MFAHAMU USWEGE MWAKANYAMALE MUUMINI KKKT RUANDA ALIYEPINGA HADHARANI KUHAMIA K.K.A.M

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Busokelo tv imefanya mahojiano maalum na Mzee Uswege Mwakanyamale ambaye ni mmoja ya waumini wa usharika wa ruanda ambao walikuwa wanapinga hadharani kuhamishwa kwa makao makuu ya dayosisi ya konde kutoka mjini Tukuyu na kuhamia jijini Mbeya.
    Toka mgogoro ulipo anza mwaka mmoja uliyopita Uswege Mwakanyamale alikuwa akijitokeza hadharani hisia zake za kuto pendezwa na kuali zilizokuwa zikitolewa na wachungaji na baadhi ya waumini wa usharika wa Ruanda.

ความคิดเห็น • 24