KUMBUKUMBU YA KUMWENZI MAREHEMU EUPHRASE KEZILAHABI (1944 - 2020)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2021
  • Baraza la Kiswahili la Berlin on 11 January 2021
    +++ Swahili description below +++
    This Baraza, conceived by Lutz Diegner (Lecturer in Swahili Language and Literature, Humboldt University Berlin), served to honour and remember Euphrase Kezilahabi by shedding some light on his life and work. After some opening remarks by co-hosts Kai Kresse (Vice Director and Professor of Anthropology, ZMO) and Lutz Diegner, Neema Benson Sway (Lecturer and Researcher, Institute of Kiswahili Studies, University of Dar es Salaam) started a series of presentations by giving a brief outline of Euphrase Kezilahabi’s life and work. Alena Rettová (Professor of African and Afrophone Philosophies, University of Bayreuth) dealt with Kezilahabi’s philosophical thought by highlighting some of its major features to be found in both this academic and fictional work. Roberto Gaudioso (Researcher in Swahili Literature, University of Napoli) spoke about his poetry and his different approaches to Kezilahabi’s poetry as a researcher and a poet himself. Lutz Diegner then went on to focus on his novels and his ability to discuss complex subjects in simple language. Furthermore, he emphasized Kezilahabi’s ample use of several stylistic devices in his works, such as metaphors, allegories and symbols. Josefine Rindt (BA African Studies, Humboldt University, MA student in Gender, Intersectionality and Politics, Free University Berlin) and Lena Dasch (BA African Studies, University of Bayreuth, MA student in African Studies, Humboldt University Berlin), subsequently gave a short insight into one of Kezilahabi’s best-known novels, Dunia Uwanja wa Fujo, and demonstrated how relevant it is to (re-)read this novel nowadays, especially against the backdrop of the year 2020.
    In several rounds of discussion chaired by Neema Benson Sway and Erasto John Duwe (Lecturer and Editor, Institute of Kiswahili Studies, University of Dar es Salaam), participants from Tanzania, Kenya, the US, Great Britain, France, Italy, Switzerland, the Czech Republic and Germany - among them a number of doyens of Swahili literature like Farouk Topan, Abdilatif Abdalla, Catherine Ndungo, Kyallo Wamitila, and Aldin Mutembei - engaged in a rich discussion about Kezilahabi’s work, his methods and ideas.
    +++
    yake na kazi zake. Baada ya kukaribishwa na Kai Kresse (Makamu Mkurugenzi wa Utafiti na Profesa wa Anthropolojia, ZMO) na Lutz Diegner, Neema Benson Sway (Mhadhiri na Mtafiti, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) alitambulisha wasifu na kazi za Euphrase Kezilahabi kwa ujumla. Alena Rettová (Profesa wa Falsafa za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Bayreuth) alizungumzia sifa za falsafa yake Marehemu Kezilahabi ambazo zinapatikana katika kazi zake za kitaaluma na za kifasihi. Roberto Gaudioso (Mtafiti wa Falsafa ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Napoli) alizungumza juu ya ushairi wa Marehemu na mkabala wake wa kiutafiti kuyachambua hayo mashairi akiwa mtafiti na mshairi yeye mwenyewe wakati mmoja. Lutz Diegner aliendelea na wasilisho la kuwapatia hadhira vionjo vya riwaya zake Marehemu akisisitiza mkabala wake wa kiuandishi wa kujadili masuala mazito kwa lugha nyepesi, na matumizi mapana na ya kina ya mbinu za kimtindo kama vile jazanda na tamathali za semi, kwa mfano sitiari, istiara na ishara. Josefine Rindt (shahada ya Masomo ya Kiafrika, Chuo Kikuu cha Humboldt, mwanafunzi wa shahada ya uzamili ya Jinsia, Utegemezano na Siasa, Chuo Kikuu Huru cha Berlin) na Lena Dasch (shahada ya Masomo ya Kiafrika, Chuo Kikuu cha Bayreuth, mwanafunzi wa shahada ya uzamili ya Masomo ya Kiafrika, Chuo Kikuu cha Humboldt Berlin) waliizungumzia riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo ya Marehemu Kezilahabi na kuelezea umuhimu wa kukisoma kitabu hiki (tena) leo hii ingawa ni ya zamani kidogo.
    Katika majadiliano yaliyoongozwa na Neema Benson Sway and Erasto John Duwe (Mhadhiri na Mhariri, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), washiriki kutoka Tanzania, Kenya, Marekani, Uingereza, Ufaransa, Italia, Uswisi, Ucheki na Ujerumani - kati yao maprofesa na wabobezi mashuhuri wa fasihi ya Kiswahili kama Farouk Topan, Abdilatif Abdalla, Catherine Ndungo, Kyallo Wamitila, na Aldin Mutembei - waliyatajirisha majadiliano hayo juu ya kazi na mawazo ya Kezilahabi.
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น • 6

  • @msarifukingori3606
    @msarifukingori3606 8 หลายเดือนก่อน

    kazi kuntu wakuu wangu kwa kuangazia itifaki zote. Falsafa yake kezilabi Ina upekee Hadi Leo hii....
    Ningependa kujiunga na Baraza la Berlin..kama mwalimu na menzi wa kiswahili hasa katika fasiho...

  • @cololangat7379
    @cololangat7379 ปีที่แล้ว

    Naomba hiki kitabu

  • @muriithikarue6510
    @muriithikarue6510 6 หลายเดือนก่อน

    Nitaipata wapi hii riwaya? Niliisoma katika shule ya upili.

  • @jameskamau951
    @jameskamau951 ปีที่แล้ว

    Kswahili ni lugha inayoendelea kukua huku wazungumzaji wakiendelea kuongozeka nduniani . Kiswahili kitukuzwe

  • @jameskamau951
    @jameskamau951 ปีที่แล้ว

    Ikiwa jamii ya wazungu wataendelea kukumbatia lugha za Afrika haswa Kiswahili basi naona ukombozi utatimia kikamilifu haswa Afrika Mashariki . Nuksi itakuwa kwa mataifa ya uzunguni huenda tutawatawala , utabiri tu .

  • @ustadhemmanuel8797
    @ustadhemmanuel8797 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba email yako ndugu