mustafa abdul ni kweli raisi wa tz lkn kama hajaletwa ccm mngempata wapi? Ukweli chadema wasipewe maendeleo wapinge kelele kwa sababu hiyo ndio kazi mtaani na bungeni
uyu raisi anatuweka wakati mgumu sana yeye ndie anasema maendeleo ayana chama leo anasbitisha wote mlio chagua madiwani nawabunge ambao ci waccm amuwezi kupewa maendeleo kwa sababu ni watoto wa jirani ni dalili tosha ata maneno yake yake yale ,,,,,,,,,,,,
Lakini watanzania wote ni wako baba tusibaguene Kwa uvyama kwakua Tanzania ni nchi ya vyama vingi ndio maana huku kuna ccm pale ukawa hivyo sio rahisi nchi nzima kuwa ccm la sivyo tutoke kwenye mfumo wa vyama vingi watu wote tuwe chini ya chama kimoja yaani chama chetu mama CCM.
Ipinda nakumbuka mm usafiri ulikuwa shida kipindi cha mvua watu walikuwa wanapanda Trecktar na wakifika penye daraja wanabembwa mgongoni wanavushwa leo mambo mwemwere tuulize ss tunaokaa huku
Hizo ni kod za wananchi na kuhu barabara ni wajib wa. Kiongoz yeyote, haijalishi chama, Bali ubora vkiongoz ni ubunifu was Sera nzur, na.mikakati mathubuti, acha porojo mheshimiwa
Jaribu kupanua wigo wako wa fikra hujaanza kulipa kodi 2015. Ishu tangu muda mrefu ni hao viongozi kufanya maamuzi ya matumizi mazuri na allocation ya fedha za umma badilikeni......appreciate what is to appreciated
Kwa wale wapenzi wa moves za aina zote mnaweza kutembelea youtube channel yangu ili mfurahiye bando lenu kama mnavyo lifurahiya kupitia milard ayo channel
Jifunze lugha ya KIFARANSA kwa bei nafuu zaidi na kuimilisi ndani ya miezi 9 tu. Tupo Dodoma, Arusha na Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa; 0767382641. "More languages, more windows from which to look at the world"
Kweli kweli wana inhi wame furai sana wewe kusema ivo.
@Please 👍 👍 👍 👍 here 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Tunakupenda sana RAIS wetu
Ww sio raisi wa ccm bali ni raisi wa tanzania wote.siasa ziliisha,sasa ni wakati wa maendeleo mr.president
mustafa abdul ni kweli raisi wa tz lkn kama hajaletwa ccm mngempata wapi? Ukweli chadema wasipewe maendeleo wapinge kelele kwa sababu hiyo ndio kazi mtaani na bungeni
Rais kwa ubaguzi Tu,sikuwezi
Uko vzr mzee president
Anazingua asee... Huwa namsapoti lakini Kama siielewi hivi saiziii
Kampeni oyeeeeeeeeeeeeee
Kampeni zimeanza👍👍
Huyu baba anaongea sio mnafik Anaongea kwel
Daahh! HUYU MZEE NDIO ANASEMA HIVYO KWELI.
Mbona siku hizi sikuelewi
CCM tangu uhuru wanafuja Nchi tu .
Nchi imepata uhuru tangu mwaka gani hata tuongelee kuwa hatukamilishi kwa siku moja.
Mtoto wa jirani
Ampeni yakitoto hiyo.
Tambuwa wewe ni rahisi wamuhungano watanzania japokuwa huko nwana CCM , wewe si zahidi ya mwalimu nahakuwahi kusema hivyo.
Eti CCM ndo chanzo!!!
Andika sms vizuri
Mbona Sasa hujui kuandika
Kwahiyo aseme Nani chanzo Kama siyo ccm? Mmh! Sijui nani angefanya vizuri ufurahi.
Maendeleo yana chama Na uchama Upo huu Ndio ukweli.
uyu raisi anatuweka wakati mgumu sana yeye ndie anasema maendeleo ayana chama leo anasbitisha wote mlio chagua madiwani nawabunge ambao ci waccm amuwezi kupewa maendeleo kwa sababu ni watoto wa jirani ni dalili tosha ata maneno yake yake yale ,,,,,,,,,,,,
Hivii alokuwa anashindana naye Mzee wa Mahaba Yuko wapi vile? Maana siyo kwa kimya hicho🤔
Lakini watanzania wote ni wako baba tusibaguene Kwa uvyama kwakua Tanzania ni nchi ya vyama vingi ndio maana huku kuna ccm pale ukawa hivyo sio rahisi nchi nzima kuwa ccm la sivyo tutoke kwenye mfumo wa vyama vingi watu wote tuwe chini ya chama kimoja yaani chama chetu mama CCM.
Swala laumeme hujawaelewa wanaolalamika wanacholalamika niumeme uliopo unakatikakatika hovyo kamavile haunawasimamizi ndicho wanacholalamika wanaipinda.
Raisi anayehubiri umoja ila hotuba zake zinagawa taifa duh
Duuh! hataree..Watoto wa jirani akili kumkichwa
Mzee baba naona yupo kwenye kampeni
Saw a baba piga kaz
Ongela sana baba maana ww umetokana na ccm
Watu wengine wanakuwa kama hawaoni anayoyafanya Rais mnalaum mlitaka awaambie pangeni foleni mpewe kilo za nyama
Ipinda nakumbuka mm usafiri ulikuwa shida kipindi cha mvua watu walikuwa wanapanda Trecktar na wakifika penye daraja wanabembwa mgongoni wanavushwa leo mambo mwemwere tuulize ss tunaokaa huku
Hizo ni kod za wananchi na kuhu barabara ni wajib wa. Kiongoz yeyote, haijalishi chama, Bali ubora vkiongoz ni ubunifu was Sera nzur, na.mikakati mathubuti, acha porojo mheshimiwa
Jaribu kupanua wigo wako wa fikra hujaanza kulipa kodi 2015. Ishu tangu muda mrefu ni hao viongozi kufanya maamuzi ya matumizi mazuri na allocation ya fedha za umma badilikeni......appreciate what is to appreciated
Duh!!! bora rudishen 2 mfumo wa chama kimoja tujuw kimoja tusidanganyane kila cku kw sias y vyama vingi
Kwa wale wapenzi wa moves za aina zote mnaweza kutembelea youtube channel yangu ili mfurahiye bando lenu kama mnavyo lifurahiya kupitia milard ayo channel
ahadi hazuishi mpaka mda wako unaisha!!!!!?
Unaongea kweliii babaa
Hahhaaaaa
Nawakaribisha ktk ulimwengu wa moves kali kali
th-cam.com/channels/oTvBBmgoF6_SpHmExfnk8g.html
We mnafiki sana
Jifunze lugha ya KIFARANSA kwa bei nafuu zaidi na kuimilisi ndani ya miezi 9 tu. Tupo Dodoma, Arusha na Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa; 0767382641.
"More languages, more windows from which to look at the world"