Yani nashindwa niseme Nini ila Baba wa Mbinguni atusaidie tutengeneze mienendo yetu kabla mlango wa Rehema haujaisha mmenigusa sana my favorite choir mbiu
Mbarikiwe.Lakini niwaombe mtafute mchezaji kinanda kama wa kurasini amabaye atafanya vocals ioane na kina da.Nyimbo nzuri but hiyo du du du ....,..inaharibu . Vocals zenu ni nzuri sana .keep up
Nawaheshimu sana kwa jina la YESU from mbeya tukuyu
Kazi nzuri hii Jina la Bwana litukuzwe Kwa kufanikisha kazi yake kupitia kwaya ya Mbiu.
Ombi langu Bwana aendelee kuwatumia shambani mwake
Amina Bass🙏
Ubarikiwe mjoli wa Bwana
Feeling blessed with the song. Be blessed Mbiu SDA Choir ❤❤❤❤ I love this song indeed.
Guess who is back with a bang... Mbiu SDA Choir
Jina la Bwana litukuzwe, rekebisha mienendo yako!!! Ujumbe mzuri
Mbarikiwe sana watumishi,huu wimbo mzuri umetendewa haki,hakika turekebishe matendo yetu🙏
Mwakani mje kambi mkoa wa mwanza mko tayari!
Hivi kwenda kwenye makambi,ni kwaya ndiyo inayotaka au wenye kambi ndiyo huita kwaya? Lete barua inayoihitaji kwaya
@@mussai.sillas3796jibu tu mko tayari?
Ndio
Sema mnajuaa alafu mnajuaa tenaa ❤barikiweni
Be blessed
Hautasalia mlango kando ya mlango,ambao hautafunguliwa na nyimbo zenu. Mbiu kwaya hongera sanaa
Bwana Mungu awabariki zaidi.
Hakika tutengeneze mienendo yetu!
Ujumbe mzuri kweli.
🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Bubombi sda, Mungu awabariki nanyi pia watu wa nyumbani
Kitu Cha motoooooo Mbiu nawapenda sanaaaa MUNGU Awabaliki ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi Njemra wanambiu..karibuni kenya next camp meeting ..Machokos
Amina wanambiu mbarikiwe sana kwa kazi njema
Ujumbe umejaa katika wimbo wenu huu barikiweni sana Mbiu choir kiukweli tunabarikiwa
I love you so much, God bless you mbiu
Nabarikiwa sanaa mwenyezi mungu awape nguvu mzidi kufanya kazi yake
Kazi nzuri sana tunabarikiwa sana na wimbo huu Jina la bwana litukuzwe
Mungu awabariki sana Mbiu,,,,
Mungu awabariki sana sana kwa wimbo mtamu sana keep it up more and more
Amina
Mkazane mtabarikiwa
Wanambiu ,kazi nzuri
Turekembishe mienendo yetu ili. Tupate uzima wa milele.barikiweni.
Yani nashindwa niseme Nini ila Baba wa Mbinguni atusaidie tutengeneze mienendo yetu kabla mlango wa Rehema haujaisha mmenigusa sana my favorite choir mbiu
Amen
Mungu azidi kuinua hiki chombo.ili kazi ya injili isonge mbele tumalize kazi.
Amen
Barikiweni sana..... naona ayoub vibe la mziki wa injili limepanda 😂 🔥
Amen Watu wa nyumbani, Munguvawainue pia katika kazi yake
@@felixdamas_tz Amina.....
Good message indeed rekebisha
Ninawakubali Mbiu, Bwana awabarki
Wimbo mzuri sana nabarikiwa Mungu azidi kuwapa vipaji na maarifa.
Amen glory to God happy magati did what she knows best. Mungu ni mkuu
Wimbo mzuri wana Mbiu
Ni kwel tupo nyakati za mwisho tunapaswa kurekebisha mienendo yetu kwan kalibu mlango wa rehema ufungwe. Nmebarikiwa sana
Wow congratulations mbiu choir
Awesome massage. Nawapenda Sana.
I am from Russia always I like and I Love so much this singers
Oooh welcome so much and be blessed
thank you. like, subscribe, and share with other friends in Russia
😅😅
Amen,GOD bless you!
Waoooo mbiu mbarikiwe sana mungu awasaidie msonge mbele
Wimbo mzur jamani narudia mara mbili mbili mbarikiwe sana
AMINA
Mbiu choir mbarikiwe sana kazi nzuri ,wimbo mzuri sana ,songeni mbele kwa kazi ya Mungu .
Amen Director Yommy, mtu wa maana kabisa Yommy
TUNASHUKURU KWAMAOMBI YENU
I'm blessed with it, God be blessed
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu,
Injili tosha ❤❤❤
Aminaaa
Amen!..Mungu awabariki
Barikiweni watumishi
Amen Sabato
AMINA MUNGU AKUBARIKI
Mbarikiwe sana mbiu ada kwaya...
Amen,God bless
Sing till God comes
Wooow nice piece love it , zito kweli.
Wimbo Mtamu ❤
Mbiu SDA choir,,be blessed,, Bwana awalinde na mabaya yote nafsi zenu ziwe salama kila siku
Amina
Amen
Bado chamoto .jamani samabzeni kilasehem watu wa barikiwa
❤❤
Hongereni kwa kazi nzuri
Amen
TUNASHUKURU
Mungu awabariki sana
Nelly na happy Mko vzuri Barikiweni
Tunaobarikiwa na wimbo tujuane hapa
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Very Timely Message.
Kwaya nzr sana❤
Mmerudi kasi MBARIKIWE sana
Amina
🎤🎤🎤music
Amen my team
Amen Amen Amen
Amen!
Amen
Kitu kimeiva
Amina
Aminaa
Mbarikiwe.Lakini niwaombe mtafute mchezaji kinanda kama wa kurasini amabaye atafanya vocals ioane na kina da.Nyimbo nzuri but hiyo du du du ....,..inaharibu . Vocals zenu ni nzuri sana .keep up
Wimbo mzur jamani narudia mara mbili mbili mbarikiwe sana
Amina