Jinsi ya kufunga Dish la Azam|Dstv mwenyewe bila kutumia 📡satellite finder.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 14

  • @kisalee1943
    @kisalee1943 2 ปีที่แล้ว +2

    Maarifa mapana Sana

  • @dhulkarnaynmwinyi692
    @dhulkarnaynmwinyi692 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu fresh Ila ungetupa video ya vitendo ingenoga sana

  • @penielmbise5388
    @penielmbise5388 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama kawa unapambana

  • @user-rb5yw3kw1e
    @user-rb5yw3kw1e 5 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba namba ya kampuni ya zuku

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470  5 วันที่ผ่านมา

      0699 990 400 / 0768 984 200
      Email : customercare@zukutv.co.tz

  • @amillyhamis217
    @amillyhamis217 ปีที่แล้ว +1

    kama ni fundi lazima utafute finder kunasehem nyingine huwezi toa tv nje na siku utakapo vunja tv ya watu ndo utajuwa umuhimu wa kuwa na finder 😃😃

  • @stevenchoice3579
    @stevenchoice3579 2 ปีที่แล้ว +1

    Je startimes

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470  2 ปีที่แล้ว

      Unahitaji kujua uelekea au

  • @julianahaulewa1956
    @julianahaulewa1956 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna tofauti gani kutumia finder na bila kutumia finder labda chanel usipotumia finder znakuwa weak na ukitumia finder znakuwa strong???

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470  2 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza usitumie satellite finder ukapata signal strong na ukatumia satellite finder Bado signal zikawa weak hapa ni umakini na utulivu tu wkt unaset although satellite finder inakua easy kupata signal

  • @penielmbise5388
    @penielmbise5388 2 ปีที่แล้ว +2

    So n MTU yeyote tuu anaweza Fanya hvyo???