Hongera Sana mzee Assadi nakuombea mungu akujaalie Afya njema na umri mreefu mzee wetu mzarendo wa taifa letu la Tanzania nakuombea kwa mola akupe nafasi uje uwe Rais wa nchi yetu
Huyu jamaa inatakiwa ndiyo awe waziri wa fedha Hello Samia muondoe huyo mwigulu umuweke Prof. Assad awe waziri wa fedha atataka sana na nchi yetu itaendelea na watu wake watapata faida na hali ya uchumi itakuwa nzuri kwa kila mtanzania
Mambo ambayo hatuna 1. Mifumo na tekinolijia 2. Watendaji hasa level ya Kati na Juu 3. Mitaji ya uwekezaji Nadhani haya sote tunakubaliana lakini nadhani ni muhimu pia kujiwekea roadmap ni lini hasa tutakuwa navyo hivyo vyote na sustainability yake hata kama muwekezaji atakuja lazima Kuwe na skill set na knowledge transfer ili tujiwekee uwezo huo walionao wenzetu. Ni muhimu Index 3 zikafanyiwa tafiti na kuwekewa Mwelekeo: 1. Proffessional development Index 2. Competence Index 3. Leadership Index Hizi ziwepo katika maeneo nyeti ya Nchi.
Elimu yako ni ndogo sana ili uamke nenda shule Kama hujaelewa hapa hutokaa ukaelewa mpk usome.. darasa la nne uliekimbia shule huwezi elewa mambo ya vyuo vikuu ya uwekezaji
Serikali hamsikilizi maoni ya wananchi Bali mnasababisha udini hai wadini wapo Tanzania Wala hawanufaiki nakile mlicho kilenga nyie ila udini usio na maana ss niwatanzania tupambane kwajili ya tanzania
Prof. uko sawa na umeeleweka. Hili jambo linapotoshwa na baadhi ya watu kwa sababu wameamua kuchagua upande fulani. Kuna watu tena wengine wasomi wanapotosha kwa makusudi. Kwanza wana dhana potofu kuwa kuna rushwa ndani ya hili jambo. Hawana ushahidi. Pili wanaangalia mifano michache ya migogoro kati ya DPWORLD na host countries na kuitumia kama kigezo cha kuogopesha watanzania. Kwanini wasiangalie sehemu ambazo DPWorld amewekeza na hakuna mgogoro. Nilifanikiwa kuona a similar IGA kwenye Google nikaona jinsi walivyoeleza kuhusu ukomo, kwamba utatokana ukomo wa HGA.
Nchi hii watu wenye akili km hawa hawahitajik mzee wanahitajika vilaza kwa sbb wanajijua ni vilaza hivyo inabidi wawe machawa ili kulinda ajira zao ila mtu mwenye akili km huyu ana misimamo ss nchi hii watu hawa hawawataki
WAJINGA NDIO WALIWAO HATA AJE MWAMPOSA KUUPAMBA HUU MKATABA HAUPAMBIKI KWANINI MNAJITEMBEZA SANA HAMJUI KIZURI CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA POLE TUMESHASANUKA
Hapa Huyu Prof anakosea sana. Anamung'unya Maneno kuhusu mkataba. Ina maana watu kama Prof Issa Shvuji anatoa mawazo yake akijikita ktk dhana mbaya!! Na hao wataalamu wa uwekezaji wako wapi wakati moradi mibovu ya madini, gesi na mafuta ikisainiwa na kupitishwa!!
@@saidimpako5186 mikataba huwa INA SPECIFIED TIME LIMIT.MNAJADILIANA,WEWE MWENYE MALI UNAMUWEKEA MDA ANAYETAKA KUPANGISHA,INAWEZA IKAWA MWAKA 1,5,20,30nk.Huo MDA UKIISHA,mnakaa TENA mezani,kama hapendi au HAPENDI KUINGIA MIKATABA mwingine,mnamalizana.Kama nyote mnataka kuendelea,mnaandikisha MKATABA MPYA.Mfano MZURI NI ukipangisha au ukipanga nyumba.mkataba wowote LAZIMA UWE NA KIKOMO.
Prfsa nakuelewa sana,ila vp kuhusu Ticks iliwekeza pale bandarn vp kunafaida gan tumepata mpaka sasa?pia vp kuhusu kwenu zanzibar hatuhtaji uwekezaj kama huu??
Tunashukuru sana profesa kwa kutuzidua sisi tunaowasikiliza wasiofahamu ukweli wa mambo, tunashukuru sana tena sana, hakuna ugonjwa mbaya kama asiyejua kudai anajua na kuwapoteza watu, kama kina lisu na wengineo.... tunaomba ufanye mikutano mikubwa ili uuzindza umma uliojeruhiwa na wapotoshaji.
Professor stated a weak and bias argument in favor of Samia on DP gate. His interview is clearly meant to downplay the magnitude of DP gate. Unfortunately there are no more fools left.
chuki ikizidi hupunguza maarifa,nyinyi mlishaamua kuwa upande fulani kwa chuki zenu,hivyo yoyote anaekuja kuzungumza kinyume na upande wenu hamuelewi kwa makusudi na chuki zenu, wapo wengi sana wamezungumzia hili swala kwa mapana yake bila kuficha chochote lkn bahati mbaya nyinyi mlioamua upande wenu huwa hamtaki kumsikiliza mtu hadi mwisho wake bali mnaishia njiani na kisha mnatoka na maazimio yenu,hebu wapeni room yenye usawa na muwasilize kiundani hadi mwisho kwa nia ya kujua ukweli na kuwasikiliza kwa moyo na sio masikio
pro tunaongelea nkataba SIO UWEKESAJI;HAKUNA ANAEPINGA UWEKESAJI LOL TUKIONGELEA NKATABA TUNAONGELEA SHERIA NA WEWE HAPO HUJUI LOLOTE ;NTANGASAJI NA WEWE SHIDA;WATU TUNAONGELEA NKATABA HAPO NDO UNGENUULISA
Tatizo mnasimiliza upande mmoja kuna watu suala hili wanalitumia kama njia ya siasa tu,utakuja kuona mikataba ya uendeshaji,yatakuwepo vipengele vyote vinavyopotoshwa na wanasiasa na wanaopinga hapo ndo watakapokuja kudhalilika
@@mkude KILA KITU HUWA WASI KWENYE NKATABA;HAKUNA ETI KESHO UTAKUA TOFAUTI DP WAKIANSA; WHAT U SEE IS WAT U WILL GET;DP NI HULKA YAO HIYO;KWANINI WANA KESI NYINGI DUNIANI?KWASABABU WAKISHAANSA BRO HUWANBII KITU;DJIBUTI WALITAKA KUPANUA TU BANDARI YAO DP WAKAKATAA;DJIBUIT WAKAUNJA NKATABA;DP WaNA KESI ISHIRINI NA KITU NA SOTE SINAFANAna BRO;TATISO BONGO HATUPENDI KUTAFITI NA KUJUA[na nkataba na djibout ulikua wa thirty yrs] wetu hauonyeshi years;ushauso wewe huu nkataba????hatupingi uwekesaji nooo
@@emmapaul1766hivi hizi Shule za KIKATOLIKI Ndivo zinavofundisha kijana kama Wewe KUTOA MANENO YA HOVYIO NA YA Kibaguzi hivi!? NINA HAKIKA HAKUNA SHULE YA SERIKALI INAYOTOA MUHITIMU WA HIVI.
Huyu mtaalamu mbona serikali haikumtumia kuongozwa mjadala huu WA bandari wakaachiwa kina Msukuma wamelrta taharuki nchini na kina nApe wanaongele vitisho!?
Ulivyoongea kuhusu uwekezaji babandari na ulivyochambua wakosoaji kwa mtu mwenye akili awezi kuelewa umepuyanga sijui nistress yakazi cjui unataka mama akupe kanafasi
Huyu jamaa anaongea nini? Tunanunua mandege makubwa kabisa madreamliner tunajenga SGR tunajenga bwawa la kufua umeme ndiyo tushindwe vimitambo vya bandarini hapo tukaendesha wenyewe? Tutajitegemea lini. Kama sisi hatuwezi watoto wetu wataweza.
jamani, hivi hawa mawakili wote hawajui sheria? Kama mkataba hakuna kasoro kwa nini kunataka kufanyika mabadiliko ya sheria ya maliasili za Taifa?, mwenye akili lazima apige kelele kuhusu mkataba.
Well understood Prof.that is international Investment Law
Hongera sana margreth Itala
Big up chanel 10 Kwa kipindi kizuri
Tunahitaji vitu lishe kama hivi❤
pongezi sana dada
You have spoken well Prophessor may God Almighty increases your knowledge, health, age and wisdom so we can still benefit from you
Hongera Sana mzee Assadi nakuombea mungu akujaalie Afya njema na umri mreefu mzee wetu mzarendo wa taifa letu la Tanzania nakuombea kwa mola akupe nafasi uje uwe Rais wa nchi yetu
Amaizing Pr Assad
Hongera professor nimekuelewa .hongera chanel ten kwa kazi nzuri@margreth Itala
We mtangazaji na we Mzee Assad kwenye swala la bandari tatizo ni ubovu wa mkataba
UMESHINDWA KUMWELEWA...RUDIA TENA KUMSIKILIZA PRF NAAMINI UTAELEWA
shivji ni mtaalam wa sheria sasa si mchumi unatoa je?ufafanuzi juu ya jambo la kisheria?
NTANGASAJI HAPO NDO ALIBORONGA LOL
Channel TEN!!!
HONGERENI KWA KAZI NZURI.
Asanteni Sana!.
Huyu jamaa inatakiwa ndiyo awe waziri wa fedha
Hello Samia muondoe huyo mwigulu umuweke Prof. Assad awe waziri wa fedha atataka sana na nchi yetu itaendelea na watu wake watapata faida na hali ya uchumi itakuwa nzuri kwa kila mtanzania
My Prof. Mussa Juma Asad ❤
Magufuli fired him because of this best analysis of economic principles
Asante Prof. Assad. Tatizo Tanzania umelitaja vizuri sana. Dhana na fikra potofu zinatuumiza.
Mambo ambayo hatuna
1. Mifumo na tekinolijia
2. Watendaji hasa level ya Kati na Juu
3. Mitaji ya uwekezaji
Nadhani haya sote tunakubaliana lakini nadhani ni muhimu pia kujiwekea roadmap ni lini hasa tutakuwa navyo hivyo vyote na sustainability yake hata kama muwekezaji atakuja lazima Kuwe na skill set na knowledge transfer ili tujiwekee uwezo huo walionao wenzetu. Ni muhimu Index 3 zikafanyiwa tafiti na kuwekewa Mwelekeo:
1. Proffessional development Index
2. Competence Index
3. Leadership Index
Hizi ziwepo katika maeneo nyeti ya Nchi.
Assad umeongea point tupu FUNDI WA BAISKELI HUWEZI KUMPA AFUNGE ENGINE YA GARI
Acha ubabaishaji we mama mbona haujamuuliza kwanini hakuna kiasi Cha malipo Kwa mwaka tz inapata kiasi Gani?
Asante Profesa....Matatizo ni hii serikali ya CCM ya Mh. Rais Samia imejaa WALA RUSHWA NA MAFISADI.
Dhana hiyo
Tibaijuka anachefua angekaa kimya enzi zake za pesa za nyanya kasahau?Asikilize NONDO za prof mwenzie
Huyu ndiye mwalimu wa uchumi si tanzania tuu bali Africa nzima anajua kuelimisha kwa lugha nyepesi kila mwananchi wa kawaida akafahamu.
Japo umepindisha lakini Kuna seemu umeongea ukweri,kimsingi mkataba unautata
Mashallah mola akupe maisha marefu na afya tele
Well Said Professor!!
Very well said may AL-MIGHTY GOD BLESS YOU ALWAYS AMEEN! 🤲
Mmh! tunazidi kupigwa na kitu kizito....watz tuamke!
Elimu yako ni ndogo sana ili uamke nenda shule
Kama hujaelewa hapa hutokaa ukaelewa mpk usome..
darasa la nne uliekimbia shule huwezi elewa mambo ya vyuo vikuu ya uwekezaji
Yaanii Mama Rais wetu kwanini huyu baba asiwe mshauri wako ,kwanza ana hofu na Mungu kama wewe Mama
Aisee Hongera sana Profesa,binafsi nimekuelewa sana kiongozi.
WAZANZIBAR WANATAKA WATOTOSHE MALI ZA TANGANYIKA WAPEREKE DUBSI NA ZANZBAR
Ireland the best country in the world
Kuna shida kubwa pro. Shivji, prof. Anna Tibaijuka na prof. Asad nani yupo sahihi
Tuwakutanishe
Gombea urasi profesa
Very good pro
Mjadala huu ni kama nimzuri. But what it seems is not what it is. Uchumi na usalama wa nchi ni vitu viwili tofauti.
usalama upi ndugu mbona walomaliza mkataba TICTS walikuwa ni wawekezaji ? lini huo usalama ulikosekana? jamani tuache kushikiwa akili zetu kwa upotoshaji
Huu mjadala ni mzuri ,tatizo baadhi ya watu wamekaririshwa ujinga.
Background music is unnecessary
Inakera sana sana
HUNA BAYA Mkuu. Mungu akuweke mia IshaAllah
Pale Magwiji wanapopingana tumuogope Mungu tusitazame nyazfa !
Umeeleweka profesa
Kichwa
Serikali hamsikilizi maoni ya wananchi Bali mnasababisha udini hai wadini wapo Tanzania Wala hawanufaiki nakile mlicho kilenga nyie ila udini usio na maana ss niwatanzania tupambane kwajili ya tanzania
hivi mdini ktk hili swala ni nani ?
Prof. uko sawa na umeeleweka. Hili jambo linapotoshwa na baadhi ya watu kwa sababu wameamua kuchagua upande fulani. Kuna watu tena wengine wasomi wanapotosha kwa makusudi. Kwanza wana dhana potofu kuwa kuna rushwa ndani ya hili jambo. Hawana ushahidi. Pili wanaangalia mifano michache ya migogoro kati ya DPWORLD na host countries na kuitumia kama kigezo cha kuogopesha watanzania. Kwanini wasiangalie sehemu ambazo DPWorld amewekeza na hakuna mgogoro. Nilifanikiwa kuona a similar IGA kwenye Google nikaona jinsi walivyoeleza kuhusu ukomo, kwamba utatokana ukomo wa HGA.
Waswahili wanasema kusoma sio mwisho wa ujinga elimu ni bahari
wataalamu wakati hata unaye mtetea anashangaa utaalamu wao ,kazi ni kuiba tu
MAMA MPE TENA SHAVU PRF ASSAD AISAIDIE NCHI TUPATE KUFAIDIKA BY KHAMIS WAWESHA CHAKE CHAKE PEMBA ZANZIBAR
ASANTE PROFESA ASSAD....LAKINI...LAKINI....WATANZANIA HAWAPINGI UWEKEZAJI....WANAPINGA MKATABA WENYEWE.
Hivi alichosema Prof. Assad hamjaelewa au MULISHANOGEWA NA MJADALA WA BANDARI ktk Mitandao!??
*HAYA Bandari Imeuzwa MJADALA UENDELEE😂😂
hapo kajikanyaga
Safisana
#NONSENSE
NAMWOMBA MAMA AMCHUKUE AWE MSHAULI WAKE KATIKA MAMBO YA UCHUMI,. HUYU BABA ANAVITU VYA KUISAIDIA TANZANIA YETU
Nchi hii watu wenye akili km hawa hawahitajik mzee wanahitajika vilaza kwa sbb wanajijua ni vilaza hivyo inabidi wawe machawa ili kulinda ajira zao ila mtu mwenye akili km huyu ana misimamo ss nchi hii watu hawa hawawataki
Kama tunao wanashelia mbona tunakuwa na mikataba yenye utata na matatizo lukuki,acha kumungunya maneno
Alhajj Prof Mussa Juma Assaad❤
Safi sana kwa elimu pana, waliobahatika kuwa na ubongo salama tumekuelwa
Naomba ugombee
Simba akinguruma pori nzima linatulia,ubarikiwe sanaaa professor
SIMBA WA TERANGA AU SIMBA GANI , MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE HAIUZWI WALA KUKODISHWA BANDAR YETU NIMEKAA PALE
Well done 👍✅
Chuma hicho professor assad😂😂Assad
WAJINGA NDIO WALIWAO HATA AJE MWAMPOSA KUUPAMBA HUU MKATABA HAUPAMBIKI KWANINI MNAJITEMBEZA SANA HAMJUI KIZURI CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA POLE TUMESHASANUKA
Safi Sana professor Asad kwa Kweli Imenifanya nimkubali sana Mama Samia na Niichukie Chadema na kina lissu kwa Upotoshaji Piga kazi Mama Samia
SASA PROFESOR MKATABA HAUSEMI JOINT VENTURES?YAANI ZOTE NI ZAKE DPW
SIJAKUELEW
NAOANA NA YEYE HAJAUSONA;UNAJUA HUYU NI NTU WA HESABU SIO NTU WA KUSONA;HAJUI LOLOTE YAKIJA YA KISHERIA
Asante professor nimejifunza mengi kwenye hichi kipindi
Hapa Huyu Prof anakosea sana. Anamung'unya Maneno kuhusu mkataba. Ina maana watu kama Prof Issa Shvuji anatoa mawazo yake akijikita ktk dhana mbaya!! Na hao wataalamu wa uwekezaji wako wapi wakati moradi mibovu ya madini, gesi na mafuta ikisainiwa na kupitishwa!!
Na wewe ni kati ya wale wasio na ujuuzi ktk " Investment Law"
Unahitaji kuwa na degree ili kumfahamu professor ikiwa ni kilaza basi pole
angalia elim yako kwanza umechagua upande tulia huko
Allah akuzidishie umri wenye afya njema
Assad kwenye swala la bandari wewe unatoa mchango wako kiushabiki unaushabiki wa kumshabikia Samia
Wewe nikichaaa hujui chochote mtu akisema ukweli Ati mshabiki!!!! Acheni ujinga mwachien mama afanye jukumu lake lakuongoza nchii...
@@abuushakiraddausiy8666ni kweli, huyu ni kichaa kabisa😅
Safi sana profesa Assad
Huyu njaa tu
WEWE MZANZBAR TU DUBAI KWENU C KWA WATANGANYIKA
Mfahamishe lissu na mbowe lissu mwanasheria wa kesi za kuku mahakani walewapotoshaji
Prof uko sahihi sana. Mtangazaji pia uko vizuri sana.
sasa professor issue si uwekezaji issue ni mkataba
hapa ndo kajikanyaga na yeye;hatuogelei uwekesaji tunaongelea nkataba
anyway na yeye hajui sheria sa uwekesaji anajua hesabu tu
Haiwezekani mkataba usiwe na ukomo, usipotoshe. Mwekezaji lazima pia afanye tathimini kabla ya kuwekeza hivyo ukomo ni lazima
HANA LOLOTE WATU TUNAONGELES NKATABA YEYE ANAONGELEA UWEKESAJI ;NDO WASO WETU HAO
Wewe unataka ukomo uwe miaka mingapi
Unataka ukomo wa miaka mingapi
@@saidimpako5186 mikataba huwa INA SPECIFIED TIME LIMIT.MNAJADILIANA,WEWE MWENYE MALI UNAMUWEKEA MDA ANAYETAKA KUPANGISHA,INAWEZA IKAWA MWAKA 1,5,20,30nk.Huo MDA UKIISHA,mnakaa TENA mezani,kama hapendi au HAPENDI KUINGIA MIKATABA mwingine,mnamalizana.Kama nyote mnataka kuendelea,mnaandikisha MKATABA MPYA.Mfano MZURI NI ukipangisha au ukipanga nyumba.mkataba wowote LAZIMA UWE NA KIKOMO.
Watu kama asadi hatakiwi serikalini maana ni mkweli mnoo atawumbua waongo alituambia bunge la ovyo hatukumuelewa.
Maneno mazuri sana
Harafu tuachieni Taifa letu sisi kama wananchi hatutaki kwani hii nchi niyenu tu bhanae tukatae wote uwekezaji wa bandari zetu wawekeze pengine
Tulia Wewe huna lolote ujualo
Hapa ndio zinapoonekana chuki zenu
Sikiliza vizur then weka coment
Kweli wewe ni prof kweli
🎉
Prfsa nakuelewa sana,ila vp kuhusu Ticks iliwekeza pale bandarn vp kunafaida gan tumepata mpaka sasa?pia vp kuhusu kwenu zanzibar hatuhtaji uwekezaj kama huu??
Huyo sio mzanzibar ni Mbongo mwezenu Ila Ana scope kubwa ya kujua mambo sio slaaa kichwa maji
Ticks.. Hawapo kwa sasa wapo tpa
Kuna meli zinabeba kontena el 10. ....tundulisu hii alikuwa haijui
Nashauri huo mziki unaleta changamoto kwa msikilizaji. Bora tusikie sauti za wazungumzaji tu
Tunashukuru sana profesa kwa kutuzidua sisi tunaowasikiliza wasiofahamu ukweli wa mambo, tunashukuru sana tena sana, hakuna ugonjwa mbaya kama asiyejua kudai anajua na kuwapoteza watu, kama kina lisu na wengineo.... tunaomba ufanye mikutano mikubwa ili uuzindza umma uliojeruhiwa na wapotoshaji.
Kipindi kizuri ila background inatutoa barabarani... kuweni wabunifu bana
Moja ya wasomi ninaowapenda sana hapa Tanzania
hunishindi mimi
HUYU JAMAA NAMKUBALI SANA ILA KWA MKATABA WA BANDARI NAJUA KWANN AMEWAKUBALI DP WORLD 🤔🤔🤔DON'T TRUST ANYONE.. ishinayo hoyo
Nimekuelewa sana prof
HIVI SEREKALI HAIONI UMUHIMU WA KUMJUMUISHA PROFESA ASAD KTK SEREKALI,MAANA WATU KAMA HAWA NI WACHACHE MNO!!
Hawataki waje hao kwa sababu watakosa kuiba wamesha zoweya wizi wa makontena kushusha mizigo trnst ndio maana hawatakiwi waje wawekezaji
Professor stated a weak and bias argument in favor of Samia on DP gate. His interview is clearly meant to downplay the magnitude of DP gate. Unfortunately there are no more fools left.
chuki ikizidi hupunguza maarifa,nyinyi mlishaamua kuwa upande fulani kwa chuki zenu,hivyo yoyote anaekuja kuzungumza kinyume na upande wenu hamuelewi kwa makusudi na chuki zenu, wapo wengi sana wamezungumzia hili swala kwa mapana yake bila kuficha chochote lkn bahati mbaya nyinyi mlioamua upande wenu huwa hamtaki kumsikiliza mtu hadi mwisho wake bali mnaishia njiani na kisha mnatoka na maazimio yenu,hebu wapeni room yenye usawa na muwasilize kiundani hadi mwisho kwa nia ya kujua ukweli na kuwasikiliza kwa moyo na sio masikio
yale yale...dr.wa meno kutibu macho sikiliza kuelewa na kujibu hoja acha chuki binafsi
@@drimaz2692 mwenye chuki ni nani kama sio nyinyi?
pro tunaongelea nkataba SIO UWEKESAJI;HAKUNA ANAEPINGA UWEKESAJI LOL TUKIONGELEA NKATABA TUNAONGELEA SHERIA NA WEWE HAPO HUJUI LOLOTE ;NTANGASAJI NA WEWE SHIDA;WATU TUNAONGELEA NKATABA HAPO NDO UNGENUULISA
Tatizo mnasimiliza upande mmoja kuna watu suala hili wanalitumia kama njia ya siasa tu,utakuja kuona mikataba ya uendeshaji,yatakuwepo vipengele vyote vinavyopotoshwa na wanasiasa na wanaopinga hapo ndo watakapokuja kudhalilika
@@mkude KILA KITU HUWA WASI KWENYE NKATABA;HAKUNA ETI KESHO UTAKUA TOFAUTI DP WAKIANSA; WHAT U SEE IS WAT U WILL GET;DP NI HULKA YAO HIYO;KWANINI WANA KESI NYINGI DUNIANI?KWASABABU WAKISHAANSA BRO HUWANBII KITU;DJIBUTI WALITAKA KUPANUA TU BANDARI YAO DP WAKAKATAA;DJIBUIT WAKAUNJA NKATABA;DP WaNA KESI ISHIRINI NA KITU NA SOTE SINAFANAna BRO;TATISO BONGO HATUPENDI KUTAFITI NA KUJUA[na nkataba na djibout ulikua wa thirty yrs] wetu hauonyeshi years;ushauso wewe huu nkataba????hatupingi uwekesaji nooo
CHADEMA HOYE KWA KUPOTOSHA WANANCHI NA MAWAKILI UCHWARA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿LISU&MBOWE HAWANA HOJA NA HAWAJUI MAMBO YA UWEKEZAJI 🥵🥵🥵🥵🥵🥵
mashoga na mashehe machoko yanayoabudu warabu nendeni mkafilwe dpworld machoko.
your vision
@@emmapaul1766 WEWE NJAA INAKUSUMBUA MGALATIA UCHWARA NENDA KALIE KANISANI 🥵🥵🥵🥵🥵🥵
MAASKOFU uchwara na ze comed chadema oyeee
@@emmapaul1766hivi hizi Shule za KIKATOLIKI Ndivo zinavofundisha kijana kama Wewe KUTOA MANENO YA HOVYIO NA YA Kibaguzi hivi!?
NINA HAKIKA HAKUNA SHULE YA SERIKALI INAYOTOA MUHITIMU WA HIVI.
Assad unayumba kwa hili la Bandari.. Mkataba upo wazi na magwiji wa sheria wameshapendekeza Cha kufanyika ila CCM na TV yao wanapotosha ..
Wewe na Tundu Lissu mnajua zaidi ya kumzidi Prof. Asad? 😅😅😅😅
Huyu mtaalamu mbona serikali haikumtumia kuongozwa mjadala huu WA bandari wakaachiwa kina Msukuma wamelrta taharuki nchini na kina nApe wanaongele vitisho!?
Professor. Na kumbuka uliposema bunge NI dhaifu Yule jamaa yupo ugogoni kwa sasa
Kwani hapa tanzania kodi si aslimia18 vat mi ndio leo nasikia asilimia 30
Ndio wewe hujui kaa uambiwe ujue
Mh Asaad
Kweli Tumekuelewa
Assad iko akili hii kitu kitumieni.Amenyooka kama rula.
Pro huyu anafaakua raisi
Tz tuna watu vichwa ina vinaozeana mashambani.
Swali hili la kodi najiuliza kila wakati. Je kodi ndio kipimo cha mapato ya serikali???
Ulivyoongea kuhusu uwekezaji babandari na ulivyochambua wakosoaji kwa mtu mwenye akili awezi kuelewa umepuyanga sijui nistress yakazi cjui unataka mama akupe kanafasi
Huyu jamaa anaongea nini? Tunanunua mandege makubwa kabisa madreamliner tunajenga SGR tunajenga bwawa la kufua umeme ndiyo tushindwe vimitambo vya bandarini hapo tukaendesha wenyewe? Tutajitegemea lini. Kama sisi hatuwezi watoto wetu wataweza.
Sio lazima ufanye kila kitu wewe dunia kwa sasa imeungana...NI muhimu kujifunza kwa wengine...
@@karimkassam571 Hawezi kukuelewa kaka 😂
Anaongea ujinga tu kila kitu ahtuwezi eti credi moja ni 40 bilon , kha hiyo hela nchi kama Tanzania tunaoshindwa kuwa nayo kweli au ni uvivu tu
Kweli proffessor lakin ungejikita kwenye mkataba unasemaje,
Ukisikia wapotoshaji ndio hawa,ameshindwa kulisaidia taifa kwaelimu naweledi wake anaanza kutetea wezi,tunakua nawasomi wabinafsi,wasio nahuruma nwatu wachini,hii nchi kweli imejaa majangiri.
Jinga wewe
Awakosoe wezi kama vile magu alivyokosoa kanisa kuhusu makontena bandarini kua waliibia nchi,na ndio maana maaskofu wanahaha
NATAMANI WALE WOTE WANAOPINGA WAKUTANISHWE NA PROF HAPA HALAFU AONGEZEKE SHIVJI. naamini nitajifunza otherwise nateseka bure.
Issue ni udini tu
kuna watu humu hajasikia hadi mwisho,kasikia mistari miwili anakoment
You mkataba tutakuja kuuvunja Fanya mnavyo Fanya kama niwajanja
jamani, hivi hawa mawakili wote hawajui sheria? Kama mkataba hakuna kasoro kwa nini kunataka kufanyika mabadiliko ya sheria ya maliasili za Taifa?, mwenye akili lazima apige kelele kuhusu mkataba.
TULIKUA TUNANUNUA NDEGE KWA PESA Cash, Enzi za MAGU na Kelele zilikua hivihivi; HATA HAIELEWEKI WATU WA Tz munataka Nini!?
Allah akulipe nuru ya kiislam ndoa hiyo,wenye kutubeza waendelee
Tujiulize kwa nini hii Intaview inafanyika karibu na Hukumu ya kesi ya Bandari huko Mbeya?.Je siku zote kwa nini asiongee haya ipo sababu
Well said profesa akili mingi Sana