usisahau ku like,comment,share na ku subscribe youtube channal yetu alfatah tv online, kwa maelezo zaidi piga simu +255 777 858490 #AlfatahCharitableAssociation
Subhhanaallah tunakuombea yaa Allah sote utufanyie wepes katika kutoa sadaka tulijaalia shukraan Sana masheikh wetu kwa ukumbusho Allah awafadhi jazaka Allahu khaira
yarabi poleni sana masikin .mm niko inje ya nchi inshaallah ntakapo rudi nshaallah lazma ntaitafuta madrasa masikin malaika wa mungu poleni jaman wtt wangu na wazazi wenzangu kwa hakika imenitoa machozi allah azdi kuwa nanyi nshaallah
Kwakupata video nyingine bonyeza maandishi ya bluu hapo chini. m.th-cam.com/channels/TOqt91SRB0NyOw6rMo5zTw.html Usisahau ku SUBSCRIBE, SHARE, NA COMMENT
Wa'alaykumus salaam wa rahmatullaahi wa barakaatuh....ALLAAHUMMA IQSIMLANAA MIN KHASHYATIKA MAA TAHUULU BIHII BAINANAA WA BAINA MA'SWIYATIKA..WA MIN TWA'ATIKA MAA TUBALLIGHUNAA BIHI JANNATAK.....
والله بكيت 😭😭😭 nimetokwa na machozi kwakweli ndugu zangu tuitafuteni pepo kwa mambo km haya yakheri leo wapo watu na mapesa matajiri lkn hakuna jema wanalo lifanya zaidi ya uovu na israfu za mali zake mungu
Laiti ningalikuwa na uwezo wallah nitasaidia myatima nawasio na uwezo hadi mwisho wa maisha yangu Mimi nimaskini lakini huu umaskini wangu Allah nipe kidogo bass nitatowa nusu kwajili ya watu wachini kimaisha na mayatima
Sleyum Moo yani mawazo yako kama yangu kila cku naomba mungu nijaaalie nipate chochote nipate kuwasaidia ndugu zangu na wasio kuwa ndugu zangu waliokuwa na maisha ya umaskini
Subhannallah jaman ndugu zangu kwenye hizo namba tuwachangie chochote kile ili na wao wawe ktk furaha hata kwa elf 1 ni sadaka malipo yake utapata kwa mola mlezi hakuna mwengine zaid ya allah subhanna wataala😭😭😭😭😭
Subhana Allah watu wanajifagharisha kwa mambo ya upuuzi tumeisahau dini yetu hii nimara ya pili naiyona hii sehemu machozi yananitoka ila uwezo naomba namba yenu niwasiliane nanyi moja kwa moja
Allah atawalipa kwa njia yenu ya haki Allah atawalipa hatwa zenu ziwe ni njia ya janat firdous yarab Wallah waislam tutakwenda kuulizwa Jaman wapo ambao hawana dini lakini hanawangaliaa mayatima kwa kila kitu mpaka nikaona choyo katika nafsi yangu Nikajiuliza huyu hana dini ni mchina Kwa nyumba school mpaka university anawasomesha chakula na matumizi allah atamlipa japo si muislam
Asalamu alaikum. Wa-allahi thumma wa-allahi thumma wa-allahi, tuseme ukweli kidogo najuwa mchango ni muhimu sana. Nasema waume na wavulana wanayo ishi hapo waweza kujitolea kila wiki muda ya ma saa kama manne au tano mukajenga kibanda hilo hata kwa miti na udongo na itakua madrasa na fakhar na uzito wake kuliko vile eliyoko. Samahani sana.
HAKUNA samahani. Ni kweli kabisa ila tatizo pamoja wenye uwezo wachoyo, ila mfumo wetu wa elimu uko hivyo. Kwani sadaka ni Mali, nguvu, akili, na muda kujitolea. Yaaani, Waislam wa hapa watashindwa kweli kujenga Chuo hata Cha udongo kwa kujishikiza? Yaaani, Waalimu wanashindwa hata ku organize?? Lakini lazima wenye uwezo wajitokeze na waanze some where kujenga culture ya kujifanyia Mambo Sisi wenyewe Inshaa'Allah.
@@hamidudongo1879 Baraka allah fik. Hi yawezekana kuanzwa hata na watu tatu na kila moja ataweza kuleta marafiki na majirani; watatu mpaka tano kwa hurahisi. Bora kuna niya ya ukweli. Allah ma3akum in shaa allah. Ikiwa wewe kutoka pale au wajuwa mjama bas tawakel ufanye connection nao. Baraka allah fik.
Jamani huku naomba nijue wapi daah watoto wenyee watakuwa kusaidiwa kamani tujitoleeni ok nasikiliza huku nandika nasikia pangoni inshalah icho kidogo inshalah nitatoa
Asalam alaykum naomba namba zao za tigo pesa hii madrasa imo wapi naomba kujua kwa cc tulioko mbali na nchi ili tuweze kutoa kidogo kwa wazee wetu walotangulia imeniuma sana naomba please maelezo
Matajiri wakiislamu pesa zao kwenye mipira,Umisi na ujinga mwingine lkn Allah anawasubir siku ambayo haitamfaha mali yake pia binaadam atatamani kua mchanga
Asalam warhamatullah wabarakatuh Ustadh mtu aliyekua inje ya Tanzania ana weza kungia aje? In sha Allah mtu juze ili Na Sisi tuchangiy angalao ata kidogo.
Nikweli Bro wengi wetu atu thamini kutoa kwa umma wetu lakn ndio utaona majina majukubwa ni ya ndugi zetu wanao wekeza mambo yalio katazwa...Allah tujalie mwisho mwema...
جزاكم الله خيرا الامراء لمؤسسة الفتاح
الله يبارك فيكم
ALLAH awahifadhii ndugu mtangazaji n Sheikh Othman Maalim n waislamu wote
Subhhanaallah tunakuombea yaa Allah sote utufanyie wepes katika kutoa sadaka tulijaalia shukraan Sana masheikh wetu kwa ukumbusho Allah awafadhi jazaka Allahu khaira
AMEEN YA RAABIL ALAMIEN🇰🇪
Amiin yarabi
Amiin Thumma amiin
yarabi poleni sana masikin .mm niko inje ya nchi inshaallah ntakapo rudi nshaallah lazma ntaitafuta madrasa masikin malaika wa mungu poleni jaman wtt wangu na wazazi wenzangu kwa hakika imenitoa machozi allah azdi kuwa nanyi nshaallah
Subihana llah ya raabi tujaalie tuwe ni wenye kutoa kwa wepes na wajaalie mashekh wetu umri mrefu wawe ni wenye kuendelea kutukumbusha inshaallal
ALLAAHUMMA amiiiiiìiiiiin
Allah atupe moyo wa kusaidia kutokana na moyo na Allah wtatulipa khr
Subuhanallah yarabi tupe moyo wa huruma tutowe kwenye nyia unayo iridhiya wew mola wetu
Wllah Allah awabariki al fatah 📺 online hkika mnafnya kazi kubwa sana nawaombeeni kheri kwa Allah
Mashaallah masheikh wetu kazi nzuri Allah atawalipa inshaallah
Mashaallah m/mungu awajalie kheri innshaallah
Maneno mazima maalim,
Sadakta,
M'Mungu atufanyie wepesi ktk kutoa,
Kwa waislam sote.
Amin.
Subhannallah mwenyezi Mungu atuwekee we pesi kwa kutowa japo kadogo
Kwakupata video nyingine bonyeza maandishi ya bluu hapo chini.
m.th-cam.com/channels/TOqt91SRB0NyOw6rMo5zTw.html
Usisahau ku SUBSCRIBE, SHARE, NA COMMENT
Allah nijalie na mimi niwe Mwenye kutoa kwa ajili yko allah
Wa'alaykumus salaam wa rahmatullaahi wa barakaatuh....ALLAAHUMMA IQSIMLANAA MIN KHASHYATIKA MAA TAHUULU BIHII BAINANAA WA BAINA MA'SWIYATIKA..WA MIN TWA'ATIKA MAA TUBALLIGHUNAA BIHI JANNATAK.....
Walai Allah atawalipeni kwa kazi yenu nzuri.
Allah tufanyie wepesi katika nafsi zetu tuwe wenye kutoa👏
Ameen
Amiiiiiiiiin YAARABB
Ameen Ya Rab
والله بكيت 😭😭😭 nimetokwa na machozi kwakweli ndugu zangu tuitafuteni pepo kwa mambo km haya yakheri leo wapo watu na mapesa matajiri lkn hakuna jema wanalo lifanya zaidi ya uovu na israfu za mali zake mungu
Allah awalipe ndugu zangu kwa kazi mnayoifanya..
Ameen 🇰🇪
Mungu na mimi nijalie nisaidie ndguzangu
Na Mimi naomba wenye uwezo watoe swadaka kwa maskini kuliko kumalizia kwenye starehe inshallah
Umepokea 1GB,Zitakazotumika hadi 19-02-2020 18:24:13. UHURU WA KUONGEA : Piga *149*99# kisha chagua 3 YATOSHA MITANDAO YOTE
Laiti ningalikuwa na uwezo wallah nitasaidia myatima nawasio na uwezo hadi mwisho wa maisha yangu Mimi nimaskini lakini huu umaskini wangu Allah nipe kidogo bass nitatowa nusu kwajili ya watu wachini kimaisha na mayatima
Allah akujalie Dua muhimu kaka
Amin
Sleyum Moo yani mawazo yako kama yangu kila cku naomba mungu nijaaalie nipate chochote nipate kuwasaidia ndugu zangu na wasio kuwa ndugu zangu waliokuwa na maisha ya umaskini
Yaaa Allah nijaalie nipate japo kazi ili nipate kusaidia ndugu zangu wanaiishi maisha ya chini
Yaarab tujalia tuwe wenye kutoa kwa wepesi Amiin amiin yaraab
Subhannallah jaman ndugu zangu kwenye hizo namba tuwachangie chochote kile ili na wao wawe ktk furaha hata kwa elf 1 ni sadaka malipo yake utapata kwa mola mlezi hakuna mwengine zaid ya allah subhanna wataala😭😭😭😭😭
Ya allah tujalie khery tuwasaidia wasiojiweza
Subhanaallah 😢😢 Allah awape uwepesi inshaallah.
Alhamdulillah Allah Atujalie nasi tuwe Wenye kutowa,🇰🇪
Asalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatu,tunaomba sisi mtuekee namba Za kutolea Swadaq
😢😢😢😢Ya Rabb atuwezeshe hakika kutoa ni moyo si utajiri .
Amiin yarab alamin
Aamin yarabi
Mola atupe wepesi wakutoa ..tulichonacho NshaaAllah. ..
Nam shekh wangu mugu akuweke
Allah atufanyie wepesi wa kutoa kile tulicho nacho
Ya Allah Nijalie Kipato Niweze Kusaidia Waislam Wenzangu
Subhana Allah watu wanajifagharisha kwa mambo ya upuuzi tumeisahau dini yetu hii nimara ya pili naiyona hii sehemu machozi yananitoka ila uwezo naomba namba yenu niwasiliane nanyi moja kwa moja
Namba zao zinapita mbele
+255 777 858490
ealaat2jaliee t2pemushomwemaa t2jaliee kuwasaidiawalewaziejiwesaa
Allah atawalipa kwa njia yenu ya haki
Allah atawalipa hatwa zenu ziwe ni njia ya janat firdous yarab
Wallah waislam tutakwenda kuulizwa
Jaman wapo ambao hawana dini lakini hanawangaliaa mayatima kwa kila kitu mpaka nikaona choyo katika nafsi yangu
Nikajiuliza huyu hana dini ni mchina
Kwa nyumba school mpaka university anawasomesha chakula na matumizi allah atamlipa japo si muislam
Allah atujalie tuwe wenye kutoa sadaka.. inshaallah
Kutoa ni moyo sio utajir allha tujaalie kheir tujitokeze kwa wingi
Allah awajaalie kila kher Inshaallah
Walikum warahatullah wabarakatuh kweri mungu.atunusur
Allah atuongoze tuwe wenye nyooyo za kutowa kutowa ni moyo na siutajili
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. Yaa salam
Yaa salam.
Waikum salam warahmatullah wabarakatuh.
Subhanallah mtihani wallah
Asalamu alaikum. Wa-allahi thumma wa-allahi thumma wa-allahi, tuseme ukweli kidogo najuwa mchango ni muhimu sana. Nasema waume na wavulana wanayo ishi hapo waweza kujitolea kila wiki muda ya ma saa kama manne au tano mukajenga kibanda hilo hata kwa miti na udongo na itakua madrasa na fakhar na uzito wake kuliko vile eliyoko. Samahani sana.
HAKUNA samahani. Ni kweli kabisa ila tatizo pamoja wenye uwezo wachoyo, ila mfumo wetu wa elimu uko hivyo. Kwani sadaka ni Mali, nguvu, akili, na muda kujitolea. Yaaani, Waislam wa hapa watashindwa kweli kujenga Chuo hata Cha udongo kwa kujishikiza? Yaaani, Waalimu wanashindwa hata ku organize??
Lakini lazima wenye uwezo wajitokeze na waanze some where kujenga culture ya kujifanyia Mambo Sisi wenyewe Inshaa'Allah.
@@hamidudongo1879 Baraka allah fik. Hi yawezekana kuanzwa hata na watu tatu na kila moja ataweza kuleta marafiki na majirani; watatu mpaka tano kwa hurahisi. Bora kuna niya ya ukweli. Allah ma3akum in shaa allah.
Ikiwa wewe kutoka pale au wajuwa mjama bas tawakel ufanye connection nao. Baraka allah fik.
YAALLAAH
YAARABB
YAA ARR HAMAARRAHIYMIIN
usituhukumu tuliokosa kwaajili yawalionacho ambaohawatakikutoa ktk njiayako iliyotukuka.
Jamani huku naomba nijue wapi daah watoto wenyee watakuwa kusaidiwa kamani tujitoleeni ok nasikiliza huku nandika nasikia pangoni inshalah icho kidogo inshalah nitatoa
Yaraab tunakuomba utujaalie utudhudishe tuwe na moyo wa kutoa
Waisilam tunahaja yakuongeza nguvuyaumojawetu katika ku upeleka uwisilamu mbele
SUBHANNALLAAH,
الله يسعدهم
Subhanallah allah atufanyie wepesi katika Kutoa
Asalam alaykum naomba namba zao za tigo pesa hii madrasa imo wapi naomba kujua kwa cc tulioko mbali na nchi ili tuweze kutoa kidogo kwa wazee wetu walotangulia imeniuma sana naomba please maelezo
Matajiri wa kiislam wanauacha uislam unadhalilika innalilahi wainnalilahi rajiu
Alla ataleta heri innshalla
Jamani hii madrasa ipo mtaa gani tunataka kujua
Subhan allah allah atupe yalio ya kher tutowee 😅😅😅😅
Matajiri wakiislamu pesa zao kwenye mipira,Umisi na ujinga mwingine lkn Allah anawasubir siku ambayo haitamfaha mali yake pia binaadam atatamani kua mchanga
Subhanallah
Asalam warhamatullah wabarakatuh Ustadh mtu aliyekua inje ya Tanzania ana weza kungia aje? In sha Allah mtu juze ili Na Sisi tuchangiy angalao ata kidogo.
Walaykum msalam warahmatullah wabarakatuh kuna number za simu hapo kwenye screen upande wa kushoto zimeandika
Mwezi awafanyie kila la hre
Kheri ipatikane ishaullah
Ameen in shaallah 🇰🇪
Asalam Aleikum, Nawaombeni muweke namba ya mpesa iwe rahisi kwa yoyote aweze kuchangia sio lazima wawe matajiri
Ni izo zinopita hapo juu
mashaallah
waislam wanachangia mipira wanaacha dini yao!!huu ni mtihani mkubwa tutajibu nn kwa Allah ss hasa wale wenye wasaa wa mali?
suleiman bakar wanawekeza pesa kibao aisee
Nikweli Bro wengi wetu atu thamini kutoa kwa umma wetu lakn ndio utaona majina majukubwa ni ya ndugi zetu wanao wekeza mambo yalio katazwa...Allah tujalie mwisho mwema...
Yani hadi najisikia vibaya wallah hata kama mm masikini lkn wallah nimekula kiapo kwa allah nita saidia
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏👈
Kkweli kabisa😭😭😭
AWW HII NI KIJIJI GANI TANZANIA??
Yaa afrah tupe nguvu za kutafuta na utupe mioyo ya kutowa
@Msafiri Afraha inshaallah ( shukran mashkura)
Allah humma ameen 🇰🇪
Aamin yarabi
Amin
Jamani tukiwa ujerumani tumfikie nani?
Wasiliana na Al-fatah namba zao hizo hapo kwenye video
machozi
Muwe munatoa namba za m pesa ili mtu aweze kutoa alichojaaliwa kwa kuichangia hiyo madrasa
Ni izo zinopita hapo juu
Ni izo zinopita hapo juu
Iyo madrasa iko wapi
Yarabi tuwe moyo wakutoa kwani kutoa ni moyo siutajiri
😭😭😭
Subhanallah