Mwinj Boniphace Kuhoka _HUA WANGU (WIMBO ULIO BORA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • KAYA NA FAMILIA Masomo yanayo saidia kurejesha ladha ya mahusiano
    Mwinjilisti Boniphace Kuhoka akiendesha masomo hayo tokea Mjini Igunga Desemba 2020

ความคิดเห็น • 11

  • @simonbushisha9797
    @simonbushisha9797 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @josephkanut6368
    @josephkanut6368 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mwinjilisiti

  • @mabulapeter1988
    @mabulapeter1988 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe baba mkwe Ni mim Kaka yake na mwanapeter Niko mwanza

    • @mwimbajichannel631
      @mwimbajichannel631  ปีที่แล้ว

      Kaka
      Tunashukuru sana kusikia habari zako nasi tunakutakia heri Bwana azidi kukuinua

  • @rubenmanamba584
    @rubenmanamba584 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mahubili fulan ivi alihubili kwa kisukuma akasoma methali 7

    • @mwimbajichannel631
      @mwimbajichannel631  3 ปีที่แล้ว

      Hasa anapokuwa Usukumani anahubiri kwa lugha ya asili kabisa mwanzo mwisho.
      "Basukuma tuli bhachangamku".

    • @rubenmanamba584
      @rubenmanamba584 3 ปีที่แล้ว

      @@mwimbajichannel631 naitafuta hiyo audio kama utaipata nisaidie aliyo hubili kwa kisukuma

    • @emmanuelmanonga5428
      @emmanuelmanonga5428 3 ปีที่แล้ว +1

      tunayapataje hayo mahubiri

    • @rubenmanamba584
      @rubenmanamba584 3 ปีที่แล้ว

      Nilijua labda ww unaweza kua nayo maana mi nilikua nayo kwenye memory card ilivunjika

    • @pascalyalema6925
      @pascalyalema6925 3 ปีที่แล้ว

      Ipo nnayo