa

    • @riphatmuhene9615
      @riphatmuhene9615 5 ปีที่แล้ว +2

      @@heartnsanya1182 asante lakini sikusudii masoud kipanya nakusudia masoud masoud ni legend sana huyu kwe media

  • @staranold2332
    @staranold2332 5 ปีที่แล้ว +2

    Tuleteeni zembwela

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 5 ปีที่แล้ว +1

    Kikawaida unapokuwa kwenye mahojiano kama haya unapo tumia neno la kigeni basi anaye kuhoji anaweka sawa kwa kiswahili ni hivi.
    Hapa nashangaa, Maulid ameelezea wa kiswahili na tumeelewa, lakini buruhan anawela engliah "exposure" nini hii?

  • @mashsmash6962
    @mashsmash6962 5 ปีที่แล้ว

    tangu itv nakufatiliaga

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 ปีที่แล้ว

    jezy na 9...mau wa kitengeeee criiiiiiiiiiiiii

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 5 ปีที่แล้ว

    Changamoto kubwa ni unafiki wako wewe maurid kitenge. Tunakujua vzuri ni mtangazaji mwenye kushabikia kwa mitazamo ya mlengo flani. Tunakumbuka ulipokimbia pale st peters

  • @mussabashiru8241
    @mussabashiru8241 5 ปีที่แล้ว

    Kwa apa mjini ukigombea ccm najua utashinda ila hautodum kwani magufuli atamaliza muda wake uko kunako endelea ciyon ccm ikitamba mjin apa

  • @mboyojr540
    @mboyojr540 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwamba askar kanzu kweli hakuna mtu anaweza mzuia afisa usalama tena ana mtutu?cyo rahis ukiangalia ile clip unaona kabisa yule jamaa alikua anamuogopa kitenge yani n kama vile ni mkubwa wake

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo MTU SI NDIO YUSUPH MANJI

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 5 ปีที่แล้ว

      🙄🙄🙄🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

    • @elitumainmathayo804
      @elitumainmathayo804 5 ปีที่แล้ว

      Mangi cna

  • @saheedaliali8676
    @saheedaliali8676 5 ปีที่แล้ว +1

    vip kitenge ivi hauwezi kuongea kinywa kitupu lazima na mikono i shake shake sio

    • @alexsule4680
      @alexsule4680 5 ปีที่แล้ว

      Kila mtu ana stayl yake ambayo mungu amempangia usiingilie kazi ya mungu

  • @saheedaliali8676
    @saheedaliali8676 5 ปีที่แล้ว

    hicho kipindi ni story za mtaani tu hatujifunzi kitu hapo

    • @josephsaliro2021
      @josephsaliro2021 5 ปีที่แล้ว

      Mwamba huyo

    • @ernestmwakalinga8637
      @ernestmwakalinga8637 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana kipindi kipo vizuri.

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 5 ปีที่แล้ว

      @Saheed Ali shule yako ndogo. Kuna aina tofauti za vipindi. Kipindi hiki ni informative, yaani unajua mambo ya watu maarufu/ wenye ushawishi kwenye jamii ambayo pengine hayajapata kujulikana au kusikika sana