Have never commented to any artist and this my first time am getting to listen to your song and something got into my me so strong.Mungu anakupa kitu ambacho anamyanganya mtu aliyempa akakosa kuwa mwaminifu ila nawe ubaki katika utakatifu na ubaki katika kumwabudu mungu kwa roho na kweli.Barikiwa.
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Hongera sana mama yangu natiwa nguvu kwa hili
Asante sana mtumishi nashukuru ubarikiwe sana
Sholom my siz wimbo uko Smart naomba niimbe na ww 🙏
Karibu sana mami usiwaze
HALELUYA HALELUYA HALELUYA APOSTLE PETER MPONZI NABARIKIWA SANA NA WIMBO WAKO MUNGU AKUBARIKI SANA
Asante sana babaaaa nashukuru sana mtumishi
Tumekumbukwa. Nipitie siz.
Kweli mami
Nice one ❤❤. Nipitie hapo pia ugonge hiyo subscribe button tukisonga pamoja 🤝
Amen mami usiwaze
Wow wow nice kazi safi mbarikiwa ♥️🙏
Asante sana mpendwa ubarikiwe
Wow hongera sana mumy Mungu akutunze
Asante sana mpendwa nashukuru sana ubarikiwe
Hongera mpendwa...
Yes mtumishi
Amen nashukuru sana ubarikiwe sana
Aminaaaaa
Amen mwanangu nashukuru unaendeleaje huko
Amen
Asante sana mpendwa nashukuru
Have never commented to any artist and this my first time am getting to listen to your song and something got into my me so strong.Mungu anakupa kitu ambacho anamyanganya mtu aliyempa akakosa kuwa mwaminifu ila nawe ubaki katika utakatifu na ubaki katika kumwabudu mungu kwa roho na kweli.Barikiwa.
Asante sana mpendwa nashukuru kwa maneno maziri ubarikiwe
Kazi Nzuri Sanaa
Mkuu unaendeleaje mtumishi wa Mungu
Asante sana mkuu
My God lift you up to the top of mountain Sayuni
Amen mtumishi nashukuru
Good
Asante sana mpendwa nashukuru
Amen amen
Nashukuru sana ubarikiwe sana