After listening short clip ticktok, hatimae tumekumbukwa, jaman kama umefatilia huu wimbo kama mimi na kila siku kuchungulia youtube gonga one like tu tujuwane guys❤
Kama obby ni muimbaji wa kizazi kipya na mungu anajua piga like hapa ❤ tunakupenda Sana bro angu ❤ Mungu azid kukuinua Zaid ya akili zetu wanadamu Sina Cha kukulipa kak obadia nakupenda Sana
Nashukuru sana MUNGU kanipa uhai mpaka leo hii ni siku nilikuwa nikisubiria sana Huu wimbo kwa shauku saan obby ubarikiwe sana unajuwa kutupa injili kubwa MUNGU Akupe uhai daima
Wow ,nice song 👌just reminded me this morning i keep pushing ,congrats to the owner of the song ..speaking blessings ,may God make a way to anyone listening to this song just put your trust to God,it shall be well🙏🙏
Kama ulikua unasubili ii ngoma kwa hamu like apa
acha ushamba
Tuko wengi sana wapi likes za Alpha
😂😂kumbe sio peke yangu
0:37 mm hapa❤❤
❤❤
Kama ww unazikubali kazi za huyu jamaa tujuane Kwenye Like 🥰 Bonge la Ngoma
After listening short clip ticktok, hatimae tumekumbukwa, jaman kama umefatilia huu wimbo kama mimi na kila siku kuchungulia youtube gonga one like tu tujuwane guys❤
Kama obby ni muimbaji wa kizazi kipya na mungu anajua piga like hapa ❤ tunakupenda Sana bro angu ❤
Mungu azid kukuinua Zaid ya akili zetu wanadamu Sina Cha kukulipa kak obadia nakupenda Sana
Wimbo mzuri wamatumaini ameen
I love this song tangu itokee nimekua Tu nikisikiliza ...any kenyans here please like this
🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌
mm nmekuwa na kashort clip so nmekuwa nikitembea uku nimiitafuta,🥰
Hoòo yes yes Mungu wangu niokoe😢🙏 weka like kama hii ndiyo nyimbo yetu pendwa
Those from TikTok Hadi uku weka like tukisonga😪😢🙏 NIOKOE 😭😭
mungu akusaidie upamban zaid
I cant get enough of it ooh pleaes God tuokoe nchin yetu ya kenya 😢❤kenyans gather here lets call unto God Atuokoe Jeremia 33 :3
Perfect song for us Kenyans🇰🇪 Tuokoe Mungu😭🙏
Kipenzi Cha wengi ichooooo💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥 tumeisubili sana
Mungu wangu niokoe nimelia sana kuhusu babaangu,muokoe kwenye ugonjwa wake wa Kansa yesu,ameteseka kwa muda sas yesu msaidie babaangu jamn😢
Tunao subiri video tujuane ❤
🎉🎉
Huu wimbo unanibariki na kunifariji sana kama na wewe ni mmoja wapo tujuane
kama ulikuwa unasubili huu wimbo huu kwa ham Kam mm gonga like za kutosha hapa🔥🔥🔥💃💃
How many of us sheds when listening to this musterpiece 🙏🙏🙏
Niokoe 😭😢😭😢 Mimi myonge, nimelia sana inatosha Mungu wangu niokoe
Tuliokuwa tunasubr huu wimbo ...lets gather here❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe kijana .. hii nyimbo Inagusa moyo wangu😢
Nimelia sana imetosha,nimelalamika imetosha ,MUNGU wangu niokoe
Hongera sana Obby nyimbo imetoka wakati sahihi sana kwangu Mungu ni mwema Hongera sana
Mungu wangu niokoe inatosha sasa nmechoka,nmefika mwisho, nmechoka Mungu, nmechoka!!!!
MUNGU wangu niokoe !
Mungu azidi kukutia nguvu my brother nyimbo zako zinabarik na kuponya moyo ulopondeka
Obby Mungu akupe maisha marefu, nyimbo zako ni ibada sana🙏🙏🙏🙏🙏
Nimelia Sana inatosha Mungu wangu niokoe, Bonge moja La Gospel ❤
Blessed song ❤️❤️💐 much love from Kenya gonga like tukisonga
What a wonderful song,i think i needed to hear this.Mungu wangu niokoe na pia okoa Taifa langu Kenya.
Wimbo uliofanyika baraka kwenye maisha yangu naamin nitazidi kuinuliwa kwa kila hatua
Jamani huu wimbo umebeba ujumbe mzuri sana jamani
Wait a whole week finally 🔥🔥this song hits hard ..Blessed song🤲
Mungu wangu niokoeee baba
🎉🎉BLESSINGS
Wimbo wa Baraka Sana Sanaaa....
After losing a loved one.....three weeks down the line 😢....Mungu wangu uwe tiba 😢❤
Hakika Mungu wangu naomba uniokoe ;Nimelia sana ,nmelalamika sana,Mungu wangu imetosha niokoe😭😭🤲🤲🙏🙏
Niokoe MUNGU wangu moyo wangu una vuja damu😭
Anybody from kenya🇰🇪🇰🇪😉lit album
Baba ntakushukuru sana na zaidi ya yote Nakupenda kuliko kila kitu katika hii Dunia umeniokoa kutoka kwa mauti 😭😭😭🛐🛐🛐🙏💯💯
Amen amen 🙏 So Amazing mtumishi...❤🔥🔥🎶
The way nimekua na ngojea huu wimbo only God knows ❤️be blessed brother 🙏🙏🙏
Mungu ahsante aikuwa rahisi kufika hapa
Ubarikiwe mtumishi
Nashukuru sana MUNGU kanipa uhai mpaka leo hii ni siku nilikuwa nikisubiria sana Huu wimbo kwa shauku saan
obby ubarikiwe sana unajuwa kutupa injili kubwa MUNGU Akupe uhai daima
Praying for my country kenya mungu inatosha tuokoe baba 😭😭😭🙏show us mercy God
Mwenyez Mungu akutunze ili uweze kutimiza haja ya moyo wako mtumishi
Perfect song,Mungu tuokoe katika mambo tunayopitia.
kabisa unakipaji ndani yako mungu akupiganie ugikembali kk nice one
This song over the nation on Kenya 🇰🇪 Mungu atuokoe
Nyimbo,,,inayonifariji wakati wote,,,be blessed ma brother🎉🎉
there we go the waiting was so long but finally God has made it the blessings in the house AMEN AMEN HALLELUJAH
Asante Yesu Kwa damu Yako iliyotiririka Kwa ajili yangu.Nimegusa nguo lako la thamani uniokoe .
wooow I'm from Zambia 🇿🇲 and I don't understand the language but this song will change my face😭😭
....nimelia sana inatosha nimelalamika Inatosha Mungu wangu niokoe.....❤
❤❤❤Mungu niokoe😢😢nmelalamika sana imetosha
😭😭😭😭 Niokoe Mungu wangu nmechoka Babaaa 🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana na huu wimbo jaman mungu akubariki sana kaka 🔥🔥🔥🔥
😢😢Tuokoe kwa mambo mengi yanayo tusunguka nimelia inatosha ,okoa familia yangu mungu
Mungu wangu nisaidie machozi ni mengi sanaa😢😢😢😢😢
Ahsante mungu wwangu niokoe
Nimeisubir sana daa naipenda hii nyimbo
Amina mungu wangu niokoe🙏🙏🙏 nice song 🔥
Shukran kwa mungu baba hua haniachi napitia magumu sana ila bado yuu nani siku zote za maisha yangu shukran
Na ubarikiwe kaka❤
The way I have been waiting for this song it touch my heart too much may God bless you🙏🙏🙏
Mungu wangu Niokoe😢😢😢
Mungu wangu niokoe nipate mtoto nimelia Sana
Finally nlikua nmeusubiri kwa hamu na ghamu huu wimbo umetabariki sana ss wakenya kwa huu wakati mgumu Mungu aendele kutumia
Na hii wimbo nimeitafuta🤣🤣🤣from tiktok😘🙏🙏🙏🙏🙏
Wale tulip subiria sana ihi nyimbo kwa amu weka like apa
Wow ,nice song 👌just reminded me this morning i keep pushing ,congrats to the owner of the song ..speaking blessings ,may God make a way to anyone listening to this song just put your trust to God,it shall be well🙏🙏
Kweli nimeliya sana inatosha mungu wangu niokoe 🙏🙏
E MUNGU saidia inchi yetu ya kenya 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲kuwa tiba kwa inchi yetu tunakuomba tuokoe tuaomba msamaha usituache🧎🏼🧎🏼🧎🏼🧎🏼🤲🤲🤲🤲
Huu wimbo unanipea nguvu ya kuomba ninaposhidwa
Be blessed kakaa the song is just oouh MUNGU wangu niokoe🙏
🎉🎉🎉🎉tumeisubiri sana aisee
Wow....at least nilikuwa nmengoja sana ...much love from Kenya 🇰🇪
napenda sana kuimba,, badosijapata wakuniunganish, naomb uniungansh tumtukuze MUNGU pamoja kaka angu🙏
Most a waited song, baraka zikufwate Obby, may God bless anyone.
God hear all the silent prayers for everyone going through a tough phase of their lives. Tusaidie Mungu wetu
Glory to God
Woow nlikua nkusubri Kwa hamu❤
Well done let might God bless you
Mungu aende Lee kukubariki kaka❤❤wimbo huu unanifariji sanaa😢🙏
Blessings
Kabixa gharika la kupata mtoto lije kwa maana msaada wangu ni ww mungu wangu nisaiide
From TikTok like hapa❤
Mungu azid kukuinua broo unajua mpak unajua tena
Tumeisubiri kwa ham sanaa hii nyimbo😊
Nimelia Sana inatosha ni melalamika Sana inatosha mungu wangu niokoe
Imetosha jehovah ,farajaa yangu ni wewee mungu
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
yani kuna watu wanaimba alafu kuna watu wanatunga brother @obby alpha ww ni king of a coming gospel unaimba na kutunga kwa umaridadii sana👏👏👏👏👏
❤❤❤❤sana yani mungu akubariki obby
Kipaji kikubwa sana hiki ni level za juu sana tena sana
Barikiwa mwimbaji,,, a prayer in a song.
🎉❤❤❤❤waoooo nimesubili waoooooo❤❤❤❤
Good job man of God be blessed 🙏
Naipenda hii song sana from bena soft live❤❤❤❤
Mtumishi wa mungu ngoma nikali sanaaaa
Mungu akuzishiye mtumishi wake
niokoe nyimbo yangu pendwa kbla ata ijatoka 😢😢😢😢😢
Nyimbo ni nzuri balaa
Hii kali Sana this is the best album
Washabiki wa Ngoma za injili tujuane Kwenye Like