TUMEKUJA KUABUDU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Kwaya ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Burka inawakaribisha nyote kutazama na kupata mibaraka kutoka kwa Mungu kupitia wimbo ujulikanao kwa jina la "TUMEKUJA KUABUDU". Ndugu wapendwa ndani ya Tanzania na kokote ulimwenguni kwa unyenyekevu tunawaomba kujiunga na kusambaza linki ya wimbo huu kwa marafiki. Mbarikiwe.
    Burka SDA Church Choir once again invites you all to watch and get the blessings from the song titled "TUMEKUJA KUABUDU". Dear Brethren from all over Tanzania and the World we humbly request you to Subscribe and Share the link of this song to friends. Be blessed.

ความคิดเห็น • 6