Innalilah wainnailah rajuun pole sana kiongoz wetu ndo hatmaa ya mjaa yeye mbele ss nyuma tunamuomba Allah ampe kauli sabti amsamehe zambi zake amuekee panapostahili alipowaeke mitume wetu na maswahab allahumma amin
nawaombea pia wazazi wangu wawili Mungu awarahamu awaeke mahali pema awape qauli thabit na awatilie Nuru ndani ya qabri yake...na awarahamu waislamu wote walotangulia...
Inna lillah wa inna illah rajjuun sheikh wangu kipenzi changu, pole sana kwa wakati huu mgumu, Allah akujaze subra inshaallah kwa hili na lengine.Allah ailaze roho ya mzee mahali pema peponi inshaallah
Allah awape subra wafiwa wote na watu wake wa karibu. Sheikh wetu Othman Maalim pole sana umejitahid lakini maumivu yapo evident kuondokewa kuchungu. Allah atupe mwisho mwema
Inna lilahi waina illehi rajiun Allah ampe kauli thabit amlaze mahali pema penye wema peponi poleni familia muliofikwa na msiba wakati huu mzito wa huzuni
Inna lillahi wainna illahi rajiun pole Sana Shaikh wetu ila I bahati mwezi wa rajab na siku ya Al hamisi tena, Furaha ilio aje baba kaacha Kijana Nuur mashaa Allah tabaraka Allah dua atazipata na dini itaenea kwotee, Allah amhifadhi baba yetu mahali pema Aamiin
Inalilahi waina ilayhi rajiun Allah akupe subra maalim kwa msiba mzito akilanishe kifua chako hakika kuondokea ni jambo zito sana hasa mtu wako wakaribu na tuwe pole kazi yake Allah haina makosa
عظم الله أجركم وأحسن عزاءكم وغفر لميتكم لله ما أخذ وله ما أعطى وكل شيء عنده بأجل مسمى فلتصبروا ولتحتسبوا اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس اللهم إن كان محسن فزد في حسناته وإن كان مسيئ فتجاوز عن سيآته اللهم أبدله دارا خيرا من داره وأهلا خيرا من أهله اللهم لا تحرمنا أجره ولا تفتنا بعده واغفر لنا وله
Innallilah wainaillah rajiun..... Pole sana sheikh wangu kipenzi..... Allah atakupa subra na imani kipindi hichi kigumu na family yote kwa jumla..... Allah amrehemu baba yetu amsamehe dhambi zake na amtilie nuur ktka kaburi lake inshaAllah
Innalillah wainalilah rajun Allah ailaze roho yke mahala pema peponi amuepushe nadhabu ya kbri Allah awasamehe wote walio tangulia bele za haki Amina Allah 🤲🤲😭😭
Innalillah wainaullahy rajiun Allah amrehemu na wote walio tangulia mbele za hakki Awajaalie Jannatul firdaus yawe makaazi yao Na awafanyie wepesi walio patwa na mswibah kipindi hiki kigumu 🤲
inna lillahi wainna ileihi rajiuun....Mungu amtilie Nuru ndani ya qabri yake ampe qauli thabit na na wazazi wanagu na waislamu wote..awaeke pema penye wema...
إنا لله و إنا إليه راجعون كل من عليها فان ويبقى وجه ربك ذو الجلال والإكرام. اللهم اغفر له وارحمه و تقبل منه و أحسن مثواه يا أرحم الراحمين، اللهم نسألك أن ترحم عبدك وتغفر له ولي ولجميع المسلمين انك قريب مجيب الدعاء
baba kaondoka nyuma kaacha mwana mwema wa kumwombea dua aliwekeza hazina njema ya kuwafaa umaa mslimin hiyo ndiyo amal yenye kuendelea rabii ghufrahu warhamuh waskanhu fil jaana
Inna lilah wa Inna ilahy raj'un Allah amuifadhi pema palipo na waja wema in sha Allah Na Allah akupe subra sheikh wetu kipenzi chetu sheikh Othman maalim 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Mimi miongoni mwao wataalikwa nae huyu mzee mto miaka 99/2000 msikiti konze Mombasa, nikiwa muadhini hapo na hukunasoma kusaini. Alikua mtu mzuri mcheshi na watu
East Africa ilikuwa ni nchi moja wakoloni wakaigawanya ikawa mapande mapande Kwa maslahi yao.Mababu na nyanya zetu waliishi eneo hili bila mipaka wakifanya biashara Kwa amani na upendo.Mimi kama Mkenya natambua wananchi wote wa East Africa ni ndugu.Haijalishi kule sheikh wetu ametoka daawa anaifanya kila anapopata nafasi.
INNAA LILLAHI WAA INNAA ILAYHI RAJIUN YAA RABII TUNAKUOMBA UMLAZE MAHALI PEMA BABA YAKE SHEIKH OTHMAN MAALIM
Pole sana sheikh wetu othman maalim, Allah akupe subra kwa kipindi hiki kigumu na wote waliopatwa na msiba huu Allah awape subra
Allahumma Amiin
Amin
Amiin
Aamiin
Pole Sana sheikh wetu Othman.. ALLAH akupe subra no msiba Kwa sote waislam
pole sheikhe wetu Othuman Maalim kwa msiba wa mzee Sote ni waja wa Mungu na kwake tutarejea ni haki yako kulia msiba unauma Allah atupe subra kwa sote
Allah akupe subra ewe shekh wetu othman wewe ni mwezi unaongara sana haps znzbar ndiomaana mahasid wanakushambulia😊
Innalilah wa innaailaihi raajiuun allah amuhifadhi pahala pakheri na amuondoshee mabalaa ya
Allah amuhifadhi pahala pakheri
Inna Lillah Wainna Illeihi Rajiun. Pole Sana Sheikh wetu, Allah akupe subra na yeye Allah amweke pema peponi, Ameen
INNALIL-LAH WAINNAILAYH RRAJIU'UN POLEN sana na mungu ampe NURU na amuondoshee mazito ktk maisha yke huko
Inna Lilah waina ileyhi rajiun may Allah grant him highest level of paradise ameen Inshaalah
Inna Lillahi Wainna Illayhi Raajiuun. Allah Ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi, Amiin. Poleni kwa msiba, Allah Awape Subra Ya Rabb
Innah lilahi waina ilahi rajiun Allah ampe kauli thabit na walofiwa Allah awape subra wakati huu wa huzuni Allah awsahilishie
Plz
Dadaa
Uko
Na
No
Ya
Ustadh
Osman
Inn lillah wainna illahi rajihun mola ailaze roho yake mahala pema peponi sheikh wetu mlezi wetu
Inalilah wainailay rajiun pole sana shekh Othman maalim Allah akupe subra wakati hu wa huzni
Pole shekhe wetu mungu akupe nguvu ktk kipnd hki kigumu
Mungu amrahamu amsamehe na wote walofariki na sisi ameeen🤲🤲🤲
inalilah wainailayh rajuun allah akujalie shekhe othman maalim subra na iman na famliya yote al mauty hakhu pole sana shekhe
Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun Allah ampe makaazi mema peponi inshaallah na Alaaha awajaalie subra familia ya kipenzi chetu sheikh Othman maalim Amiiin
Innalilah wainnailah rajuun pole sana kiongoz wetu ndo hatmaa ya mjaa yeye mbele ss nyuma tunamuomba Allah ampe kauli sabti amsamehe zambi zake amuekee panapostahili alipowaeke mitume wetu na maswahab allahumma amin
nawaombea pia wazazi wangu wawili Mungu awarahamu awaeke mahali pema awape qauli thabit na awatilie Nuru ndani ya qabri yake...na awarahamu waislamu wote walotangulia...
Amiin Amiin Amiin
Inna lilahe waina ilayhi rajiun pole Ustath na family yako mungu amuweke mahale pema pepone Ameen 🇨🇦
Innalilah wainaileh rajiun
Poleni sana ndugu jamaa na maarafik
Mwenyezimungu awape subra ktk kipindi hik kigumu
Baba ety ALLAH ampe kauli dhabit
😭😭😭😭
Allah akupe Ustahamiliv kwa msiba sheikh wetu kipenz
Inna lillah wa inna illah rajjuun sheikh wangu kipenzi changu, pole sana kwa wakati huu mgumu, Allah akujaze subra inshaallah kwa hili na lengine.Allah ailaze roho ya mzee mahali pema peponi inshaallah
Pole sheikh wetu kpenz njia yetu sote iyo
Inna lillahi wainna ileyhi rajiun Allah awape subra wakatii huu wa huzni inshallah
Inalilah waina ilaih rajiun akupe moy wa subra mola wetu ewe kipenz chet shekh wet pole san
Allah awape subra wafiwa wote na watu wake wa karibu. Sheikh wetu Othman Maalim pole sana umejitahid lakini maumivu yapo evident kuondokewa kuchungu. Allah atupe mwisho mwema
Allahumaghfirlahu waarhamhu waskanhu fil jannah Allah awape subra na imani familia yke awape ujra wa wenye kusubiri
Mola Rahmani amrehemu amtie pahali ilo pema janatul fir'daus
Allahuma Ameen
Inna lilahi waina illehi rajiun Allah ampe kauli thabit amlaze mahali pema penye wema peponi poleni familia muliofikwa na msiba wakati huu mzito wa huzuni
Inna lillahi wainna illahi rajiun pole Sana Shaikh wetu ila I bahati mwezi wa rajab na siku ya Al hamisi tena, Furaha ilio aje baba kaacha Kijana Nuur mashaa Allah tabaraka Allah dua atazipata na dini itaenea kwotee, Allah amhifadhi baba yetu mahali pema Aamiin
Inalilahi waina ilayhi rajiun Allah akupe subra maalim kwa msiba mzito akilanishe kifua chako hakika kuondokea ni jambo zito sana hasa mtu wako wakaribu na tuwe pole kazi yake Allah haina makosa
Allahumma Amiin
انا لله وانا اليه راجعون
Mola amrehemu mzee wetu
كان رجلًا صالحاً
دائمآ يبتسم
اقول لاهله
اعظم الله اجركم وغفر الله لميتكم واحسن عزاكم
Amiin Ya Rabb
Aameen yarrab
Innallilahi waina ilehi rajiun pole sna shekh wetu Allah amrehemu na awape Subra
Inalilah waenaelheraj mungu amueke mahali pema peponi inshallah pole ustadh athamn mungu akupe subra
Inalilahi waina ilahi rajighuni poleni wafiwa kwa msiba Allah awape subra
Masha allah MWENYENZI MUNGU ampe makazi mema baba yetu tulimpenda sana lkn MWENYENZI MUNGU kampenda zaidi. ✍🇹🇿
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فى الجنة يارب العالمين
Allahumma Amiin
Ameen, ameen.
Allah ampe kauli thabit amuondoshee adhabu ya kabri
Pole
Sana. Ustadh
Subra
Innalllh waina illeih rajiun... YA Allah grant him jannatul firdaus... Ameen
Inna Lillahi Wainna Ilehi Rajiun....ALLAH amsameh na amtilie nuru Kaburi lake..
AMEEN
Inna Lillahi wa inna Illaihi Rajiuun ,
Pole sana sheikh wetu, hakuna kitaco baki.
Mwenyezi Mungu Akujazeni subra nyote na familiya
Innalilahi wa Innalilahi rajiun Allah ampe kauli thabit na akamueke pema penye wema peponi Amiin
Allahumma Amiin
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته.
Allah akujaalie Janna.
عظم الله أجركم وأحسن عزاءكم وغفر لميتكم
لله ما أخذ وله ما أعطى وكل شيء عنده بأجل مسمى فلتصبروا ولتحتسبوا
اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس
اللهم إن كان محسن فزد في حسناته وإن كان مسيئ فتجاوز عن سيآته
اللهم أبدله دارا خيرا من داره وأهلا خيرا من أهله
اللهم لا تحرمنا أجره ولا تفتنا بعده واغفر لنا وله
Mungu ajalie nakazi Mema peponi.
Ina lillah wainah illah rajiun Allah amjaalie Jannatul firdaus iwe maakazi yake. Allah akupe subra sheikh wetu na family yote
innallilah wainnailehi rajiun alla aiwe roho yake pahala pema peponi aampe kauli thabit pole nduguyetu alla awape subra wakti huu wa huzni
Inalilah wainailay rajiuun Allah amjalie jannah firdous pole sana sheikh othman Allah akupe subra
Aamiin. Aamiin. Aamiin
Amiin Amiin yaa Rabb
Pole sana sheikh wetu othman maalim
Allah amrehemu bb yetu
Innallilah wainaillah rajiun..... Pole sana sheikh wangu kipenzi..... Allah atakupa subra na imani kipindi hichi kigumu na family yote kwa jumla..... Allah amrehemu baba yetu amsamehe dhambi zake na amtilie nuur ktka kaburi lake inshaAllah
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Innaalilahi wainnaa ilayhi rajiuun Allan ampe safari ya kheri na akupe subra ewe shekh wetu lia sanaaa hakika unaumia leo
MSIBA HAUZOELEKI ALLAH AWAPE SUBRA FAMILIA YOTE YA SHEIKHE WETU OTHUMAN MAALIM
Innalilahi wainnailehi rajiun Allahuma thaabithu biqauli thaabit
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Inna lillahi wainna illeyhi rajiun
Allah amueke pahali pema na sisi atupe mwisho mwema
Pole sana khui uthmaan maalim Allah akuongezee subra juu ya subra yako
ALLAH awajaslie subra katika wakati huu wakuondokewa na mzee Amin
Poleni sana. Allahummaghfirlahu warhamhu waskinhu fil jannah
Amin
Innalillah wainalilah rajun Allah ailaze roho yke mahala pema peponi amuepushe nadhabu ya kbri Allah awasamehe wote walio tangulia bele za haki Amina Allah 🤲🤲😭😭
Innalillah wainna ilayhi rajiuun. Poleni sana sana. Allah amjaalie jannatul firdous in sha Allah
Allahumma Amiin
Innalillah wainaullahy rajiun
Allah amrehemu na wote walio tangulia mbele za hakki
Awajaalie Jannatul firdaus yawe makaazi yao
Na awafanyie wepesi walio patwa na mswibah kipindi hiki kigumu 🤲
Aamiin. Aamiin. Aamiin.
Amiin yaa Rabbal a'alamiin
Allah amlaze mahala pema peponi...Sheikh Othman Maalim Allah akupe subra
inna lillahi wainna ileihi rajiuun....Mungu amtilie Nuru ndani ya qabri yake ampe qauli thabit na na wazazi wanagu na waislamu wote..awaeke pema penye wema...
Allahumma Amiin
Amin
Inna Lillah wainnaillahi raajiun mungu ailaze roho yk pema peponi 🙏
Innalillah wainaa ilyhirajiunn YARABI ampe kuli thabit amin amin YARABI amin. Pili ALLAH wape subra kwa msiba.
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناته يارب العالمين انا لله وانا اليه راجعون البقاء لله
Inna lilahi waina ileihi rajiun, mungu amueke mahali pema inshallah ampe kauli thabit inshallah
Pole Sheikh Letu MOLA Amrahamu Mzazi Wetu.
Inna Lillahi wainna ilayhi rajiun mungu amueke pahali pema palio na wema peponi Ameen 🤲🏻
Subra sheikh.... Sote tutarudi kwa Allah
Sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea
Twampenda lakini Allah ampenda zaidi
Inna Lillahi wainna Ilehi rajiun, Allah amweke Pema kwenye wema INSHAALLAH Ameen
إنا لله و إنا إليه راجعون
كل من عليها فان ويبقى وجه ربك ذو الجلال والإكرام.
اللهم اغفر له وارحمه و تقبل منه و أحسن مثواه يا أرحم الراحمين، اللهم نسألك أن ترحم عبدك وتغفر له ولي ولجميع المسلمين انك قريب مجيب الدعاء
Hiyo logo ya katikati inasumbua saana. Pia sio professional
Allah.amurehemu.mzee.wetu
إنا لله وإنا إليه راجعون البقاء لله وحده
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Amin yarrab
Inna lillahi wainna illah rajiun . Allah akupe Subra shekh wetu pamoja na familia. Amin
Inna lillahi wainna illah rajiun ☝️
Innalilah waina ilaihi rajiun Allah amjalie pepo iwe makazi yake
Inna Lillah Wainna Illayhi Raajiuun
ALLAH ampe kauli thabit na Sie atujaalie mwisho Mwema atukutanishe na wema
INNA LILLAH WAINA ILAYHI RAAJIUUN..MBELE YKE NYUMA YETU
Inna Lillah Waina Ileyhi Raajiuun
Allah Amueke Pema Palipo na Wema peponi
baba kaondoka nyuma kaacha mwana mwema wa kumwombea dua aliwekeza hazina njema ya kuwafaa umaa mslimin hiyo ndiyo amal yenye kuendelea rabii ghufrahu warhamuh waskanhu fil jaana
Inna lilahi waina ilehi rajiun
إنا لله وإنا إليه راجعون الله يرحمه ويغفر له و يسكنه فسيح جناته
Inalillah wa ilaihi rajiun
Allah amrehemu inshaAllah 🙏
Inalilah waina ilah waina rajiu n aaalllah amuwekepepomi
Inna lilah wa Inna ilahy raj'un Allah amuifadhi pema palipo na waja wema in sha Allah
Na Allah akupe subra sheikh wetu kipenzi chetu sheikh Othman maalim 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Inalillahi wa inaillahi rajiun
Nikuuliza tu kwn ustadh athuman maalim n mkenya ama mtanzania
Ni mkenya baba na mama amesoma nakukulia kenya mombasa
Mimi miongoni mwao wataalikwa nae huyu mzee mto miaka 99/2000 msikiti konze Mombasa, nikiwa muadhini hapo na hukunasoma kusaini. Alikua mtu mzuri mcheshi na watu
Innalillahy ebu nipeni japo picha yake maana nimeswali sana konzi
East Africa ilikuwa ni nchi moja wakoloni wakaigawanya ikawa mapande mapande Kwa maslahi yao.Mababu na nyanya zetu waliishi eneo hili bila mipaka wakifanya biashara Kwa amani na upendo.Mimi kama Mkenya natambua wananchi wote wa East Africa ni ndugu.Haijalishi kule sheikh wetu ametoka daawa anaifanya kila anapopata nafasi.
@@humeyraabelaz3935 oohhh basi m cku zte najua n mtanzania kumbe mkenya mwenzetu. Ague pole na msiba mzito
Inalilah wa Inalilah rajun
Innallilahi wainaileihi rajiun.kulu nafsin dhaikatul maut,Allah amlaze mahali pema peponi.
Mola amrahamu amlaze pema penye wema
Innalilah wanna ilah lajihun pole sana shekhe wetu
Inalilah wainnailayh rajiun MPE mape nakaz mwema huko pepon
Shekh wetu mungu atakupa subra tujipange na SS
@@فاطمهخميس-ظ6ف Naam habty Allah atujaharia shahada kabra Al mauti 🤲
Inna lillah wainna hillahi rajiun
Pole maalim wangu
Innalillah waina illayhi rajiuni🤲
Innalillahi waina illehi rajiun. Allah ampe kauli thabit.
انا الله وانا اليه راجعون