🔥Huyu baba ni moto mungu akusamehe mbona hukusema kabura vp umemwamisha docta mwaka au umechemka wewe hufay umemdhalilisha doct sasa umeamia kwingine unataka uongozi kwa nguvu
Jamani waislamu tunakwenda wapi mbona wasomi wakubwa wa dini mnafanya mambo yasiyo elezeka,haya mambo ya kujibizana kwenye mitandao wanafanya wasanii na wanasiasa lengo lao ni umarufu je nanyie tuone mnataka umarufu? waisilamu leo kila mtu amekua msemaji kwani hakuna utaratibu wahabari na tarifa kwa uma
jazaaka Allaahul khayr sh mwaipopo kwa kuizungumzia hakki kwa ushahidi Allah akuhifadhi lkn nakunsihi endelea kushirikiana na wenzako akina sh mazinge Ili kupeleka uislamu mbele usiwatenge na Wala usijitenge nao
Maneno ya shekh Ilunga nayamin sasa aliwahi kusema katika moja ya clip zake zake kua Bakwata hatokaa mtu mwenye aki hata moja. Sio maneno yangu maneno ya Masrehemu ilunga
Mwaipopo ondoka kwenye dini zawatu rudi kwenye dini yako ya ukristo huko uliko wenyewe wanakwambia umesilim huna uwasilia wadini ya kiislaam njo huku kwenu kwenye uhalisia wako uje tupige mapambiyo🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe mwaipopo mungu anakuona umelaaniwa mbona mazambi yako huyasemi au umekamilika wewe sema yako kwanza umemtukana docta mwaka hufay wewe hiro bando tununurie unataka umaarufu inaonyesha waslam hampendani docta mwaka kawaumbua sasa munapgana wenyewe kwa wenyewe wewe unahubir ndini hufay hata unataka uongozi hufay waslam jamani hawa ndo vyiongozi wa kislam😭
Hii Dini ni hatari 🙌😁 yaan tunaishi kichuki na kinafik sana 🤣🤣huku kwetu kunamtu alimchukia sheikhe wake msikitin wallah hakukaa aliondoshwa uwo msikiti 😁😁kila mtu yupo kisaka tonge na kinafik 😏😏
Binafsi nawashangaa sana hawa watu mungu awaongoze muache kurumbana mnatia aibu sana haya yote mbona hamjawahi kusema au mlikua mnasubiri nini kama sio unafki
Wanataka kuleta mambo vita za makundi ya kiislam sielewi kwanini kama ni wacha Mungu wasimalizane tofauti nje ya media.kweli dini na imani ni vitu 2 tofauti
Mr. Waipopo acha kudhalilisha dini, wewe kama unao ushahidi basi sio kulalama kwenye mitandao, nenda panapo husika ulalamikie huko, kulalama kwenye mitandao kwa wasomi unaonekana njaa ya utawala inakusumbua, debe tupu huvuma. ⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️
Jamani jamani Tunawaomba haya mambo msijiweke hadharan Tofauti zenu Msikizane na mue kitu kimoja Au mtaleta mtafaruku mkubwa. Ikiwa nyinyi mashekhe mwaibishana na sisi tutasawazishwa na nani?😔😔😔
Ivi uyu MTU anatumwa na Nani ?? M mwaipopo njaa itakuuwa ww, Kama una magomvi nae malizeni wenyewe uko acha kutuaibisha waislam. Atujafunzwa Ivo sisi acha ukafiri huo
Safi sana mwaipopo,wewe ndiyo mwislamu hasa,nasikia wanasema ulikuwa mkristo,mimi nasema tabia na kuwa na maneno mengi ndiyo uislam hasa kule kwenye ukristo ulikosea tu
ukweli kunakitu kinashangaza sana (1)Naomba kujua hivi waisilamu hakuna msemaji wa waisilamu yani kilamtu akijisikia kusema anasema tu. (2)sasa mashehe wamekua kama wasanii kusutana,umbea, kutoleana aibu zao kwenye mitandao ya kijamii haya mambo yanatoka wapi au niugeni wa kuonekana kwenye Tv. (3)Basi kama sio ugeni wa matumizi ya mitandao nendeni tena darasani mjifunze masomo ya Uongozi na Madiri yani hamna mipaka ya kuzungumza aibu ya mwenzako wala sio ufahari.
Waislamu wanahitajika wawe watafiti kama wewe unatafiti na unaeleza mambo ya uhakika sio watu wanaongea mambo bila ya kufikiri wala kutafiti. Uwazi na (uhakika).
Mwaipipo Badala ya Kusilimu tu Ulitakiwa Kusoma dini ya Lakini Umekimbilia Mambo ya kutangaza dini Hali hukusoma Uislam wenyewe Kwa kupitia Vitabu vya Asili Hata kusoma Qur'an Bado Hujaweza bado Lakini unapenda Kuwasema MASHEIKH Acha huo Ujinga Wako
Acheni kuwadhalilisha wanao fanya harakati ktk dini ya Allah kwa kisingizio cha kurudisha mali za bakwata, kwani hawo wanaozisimamia sio waislam?? Acheni hizo hizo!! Msitake kutufanya tukakosa imani na bakwata yetu enyi mashekh wa mikoa na wilaya na kata. Mnataka kuwarudisha waumini karne ya 18,,,waumini walipokosa imani na chombo chao cha bakwata???
Matatizo ya uislamu nkwamba turejee kwenye kitabu na sunnaa lakini Leo bakwata nijinamizi lakuwakandamiza waislamu bakwata ni mchongo wa rais wakwanza, waislamu tujitambue Hy hayana mashiko kwanini iwe Leo ayaseme,
Sheikh huu ni UNAFIKI wa hali ya juu, Mbona haya hukuyasema kabla leo?? Jamani MNAPOTEZA SIFA YA U-ISLAM. Masheikh mumesoma DINI au mumesoma Quran??? Kweli KUADHIRIANA na UISLAM??
Yaani hata nashanga kumtoa sio haki hio na mwenye makosa ni huyo mwana mke wa dr mwaka asojua dini yy amenda na fujo pale ametarajia nini ilikua nawahishimu sana watu wa TZ Lakini aaaah kwetu Mombasa hakuna kitu kama hicho huyo dr mwaka mganga mungu atamtosha na roho yake chafu yy na huyo mke wake Subhanallah😢
Mtume (S. A. W) anasema: Unapotaka kutaja aibu za mwenzako kumbuka kwanza aibu zako. Unavyohisi wasiokuwa waislam kupitia hutuba yako hiyo wanawatafsiri vp viongozi wakiislam na UISLAM kwa ujumla? Je kama unatuambia huyo hajasoma je aliemteua halijui hilo au unajua vigezo vilivyompelekea mufti kumteua? Kumbuka hapo unamdhalilisha Hadi mufti kwa tamaa za KUTAKA CHEO.
Dokoment ni makaratasi au!!? Mie naona unatuonyesha makaratasi Tu. Embu kuen na akili wewe jifunze maana ya ushahid wa document, na ujifunze jins ya kutoa ushahid siokushikashika makaratasi
Huyu ni mtu ambaye kajitia fitna kupambana na walimu na masheikh inawezekana kaja na kazi maharumu ya kufitinisha waislamu. Yeye na majini sharifu hawa maftina
🔥Huyu baba ni moto mungu akusamehe mbona hukusema kabura vp umemwamisha docta mwaka au umechemka wewe hufay umemdhalilisha doct sasa umeamia kwingine unataka uongozi kwa nguvu
Njoo kwa BWANA YESU huko kuko vizuri
Shekhe wetu yupo vizuri sana,
Anapambana na kuuendeleza uislamu
Ungejua mazuri anayoyafanya usingesubutu kusema hayo
Uislamu unamiongozo yake sio mitandaoni tu
🔥Huyu baba ni moto mungu akusamehe mbona hukusema kabura vp umemwamisha docta mwaka au umechemka wewe hufay umemdhalilisha doct sasa umeamia kwingine unataka uongozi kwa nguvu
Jamani waislamu tunakwenda wapi mbona wasomi wakubwa wa dini mnafanya mambo yasiyo elezeka,haya mambo ya kujibizana kwenye mitandao wanafanya wasanii na wanasiasa lengo lao ni umarufu je nanyie tuone mnataka umarufu? waisilamu leo kila mtu amekua msemaji kwani hakuna utaratibu wahabari na tarifa kwa uma
Mwaipopo Wewe ni Tapeli hakuna asokufahamu
Bila shaka wewe c muislam ndo mana unachuki nae kawakimbieni kwenye ukafiri.
jazaaka Allaahul khayr sh mwaipopo kwa kuizungumzia hakki kwa ushahidi Allah akuhifadhi lkn nakunsihi endelea kushirikiana na wenzako akina sh mazinge Ili kupeleka uislamu mbele usiwatenge na Wala usijitenge nao
Harana ISSA,kutoka Arusha,, Mwaipopo umeongea mpaka nimelia,kama umeongea uongo machozi yangu utalipa siku yakiama
Muda si mrefu mtaanza kichinjana
Huyu jamaa ni mjinga mpuuzeni
Wacha kumengenya maneno bakwata wote Tanzania nzima hawafai na hawana sifa yoyote yote inatakiwa ipanguliwe
Heko!! Waanike wanafiki wakubwa. Wabadhirifu wamejificha pasua tunakukubali Allah akuongoze akulinde.
Maa sha Allah tabaarakallah, Allah aendelee kukuongoza
Mwenyezi mungu tujaalie tuwe na mwusho mwema amina
Maneno ya shekh Ilunga nayamin sasa aliwahi kusema katika moja ya clip zake zake kua Bakwata hatokaa mtu mwenye aki hata moja. Sio maneno yangu maneno ya Masrehemu ilunga
Ukweli unauma hakuna kumficha mnafiki hata km yupo wapi sema kweli ijapokuwa inauma.
Bakwata Wana shida sana
Hivi Wewemwaipopo umeingia ktk Islam Kuja kutuvuruga waislam rude kanisani Huku teacher wenyewe na masheikh Wetumpka acha uchafu wamdomo wako
Si vyema kumuumbua mwenzio sio busara wala hekima
Yule Dr Mwaka ametuletea haya yote Kama si Dr Mwaka marumbano haya yasingetokea.
Mwaipopo ondoka kwenye dini zawatu rudi kwenye dini yako ya ukristo huko uliko wenyewe wanakwambia umesilim huna uwasilia wadini ya kiislaam njo huku kwenu kwenye uhalisia wako uje tupige mapambiyo🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa unahangaika na nini na kabeke
Wewe mwaipopo mungu anakuona umelaaniwa mbona mazambi yako huyasemi au umekamilika wewe sema yako kwanza umemtukana docta mwaka hufay wewe hiro bando tununurie unataka umaarufu inaonyesha waslam hampendani docta mwaka kawaumbua sasa munapgana wenyewe kwa wenyewe wewe unahubir ndini hufay hata unataka uongozi hufay waslam jamani hawa ndo vyiongozi wa kislam😭
Hii Dini ni hatari 🙌😁 yaan tunaishi kichuki na kinafik sana 🤣🤣huku kwetu kunamtu alimchukia sheikhe wake msikitin wallah hakukaa aliondoshwa uwo msikiti 😁😁kila mtu yupo kisaka tonge na kinafik 😏😏
Uislam sio dini *hatari* usihusishe madhaifu ya watu binafsi na Dini ya Allah, Acha kuukashfu Uislam
Akina mwaipopo wakinyimwa fursa ya kuuza dawa zao misikitini basi inakuwa nongwa hebu muogope mungu
Nakkubal shekhe mwaipopo huna baya
Mwaipopo huyo jamaa simchezo tafuta sanda kabisa
Chanali tukufu unajuwa maana ya utukufu shekhe
Binafsi nawashangaa sana hawa watu mungu awaongoze muache kurumbana mnatia aibu sana haya yote mbona hamjawahi kusema au mlikua mnasubiri nini kama sio unafki
Hahaha hii din😁😁🙌
Mwalimu wakuchinja mbuzi nakutisha watu
Sasa mbona unakashifu tu toa hoja umekaa kabekekabeke
Jamani muogopeni Mungu uislamu ndio unataka mlumbane ? Je Sasa hivi dini ni siasa
Mmmh ee mungu dini imukuwa kama siasa
Wanataka kuleta mambo vita za makundi ya kiislam sielewi kwanini kama ni wacha Mungu wasimalizane tofauti nje ya media.kweli dini na imani ni vitu 2 tofauti
Acha uhuni tunajua Fina kamaniyi nimamruki metumwa kumchafua sheikh kabeke msituletee ukafiri nakutu dhalilisha waislam jichunguze unamapungufu makubwa Wewe tulia
We ni fattani mkubwa sana.ulikuwa wapi siku zote
Nini tena hii fedheha za masheikh kwenye Mitandaoni kwanini msikae kikao mmalizane kuliko kuleta kwenye viombo vya habar
Mr. Waipopo acha kudhalilisha dini, wewe kama unao ushahidi basi sio kulalama kwenye mitandao, nenda panapo husika ulalamikie huko, kulalama kwenye mitandao kwa wasomi unaonekana njaa ya utawala inakusumbua, debe tupu huvuma. ⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️
Huyu aliingia kwenye uislam ili uudhoofishe uislam
mi mkrist ila ni rahis kujua mzungmzaji ana genge lililomtuma na wanachuk sio warekebishaj
Haya yote kwanini msiyakemee mnapo yaona mbaka muze kugombana ndoo myasem
Swali zuri
Hawa akina mwaipopo wamepigwa stop mwanza ndo hasira zote hizo
Jamani jamani
Tunawaomba haya mambo msijiweke hadharan
Tofauti zenu
Msikizane na mue kitu kimoja
Au mtaleta mtafaruku mkubwa.
Ikiwa nyinyi mashekhe mwaibishana na sisi tutasawazishwa na nani?😔😔😔
Mwaipopo ni mnafiki na huyu asipoangaliwa unafiki aliokuwa nao akiwa mkristo uwe Makin utakuja kujulikana
Ivi uyu MTU anatumwa na Nani ?? M mwaipopo njaa itakuuwa ww, Kama una magomvi nae malizeni wenyewe uko acha kutuaibisha waislam. Atujafunzwa Ivo sisi acha ukafiri huo
Safi sana mwaipopo,wewe ndiyo mwislamu hasa,nasikia wanasema ulikuwa mkristo,mimi nasema tabia na kuwa na maneno mengi ndiyo uislam hasa kule kwenye ukristo ulikosea tu
@@mwassamwassa7264 mmh!
Sasa!! Tuna Mwabudu Mungu Gani Au Tuna abudu fedha Hawa ni Viongozi wako hivi Je!! wafuasi wakoje?
Wewe nenda uko kafiri tuu wewe hunasifa yakuwa Ktk uislam
Una matatizo wewe mwaipopo
Mwaipopo umejishushia heshima hiyo ndiofaida yakukurupuka wewe sindio uliowatuka akinarusagnya nakumpendelea aleluya tunamashaka nawewe .atukuelewi sjui tukuite abujahariii
Mna mashaka wewe na nani? usituingize waislam ktk fitna hii
Haibu zako zikuzuie kutaja haibu za wenzako.Upuuzi mtupu.
Mwaipopo hujitambui ludi kwayesu anakupenda sana
ukweli kunakitu kinashangaza sana (1)Naomba kujua hivi waisilamu hakuna msemaji wa waisilamu yani kilamtu akijisikia kusema anasema tu.
(2)sasa mashehe wamekua kama wasanii kusutana,umbea, kutoleana aibu zao kwenye mitandao ya kijamii haya mambo yanatoka wapi au niugeni wa kuonekana kwenye Tv.
(3)Basi kama sio ugeni wa matumizi ya mitandao nendeni tena darasani mjifunze masomo ya Uongozi na Madiri yani hamna mipaka ya kuzungumza aibu ya mwenzako wala sio ufahari.
Waislamu wanahitajika wawe watafiti kama wewe unatafiti na unaeleza mambo ya uhakika sio watu wanaongea mambo bila ya kufikiri wala kutafiti. Uwazi na (uhakika).
Mufti fatilia haya Kama yanaukweli
Shekhe ulikuwa wapi Siku zote kusema kama anatapanya mali hadi alipowapiga marufuku kwenye mkoa wake mufti hawezi kukuteua
Sio haki kabsaa
Matatizo ya waislam yanatutuliwa kwa njia za Quran na sunna. Hii mitandao na izi njaa zenu na tamaa zenu zisituharibie utaratibu wetu ktk dini hii
Kweli kabisa
Mwaipipo Badala ya Kusilimu tu Ulitakiwa Kusoma dini
ya Lakini Umekimbilia Mambo ya kutangaza dini
Hali hukusoma Uislam wenyewe
Kwa kupitia Vitabu vya Asili
Hata kusoma Qur'an Bado Hujaweza bado Lakini unapenda Kuwasema MASHEIKH Acha huo Ujinga Wako
Kwani huyu vipi jamani??
Huyo amekuja kuwavuga jipangeni anasema yup mmoja
Acheni kuwadhalilisha wanao fanya harakati ktk dini ya Allah kwa kisingizio cha kurudisha mali za bakwata, kwani hawo wanaozisimamia sio waislam?? Acheni hizo hizo!! Msitake kutufanya tukakosa imani na bakwata yetu enyi mashekh wa mikoa na wilaya na kata. Mnataka kuwarudisha waumini karne ya 18,,,waumini walipokosa imani na chombo chao cha bakwata???
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun ,
Cç
Waislam mnatia aibu,kaeni Shura muambiane ndio Quran nna hadithi za mtume sw Acheni utoto na uhuni
Sheikh anajichubua duu mwaipopo unamawe
Naona wewe kazi yako kuwashambulia watu personal,hata juzi umemshambulia Sana Chizenga .😣
Matatizo ya uislamu nkwamba turejee kwenye kitabu na sunnaa lakini Leo bakwata nijinamizi lakuwakandamiza waislamu bakwata ni mchongo wa rais wakwanza, waislamu tujitambue Hy hayana mashiko kwanini iwe Leo ayaseme,
Mwagonbana mtandaoni
Na kuabishana
Si haki
Twasikiza tu
Hatuna uwamuzi wakuwapatatisha
Wala kusawazisha kwa mwenye kosa
Mnaabishana tu
mwaipopo wafundisheni hao wasiojielewa
Nadhani baada ya mufti kutengua uteuzi wa sheikh wa mkoa dar umejua nani ni fatani mnafiki na mkorofi
Sheikh huu ni UNAFIKI wa hali ya juu, Mbona haya hukuyasema kabla leo?? Jamani MNAPOTEZA SIFA YA U-ISLAM. Masheikh mumesoma DINI au mumesoma Quran??? Kweli KUADHIRIANA na UISLAM??
Yaani hata nashanga kumtoa sio haki hio na mwenye makosa ni huyo mwana mke wa dr mwaka asojua dini yy amenda na fujo pale ametarajia nini ilikua nawahishimu sana watu wa TZ Lakini aaaah kwetu Mombasa hakuna kitu kama hicho huyo dr mwaka mganga mungu atamtosha na roho yake chafu yy na huyo mke wake Subhanallah😢
Unajuwa yeye Hana mamlaka yaku vunja ndoa ya mtu
Acha mambo Yako hafai hata kusomesha Alif
Tumbua hao mafisadi wanaturudisha nyuma
Tumbua majipu mwaipopo
Mtume (S. A. W) anasema: Unapotaka kutaja aibu za mwenzako kumbuka kwanza aibu zako.
Unavyohisi wasiokuwa waislam kupitia hutuba yako hiyo wanawatafsiri vp viongozi wakiislam na UISLAM kwa ujumla?
Je kama unatuambia huyo hajasoma je aliemteua halijui hilo au unajua vigezo vilivyompelekea mufti kumteua? Kumbuka hapo unamdhalilisha Hadi mufti kwa tamaa za KUTAKA CHEO.
Kiongozi ni binaadamu na binaadamu hajakamilika waangalie Qur-an na uisilam ndio vilivyokamilika.
nyinyi munao mlaumu munakifanya nini katka dini yanimwaipopo anaeleza yaliomo nawewe muislam toalarasa lako
Eti nakupa miez sita we Kama nani
we pimbi nini
Mwaipopo hacha hiyo habari innatak Allah
Mnakaa kuidhalilisha dini kutwa malumbano kwenye media, ote nyie finnar jehannam
Dokoment ni makaratasi au!!? Mie naona unatuonyesha makaratasi Tu. Embu kuen na akili wewe jifunze maana ya ushahid wa document, na ujifunze jins ya kutoa ushahid siokushikashika makaratasi
Mbona unatetea bakwata?nyote wahuni tu.
Huyu ni mtu ambaye kajitia fitna kupambana na walimu na masheikh inawezekana kaja na kazi maharumu ya kufitinisha waislamu.
Yeye na majini sharifu hawa maftina
we mjinga sana hawa tunawakubali wako sahihi mwaipopo wafundisheni hao wakina kabeke pimbi wewe