Amen Amen,. Amani Mwasote mungu akubariki sana uduma yako nisafi watakatifu tunako kwetu kwetu ni mbinguni kwababa bwana yesu ashatangulia kutuandalia makao bado kitambo kidogo atakuja kutuchukuwa sisi tulio okoka ujumbe safi sana mtumishi napenda sana nyimbo zako uwa zani inwa moyo ubarikiwe..
amen kila mtu ana kwao hata ajifanye hana kwao napenda sana nyimbo zako amani mwasote nikisikiliza hizi nyimbo zako nakumbuka ifisi ibada za arhamisi jioni jamani
Huyu ndugu hunifurahisha sana sana kwa bidii yake,kuimba kwa furaha,na ujumbe kamili bila uoga,ah!!natamani kumwona uso kwa uso,ah!!Mungu akubariki ndugu,ama kwa hakika kwetu ni kule mbinguni, ah!!thx.be blsd-Rev.Anunda
Kwetu nikule mbinguni Bwana Yesu ametangulia kutuandalia makao ili alipo na sisi tuwepo mhmh!! Mungu akutangulie Mtumishi.
walokole tunako kwetu kwetu nikule mbinguni😍😍😍🙏🙏💪
Amen Amen,. Amani Mwasote mungu akubariki sana uduma yako nisafi watakatifu tunako kwetu kwetu ni mbinguni kwababa bwana yesu ashatangulia kutuandalia makao bado kitambo kidogo atakuja kutuchukuwa sisi tulio okoka ujumbe safi sana mtumishi napenda sana nyimbo zako uwa zani inwa moyo ubarikiwe..
Hakika pastor mwasote mungu anakutumia kwa viwango vya juu zidi kunyenyekea kwa mungu uzidi kuwa kifaa chake
amen kila mtu ana kwao hata ajifanye hana kwao napenda sana nyimbo zako amani mwasote nikisikiliza hizi nyimbo zako nakumbuka ifisi ibada za arhamisi jioni jamani
Great songs pastor,i love your songs so much kila ninaposikiza hizi nyimbo zako najiskia nmebarikiwa sana tunaomba uje Kenya utubariki pia tafadhali
Wow . Shangweeeeee. Tuliokoka na tuseme Amina
Ubalikiwe mtumishi wa mungu hakika nazipenda sana nyimbo zako
Huyu ndugu hunifurahisha sana sana kwa bidii yake,kuimba kwa furaha,na ujumbe kamili bila uoga,ah!!natamani kumwona uso kwa uso,ah!!Mungu akubariki ndugu,ama kwa hakika kwetu ni kule mbinguni, ah!!thx.be blsd-Rev.Anunda
Kakangu mwasote sitachoka kusema wewe n Mbegu ya Mungu ilio hai🙌🙌🙌
Barikiwa kaka Mwasote!. Nice song
Wanyiha juu! Utakuja ujeee
UTASIKIA
Unajifanya mjanja
Utakuja Uje
😂🤑🤣
hakika mtumishi ubarikiwe , unaendelea kunitia nguvu ninapo kusigiza, ktk kuimba kweli kuna nguvu hakika najihizi niko huru.
Hii namna Ya song inapgwa nchi za kule south Africa na zmbambwe,aaaah
Amina!! Mungu akuinue pastor....
kwetu ni kwa yesu juu mbinguni wat ablessed song be blessed bro Amani Trisha azenga kenya
Kila mtu anakokwao.... Kwetu ni mbinguni....
Tihwizya hwizya mayi aminaaaa
Barikiwa. Mtumish songa
Mbele
Kila ninaposikiliza nyimbo zako nafarjika sana, napenda nisikie wimbo wako unaitwa nikifumba machooo
Congratration to Amani mwasote for this nice song may God bless you"
Babu na Bibi kwa kigelegele kizuri Mungu awabari sana mmejitahidi sana kumwimbia Mungu na kufanya video ipendeze
kweli ,kwetu ni mbinguni ,ujumbe mzuri
kwetu mbingun haleluyaaaa!
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu!!!
haleluyaaaa mtumshi kwa wimbo mzulii
God is great, continue.
Nimeipenda sana hiyo. Ujumbe ufike kwa wote.
Kenya umesahau Aki but thanks for nice song 😁
barikiwa sana mtumishi na Mungu azidi kukuongezea ujumbe uzindi kutufikishia
Amen kwa kweli Mungu baba akubariki sana Mungu akupe mafuta na neema nyingi iwepo juu yako naomba namba yako
Kwetu ni Huko aliko Yesu.Tuatakuwa naye mahali alipo.
Enock Springs Kiswili amina
Congratulations 👏👏👏👏👏💪💪💃🤸
😭😭😭good song hkika l love the song Sana
barikiwa mchungaji mungu akuongezee nguvu wow wow
Wuuuuuuiiiiii 🤗🤗🤗💪🏻💪🏻🤸🤸🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃💃
I love this song be blessed
Safwa org safi sana yilumbu mwagona mwiiiiii
Nina kwetu....kwetu ni kule binguni.
aman!aman aman!? amani ya bwana yesu iwenawe amen;
Hakika wimbo huo unabaliki
mungu awe nawe katik mamb yote
Amen inabariki sana mpendwa
Amen tumebarikiwa
Safi Sana babu ila ushimile hashee
Ameeen baba nakupenda sana
Ubarikiwe Kwa wmbaji wako .
Nyimbo zako nasikiliza karibu kila siku
Hallelujah 🙏
I really love this song
mtumishi mungu akubariki sana
nimebarikiwa sana
video tamu sana
God bless you Mwasote
Amazing 🙏 🙏🙏
Uhwozya amoyo yilumbu
God bless you
I like the song
Uko poowa sana kamanda wangu
amina mtumishi Kila mtu anakwao
Good bless
Oyooooooooo amennnnn
uko vizuri
kwetu ni mbinguni
Nice
Ubarikiwe mtu wa Mungu
Amen Amen
haswaaa
Asante kwa kipawa hicho , MUNGU akuinue daisies nakukuinua brother
Josphat onsongo Tumusiano(a nice song mtumishi wa mung)
Nimebarikiwa na ujumbe wako
Ujumbe mzito Sana huuu nimefurahi mwansote uko bomba kwa kazi ya mungu
god
pless you so
much
this song is so touching and blessing
balikiwa
🙏🙏🙏🙏
Amen
I can't stop watch this
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤
muito bom Brasil.
Ubalikiwe mtumishi wa mungu hakika nazipenda sana nyimbo zako
kwetu ni kwa yesu juu mbinguni wat ablessed song be blessed bro Amani Trisha azenga kenya
Kwetu ni mbinguni
Amen Amen
Amen
Ubalikiwe mtumishi wa mungu hakika nazipenda sana nyimbo zako
kwetu ni kwa yesu juu mbinguni wat ablessed song be blessed bro Amani Trisha azenga kenya