DALILI (5) TANO ZA MWANAUME MWENYE MAPENZI YA KWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @Antigu-j8z
    @Antigu-j8z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daah kweli nimependaaaa❤

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wahoo somo zuri,

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm wang aliona sms kwa sim yagu ya mkaka bas kinifokea na kumpigia sm yule mkaka mpka saiv sm yang kaniuganisha na yake na saiv tupo kimya hatuongei je kuna upendo hpo

  • @rahmamngoya9044
    @rahmamngoya9044 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli mm mume wangu yupo kama hivyo❤

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว +1

    Mkono wabirika ndio wamejaa telee

  • @OliverMateru-rk7oz
    @OliverMateru-rk7oz ปีที่แล้ว +2

    🍷🍷🍷

  • @amiryabdallah6283
    @amiryabdallah6283 ปีที่แล้ว +1

    fact

  • @pascalinaerasto9501
    @pascalinaerasto9501 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mm wangu alikuwa ivo ila gafla kakata mawasiliano

    • @HattaHatta-pk7hr
      @HattaHatta-pk7hr 3 หลายเดือนก่อน

      Yaan hii inaumiza san😢

    • @safiasuliman5136
      @safiasuliman5136 หลายเดือนก่อน

      @@HattaHatta-pk7hr sana tena mm ndio napitia hyo chagampto sjw nko upande up kupendwa au kupotezewa muda to

    • @Ahmedsalimu-p6v
      @Ahmedsalimu-p6v 8 วันที่ผ่านมา

      th-cam.com/video/7ffHM0T2pqU/w-d-xo.htmlsi=2h9pK6BIn3QC_8Ks

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 5 หลายเดือนก่อน

    Kwamapenziya ss tunasubirikwanza miez frani ipite ndotujidhihirishe upendo wakwer, Utafanya hivo vyoote mwishowasiku utasikia dem analiwa najilani wanawake wa ss wazuri unapesa ukikosapesa 😢😢😢😢

  • @RukaiyaSeif-w9s
    @RukaiyaSeif-w9s หลายเดือนก่อน

    mhh mwanaume wa hv ni vigum sana kumpata kwa kwel unaweza kuishi na mwanaume lakini hujawah hata kuiona hela yake unajua kuna wanaume wa ajabu tena sio kidogo yaan yeye ndo atataka umuhudumie kwa kila kitu lakin hajawah kuweka Imani hata an kua unaupendo wa dhati kwake

    • @safiasuliman5136
      @safiasuliman5136 หลายเดือนก่อน

      @@RukaiyaSeif-w9s ndio huyo wa kwangu mie mpaka najiuliza maswal meng mno na spat jib