RADDI KWA MUHAMMAD BACHU |USIPEKUE NA KUENEZA MAMBO YA WATU |JE UNAIJUA NAFASI YA PHOTOGRAFIY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @مكتبةأبي.قتيبةالإسلامية
    @مكتبةأبي.قتيبةالإسلامية 9 วันที่ผ่านมา +1

    حفظك الله و كثّر الله أمثالك

  • @cybersoldiermon3278
    @cybersoldiermon3278 14 วันที่ผ่านมา +6

    بارك الله فيكم
    هذا بيان مبين

  • @HafidhSalum-o1o
    @HafidhSalum-o1o 9 วันที่ผ่านมา

    Maashaallahu shekhe

  • @ShabaniDauda
    @ShabaniDauda 14 วันที่ผ่านมา +4

    Maashaallah jazakumu llahu khayran

  • @HafidhSalum-o1o
    @HafidhSalum-o1o 9 วันที่ผ่านมา

    Maashallahu

  • @ramadhanmaulid4255
    @ramadhanmaulid4255 14 วันที่ผ่านมา +3

    اللهم بارك شيخنا ابو عبيد

  • @HashimBilemile-v6j
    @HashimBilemile-v6j 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaaallah allah amzidishieee shekh wetu

  • @OmaryJuma-zd2nq
    @OmaryJuma-zd2nq 14 วันที่ผ่านมา +1

    ما أجمل نصيحتك!!!!!
    ما شاء الله

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 14 วันที่ผ่านมา +3

    HAPA NDIO UJINGA WA MUHAMMAD BACHU UNAPODHIHIRI.
    ALLAH AMUONGOZE KWENYE HAKI HUYU KIJANA

    • @nzwibasaidi7953
      @nzwibasaidi7953 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ujinga wa bachu ni upi wakati kasim mafuta ndie alie sema kupiga picha ni kharam alafu amejipiga mwenyewe

    • @AbdallahAlly-b5m
      @AbdallahAlly-b5m 8 วันที่ผ่านมา

      Ikitokea umeona video za utupu za mtu,je utazisambaza kwasababu ni alifanya kwa kusudi? Jitambue Sheikh​@@nzwibasaidi7953

  • @AdnanMohammed-l6i
    @AdnanMohammed-l6i 13 วันที่ผ่านมา +1

    بارك لله فيك يا اخي في لله

    • @Lakalhamdu-u4h
      @Lakalhamdu-u4h 13 วันที่ผ่านมา

      بفضلك يا أخي الكريم، قل أو ٱكتب؛- "…....بارك (الله) فيك يا في (الله)......"

  • @ShawwalWazir
    @ShawwalWazir 12 วันที่ผ่านมา

    Jazaakallahu khayraa kwa elmu uliyo tupa.lakini nasaha zako ulipaswa uzielekeze kwa qasim na mohamad mafuta

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g 13 วันที่ผ่านมา +1

    Akhy Allah akukipe radd mwanzo mpaka nwisho imejaa hoja ambazo hazina kejeli.

  • @Daifar100
    @Daifar100 14 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe kheri

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 12 วันที่ผ่านมา

    Allahum Ameen

  • @ibnualishariff
    @ibnualishariff 14 วันที่ผ่านมา +2

    Naswaha yako ilkuwa na inswaf Allah Akuzidishie na wengine waige raddi kma yako haujatukana ila umebainisha hakii kwa anaetaka

  • @AhmedWetaka101
    @AhmedWetaka101 10 วันที่ผ่านมา

    Waalaikum assalam, ingawa sipendezwi na mtindo wa Muhammad Bachu kuhusu masuala kadhaa, unakosa kuelewa ujumbe wake katika mazungumzo yake na Sheikh Mafuta. Sheikh Qassim Mafuta na timu yake wameendelea kusisitiza kuwa kupiga picha ni marufuku kabisa. Mara nyingi wamepuuzilia mbali maoni ya wanazuoni wengine kuhusu jambo hilo, kama ilivyo kwa ujumbe uliochezwa kutoka kwa Sheikh Uthaymin. Hivyo basi, ni unafiki kwa Sheikh Mafuta na kundi lake kuhubiri jambo jingine kisha kufanya tofauti kwa siri. Hilo ndilo ambalo Bachu analijali.

    • @RajumuathumaniRajumu
      @RajumuathumaniRajumu 9 วันที่ผ่านมา

      Hivi ww ukimuita mtu mnafiki unaelewa maana yake au ww upo kweny kundi la wajinga

    • @RajumuathumaniRajumu
      @RajumuathumaniRajumu 9 วันที่ผ่านมา

      Kisha ww nakushaur usome dini kwanza utaelew mambo mengine

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 9 วันที่ผ่านมา

    Ww sema kweli tu unamraddi kasim mafuta😂😂😂

  • @mustafaibrahim5200
    @mustafaibrahim5200 13 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh Allah akulipe kwa Elimu na faida kubwa tulopata lakini unatufafanulia uharamu wa picha kitu ambacho sicho alichohoji Bachu maswali ya Bachu kwenu je ilipigwa bila muhusika kujua au ni pasport size iloeditiwa ?
    msitumie nguvu kubwa kumtakasa mtu ni bora kumnasihi Qassimu Mafuta
    MASWALI YA BACHU HAYAJAJIBIWA

    • @Hussein-Abu-Fathiyyah
      @Hussein-Abu-Fathiyyah 13 วันที่ผ่านมา +1

      Hayo maswali Yana faida gani kwa dini? Ustadh ameeleza hukumu ya picha ambayo ndio mambo ya dini. Ama utapata faida gani kujua picha imepigwa, ama imeiditiwa. Faidika na Yale muhimu kwa dini yako.

    • @mustafaibrahim5200
      @mustafaibrahim5200 13 วันที่ผ่านมา

      @@Hussein-Abu-Fathiyyah kumtendea haki muulizaji ni kumjibu kile alichouliza sio kumzulia

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 13 วันที่ผ่านมา

      @@mustafaibrahim5200 Sasa cha maana alichouliza ni nini?? Ile picha yeye kaitoa wapi kwanini asiende kumnasihi kwa siri badala ya kumfeshehesha hadharani? Bachu ni mwalimu wa majaahil

    • @MBAROUKSAADHUSSEIN
      @MBAROUKSAADHUSSEIN 12 วันที่ผ่านมา

      Hapana mbona ata yy Kassim mafuta hamnasih mtu kwa siri, uliona alivomvaa Dr. Islam na wengine, je hakuana nafasi ya kunasihi siri iwe kwa Bachu tu. Hebu tuwena wa kweli wa hakki.​@@AlmasAbdallah-r3g

    • @khaliluissa7413
      @khaliluissa7413 8 วันที่ผ่านมา

      Mhamad bachu ni mwehu kwani hajui kusoma aje PONGWE afundishe

  • @DicksonLutende
    @DicksonLutende 12 วันที่ผ่านมา +2

    Shekh; unachokisema khs shekh bachu, umemuelewa vibaya. makusudio ya bachu ni kutokana na misimamo ya shekh qasm khs kupiga picha ni kharaam kwake na aliwasema vibaya sn wale wt wenye kupiga picha kwa mlango wa dharula, Tena na kuwapa majina ya hovyo kbs. Kwaiyo bachu anakusudia ilo kwamba, ww qasm misimamo yk picha ni kharaam je imekuwaje Leo upigea picha? Hilo suali la shekh bachu. na akatolea mfano wa kule nyuma juu ya misimamo yk qasm juu ya taasisi kuwa ni harasm hatima yake nayy akasajili taasisi, haya ndo maneno ya shekh bachu Allah amhifadhi. na unasema khs nasaha, yaani nyie wafuasi wa shekh qasm ndo mnajuwa kutoka nasaha sahihi Ila wengine woote wakisema hata km ni jambo la sw hamkubali kbs, mwajifanya nyie ni maasum, wakati ndo mnamidomo michafu mno. acheni tabia mbaya hiyo hii ni dini ya Allah Wala siyo ya shekh qasm na wafuasi wake, fikieni mahala muikatae fitna na kujikweza, aneni ss daawa yanu jinsi Allah anavowazalilisha, na tambuweni kuwa mwisho wenu mtajisambalatisha wenyewe kwa wenyewe na hii imeshaanza tayar, Allah atawabainisha wt mmoja baada yamwingine mwisho khaq ataibainisha tu INSHAALLAH

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 10 วันที่ผ่านมา +1

      Ndugu yangu je wewe waongea hayo maneno ukiwa katika hali ya kawaida au hasira tu?
      Ninayo mihadhara ya sheikh Qasim mafuta akizungumzia picha katika sehemu tofauti tofauti ila hakuna sehemu sheikh kamwita mtu hizby au khurafi kwasababu ya picha je wewe untoa wapi hilo? Nataka unitumie hizo audio akiwaita watu majina mbaya kwasababu ya picha
      Pili mihadhara ya sheikh Qasim mafuta kuhusu taasisi ninayo na hakuna mahali kahalalisha kisha kaharamisha bali msimamo wake wa zamani kabla ya kusajili ndio huo huo alio kua nao baada ya kusajili sasa kama unao ushahidi kuhusu madai yako lete na hakuna sehemu sheikh kamwita mtu hizby au khurafi kwasababu ya taasisi kama unao ushahidi lete

    • @RajumuathumaniRajumu
      @RajumuathumaniRajumu 9 วันที่ผ่านมา

      Wew ufaham wako ni mdgo kwanza kabisa unaweza kuleta sauti ya shaykh qassm akiwasema vibaya wanaopiga picha kwa mlango wa zarura Kisha ww soma dini kwanza

  • @rashidandayi5514
    @rashidandayi5514 13 วันที่ผ่านมา +2

    Maneno ya hekima bila uadilifu cjui utaiweka wapi ktk mizani. Maana ukimtaja Bachu nikama ndo mwenye makosa tu Bali muhusika Mkuu wa mtaja kwa heshima. Au ndo uslubu gani ktk hii dawa salafiyyah

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 12 วันที่ผ่านมา

    Tupishe

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza kabisa Shekh Muhammad Bachu haja kosea kwa alicho kifanya, pia hajaeneza maovu ya Shekh Qassim Mafuta.
    Nyinyi munao jiita masalafi mmeharibu sehemu kubwa mnooo ya maamiliano baina ya Waislamu, na mumepanda miche miovu kwenye nukta hii, ispokua wachache walio rehemewa na Allaah, hawaungi mkono hili kosa.
    Pia Shekh Qassim yeye mwenyewe kesha wadhalilisha wengi na kukhalifu haya maelekezo ya Usilamu, lkn pia anapofanya kosa Shekhe wenu ndio hizi Aya na Hadithi na maelezo ya Ulamaa nyinyi mnaziona!!!
    Sasa hii ni dalili ya wazi juu ya ufisadi wa manhaji yenu kwenye nukta hii.
    Pia mnachukiwa sana kwa sbb ya uchafu wa yale yanayo toka midomoni mwenu dhidi ya Waislamu wenzenu, tena Wana Sunnah khasa.
    Pia hamukutosheka, bali mnatafunana nyinyi kwa nyinyi.
    Shekh Muhammad Bachu Allaah amhifadhi, ameweka elimu wazi juu ya mwenendo wenu kiujumla, na Shekh Qassim khasa, kwamba yeye anasema hivi, khalafu anarudi na kufanya kinyume na vile alivyo sema!
    Lakini ndugu zetu nyinyi matendo yenu na maneno yenu yanaonesha kua mnapinga kukosea kwa mashekhe zenu.
    Sasa kama hapa tangu unaana Nasaha yako kama ulivyo sema, hujatamka kua Shekh Qassim kakosea kweli, au jambo lake ukweli wake nihuu.
    Bali umezungumza kwa mujmal, sasa tusiende hivi, mambo mmeyachafua nyinyi, na mume wadhulumu wengi pasi na haqqi ya kuwafanyia dhulma hizo, na munaona nisawa kwa wao kufanyiwa hivyo, ila kwa Mashekhe zenu ni hapana!!!
    Lamsingi acheni tabia ya kuwahukumia upotevu na uzushi Wana Sunnah, musipo acha hii tabia, mutaendelea kudhulumu watu, na mukikosea nyinyi mutatafuta njia ya kulifanya lile kosa ni kitu cha kawaida au Shekh hajakosea.
    Alicho fanya Shekh Muhammad Bachu ni kuonesha na kukuzindueni nyinyi juu ya mwenendo wenu mbaya dhidi ya Wana Sunnah...........
    Nasio kumdhalilisha Shekh Qassim.
    Nawe ndugu yangu unasema wazi Muhammad Bachu, yani ukimuita Shekhe tayari kushamnyanyua..............
    Mhmhmh!!!
    Badilisheni tabia ndugu zangu ili tuende sawa, ingawa wewe sijaona ukidhulumu ndugu zako Wana Sunnah, ila wewe wafuata na kutii dhulma wanazo fanyiwa ndugu zako.

    • @MuqaddamBakri
      @MuqaddamBakri 13 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa mandishi yote yanini watarajia nani atasoma maneno yote ayo baba😂😂😂

    • @Lakalhamdu-u4h
      @Lakalhamdu-u4h 13 วันที่ผ่านมา

      Ndgu OmarAlly
      Hatujiiti masalafi, bali sheria yetu inatuita hivyo na inakubali ssi kujinasibisha na usalafi
      Mmi nakuomba sana, uisome hii manhaj ya assalafiyyah kwa uadilifu
      Alafu bainisha ni sehemu gani wameiharibu mashekh na maulamaa wanaifuata manhajus salaf, kwa sabbu ya kulingania hii manhaj
      Kikubwa tumuogope Allaah

    • @Lakalhamdu-u4h
      @Lakalhamdu-u4h 13 วันที่ผ่านมา

      Alafu, ni yupi shekh anayeitwa na sheria kuwa ni Mwana sunnah?
      Taja kwa ushahidi ni yupi mwanasunnah alidhalilishwa na shekh Qaasimu kwa dhulma?
      Je Mtu anayejinasibu na sunnah, sheria inakubali madai yake kwa vigezo vipi?

    • @bagalucha
      @bagalucha 13 วันที่ผ่านมา

      Mimi nimekuwa nikimuunga mkono Muhammad Bachu,lakini kwa hili toka hapo mwanzo,si kuwa pamoja naye,kiungwana Bachu kwa hili na aombe radhi,na huo ndio uislamu.

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 13 วันที่ผ่านมา +1

      @@MuqaddamBakri Halafu kaandika ujinga2 muulize Bachu kwaninivsaivi kaacha kuita majadida? Maana yake alikua jaahil na Allah amuongoze atoke katika ujaahil.

  • @شيخحمودالرواحي
    @شيخحمودالرواحي 12 วันที่ผ่านมา

    Kila kitu sasa sheikh na kujitikodi

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  12 วันที่ผ่านมา

      We kila profile kupiga mipicha tu

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 12 วันที่ผ่านมา

    wengine ndio hawa nao wataka kujulikana kupitia muhammad bachu io mada ilikua na mnasaba gani na muhammad bachu kama sikutafuta umaarufu

  • @ZimamMbaruk
    @ZimamMbaruk 12 วันที่ผ่านมา

    Masalafy feki wenyewe kwa wenyewe wanagombana, Laana ndo kwanza zinaanza, iko siku tunasuburi ngumi live,

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 13 วันที่ผ่านมา

    Kwni Shekh lenu Mafuta ni maasuumy... Mbna inatengenezwa mazingira kama vile zile picha ilikua kama ni ajali ilhali inaonyesha kua amejaa tabasam wakati anapigwa picha... Hebu isemeni haqqi atakama ni mchungu...

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 12 วันที่ผ่านมา

    kwani kabigwa na bachu makhurafi ndio walitoa kabla ya muhammad bachu

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 12 วันที่ผ่านมา

    Huyu al uthaymin ni nan ktk dini?,,mi nadhan ungetembea tu na dalili za qur an,na sunna.huyu uthaimin sio dalili.

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 13 วันที่ผ่านมา

    MAFUTA kapiga selfy mwenyewe, na tatizo lenu nyinyi hamuoni kma mafuta anatabiabhiyo ya kuwatoa watu kwenye manhaj, mbona hamulijadili hili, alisema kama dr islam na abuu muawiya sio katika salafi, mbna hamujaja online mukapginga uyo mafuta wenu?

    • @khaliluissa7413
      @khaliluissa7413 8 วันที่ผ่านมา

      😂Utajua hujui

    • @AbdallahAlly-b5m
      @AbdallahAlly-b5m 8 วันที่ผ่านมา

      Na wewe pia sio katika masalafi kwani ukijitazama upo kwenye safu ya masalafi?

  • @darajanida
    @darajanida 13 วันที่ผ่านมา

    wahabi vs wahabi

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 13 วันที่ผ่านมา

      Masufi sijui hua mna matatizo gani!!!

    • @darajanida
      @darajanida 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@jamalijamali6820tukulizen nyinyi mnao shambuliana nyinyi kwa nyinyi mawahabi

  • @HafidhSalum-o1o
    @HafidhSalum-o1o 9 วันที่ผ่านมา +1

    Maashaallahu shekhe