Ben Pol X Darassa - My Life (Lyric Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 598

  • @isackjacob8127
    @isackjacob8127 11 หลายเดือนก่อน +9

    Kama umesikiliza hili goma Zaid ya mara Moja big up

  • @lilianpeter9886
    @lilianpeter9886 7 หลายเดือนก่อน +9

    Jaman huu wimbo had nimelia nyimbo nzur sana tena sana niliiskia usiku redio one nikadamka kuitafuta nilivyo hangaika bac tu nashukuru nimeipata hongera sana

  • @BarakaFaraj
    @BarakaFaraj ปีที่แล้ว +18

    Wasanii wangu Bora Toka sikati Tamaa Muziki na hii bonge la Ngoma na jikubali ni noma❤❤❤

  • @SasiMowzey
    @SasiMowzey ปีที่แล้ว +10

    Huu mziki tuliumiss sana waoh kaka @benpol

  • @Shakurabdi889
    @Shakurabdi889 ปีที่แล้ว +119

    This is the best song of 2024 for me, the reality of our daily life 😢kwanini usiwe happy wamekufaa wangapi na nani ataybaki I don't see 😢😢😢

    • @Ashibutz
      @Ashibutz ปีที่แล้ว +3

      Really

    • @flinchclassic1531
      @flinchclassic1531 ปีที่แล้ว +5

      I'm happy for this banger but I'm also to see your profile pic Ya the late E sir king wa hip hop Kenya rip

    • @Shakurabdi889
      @Shakurabdi889 ปีที่แล้ว +2

      yeah because I'm from Kenya and I like E sir's song I accept him even though we're not with him anymore 🥲for me he's the one I can say is my role model

    • @chana_kijana_official9044
      @chana_kijana_official9044 ปีที่แล้ว +3

      Ndo iyo sasa Mazee 2024 with good music

    • @Shakurabdi889
      @Shakurabdi889 ปีที่แล้ว

      @@chana_kijana_official9044 I love hip hop men coz is reality and wanabonga kuhusu daily life yetu wenye tumetokaa mtaani inatupa motivation kinoma🫰

  • @ahmeddola4648
    @ahmeddola4648 ปีที่แล้ว +14

    Ben Pol, still shining! Hi ngoma Kali sana. I salute you bro. Balozi Dola

  • @elbalomayani3529
    @elbalomayani3529 ปีที่แล้ว +2

    What a song.wuuuuuuuuuuuuf sijakoseaga kukushabikia walai.ngoma Kali adi Kali tena sichoki kuitizama

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 ปีที่แล้ว +10

    Saf Sana.zaman Sana hujawah kukosea meng najifunza kwako pia👍👍👍🎧🎤🎧

    • @Shakurabdi889
      @Shakurabdi889 ปีที่แล้ว

      Jamaa anajua snaa song zote wametoa pamoja hakuna hata moja yenye haina ujumbe ❤

  • @MsAloyce
    @MsAloyce 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huu wimbo ni bora Sanaaa. Big up brother Paul and Darasa

  • @matipukamatipuka9654
    @matipukamatipuka9654 8 หลายเดือนก่อน +4

    Daaa kitu nzuri mno na wala hakuna tusi

  • @davidyreuben6506
    @davidyreuben6506 ปีที่แล้ว +3

    Kaka mkubwa umeuwa ngoma kali sana naskiliza sana mziki sema huu kwangu mwimbo wangu wa mwaka

  • @Elevat3d
    @Elevat3d 11 หลายเดือนก่อน +4

    “Kutoka kwa ukungu adi kutakata, Tushukuru Mungu kila baraka” 🎯

  • @levsonyared3213
    @levsonyared3213 ปีที่แล้ว +3

    uyu jamaa nomaa Sanaa mungu akutunze uzidi kutupa mziki mzuri inshallah❤

  • @samirelhiad1243
    @samirelhiad1243 ปีที่แล้ว +3

    Unajua sana bro

  • @chapterboy1645
    @chapterboy1645 11 หลายเดือนก่อน +3

    Always ben pole🙌🙌🙌🙌

  • @victoriousgospels
    @victoriousgospels หลายเดือนก่อน

    My brother Ben Paul. Big up brother your my favorite Bongo artist tangu kitambo hicho up to date. hongera Kwa utunzi mzuri.

  • @KevinFrank-w1j
    @KevinFrank-w1j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante eeeeeeeee ngoma kali sana

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ben Pol uyu ndio nae mjua mimi sasa ni yule wa Nikikupata Sofia na hits nyingi ✊🔥

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 ปีที่แล้ว +2

    Ben pol, big up bro, najua umepitia mengi man, but am proud of you bado unasimama kwa miguu yote miwili

  • @sekelamwangomo5458
    @sekelamwangomo5458 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman Ben pol hard fan tuview hii nyimbo mpaka tufike millions views❤

  • @mugishaadenis127
    @mugishaadenis127 ปีที่แล้ว +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ hustle people this is for us , maamuzi yako ndio maisha yako don't agree people to fake you

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 ปีที่แล้ว +6

    kazi nzuri ben pol

  • @davidomushabo4549
    @davidomushabo4549 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ujawayi ni yangusha ben pol and darasa...let them say, taratibu ndio mwendo 😊😊✌

  • @NillanationsTV
    @NillanationsTV ปีที่แล้ว +1

    ❤Aise nizaidi ya upendo kwetu.BEN POL &DARASSA.Wakuu sana nyinyi🫡🫡

  • @OdemarySilas
    @OdemarySilas ปีที่แล้ว +2

    hatariii sana one love my brothers♥♥♥♥

  • @tonyarios7734
    @tonyarios7734 4 หลายเดือนก่อน

    Polepole, polepole unaiweka chini kwa moyo wako na
    Fyah🔥😘🫴🏽🌹🌹‼️ I simply love your classy approach on making dat chedda 💵🪙💰 ili maisha yako yawe betta 🤌🏽👀. Kito 🩵👑💙👑‼️

  • @richardommy1610
    @richardommy1610 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo perfect combination ya bongo....ukiskia darasa x benpol au Benpol x darasa ujue n 🔥🔥🔥🔥.....yan kama chris brown x tiger

  • @Chida
    @Chida ปีที่แล้ว +2

    Umeua saaaana mwamba unatafutwa na BASATA kwa kosa la kufanya bonge la ngoma

  • @tonyspencer1928
    @tonyspencer1928 ปีที่แล้ว +1

    Oyaaa another vision IPO poa sanaaa

  • @sarahkahindi6348
    @sarahkahindi6348 ปีที่แล้ว +2

    Hii bonge moja la hit guys, kama unakubali gonga apa tukisonga bas ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @issalavany5208
    @issalavany5208 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥 goma limesoma ..noma sanaaaa

  • @sixbertaMakoko-rn8cx
    @sixbertaMakoko-rn8cx ปีที่แล้ว +10

    Umerudii🔥🔥

  • @kazobajoseph9410
    @kazobajoseph9410 11 หลายเดือนก่อน +3

    congratulations brs ,,, full package,

  • @Uniquenatureadventures
    @Uniquenatureadventures ปีที่แล้ว +3

    My brothers this is 🔥 🔥 fire
    Combination ya kiukubwa sana
    Acha wajifanye kama hawasikii tena goma kali kama ili

  • @JoshuaMose-gq4qy
    @JoshuaMose-gq4qy ปีที่แล้ว +21

    What a comeback for Ben Pol🔥🔥🔥🔥💯

  • @Elizabethndanu-d5m
    @Elizabethndanu-d5m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri nzuri mnooo😢😢❤❤❤❤❤

  • @AbbasiKisuju
    @AbbasiKisuju 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo nzuri sana

  • @paschalmchiwa5019
    @paschalmchiwa5019 11 หลายเดือนก่อน

    Home boy 🙌.. Huyu ndo ww tunaekujua wa kukaya.. 2024 best song mpk sasa.. Keep it up blai

  • @InsectKenya
    @InsectKenya ปีที่แล้ว +2

    Kula Bata, Kula Kuku na kile unataka. 💥💥💥 Ben Pol

  • @chegaritofx
    @chegaritofx ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndo benald paulo ninayemjua mm🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ramdhanichasigwe4473
    @ramdhanichasigwe4473 หลายเดือนก่อน

    hii ngoma kaka hatari,, poa chukua soda hapo dukani,,, karibu sana MORO siku moja

  • @JameswisdomBanda
    @JameswisdomBanda ปีที่แล้ว +1

    Waliyo rudia hii ngoma tujuwane kwa 👍 👌 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AthmanKamba
    @AthmanKamba 6 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢Asante mola wangu kwa Uhai🙏🙏

  • @kaloleniack7612
    @kaloleniack7612 ปีที่แล้ว +7

    nyimbo motivational sana

  • @Gwenoboy
    @Gwenoboy ปีที่แล้ว +1

    Ngomakali mwanangu❤

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaaa kamanda Ben pol umeua mbaya sana sana kifundi zaidi, umeichezea beat zembe vzr sana

  • @zuhurayusuph4826
    @zuhurayusuph4826 ปีที่แล้ว +1

    Good ktk wasanii wa Rnb wewe ,belle 9, huwa nawapenda sana mnajua had mnajuatena thanks

  • @emanuelfitani3042
    @emanuelfitani3042 ปีที่แล้ว +2

    Twend kwenye trendy Kali ya mwaka hiii like kama unamkubal d na b🎉🎉🎉🎉🎉

  • @cornelymashauri2396
    @cornelymashauri2396 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kwako broo! Always kwako zipo hits.

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 ปีที่แล้ว +1

    Salute kwa Dabo

  • @MussaHaruna-e7t
    @MussaHaruna-e7t ปีที่แล้ว +1

    Nice song blood japo wasoelewa watasema umepaniki.historia pol

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba wewe ndio king wa aranmbii hao wengine wanakazimisha Tu

  • @Loismo
    @Loismo ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali #MyLife imeifungua huu mwaka wa 2024 💪🏿✊🏿

  • @MeryRaphaeli
    @MeryRaphaeli 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri sana kakaangu❤❤

  • @nagypromsafi
    @nagypromsafi ปีที่แล้ว +1

    ❤🎉🎉🚀 kitu kizito kama alivyo imba baba angu CHUI 🔥🔥🔊 Rôle model 🚀🚀🚀📈📈📈

  • @KoreshiRoberth-sx6sk
    @KoreshiRoberth-sx6sk ปีที่แล้ว +6

    My king 👑 kutoka nyumbani kwetu ❤❤❤❤

  • @yahayagotze2339
    @yahayagotze2339 ปีที่แล้ว +2

    My Guy Benpol hujawai kutuangusha

  • @noahadamson9063
    @noahadamson9063 11 หลายเดือนก่อน +1

    wimbo mzuri snaaa

  • @shinerztv9944
    @shinerztv9944 ปีที่แล้ว +7

    Slave becomes a king Album ❤love from Kenya 🇰🇪

  • @Richardson-kn8sk
    @Richardson-kn8sk ปีที่แล้ว +2

    fantastic sana

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 ปีที่แล้ว +16

    Best Combination. Sweet Melody 🎶

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 11 หลายเดือนก่อน

    Ben pol! Huyu Ni Ben pol jamani! Msijisahulishe! Darasa umetisha Sana!

  • @dj.btrevahworld8816
    @dj.btrevahworld8816 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hip-hop,,,Legend👑👑kazi safi

  • @AgustinoMgeni-j1m
    @AgustinoMgeni-j1m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwann nisiwe happy wamekufa wangapi aseee beni hujawahi niangusha

  • @GodilistenonisaelKimaro-lk7cd
    @GodilistenonisaelKimaro-lk7cd ปีที่แล้ว +2

    Nimesubiri nyimbo zako maana nazikubaligi sana daha imebidi niwashe bluetooth Ngoma Kali sana

  • @leonjuly8242
    @leonjuly8242 ปีที่แล้ว +1

    balaa na balaa tena

  • @NathanDanial
    @NathanDanial 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma kali saaaana aise

  • @GoodBoyi-g9f
    @GoodBoyi-g9f ปีที่แล้ว +2

    Hii ngoma ni sumu 🔥🔥 nahis remix yake itakuwa mazishi 🔥🔥🔥🔥

  • @SadimMavoice
    @SadimMavoice ปีที่แล้ว +6

    King of RNB KISS THIS

  • @Delightson48
    @Delightson48 ปีที่แล้ว +1

    Baba God anabless my life. Like kwa benpoul na darasa be happy

  • @AmosKomanya
    @AmosKomanya ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo mzur Sana my brother hongereni Kwa Kazi mzur

  • @jadontamambu1660
    @jadontamambu1660 ปีที่แล้ว +6

    u deserve much respect. this is the father hit of all hits

  • @Daecotz8597
    @Daecotz8597 ปีที่แล้ว +3

    Song Kali San big up

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo huu utatumika kama funguo ya kufungulia mwaka

  • @cleophaskauga8706
    @cleophaskauga8706 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndie ben paul tunaemjua sasa💪💪🔥🔥

  • @amimujerome8350
    @amimujerome8350 ปีที่แล้ว +2

    # never go back.
    #I'm going get my money.
    #atanikosa sijali.
    #hapa nilipofika nimbali.
    Akuna atakaebaki hapa duniani.
    Mshukuru mungu kwahicho hulicho nacho kama unaamini mungu ni mueza wa yote tujuwane kwa ku typing.....🙏 .

  • @issayasanaree1319
    @issayasanaree1319 11 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana ngoma kali

  • @godfreymwichaha8759
    @godfreymwichaha8759 ปีที่แล้ว +10

    When it comes to inspiration songs,the best combo from Darasa and Ben pol

  • @christianboniface151
    @christianboniface151 ปีที่แล้ว +1

    Bonge moja la motivation, asante sana Benpol

  • @frankfrugence-vv6we
    @frankfrugence-vv6we ปีที่แล้ว

    Ukwelii ni kwamba hawa wawili wakikutanaga uwa hawana kazi chafu ata siku moja 🔥❤️🙌🏽🙌🏽💯

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 ปีที่แล้ว +1

    Hihi nyimbo kali sanaa

  • @mane3935
    @mane3935 ปีที่แล้ว +2

    uuuuu ebwanaee hatarii wadau

  • @ClaverNimbona-te5ku
    @ClaverNimbona-te5ku ปีที่แล้ว +1

    Nakubali ben

  • @nishabkar5776
    @nishabkar5776 ปีที่แล้ว +5

    Beautiful song and emotional too...God bless you guys❤from +254 🇰🇪

  • @real_dandy
    @real_dandy ปีที่แล้ว +2

    Kalii sanaaaaaaaaaaa

  • @trancefarah
    @trancefarah 11 หลายเดือนก่อน +1

    Darassa is so understand ila wabongo wangemuelewa huyu mwamba vizuri, basi wangemtengezea statue 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @linconking6443
    @linconking6443 ปีที่แล้ว +17

    Mehn mehn Darasa never disappoint pure gem and talent.... IFEEL THIS SONG ON A NEW YEAR DAMN

    • @saidimega9615
      @saidimega9615 11 หลายเดือนก่อน

      Plpppppplplplnlkpn v

  • @eliaschipalo1405
    @eliaschipalo1405 9 หลายเดือนก่อน

    Hii ni ngoma inspirational sana , hongereni sana wasanii wangu bora sana

  • @yustinkivamba4721
    @yustinkivamba4721 ปีที่แล้ว

    Cjawaiona hii ni kali zaid kuliko zote inapenya ndani kwa damu ,,, nashukuru sana

  • @leonardmadelemo3043
    @leonardmadelemo3043 ปีที่แล้ว +3

    King of RnB is back very nice song

  • @goodluckyikula6218
    @goodluckyikula6218 11 หลายเดือนก่อน +2

    It's a very nice song. + Ujumbe. Ben Paul still on top of the World 🌎🌎

  • @SimbamtotoMeroti-ed8eb
    @SimbamtotoMeroti-ed8eb 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safii Ben poo

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf ปีที่แล้ว +6

    Homeboy ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BizWoudAbandu
    @BizWoudAbandu 11 หลายเดือนก่อน +1

    message fined Kuruka ..big Up BenPol

  • @JoshuaJohn-f8t
    @JoshuaJohn-f8t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma kali sana keep it up blo

  • @mashakamakoba7955
    @mashakamakoba7955 ปีที่แล้ว +4

    Good Music Brother Ben,God bless you

  • @LUJI-D
    @LUJI-D 8 หลายเดือนก่อน +1

    Vip bor piya mimi Niko na ngoma naomba support tu

  • @yuleboytv6104
    @yuleboytv6104 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo wa mwaka✊

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali kinyaaàma. Kwanza Beat imekaa poa balaa

  • @KHAMISSYKAIJAGE-vg3gv
    @KHAMISSYKAIJAGE-vg3gv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Imekaa poa sana