Askofu Dkt Mwaikali aongoza ibada kwa kishindo Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki(KKAM)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 192

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว +6

    Huo ndio ukristo Yesu anapenda sana uamusho makanisa kuongezeka saaaaafi

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 2 ปีที่แล้ว +3

    Mkiitisha alambee ntakuja kuwaunga mkono!mpo kwenye haki Sana

  • @kicheko1252
    @kicheko1252 2 ปีที่แล้ว +3

    Bora wanzisha migogoro wamejitenga wenyewe,

  • @hurumawelton1757
    @hurumawelton1757 2 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😄😄😄😄😄jaman mwaikali aoni ata haya jaman mwe ilo kanisa wanajisumbua tyu akina chochot anacho taka nihela tu anataka polen mlio mfuata uyo mbaba nakisembe icho analusha tu mate akiongea Pepo uyo lime mvaa mwakatobe pole na uzee wote uo jaman

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni watiumishi wa Mungu. Mtakuwa jeshi kubwa.

  • @deogratiusmtemi3385
    @deogratiusmtemi3385 2 ปีที่แล้ว

    Andrew king una pepo kwani unakuwa na roho mbaya hivyo

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazeni buti mtafanikiwa simameni kwenye haki ya kweli

  • @dezruh
    @dezruh 2 ปีที่แล้ว +3

    Cha msingi sana ni kujiandaa ili bwana akija akute taa yako ipo na mafuta.

  • @lucymwaigomole1116
    @lucymwaigomole1116 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe na bwana watumishi mungu azidi kuwatunza

  • @hildadavid7389
    @hildadavid7389 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atabaki kuwa mungu tu

  • @pastorphil4124
    @pastorphil4124 2 ปีที่แล้ว +2

    YESU anapata faida kanisa linapopanuka
    Uamsho unazidi ,mala nyingi uamsho unakuja pindi watu wanakwenda kuanzisha kitu chao na haswa kama watazingatia utakatifu na utawa

  • @ELCK-1
    @ELCK-1 หลายเดือนก่อน

    Kongole

  • @atuganilengomba7121
    @atuganilengomba7121 2 ปีที่แล้ว +1

    Fanya kazi kwaujasili baba

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

    Kweli hiz n cku za mwisho

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 2 ปีที่แล้ว +2

    amina huhukoko sisi kkt hatutaki migogoro

  • @hosealutangilo5058
    @hosealutangilo5058 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu alitetee kanisa lake!!

  • @fabbyjames5525
    @fabbyjames5525 2 ปีที่แล้ว +5

    MWAIKALI NI ASKOFU ALIYEPAKWA MAFUTA YA BWANA SIO WALE WAPAKWA MAFUTA YA MAWESE ..... WANATAKA MALI KULIKO KUHUBIRI INJILI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @eldasylyavala9622
      @eldasylyavala9622 2 ปีที่แล้ว

      Nimecheka kama mazuri hahaaaaaa mafuta ya mawese

    • @lebisontito2618
      @lebisontito2618 2 ปีที่แล้ว

      Ana wivu na Madaraka

    • @lebisontito2618
      @lebisontito2618 2 ปีที่แล้ว

      @@eldasylyavala9622 mafuta Ya Nguruwee Hahaha Hahahaha

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna asiyetaka mali wewe mwenyewe unataka

    • @josephmwasalanje2320
      @josephmwasalanje2320 2 ปีที่แล้ว

      Migogoro jazz Band
      Wapo kwenye hema lao

  • @mwaikalishukrani4752
    @mwaikalishukrani4752 2 ปีที่แล้ว +1

    Ili dhahabu ing'ae razima ipitishwe kwenye moto,hivyo Kila jaribu mlilopitia watumishi mungu alikua 'namakusudi.jina la bwana libarikiwe

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani Mwaikali bana unapenda sana Madaraka umeona Uanzishe kanisa jingine aiseeee

  • @angelambwambo2903
    @angelambwambo2903 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila mnachokifanya mtatolea heasabu

  • @benardmwakisunga7464
    @benardmwakisunga7464 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana wapendwa wa Mungu kwa kutiwa nguvu na kuendelea kusimama kwa kazi ya Mungu, mali na vitu sio kitu. Haki bado itasimama hata km sio leo ikaonekana kwa macho ya watu ila bakini ktk kweli ya Mungu. Madhehebu na dini ni njia tu ya kumtafuta na kumfikia Mungu na kutiana moyo wa kwenda mbinguni, lakuna kujidai kua ipi ndo liko sahihi, yote yako sahihi ili mradi jina la Bwana Yesu linaitwa hapo katika roho na kweli. Ivyo isiwe kigezo cha kukwamisha watu kuona ukuu wa Mungu. Mwenyezi Mungu awabariki. Zaidi kaeni kwenye amri iliyo kuu "Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na akili zako zote.....................

  • @luganoatupele2346
    @luganoatupele2346 2 ปีที่แล้ว +2

    mungu akubariki .mwaikali songa mbele tuko pamoja

    • @solomonfibe7706
      @solomonfibe7706 2 ปีที่แล้ว

      Mmm! Na mchungaji Mwakatobe naye!

  • @zeblufingo8361
    @zeblufingo8361 2 ปีที่แล้ว

    Wanajaribu kutabasamu ila moyoni mnakataa. Wanajilazimisha ila nafsi zinawasuta

  • @oneombilinyi2973
    @oneombilinyi2973 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nimeamini hizi ni siku za mwisho tutahama makanisa mpaka tupishane na Yesu

    • @tumainimwakyaka2775
      @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha yaan YESU ipo cku tutapishana nae mlangon unapogeuka unakuta mlango umefungwa MUNGU aturehem

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 2 ปีที่แล้ว

    Atafute jina lake siyo KKKT NA AACHE KUZAA ZAA NJE YA NDOA ETI MCHUNGAJI. Tamaa zao za pesa za waumini

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 2 ปีที่แล้ว +2

    mi ata sielewi wepi ni sahihi wa kule au hawa, Mungu atusaidie

    • @tithomhagama
      @tithomhagama 2 ปีที่แล้ว

      WAHUKU NDO SAHIHI.

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Kanisa kinaendelea kukua isipokuwa kola mmoja akapanda basi,kila mmoja ana haki

    • @chancemgaya8705
      @chancemgaya8705 2 ปีที่แล้ว

      WinnerJudith litakalo hukumiwa siyo Kanisa ni wewe na moyo wako lakini amani ni kitu Cha muhimu sana kwa mtu anayemwabudu Mungu tumechoka kuonyeshwa mitutu ya bunduki kwa sababu ya tamaa ya Mali

  • @bahatidacute8366
    @bahatidacute8366 2 ปีที่แล้ว +1

    mbona kama haongei kitu huyu mwaikali anashindwa hata kuomba loooooh

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว +1

      Ila Mwaikali anawatesa jamani.Ila tumepata somo kubwa sana,tumejifunza aina za wanyakyusa tulikua tunawaona.Daaahhh mmetisha

    • @philbertcelestin7057
      @philbertcelestin7057 2 ปีที่แล้ว

      Angekuwa wa hovyo wasingelimuandama hivi

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 ปีที่แล้ว

    Loh,ama kweli ukijihatibu nafsi huwezi kutofautisha kati ya chumvi na sukari.

  • @bestermwaikenda2306
    @bestermwaikenda2306 2 ปีที่แล้ว

    Mbombo ngafu kwakweli looo

  • @atiliosanga6955
    @atiliosanga6955 2 ปีที่แล้ว

    Waache wamuhubili Mungu wewe unaumia nini

  • @sebastianungimba4676
    @sebastianungimba4676 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mwamba wa kiburi na jeur mwambola analilia nn

  • @jamessichimata36
    @jamessichimata36 2 ปีที่แล้ว

    Saafi sana injili iendelee MUNGU awasimamie

  • @aiseamwandondwa3885
    @aiseamwandondwa3885 2 ปีที่แล้ว

    Songa mbele usigeuke nyuka ukawa jiwe la chunvi chapachapa injili mavuno nimengi watenda kazi wachache kazi ya Mungu ni wito sio kuwekwa na binadamu chapa chapa injili twende na kkam tunakiu na neno

  • @merekwangujati158
    @merekwangujati158 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mpenda pesa tu. Najua na anaongea na wanyonge tu

  • @bumimsojo5359
    @bumimsojo5359 2 ปีที่แล้ว

    Bado hela zetu za miti tulizokuwa tunatoa kila mkristo 1000 kwa mwezi

  • @emanuelolom4010
    @emanuelolom4010 2 ปีที่แล้ว

    Songa mbele imani yenu idumu

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +1

    Kamsimika.nani uaskofu kwenye hilo kanisa jipya? Mbona hajasimikwa.Nguo kaamua.kwenda kujishonea mwenyewe kwa fundi cherehani huo utapeli wa mchana kweupe

    • @sylyavalaeditha8660
      @sylyavalaeditha8660 2 ปีที่แล้ว +2

      Alichokibariki Mungu hakuna aweza kulaani
      Mlikuwa mnajilisha upepo😃😃 tulieni dawa iwaingie

    • @chancemgaya8705
      @chancemgaya8705 2 ปีที่แล้ว

      Andrew king subiri tarehe 17.07ndio ujue kasimikwa au siyo uaskofu siyo nguo Wala kiti ni moyo

    • @andrewking6187
      @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว

      @@chancemgaya8705 sasa kiti cha uaskofu na mavazi na Pete za uaskofu alikatalia za nini hadi kulazimishwa kutoa kama uaskofu sio kofia,vazi wala kiti?

    • @chancemgaya8705
      @chancemgaya8705 2 ปีที่แล้ว

      @@andrewking6187 Hivi Hicho kiti kinakabidhiwa kwa madalali na Polisi hawakufuata taratibu au na wewe ni mamluki manake Mwaikali kawaachia Kila kitu lakini bado mnamfuatilia fikirieni vitu vya maendeleo Wacha sisi tupagawe na Injili ya kweli yenye pumzi siyo ya kinafki

    • @andrewking6187
      @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว

      @@chancemgaya8705 atasimikwa kwa nguvu bila uchaguzi?
      Wameru watatoka Arusha na kuja kumsimika kimabavu bila waumini kumpigia kura!!
      Wanafika na kumsimika kienyeji
      Kifupi hiko kanisa kwa Mbeya halina Askofu wala mchungaji sababu hakuna hata mmoja aliyesimikwa na viongozi juu wa hilo kanisa waliopo!
      Uchungaji na uaskofu huwezi hama nao kienyeji tu toka kanisa moja kwenda lingine tofauti.

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 ปีที่แล้ว

    Kila kiburi na jeuri dhidi ya umoja wa Kanisa a Mungu ni teso kwa wanaofanya hivyo.

  • @esrorukiko1269
    @esrorukiko1269 2 ปีที่แล้ว +4

    Askofu Mwaikale wewe ni mfano mzuri wa kuigwa Mungu akubariki akutunze wakikukataa Mungu hajakukataa fanya kazi ya bwana

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 2 ปีที่แล้ว

      Yeye ndio alianza kuwakataa wachungaji wake

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 2 ปีที่แล้ว

      Anayezaa ovyo nje ya ndoa

  • @nurumbilinyi53
    @nurumbilinyi53 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama mali za wenzenu sii kitu mmekwapua za nini??? rudisheni vyoote ..

    • @lebisontito2618
      @lebisontito2618 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha Hahahaha Hahaha 😆😂😆😂😂😂😂

    • @sylyavalaeditha8660
      @sylyavalaeditha8660 2 ปีที่แล้ว

      Mbona kama unamakasiriko??😃😃

    • @mwakaombi5085
      @mwakaombi5085 2 ปีที่แล้ว

      Tulia dawa ikuingie

    • @nurumbilinyi53
      @nurumbilinyi53 2 ปีที่แล้ว

      @@sylyavalaeditha8660 siyo makasiriko wanasema wenzao wasihangaike na mali wakati wao usiku na mchana wanahangaika kubeba mali za wenzao hili tunaliitaje??

    • @nurumbilinyi53
      @nurumbilinyi53 2 ปีที่แล้ว

      @@mwakaombi5085 Dawa gani unayoiona wewe ni dawa ya kukuingia??

  • @mchikirwambombeyagonja4311
    @mchikirwambombeyagonja4311 2 ปีที่แล้ว

    Amekabidhi ghorofa

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 2 ปีที่แล้ว

    We mzee acha uroho wa malaka elimu yote ulio nayo unadanganywa na watu wa darasa la saba

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wachache sana naona wengi wanawake

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Hata KKKT ukihesabu wanawake ni wengi kuliko wanaume

    • @monicamahemba7491
      @monicamahemba7491 2 ปีที่แล้ว

      Wanawake ndo waombaji wakuu

    • @francismwantolwa2329
      @francismwantolwa2329 2 ปีที่แล้ว

      Ni wepesi kudanganywa

    • @kongs.9595
      @kongs.9595 2 ปีที่แล้ว

      UNATAKA WAWE SAWA KWA SAWA kwani umeambiwa
      KUNA KAZI YA KUOANA HAPO🤣🤣🤣???

  • @geralftiffiri1180
    @geralftiffiri1180 2 ปีที่แล้ว

    Hawezi kuwapeleka mbinguni huyo.

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 2 ปีที่แล้ว

      kwani Martine Lutha Kanisa aliitoa mbinguni.

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 2 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja mwaikali I'm tim mwaikali...

    • @solomonfibe7706
      @solomonfibe7706 2 ปีที่แล้ว

      Wengine hata hawaelewi cha kufanya leo wamejaa kesho wanarudi K.K .K.T.Sasa mmehama nini wakati taratibu nizilezile za K.K.K.T?

    • @michaelsamson9663
      @michaelsamson9663 2 ปีที่แล้ว

      @@solomonfibe7706 ndani yakanisa Kuna mamb mengi katika uongozi

  • @gloryamani9723
    @gloryamani9723 2 ปีที่แล้ว

    MATHAYO 17 ; 10'13 LUKA 1:17.ELIYA KAJA BADO AMUMTAKI.HII VITA BADO SI YA MWILINI HII

    • @sylyavalaeditha8660
      @sylyavalaeditha8660 2 ปีที่แล้ว

      Kwan ulikuwa unapigana mwilini.
      Wenzio hatujawahi waliokuwa wanapigana mwilini ndo walituletea police

  • @atupelemwitiki
    @atupelemwitiki 2 ปีที่แล้ว +2

    Songeni mbele wana Wa Mungu uamsho Wa Martin Luther umeingia Tanzania sasa.

    • @kicheko1252
      @kicheko1252 2 ปีที่แล้ว

      Acha kuwadanganya watu

    • @heringohelo9792
      @heringohelo9792 2 ปีที่แล้ว

      @@kicheko1252 Aingiaye kwa mshale atatolewa kwa mshale.

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 2 ปีที่แล้ว

    Heeee! makanisa ya Mbeya!!?

  • @atiliosanga6955
    @atiliosanga6955 2 ปีที่แล้ว

    Ameeee

  • @barmwa
    @barmwa 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushauri na mazungumzo ni tofauti....kwamba mgogoro usihurubiwe lkn mazungumzo yanagusia mgogoro

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 2 ปีที่แล้ว

    Sawa,yote mema!!

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +1

    Uaskofu unahama nao toka kanisa moja kwenda lingine bila kuchaguliwa kwa kura kwenye hilo.kanisa jipya?
    Mwaikali tapeli

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Kawaachia vyote bado mnahangaika nae wanyakyusa mnafeli wapi,mapango yenu kawaachia yote.Ila mna roho Mbaya kama nyie kwa nyie mnapinduana makabila mengine si mtawauwa kabisaaa.Ondoeni ukanda mtakua huru tena huru kweli bila hivyo KKKT itazalisha makanisa maelfu kwa maelfu.Makanisa unayoyaona yote haya unayoyaona leo Chanzo ni ukiritimba,ukanda,roho Mbaya,uchu wa madaraka,Watu kujihesabia haki kuliko wengine walioko ndani ya KKKT.Aibu kubwa sana

    • @sylyavalaeditha8660
      @sylyavalaeditha8660 2 ปีที่แล้ว +1

      Unakasirika ukiwa wap.😃😃
      Tafuta maarifa kwanza

    • @stellamsuya1178
      @stellamsuya1178 2 ปีที่แล้ว

      Ndyo ujue shida ni madaraka, maana kama ni swala la kumtumikia Mungu unaweza kumtumikia hata bila kuwa askofu

    • @sylyavalaeditha8660
      @sylyavalaeditha8660 2 ปีที่แล้ว

      @@stellamsuya1178 hayo maneno ulipaswa umwambie mwakihaba ambaye amemsaliti mwenzie na kumpindua

    • @stellamsuya1178
      @stellamsuya1178 2 ปีที่แล้ว +1

      @@sylyavalaeditha8660 Mimi sipo kumwambia Mwaikali Wala Mwakihaba, na sema iliyokweli, kwani hata kama alipindulia, kulikuwa na haja Gani ya kung'ang'ania Uaskofu kias hicho? Kwan angebaki mchungaj wa kawaida Mungu asingeendelee kumtumia? Sasa hapo Kuna fundsho gan unapata wewe?

  • @lebisontito2618
    @lebisontito2618 2 ปีที่แล้ว

    Mwaikali

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 ปีที่แล้ว

    Nasikia walikabidhi mali, hivi auditors walikagua hesabu za fedha?

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 2 ปีที่แล้ว

    KKAM wamemsimika lini kuwa Askofu?

    • @MrMcbana
      @MrMcbana 2 ปีที่แล้ว +1

      Alikwishasimikwa toka utoto wake ( Your future life is old to our God

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว +1

      Tulimsimika siku mliyomuhukumu,kama alivyohukumiwa Stephano.Kumbukeni kila kitu mlikua mnaanika mitandaoni mkafikiri sifa.Haya ndio matunda yake.

  • @anodearsulusi7536
    @anodearsulusi7536 2 ปีที่แล้ว

    KKAM mweeee

  • @akberyuda5950
    @akberyuda5950 2 ปีที่แล้ว +1

    HUYU MTUMISHI ANA WATU SANA

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Ni mnyenyekevu sana

    • @storyzatowntz
      @storyzatowntz 2 ปีที่แล้ว

      Alikuwa na hoja nzuri Sana sema sijui kwanini kkkt wameamua kufukuza

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 2 ปีที่แล้ว

    Hili neno lutheran mngeacha mtafute neno lenu huu unakua ni uasi tu

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Hujui kama lilisajiliwa miaka Mungu Hili sio Kanisa jipya Mtumishi wa lipo muda mrefu, isipokuwa moja la ndani ya Tanzania tu.Jingine linavuka mipaka.

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Hujui kama lilisajiliwa miaka Mungu Hili sio Kanisa jipya Mtumishi wa lipo muda mrefu, isipokuwa moja la ndani ya Tanzania tu.Jingine linavuka mipaka.

    • @philbertcelestin7057
      @philbertcelestin7057 2 ปีที่แล้ว

      Nani kakwambia KKKT Ina hati milki ya neno "Lutheran"

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว

      KKKT mtajimilikisha Bible, na hata jina la Yusu Kristu.Acheni ubinafsi wana wa Mungu.

    • @tumainimwakyaka2775
      @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli wajiite kwa jina lao mbona wanaing'ang'ania Luther wakt nao wanamajina tunalijua KKKT hilo kkam limetoka wap washindwe

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +3

    Eti anasema leo ni ibada moja tu.Watu wachache hao ibada mbili zitoke wapi?
    Na wengine hapo wamekuja tu.ku beep.Jumapili ijayo wanarudi KKKT
    Ukitazama watu wa maana wenye hadhi zao wamebaki KKKT .Sura zenye hadhi wenye pesa zao na hadhi zao hazipo kwenye hiyo ibada

  • @yudathadeiassenga1178
    @yudathadeiassenga1178 2 ปีที่แล้ว +1

    Roho ya utengano haiishi, na haiachi mtu salama

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +6

    Hao watu waliomfuata Mwaikali kweli akili zimo? Askofu wao hilo kanisa jipya hawajamsimika wanamchukulia kuwa tayari Askofu na hao wachungaji akina Mwambola hata hawajasimikwa na uongozi wa hilo kanisa jipya wanawachukulia tayari kama wachungaji wa hilo kanisa jipya bila uongozi wa hilo kanisa jipya walikohamia kuwasimika rasmi
    Mbona wanatapeliwa mchana kweupe
    Namhurumia huyo Mwakalinga aliyetoa hicho kiwanja Angetoa tu kwa muda kuwa salieni hapa hadi hilo kanisa jipya lisimike viongozi ndipo akabidhi kiwanja officially kwa hilo kanisa jipya sio kwa mwaikali au kwa Mwambola

    • @lucasmwijage2357
      @lucasmwijage2357 2 ปีที่แล้ว +2

      Wewe hujui wito wa Mungu na Mtu! Akuna wakumsimika kivipi! Mungu kasha msimika hakuna wa kumzuia! Mtumishi mwenye maono makubwa hupigwa vita! Mungu atamunua hamtaamini!

    • @neemagodlisten2590
      @neemagodlisten2590 2 ปีที่แล้ว +2

      Hivi wewe unaumia nini si ubaki na mwakihaba wako hiyo huruma imeonekana baada ya kuhamia waliko, ulikuwa wapi na huruma zako Wakati wa mgogoro, mlisema Hana watu mmeanza kuhaha mtaona jumapili Mambo bado ni Moto MUNGU anawatumia watu wake

    • @jamesjoseph6825
      @jamesjoseph6825 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza nikuulize wewe ni Mlutheri? Kama ni Mlutheri basi katafute historia ya Martine luther

    • @romwaldkabwebwe6747
      @romwaldkabwebwe6747 2 ปีที่แล้ว

      ​@@lucasmwijage2357 hata HUJUI unachosema

    • @benardmwakisunga7464
      @benardmwakisunga7464 2 ปีที่แล้ว

      Nafikiri muda wa kulaumiana umeisha sasa ili mradi kila mmoja kabaki upande aliochagua yeye, hakuna aliye sahihi wala aliyekosea mbele ya macho na akili za wanadamu. Mungu peke yake ndiye ajuaye, acha injili iende mbele kwa namna yeyote ile iwe ya kumpendeza au kumuudhi binadamu yeyote, lakini anayestahili kuabudiwa ni Mungu tu kupitia mwanye Yesu kristo. Tuache malumbano ndugu zangu, hayataisha hata siku moja na muda fulani tukubali kutokubaliana.

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +1

    Alitakiwa yeye na hao wachungaji wake wasimikwe kwanza na uongozi wa hilo kanisa jipya la Kiinjili la Afrika Mashariki ndipo waanze kufanya kazi kama wachungaji na Askofu
    Hawajasimikwa na yeyote kwenye kanisa la watu wameanza ku practice uchungaji na uaskofu kienyeji
    Huko nii kuanzisha mgogoro mwingine wa kikatiba kwenye hilo kanisa jipya

    • @wilsonmkumbo7199
      @wilsonmkumbo7199 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ndoo atatuhukumu siku ya mwisho duuu!

    • @philbertcelestin7057
      @philbertcelestin7057 2 ปีที่แล้ว

      Chokochoko.hata Kanisa unalolitaja silo walilohamia.kwa ujumla una hasira.wasema usichokifahamu

    • @kongs.9595
      @kongs.9595 2 ปีที่แล้ว

      @@philbertcelestin7057 subiri kesho utaratibu wote utauona

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 2 ปีที่แล้ว

    AMANI NDIO Kila kitu hapa dunia hii...

  • @adamnzali8466
    @adamnzali8466 2 ปีที่แล้ว

    dah nimependa sana sijawahi ona askofu mwingine aneomba hivi jamani dah mungu awe nae milele
    haki huinua taifa bali dhambi ni aibu
    Mungu azidi kukupa nguvu mtu Wamungu

  • @hassanmalekela4292
    @hassanmalekela4292 2 ปีที่แล้ว +1

    Uchu wa madaraka huo hadi sala inakuwa ni uovu tupu

    • @lebisontito2618
      @lebisontito2618 2 ปีที่แล้ว

      Hahahah Hahahaha 😆😂😆🤣😆😂 Ndio Shida Ya Mwaikali

    • @sylyavalaeditha8660
      @sylyavalaeditha8660 2 ปีที่แล้ว +1

      Mlijua mmemmaliza au😃😃

    • @mwakaombi5085
      @mwakaombi5085 2 ปีที่แล้ว +1

      Tulieni dawa iwaingie

    • @rebecakipangula3679
      @rebecakipangula3679 2 ปีที่แล้ว

      Mnahangaika,uchu wa madaraka snap aliyempindua boss wake aibu sana

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwaikali anavyopenda pesa.Hizo sadaka kwenye ungo tu lazima zitakuwa zimempandisha ugonjwa wa moyo
    Pesa za sadaka kiduchu alizoea kukusanya mamilioni leo hata huo ungo haujai atakuwa hakulala kwa Pressure

  • @tithomhagama
    @tithomhagama 2 ปีที่แล้ว

    Kkam 💒🌍

  • @godfreymasele8853
    @godfreymasele8853 2 ปีที่แล้ว +1

    Rudisheni lilakitu mpk vitabu vyote vya Tumwabudu Mungu wetu,. Mtunge na muanzishe vipya kwa Imani yenu

    • @Ramsmimi
      @Ramsmimi 2 ปีที่แล้ว +2

      Aliyekwambia nyimbo zote za tumwabudu Mungu wetu zilitungwa na Walutheri nani? Acha ujinga wewe

    • @fabbyjames5525
      @fabbyjames5525 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo hamjaleta police nacheka kama mazuri mimi

    • @eldasylyavala9622
      @eldasylyavala9622 2 ปีที่แล้ว

      @@fabbyjames5525 police nao wamewachoka hahaaaaaaaaa acheni tu neno lihubiriwe

    • @lebisontito2618
      @lebisontito2618 2 ปีที่แล้ว

      Mwaikali ana Uchu na Madaraka ni Mtu Wa Ajabu Sana

    • @MrMcbana
      @MrMcbana 2 ปีที่แล้ว

      Vitabu si vinanunuuliwa tu madukani wapi wamewaandikia ni kitabu chenu wenyewe kitabu kitatumika na kila mmoja so kaa kimya