Huu wimbo nsipo uskiza sitolala Tuyaachie Miungu yanayotutenga na Uso wa Bwana,Afuu mdada soloists hatari mno sauti Yake inazidi kuwavuta wengi kwa Yesu.Madam Happy,God Bless You na kikosi chote cha Mbiu sda choir.❤🙏
Barikiwa sana Dada Happy Magati! U'r always the best ! Nakukubali hadi Yesu arudi.Mungu akutendee mema nakukulinda tuzidi kubarikiwa na kipaji chako cha pekee kutoka kwa Mungu!!Mungu akutunze sana mwalimu wangu mzuri,dada Happy Magati.
Amina na Amina! Kwa uimbaji huu sasa ndio napata jibu na nimeelewa kwa nini nchi yetu ina amani kwani kamwe shetani hawezi kupata nafasi yoyote kutokana na mkono wa MUNGU unavyoifunika nchi yetu ili kulinda vipaji vya huu uimbaji wa sauti za kipekee uimbaji unaoweza kukuinua na kuona kama vile unapaa na kuelekea mbinguni! MUNGU awabariki sana wana wa YUDA!! love from Furaha choir Swahihi Service- London
Utunzi na uimbaji wenu hakika yanivutia.. ujumbe upo sauti zipo harmony na melody yashika.. yaani maskio Ina jaa Kwa mshikanano wa muziki.. enyi ni braraka isio kwaza. Mungu wa amani na asike kwaya yenu na awazidishie. Kongole
MAMBO NIYAPENDAYOO NIMEPIGA KELELE SAANA HATAMAYEE KILIOO KIMESIKILIZWAAA ASANTEEN MBIU MUNGU AWAINUEEEEEE ZAIDII MZIDI KUTUPA NYIMBO NYING NA TAMUUUU 🙏🙏🙏🙏
Wakenya mko wapi tupe likes hawa wenzetu 🙏
Walio rudia kuangalia mara nyingiii tujuane❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤nipo hapa narudia rudia kuangalia Nabarikiwa sana na hawa waimbaji Mungu Awatunze na kuwapa yote yaliyo mahitaji yenu na injili isonge mbele😊
Mimi hapa, kitengela,kenya
Mimi hapa Mombasa nimerudia kuutazama wimbo huu wa Mbiu,Mungu awabariki sana waimbaji hawa
Nimeipenda nyimbo sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
I don't regret inviting this choir in langata sda church sometimes back... The best ever
Mbiu mnakuja kwa kishindo na ujumbe wa uimbaji wenu unatia moyo Mathews Oganga mabera Kenya
May our Lord help you always I love your song with good voices wow
Hongereni chama langu 🎉🎉
Barikiwa mkuu
Pamoja sana sponsor
Amina kaka
Huu wimbo nsipo uskiza sitolala
Tuyaachie Miungu yanayotutenga na Uso wa Bwana,Afuu mdada soloists hatari mno sauti Yake inazidi kuwavuta wengi kwa Yesu.Madam Happy,God Bless You na kikosi chote cha Mbiu sda choir.❤🙏
Barikiwa sana Dada Happy Magati!
U'r always the best !
Nakukubali hadi Yesu arudi.Mungu akutendee mema nakukulinda tuzidi kubarikiwa na kipaji chako cha pekee kutoka kwa Mungu!!Mungu akutunze sana mwalimu wangu mzuri,dada Happy Magati.
Amen
Amina na Amina! Kwa uimbaji huu sasa ndio napata jibu na nimeelewa
kwa nini nchi yetu ina amani kwani kamwe shetani hawezi kupata nafasi yoyote kutokana na mkono wa MUNGU unavyoifunika nchi yetu ili kulinda vipaji vya huu uimbaji wa sauti za kipekee uimbaji unaoweza kukuinua na kuona kama vile unapaa na kuelekea mbinguni!
MUNGU awabariki sana wana wa YUDA!!
love from
Furaha choir
Swahihi Service- London
Amina barikiwa kwa kututia moyo, tuombeane 🙏🙏🙏
Mnatisha kw ujumbe mzuri
Blessings, powerful indeed ..
Amen mungu awabariki sana
Utunzi na uimbaji wenu hakika yanivutia.. ujumbe upo sauti zipo harmony na melody yashika.. yaani maskio Ina jaa Kwa mshikanano wa muziki.. enyi ni braraka isio kwaza. Mungu wa amani na asike kwaya yenu na awazidishie. Kongole
Amina barikiwa sana 🙏
Amina Mungu akubariki sana
Barikiwa sana😊
Kiukweli Mungu anatukuzwa kawa kazi nzuri hii.
Amina, napenda sana ala vile zimechezwa kiadventista. Mungu awabariki wapendwa.
Woow my favorite choir..
I'm a Kenyan watching from USA barikiwa saana...Lakini sioni wengine wako wapi??
Amina Kutoka Blessed hope Thika Kenya 😊
Hongeren sn wimbo mzuri
Mungu awabariki Sana
Safi sana❤
Kitu Cha motoooooo
Iko mbuyaa kabisaaa
kazi Nzuri sana
Nabarikiwa sana kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Huu wimbo nimeurudia kwa kweli kuangalia mbarikiwe San mbiu
Waoooo kazi nzuri mbiu
Hongera sana mbiu choir nabarikiwa sana
Nawapenda
MAMBO NIYAPENDAYOO NIMEPIGA KELELE SAANA HATAMAYEE KILIOO KIMESIKILIZWAAA ASANTEEN MBIU MUNGU AWAINUEEEEEE ZAIDII MZIDI KUTUPA NYIMBO NYING NA TAMUUUU 🙏🙏🙏🙏
Hongereni sana kwaya yangu pendwa mbiu
Waooooooo!!!!!!!
Mubarikiwe sana Mbiu Church Choir
Hamkuwai kutuangusha watazamaji 🙏🏻😘.
Mungu awatumie zaidi
Wimbo mzuri sanaaa🥰🥰🥰
Mbiu mbarikiwe sana niko live usiku saa nane naangalia mara mbili mbili hakika wimbo mzuri
Mungu azidi Kuwabariki
Glory to God..wana mbiu katika ubora wao.
MBIU SDA CHOIR God Bless you 🙏🙏
Mungu hajalibiwi ongeleni kwaya yangu
Amen❤
Mbiu Choir hawajawahi kutuangusha kwakweli, hit song after hit song
Hit song nyingine kutoka Mbiu Choir
Amen🙏
Niliwamiss sana wana mbiu ❤
Kazi nzuri nabarikiwa nyumbani
Amen
Kwani mli record song na simu.❤❤
Lovely song❤
Mbarikiwe sana kwaya yangu nzuri ya Mbiu Mungu azidi kuwatumia ,Mungu azidi kuwainua .Kazi nzuri sana!!
Mbona uliondoka huku wewe mdada masauti 🙆🙆
Kuna mwanaume sioni huku of late haki
Yule mnono mwenye hutangulia kwa marching kwani alienda wapi jamani🇰🇪🎤
Yupo bahati mbaya hakupata nafasi ya kuonekana kwa shooting
@@felixdamas_tz ok ok then thanks
Sure😢 apilo
🔥🔥🔥 hii ni fire..Mbiu mbarikiwe sana. Hongera solo Dada Happy Magati... Uko vizuri
Mungu aendelee kuwabariki 🙏🙌
I still watching
May God be with you forever
Happy ni happy tu mungu akubarik sana kikubwa tuendelee kuifanya kazi ya mungu hiv vipaji ni mungu katupatia
❤❤❤
❤
Sina la kusema ila mibaraka yake iwe pamoja nayi wimbo mtamu kweli kweli God bless
Mungu hajaribiwi na Mambo yasiyo mpendeza. Powerful message. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli mbiu imepigwa sana
Mbairikiwe sana
Kimya kingi kina mshindo mkuu. Mlikaa kimya kwa sababu. Hongereni my strong bombers
Our guest choir this yr at saika central..welcome
Mungu awabariki sana mzidi kuinjilisha ili wasije kusema hawakusikia, amina
Kulachuma iyo
Amina na Mungu awabariki sana
Wauuu ,beautiful 🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri kabisa mbiu mubarikiwe
asanteni sana Wana mbiu hakika mnaupiga mwingi sana barikiweni mno
Thank you. The wait was long but worth it.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤
Poga kelele kwa mbiu yake eeeeh
It is said in swahili that,SUBIRA YAVUTA HERI. In Arabic Innalaah maswabirina( Mungu humpa heri mwenye subira
Normally after such a fantastic performance, you’d here someone shout “another one” 🤣 EPIC performance! Such powerful voices.
Hongereni kwa kazi safiii🎉
wapii zonginee
Sauti tulivu sana ❤
Safi sana Mungu awabariki sana
Hakika nimebarikiwa na wimbo huu mbarikiwe sana
Wimbo mzuriii Sana, natamani nifike mbiu niwaone live wapendwa
Karibu sana
Hongereni sanaa tupo nanyi hadi ukamilifu wa dahari❤
Waooooh 😘🍹🙏
Mubarikiweni....we had missed you sana
let's praise God till His second coming
Ukerewe tupo kwa wingi.....Barikiweni Sana kwa *njili
We have missed you a lot... welcome back ❤❤❤
❤❤❤ tunawapenda sana mbiu
Asante MUNGU ,Hakika hujaribiwi
Powerful rendition God bless you Mbiu
Wimbo mzuri kweli mbarikiwe jamani
Happiness niambie Apilo alienda wapi yawa,,,, watching from kenya kisumu
Mbiu 🔥
Nice song
iyi choir nayipenda sana, mimi niko munyarwanda but napenda nyimbo za kiswahili sana
Safi amina
Wanambiu barikiweni
Mungu Awabariki sana mfike mbali😊
Aloo lazima kurudia
Be blessed all your lives.
Good work may he be praised and uplifted
Wonderful
Amina kwa wimbo mzuri . Nawapensa muense mbali
Kazi nzuri mfanyayo 🫴🌹🙏❤️🙏
Ujumbe maarufi🙏, mbarikiwe sana
Williams Donna Young Eric Hall Margaret
Barikiwa sana❤❤
Good work may he be blessed and uplifted