Mungu atusaidie sana kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika kanisa letu. Kiukweli kuna mambo mbalimbali yanatokea katika kanisa ambayo yanakwaza kwa kweli. Mimi binafsi nipo so down siku hizi mambo kadhaa kadhaa yanayoendelea kanisani siuoni ule ulutheri wa Martin Luther. hata swala la wanawake kuwa wachungaji ni moja wapo! Yaani natamani kuhamia kanisa lingine. Natamani kanisa kama Orthodox lingekuwa mitaani kwangu nahisi ningehamia.
ww baba mwogope mungu .yaan ww ni mchochez namba moja mnafanya mambo ambayo hayampendez mungu ,,mungu awarehemu kwa kwel mnalichanganya kanisa kwa kwel
He has applied the power of reasoning as a reasonable man!! Safi sana umetumia vizuri utashi wako na elimu yako vizuri, hata walete maneno ya kukuponda ukweli umeusema.
Mkuu wetu wa kanisa ana utu na ana heshima Sana na ameamua kuliweka kanisa vizuri Sana huyu mengele namfahamu ni TAKATAKA Tu na aache hili suala mara moja.Hata hivyo mgogoro huu umeisha na msajili kupitia wizara ya mambo ya ndani ameshasema na barua ipo tayari na washarika husika tumejulishwa huyu Mengele na Bagonza wakae kimya haliwahusu hili.Hawa wote Wana matatizo Yao makubwa Mengele anyamaze Tu tutamdhalilisha
Hoja za Mengele...ni prematured halaf ndio senior hapo...comment zake zimejaa hila,ugomvi,uchochezi,uchu,na chuki binafsi kwa Mkuu wa Kanisa...Yaan nidham ya kichungaji hamna, wanafurahi kugawa kanisa...Shida hapa hawa wanaona Kama chadema na CCM kwasababu madhabahu wamezizoea hawana hofu ya nguvu za Mungu...Ngoja ziwashukie kwa wakat
Mnatuaibisha na kuliaibisha Kanisa. Hata mnchofanya hapa ni Katiba ipi inawapa mamlaka kufanya hayo...? Kwa mfano Askofu Bagonza ni Askofu wa Karagwe, Konde anatafuta nini? Katiba ipi inamruhusu kuwepo hapo...?
Kwa hiyo hawa nao wameenda kkam? Au bado wako nasisi? Itakuwa usaliti kwa mwenzao kama bado wako na sisi!!! Wamemtia kiburi mwenzao bure masikini!!!! Hii ni dharau kbwa kwa mkuu wa kanisa. Kwa hiyo kama kuna migogoro kanika dayosisi mkuu wa kanisa akae kimya!!!!
Umeiba Mali za dayosisi yako saizi umekuja kumsaidia Mwaikali namna ya kuwaibia Wana konde ...hebu tuachieni Konde yetu ninyi ni akina nani katika Dayosisi yetu? acheni uchonganishi
Ninyi akina Bagonza na Mengele,kama mkuu wa kanisa hana mamlaka kuingia kwenye Doyossi ninyi mmepata wapi mamlaka ya kuja kumjadili mkuu wa kanisa kama sio kukosa nidhamu,kama jambo hili linatakiwa kuletwa kwenye halm.kuu ya kkkt Bagonza ikiwa mjumbe kwann usisubiri kikao hicho ndipo umseme mkuu wa kanisa,konde sio wakinga tunajua shida zako binafsi na mkuu wa kanisa
NMuongo mkubwa nani alikwambia sumbawanga walikataa hujui ya sumbawanga unasema illi mradi. Mkuu wa kanisa angekuja sumbawanga si tungefuŕahi.bora nyie amekuja
Hii ni aibu kwa Kanisa kuingia kwenye siasa. Mlitakiwa kukaa Kama wakristo sio kupambana nani anajua zaidi. Alafu askofu mbona unaongea kwa hasira mnataka kusuluhisha au kuchochea mgogoro. Kanisa hakiongozwi kwa Katiba na kanuni bali kwa neno la Mungu. Ili wawe na umoja Kama sisi tulivyo na umoja. Upendo huvumilia haujivuni na hauhesabu mabaya.
Aache kutafuta umaarufu kupitia mgogoro wa konde yeye yupo njombe haumuumizi unatuumiza sisi wanakonde namuache kumchafua mkuu wetu wa kanisa mshindwe wapenda madaraka ya lazma tutasimama na mkuu wetu wa kanisa.
Mengele huna mamlaka hayo.Mtu wakutafsiri hayo unayoongea ni Katibu mkuu KKKT,Unamchambua mkuu wa kanisa huku ukijua ndiye aliyeunda kamati na unalipwa posho. Konde Mengele hawezi wasaidia.Amestaafu akiacha vidonda Mufindi
Wewe Mengele unauchochea sana huu mgogoro kwa sababu ya chili zako binafsi na mkuu wa kabisa, busara ilikuwa ni kumsaidieni Mwaikali namna Bora ya kuumaliza mgogoro huo.
Kama Mkuu wa kanisa mnamkosoa kwenda dayosisi nyingine.nyie wastaafu vipi hapo mbona sio kwenu huku mna maslahi gani na huyu Mwanakonde Anayeyumbisha kanisa
Hawa maaskofu wangetumia muda wao kukaa magotini Mungu angebadilisha hali ya hewa ya dayosisi hii. Maaskofu wetu Mungu awafungue macho muone shetani anapotaka kulipeleka kanisa la Mungu. Tutubu...
Sasa mgogoro una mwaka mzima hujaweza kuumaliza kama mstaafu kwa mwaka mzima km mmeshindwa akiingilia mnang'aka! Hawa wazee wakistaafu wakae nyumbani huyu mzee hataki suluhu mvurugaji huyu
Siasa mpaka makanisani hii ni hatari,watumishi mnakosa hekima ya kutatua mgongano ndani ya kanisa ,je washarika mnatufundisha nini? Mnaleta makandokando ndani ya kanisa jiandaeni kujibu maswali mbele za MUNGU kwa kosa la kutawanya kondoo wa MUNGU,( acheni kugombea masirah ya kipesa fanyeni kazi ya MUNGU).
Ninyi akina Bagonza na Mengele,kama mkuu wa kanisa hana mamlaka kuingia kwenye Doyossi ninyi mmepata wapi mamlaka ya kuja kumjadili mkuu wa kanisa kama sio kukosa nidhamu,kama jambo hili linatakiwa kuletwa kwenye halm.kuu ya kkkt Bagonza ikiwa mjumbe kwann usisubiri kikao hicho ndipo umseme mkuu wa kanisa,konde sio wakinga tunajua shida zako binafsi na mkuu wa kanisa
Mungu atusaidie sana kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika kanisa letu. Kiukweli kuna mambo mbalimbali yanatokea katika kanisa ambayo yanakwaza kwa kweli. Mimi binafsi nipo so down siku hizi mambo kadhaa kadhaa yanayoendelea kanisani siuoni ule ulutheri wa Martin Luther. hata swala la wanawake kuwa wachungaji ni moja wapo! Yaani natamani kuhamia kanisa lingine. Natamani kanisa kama Orthodox lingekuwa mitaani kwangu nahisi ningehamia.
Tamaa tu ya posho zetu .hamna hata hofu ya Mungu tunawajua kupita maelezo.
ww baba mwogope mungu .yaan ww ni mchochez namba moja mnafanya mambo ambayo hayampendez mungu ,,mungu awarehemu kwa kwel mnalichanganya kanisa kwa kwel
Shikamoo Mwakibwili nakusalimu kwa jina la yesu chrst!.
He has applied the power of reasoning as a reasonable man!! Safi sana umetumia vizuri utashi wako na elimu yako vizuri, hata walete maneno ya kukuponda ukweli umeusema.
Yesuuu utusaidie
Nimekubari Sana baba mengele
Mungu wangu😭😭😭😭😭
Mngemsikiliza, Dayosisi yenu isingemegeka kama ilivyotokea.
Mkuu wetu wa kanisa ana utu na ana heshima Sana na ameamua kuliweka kanisa vizuri Sana huyu mengele namfahamu ni TAKATAKA Tu na aache hili suala mara moja.Hata hivyo mgogoro huu umeisha na msajili kupitia wizara ya mambo ya ndani ameshasema na barua ipo tayari na washarika husika tumejulishwa huyu Mengele na Bagonza wakae kimya haliwahusu hili.Hawa wote Wana matatizo Yao makubwa Mengele anyamaze Tu tutamdhalilisha
Baba tulia Mungu ni mwema tu!
Mkuu kanisa yuko sawa,Maana washirika walikataa kuhamisha makao. Makuu,,Mkuu wa kanisa amefanya ushauri
Hoja za Mengele...ni prematured halaf ndio senior hapo...comment zake zimejaa hila,ugomvi,uchochezi,uchu,na chuki binafsi kwa Mkuu wa Kanisa...Yaan nidham ya kichungaji hamna, wanafurahi kugawa kanisa...Shida hapa hawa wanaona Kama chadema na CCM kwasababu madhabahu wamezizoea hawana hofu ya nguvu za Mungu...Ngoja ziwashukie kwa wakat
Mnatuaibisha na kuliaibisha Kanisa. Hata mnchofanya hapa ni Katiba ipi inawapa mamlaka kufanya hayo...? Kwa mfano Askofu Bagonza ni Askofu wa Karagwe, Konde anatafuta nini? Katiba ipi inamruhusu kuwepo hapo...?
Kwa hiyo hawa nao wameenda kkam? Au bado wako nasisi? Itakuwa usaliti kwa mwenzao kama bado wako na sisi!!! Wamemtia kiburi mwenzao bure masikini!!!! Hii ni dharau kbwa kwa mkuu wa kanisa. Kwa hiyo kama kuna migogoro kanika dayosisi mkuu wa kanisa akae kimya!!!!
Kweliii viongozi mmeshindwa kukaa chini kulimaliza jambo hili kila cku mmekazana kuita vyombo vya hbar ivi mnalipeleka wapi kanisani??
Mungu wa Mbinguni, tusaidiane. Sio kawaida kabisa, kuna jambo.
Umeiba Mali za dayosisi yako saizi umekuja kumsaidia Mwaikali namna ya kuwaibia Wana konde ...hebu tuachieni Konde yetu ninyi ni akina nani katika Dayosisi yetu? acheni uchonganishi
Simpendi huyu Baba huyu Mimi
Sasa Mengele na Bagonza ni akina Nani hawa watuache na kanisa letu zuri
Wengi wape
Ni njaa tu ndo zinawafanya mtoke povu vile?
th-cam.com/video/T9bdC5mjSzA/w-d-xo.html Wewe Askofu mstaafu Msikilize Mwenzako Mstaafu alivyo toa Elimu, Jifunze kwa Mwenzako
Ninyi akina Bagonza na Mengele,kama mkuu wa kanisa hana mamlaka kuingia kwenye Doyossi ninyi mmepata wapi mamlaka ya kuja kumjadili mkuu wa kanisa kama sio kukosa nidhamu,kama jambo hili linatakiwa kuletwa kwenye halm.kuu ya kkkt Bagonza ikiwa mjumbe kwann usisubiri kikao hicho ndipo umseme mkuu wa kanisa,konde sio wakinga tunajua shida zako binafsi na mkuu wa kanisa
Duh naogopa kuandika, Mungu awasaidie, maana nikisikiliza siwaelewi.
Askofu Mkuu Hana uwezo wa kutatua migogoro hata Sumbawanga walimkataa
Acha hizo usiungane nao hawa vingozi wa imala watemi sana kwenye Dayosisi zao
NMuongo mkubwa nani alikwambia sumbawanga walikataa hujui ya sumbawanga unasema illi mradi. Mkuu wa kanisa angekuja sumbawanga si tungefuŕahi.bora nyie amekuja
Hii ni aibu kwa Kanisa kuingia kwenye siasa. Mlitakiwa kukaa Kama wakristo sio kupambana nani anajua zaidi. Alafu askofu mbona unaongea kwa hasira mnataka kusuluhisha au kuchochea mgogoro. Kanisa hakiongozwi kwa Katiba na kanuni bali kwa neno la Mungu. Ili wawe na umoja Kama sisi tulivyo na umoja. Upendo huvumilia haujivuni na hauhesabu mabaya.
Aache kutafuta umaarufu kupitia mgogoro wa konde yeye yupo njombe haumuumizi unatuumiza sisi wanakonde namuache kumchafua mkuu wetu wa kanisa mshindwe wapenda madaraka ya lazma tutasimama na mkuu wetu wa kanisa.
Asantee
Huyu mkuu wakanisa amekuja kuharibu kkkt anatamaa na pesa lukwa alileta ugomvi mkubwa juu yakanisa letu lenye amani miaka Mingi.
Ondoa Kwanza ukabila ili useme vizuri
Wewe wewe
Unachochea badala ya kusuruhisha
Huyu Mstaafu akapumzike....asituchafulie kanisa...Ni aibu Sana....
Punguza jazba kumbuka sisi sote kila mmoja atatoa hesabu yake mbele za Mungu kile alichokifanya dunia.
Hata wanaopiga makofi wajinga Tu Mungu amewatapika tena tulieni
Katiba ipi inayowaruhusu ninyi kwenda Dayosisi nyingine na kuwakataza viongozi Tena kwa jaziba hivo?
Mengele huna mamlaka hayo.Mtu wakutafsiri hayo unayoongea ni Katibu mkuu KKKT,Unamchambua mkuu wa kanisa huku ukijua ndiye aliyeunda kamati na unalipwa posho.
Konde Mengele hawezi wasaidia.Amestaafu akiacha vidonda Mufindi
Wewe Mengele unauchochea sana huu mgogoro kwa sababu ya chili zako binafsi na mkuu wa kabisa, busara ilikuwa ni kumsaidieni Mwaikali namna Bora ya kuumaliza mgogoro huo.
Hongera sana umesema
Kama Mkuu wa kanisa mnamkosoa kwenda dayosisi nyingine.nyie wastaafu vipi hapo mbona sio kwenu huku mna maslahi gani na huyu Mwanakonde Anayeyumbisha kanisa
Umeetaafu Tulia wee acha kuchochea pia wee ni wa njombe achana na Mambo ya mbeya
Hata mseme nini sisi tupo pamoja na mkuu wa kanisa hata mpambane vipi na shetani wenu kumchafua
Na miaskofu inayobisha hata Sura zao mbaya Sana Yana uchawi mpaka machoni.Wamuache Shoo wetu
Hivi huyu ndio msemaji wa Askofu????
Hawa maaskofu wangetumia muda wao kukaa magotini Mungu angebadilisha hali ya hewa ya dayosisi hii. Maaskofu wetu Mungu awafungue macho muone shetani anapotaka kulipeleka kanisa la Mungu. Tutubu...
Sasa mgogoro una mwaka mzima hujaweza kuumaliza kama mstaafu kwa mwaka mzima km mmeshindwa akiingilia mnang'aka! Hawa wazee wakistaafu wakae nyumbani huyu mzee hataki suluhu mvurugaji huyu
Hivi chanzo ni MKUU WA KANISA AU NI MATATIZO YALIYOPO KTK DAYOSISI YA KONDE ,,!!!?
ww mbona unajazba hivyo na mamlaka ???
.
Mungu aponye viongozi wakanisa na taifa taifa linahitaji toba
Siasa mpaka makanisani hii ni hatari,watumishi mnakosa hekima ya kutatua mgongano ndani ya kanisa ,je washarika mnatufundisha nini? Mnaleta makandokando ndani ya kanisa jiandaeni kujibu maswali mbele za MUNGU kwa kosa la kutawanya kondoo wa MUNGU,( acheni kugombea masirah ya kipesa fanyeni kazi ya MUNGU).
Shida mnashinda kea wafanya wanawadanganya kazio ya Mungu haiendi na uganga
Mengele acha uchochezi nyie wachungaji wa pombe
Mnachokitafuta mtakipata soon, sisi wakristo tuko pamoja na mkuu wa kanisa nyie endeleeni kupiga kelele kama walevi
Mambo haya ni ya ndani kwani wanayaweka wazi