KESI ya MCHUNGAJI ANAYEDAIWA KUMTAPELI MUUMINI WAKE YAFIKA kwa MAKONDA, ATUPA ZIGO kwa POLISI,.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 107

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน +5

    Na huyu mchungaji hajafanya mambo mwenyewe. Huyu dada alitoa eneo kama sadaka. Ila mchungaji akagoma. Akambadilishia. Baadae akaanza kudai. Huyu dada anacheza na mungu. Uwiii usicheze na mungu ni hatari

  • @Keyjop
    @Keyjop 7 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda nakupendea hapana unajua cheo Cha Mungu Mungu ni nani kwetu ♥️♥️♥️♥️

  • @gloriamsaki9109
    @gloriamsaki9109 7 หลายเดือนก่อน +8

    Dada Jambo la Mungu unasema uongo unalipwa na sadaka.usipokuwa makini utaishia umaskini.Mungu adhihakiwi.

  • @JaliaMohamed
    @JaliaMohamed 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo dada mwongo sana,,ila mungu anamwona

  • @JuliasiSatoti
    @JuliasiSatoti 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba tobiko Makonda Mungu akulinde sana wewe ninabi wa bwana vanya kasi ya Mungu mpe kila mtu haki yake uwe kiyogosi wawote asante sana

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley 7 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu alipoona mambo ya kanisa yanaenda vizuri akapata waalimu ili adai hela zaidi , ila pepo limemwingia navyomwona

  • @MultiSamrich
    @MultiSamrich 7 หลายเดือนก่อน +5

    I LOVE THIS PASTOR

  • @RoseMollel-wo3ls
    @RoseMollel-wo3ls 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu mlinde makonda🥰🥰

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 7 หลายเดือนก่อน +6

    Asante yesu wangu kwa ajili ya huyu mkuu wa mkoa Paul Makonda Mungu mtetee mtumishi wako

    • @beatricesamwel8161
      @beatricesamwel8161 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu dada muongo mchungaji ni mkweli

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 7 หลายเดือนก่อน +3

    Dada Mungu anakuona

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 7 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mr makonda

  • @michaellomanus5121
    @michaellomanus5121 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona hiyo ni simple case..waende kwenye bank statement tu Kila kitu kitajieleza chenyew

  • @PastorEmmanuelPalangyoOnlineTv
    @PastorEmmanuelPalangyoOnlineTv 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana izra nakupata ila watumishi tunapitia pangum sana.

  • @ShabaniBukuru-vw4px
    @ShabaniBukuru-vw4px 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Makonda Mungu akubaliki kwa maneno ya busara.

  • @AnthonyThadei
    @AnthonyThadei 7 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli huyu dada anavyoonekana ni kama sio mkweli,mchungaji hana maneno document zote hanazo.tuliza wenge lako dada,unaonekana una wenge mno.huwezi kumchanganya mkuu wa mkoa kwa stahili hiyo.

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh hapi bank statements ndo kila kitu , zitamaliza utata wote

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤Makonda Muñgu akubariki kwa hofu ya Muñgu Ubarikiwe

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 7 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda Mungu akupandishe viwango vingine.❤❤❤

  • @VotanVotan-gb3hd
    @VotanVotan-gb3hd 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mifano Yako imetumia akili sana Leo nimekukubali mwenye wanaakili nzur ameelewa

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 7 หลายเดือนก่อน +7

    Namwamini baba mchungaji jamani

  • @IssaSungura-gh1vx
    @IssaSungura-gh1vx 7 หลายเดือนก่อน +6

    huyo dada anaonyesha wazi muongo

  • @HabediRajabu
    @HabediRajabu 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akueke baba angu

  • @brunopeter9776
    @brunopeter9776 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kapata tamaa kuuona thamani ya kiwanja imepanda

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dada muongo sana😂😂😂😂

  • @josephgebra
    @josephgebra 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sijawahi kusema kitu ila mkuu Mungu anatenda Mungu akuongoze sana kiongozi wetu I feel emotional

  • @abednego3876
    @abednego3876 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mchungaji anajieleza vzr sana

  • @AlphonsinaMkongoma
    @AlphonsinaMkongoma 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ibalikiwe hekima iliyoko dani yako Mkuu Mungu akuzidishie.

  • @mwanahawanyambi9440
    @mwanahawanyambi9440 7 หลายเดือนก่อน +2

    UBARIKIWE SANA MSUKUMA BUSARA YA HALI YA JUU.

  • @HolooMatowo
    @HolooMatowo 7 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana Sana na maamuzi
    Yako udanganywi hata na machozi unachozingatia ni haki Mungu kupe maisha marefu.

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 7 หลายเดือนก่อน +4

    Dada huna ukweli wowote

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 7 หลายเดือนก่อน +1

    uyu dada nitapeli

  • @JuliusHatari
    @JuliusHatari 7 หลายเดือนก่อน +1

    Upngo ni dhambi kubwa sana , Dada ukigundulika wewe ni muongo utalipwa na Mungu

  • @abdiwahabibrahim1561
    @abdiwahabibrahim1561 6 หลายเดือนก่อน

    Pastors wengi ni wezi😂😂😂

  • @bensonmwakipexle8960
    @bensonmwakipexle8960 7 หลายเดือนก่อน +4

    Magari yanakuhusu nini

  • @JeremiaMathayo
    @JeremiaMathayo 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda sio kwamba tu ni RC ni mtumishi wa Mungu Mkuu Aliye Hai.

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 7 หลายเดือนก่อน

    Mr makonda is a very wise man

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 7 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kubwa sana

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani maelezo ya mchungaji yanajitosheleza kabisa kama vielelezo vyote vipo huyu dada atakuwa ni muongo kabisa anataka alipwe mara mbili.

  • @kagamedimaria4787
    @kagamedimaria4787 7 หลายเดือนก่อน +1

    Statement ya bank itasema ukweli

  • @asumwisyebambengile6535
    @asumwisyebambengile6535 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani wahungaji vipi😮😮

  • @Africasafarichannel
    @Africasafarichannel 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada nina waswas naye

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo dada anaonekana muongo

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 หลายเดือนก่อน

    Waumini kama mtu umeamua kutoa sadaka utoe kwa moyo, sio kuifanya kazi ya Mungu iwe ngumu kiasi hiki.

  • @loycep7785
    @loycep7785 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mhasibu mbona hamjamhoji maana wahasibu wana ujanja wao anaweza akala njama na mtu wa Bank na anapewa Slip feki lkn mchungaji anazipokea kuwa hela imeingia lkn kumba huyu mama hela yake haiingizwi kwenye Account yake hilo watu wamelizwa sana
    Tafadhsli mhasibu ahojiwe nae seleze msije mkamkosea Mungu wetu
    Barikiweni

    • @AngelAfric
      @AngelAfric 6 หลายเดือนก่อน

      Dah kweli hili pia linawezekana liangaliwe mana dada anaonekana katendwa na mpaka kasimama hapo ana uhakika, Yani wote Wana uhakika na kila wanachokiongea so inaonyesha labda Kuna namna nyuma ya pazia

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 4 หลายเดือนก่อน

    Mtu anatoa sadaka kiwanja

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 7 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda ana hakili kubwa huyo dada mjanja mjanja

  • @williammvungi9974
    @williammvungi9974 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dada nina mashaka

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unalia nini sasa

  • @mohamedabdul9895
    @mohamedabdul9895 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa ndo utakapojuwa kuwa uongozi ni mgumu dah

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mchungaji yuko poa sana

    • @nchembaa
      @nchembaa 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dada ni muongo tu

  • @consomatogaudence136
    @consomatogaudence136 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda nakupenda bure unafuata haki.

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd 7 หลายเดือนก่อน

    Huy dad nilivy muon kapew hel endap nikidog kidog lakin Kal lakin hajui

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada ni muongo , pepo naona anamtumia kuchafua huduma Ya Mungu

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 7 หลายเดือนก่อน

    Wamepata kamchezo wanajua wakijiliza kwa makonda wanapata tu hela khaaa

  • @sakinajuma4208
    @sakinajuma4208 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wachungaji siku hizi hatari

    • @philipinalyimo7164
      @philipinalyimo7164 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna MAOMBI wanaomba unaweza jikuta umefikisikaa coz naelewa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa naona shida sio mchungaji

    • @AngelAfric
      @AngelAfric 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@philipinalyimo7164duuuh kumbe ! Hatari

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 7 หลายเดือนก่อน +6

    ivi kama huna moyo wakutow unajipendekeza vyanini kudhalilisha wachungaji maan sidhani kama mchungaji aliota uyo dada kuw anakiwanja kiukwel dada umetafuta laana tena ukatubu

    • @MultiSamrich
      @MultiSamrich 7 หลายเดือนก่อน

      Fact

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa
      Bora akikataa tangu mwanzo

    • @MwanjiNzala-mo5ni
      @MwanjiNzala-mo5ni 7 หลายเดือนก่อน

      Atuukumu.lkn baadh ya watumishi Wana namna.ya.kuvuruga akili ya mtu mwenye kitu ili kitolewe kama.sadata.sasa.akili.ikirudu ndo hayo.yanatokeaga Mungu.atuhurumie

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda umeongea kitu cha point san nimekuelewa san imetumika hekima ya ki Mungu san lkn tunaitaji mwendelezo wake

  • @hellenmollel6679
    @hellenmollel6679 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona kama simuamini huyu Dada jamani?

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 7 หลายเดือนก่อน

      Na mchungaji mbona kama anaogopa? Kwa kuongea tu

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hekima ya selemani

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 7 หลายเดือนก่อน

    Bank statement ndiyo Msema kweli

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 7 หลายเดือนก่อน +8

    Baba Mchungaji ana sauti ya kichungaji jamani .

    • @emmanuelkess8891
      @emmanuelkess8891 7 หลายเดือนก่อน

      Umemsikia ee

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 หลายเดือนก่อน +1

      Na inaonekana anaongea ukweli
      Huyu mwanamke naona Muongo.
      Na Bora mchungaji akikataa kupewa kiwanja km sadaka

    • @nchembaa
      @nchembaa 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @RoseKesi-zj4yy
    @RoseKesi-zj4yy 7 หลายเดือนก่อน +3

    Dada muongo

  • @michaellomanus5121
    @michaellomanus5121 7 หลายเดือนก่อน

    Me nafanya kazi ya uhasibu risit bila Bank statement utaliwa wapendwa saiv risit zinatengenezwa

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda Iko vzr, dada muongo

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada muongo

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor yuko vixur sana.

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 7 หลายเดือนก่อน

    Nasubilia part 2

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada atapata mikosi. Anatakiwa atubu sana

  • @MultiSamrich
    @MultiSamrich 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Muongo

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 7 หลายเดือนก่อน

    Ogopa vya bure, tena kikihusu ardhi.

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤makonda❤❤❤

  • @DianaPaul-y5n
    @DianaPaul-y5n 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu muongo uyu

  • @violetmollel8871
    @violetmollel8871 6 หลายเดือนก่อน

    The

  • @mashipeter4819
    @mashipeter4819 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Dada muongo

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji atapeli 🤔🤔🤔😢😢😢

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa hili nakataa huyu dada muongo

    • @consomatogaudence136
      @consomatogaudence136 7 หลายเดือนก่อน

      Kam mara ya kwanza alitoa sadaka iweje aje alipwe adai na kiuhalisia huyu dada analia uongooooooo

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaemsema dada muongo mna ushahidi Gani au kisa ni mchungaji ndio mna mtetea kwendeni kule

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 7 หลายเดือนก่อน +1

      Maelez ya mtu unamckia kabis

    • @WaziriOmari-f3h
      @WaziriOmari-f3h 7 หลายเดือนก่อน

      @@VeronicaAdam-lx8yd mmh ukweli utafahamika tu

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani mimi nilishatapeli na Mchungaji wachungaji wengi wanaweza kujieleza sana mimi Mchungaji alisema nikopeshe pesa nitakulipa baada ya miezi 3 tuko wawili hakuna mashahidi siuna mwaminikuwa ni mchungaji cha ajabu nilipoanza kumdai akasema ulitoa sadaka mpaka Leo pesa nimezurumiwa hapo MUNGU tu aingilie kati ili ukweli ijulikane wapo Wachungaji matapeli sana WAPO MUNGU akusaidie Makonda utatue kwa haki

  • @daddybenny
    @daddybenny 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mchungaji ni mwongo ila anatumia kofia ya uchungaji kuhifadhi ubaya

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana dada muongo
      Hebu fikiria alitoa km sadaka ila mchungaji akakataa
      Haya angekubali je?

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 7 หลายเดือนก่อน +3

      Uong wa Mchungaj ni upi tunaangalia pand mbil zot

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 7 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mchungaji anaonekana ni mkweli, huyu dada huenda kuna watu wamemshauri vibaya au amelihama kanisa?

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 7 หลายเดือนก่อน

      Washauri wake watakua walimshauri utatoaje sadaka hati zote hizo kachukue hela haya sasa